WAZIRI LUKUVI AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA MITENGO MIKINDANI MKOANI MTWARA

  Рет қаралды 4,781

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@luluamri370
@luluamri370 4 жыл бұрын
2020 magufuli
@kudisalashija9823
@kudisalashija9823 4 жыл бұрын
Kazi nzuri sana kwa serikali yetu, Mungu awabariki kwa kusimamia kodi zetu vizuri. JPM mitano teno
@emmanuelmkama3000
@emmanuelmkama3000 4 жыл бұрын
Sio mitano tu mpaka akatae mwenyewe
@dennisstafford450
@dennisstafford450 4 жыл бұрын
Wapinzani mpooooooo?
@masoudkipara5053
@masoudkipara5053 4 жыл бұрын
Rais wetu ni mfatiliaji sana nampongeza ila na lindi jaman tuiangalie angalau
@godfreybigeyo9105
@godfreybigeyo9105 4 жыл бұрын
Jpm sio Wa kulinganisha na vitu vya hovyo hovyo hivi
@mtunguja1
@mtunguja1 4 жыл бұрын
Godfrey Bigeyo Nikweli kabisa, hakuna hata anayemkaribia kwa uchapakazi na uzalendo. JPM awaachie upinzani vijana wa CCM ndiyo sizi yao, yeye JPM achape kazi tu.
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 жыл бұрын
Asante maghufuli ubarikiwe inshallah 👌🏿👍
@eddimalon6051
@eddimalon6051 4 жыл бұрын
Sio maghufuli, ni Magufuli, Maana yake kafunga Makufuli na funguo katia baharini. hakuna atakae fungua kwenya Makufuli hayo.
@luluamri370
@luluamri370 4 жыл бұрын
We kiguli lissu haya njoo huku
@calvinkapinga8341
@calvinkapinga8341 4 жыл бұрын
noma sana
@jacobmakono389
@jacobmakono389 4 жыл бұрын
..ama kweli amefanya mengi!mwinyi,na kikwt wanapaswa kuona aibu kubwa sanaaa!na sijui Mungu watamwambia nini!
@eddimalon6051
@eddimalon6051 4 жыл бұрын
mbona umemsahau Marehemu Mkapa?
@brobabuu3973
@brobabuu3973 4 жыл бұрын
Kwa yeyote anayesoma hii.. nakuombea Baraka na maisha marefu yenye mafanikio tele. siku njema iwe kwako na kwa familia yako YOTE.! Ikikupendeza waweza pita kwenye channel yangu napost mada mbali mbali za biashara na mafanikio uweze kujifunza jambo siku ya leo. Kwa pamoja tutafanikiwa!!
@YusufAli-ib6xu
@YusufAli-ib6xu 4 жыл бұрын
Ccm ccm ccm welcome back again next term with magufuli on chair
@temkezatv4381
@temkezatv4381 4 жыл бұрын
"Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
@martinkipenya4592
@martinkipenya4592 4 жыл бұрын
Hii ndo itatusaidia kuondoa makelele ya kina tindu lisu kutoka kwa mabeberu
@emmanuelmkama3000
@emmanuelmkama3000 4 жыл бұрын
Tutaandamana aendelee kuongoza tu hamna namna
@mtunguja1
@mtunguja1 4 жыл бұрын
Nafikiri kinacho fuatia ni Serikali kugharamia kuwapeleka mafunzoni Madaktari Bingwa kwa makubaliano ya mikataba. Ili tuwe na madaktari wazuri wakutosha.
@heavenlymusicproduction4360
@heavenlymusicproduction4360 4 жыл бұрын
Mosie baba nighambie
@ahmed-shakirmwamba4992
@ahmed-shakirmwamba4992 4 жыл бұрын
Waliokwamisha maendeleo ya nchi yetu ni Serikali zilizo pita kwa miaka yote tangu tuanze kujitawala na kwa bahati mbaya Sana ziliongozwa na chama cha Mapinduzi. Miradi mingi ilihujumiwa na Sisi wenyewe kwa kuwa uongozi daima ulikuwa mbovu na bila mawazo mbadala. Ujio wa vyama vya upinzani ndio ulio sababisha Serikali kugeuza dira vinginevyo ni CCM iliotufikisha hapa. Miaka karibu 60 baada ya Uhuru tulitakiwa tuwe mbali mara nne ya hapa tulipo. Hospital kama hii ingekuwa ipo kila Wilaya na sio Jimbo au Mkoa.
@athumankigomba427
@athumankigomba427 4 жыл бұрын
Wewe miaka ya juma Tanzania ilikuwa aina wasomi wengi
@emmanuelmkama3000
@emmanuelmkama3000 4 жыл бұрын
Uongozi ni dhamira ya mtu mwenyewe na si chama au vyama vya upinzani
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 4 жыл бұрын
Kumbuka tulitawaliwa tumekuwa huru kuanzia Mwaka 1961 Sasa hapo ndio tulianza rasmi kujipanga wenyewe kwahiyo tolicheleweshwa na ukoloni sio Ccm wasomi wengi wameanza kupatikana Miaka ya 2000 uko nyuma kukikuwa hakuna kitu Nan angefanya kazi
Historia ya Wajerumani Mtwara
3:00
DW Kiswahili
Рет қаралды 7 М.
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 123 МЛН
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 15 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 275 #shorts
00:29
Mtwara: Kijiji kinacholindwa na nyoka!
3:54
DW Kiswahili
Рет қаралды 2,2 М.
JUA KALI LEO JUMAMOSI 26/10/2024 | Full epsode "HD"
23:08
Mr Exclusive Tv
Рет қаралды 7 М.
Kaya 105 zaathirika na mafuriko Mtwara
4:17
DW Kiswahili
Рет қаралды 2,4 М.
MASOKO MAPYA TANZANIA ''MUONEKANO WA SOKO LA MTWARA''
8:27
Millard Ayo
Рет қаралды 9 М.
Wakulima mkoani Mtwara wasusia mnada
2:34
Azam TV
Рет қаралды 2 М.
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 123 МЛН