JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@Husnasalim-f2gКүн бұрын
Huy chui hat yy mwenyew anaingiag live anasem karib kwenye nguvu za Giz anaingia live tikitok mpak KZbin simsingizii nishaingia live yake zaid ya mara 3 na anasem ivo ivo😊
@meowzna4 күн бұрын
Mpo Vizuri Sana global Tv,🎉🎉
@piliramadan8754 күн бұрын
In shaallah tutafanya hivyo dadate
@piliramadan8754 күн бұрын
Mpo vizuri glob
@piliramadan8754 күн бұрын
Mashaallah mashaallah
@FathimaFathima-z4mКүн бұрын
Eti njaa ndogo ndogo nyinyi hamna nyumbani eeeee ZARI weee umenichekesha
@emmanuelimushi67653 күн бұрын
Nimependa maswal yako. dada ni muhimu Kwa vijana.
@piliramadan8753 күн бұрын
Baba mama na family yoteejitahidi uwe kalibu nao
@piliramadan8753 күн бұрын
Hayo siyo maisha ya kukosa kuongea na mama mzazi
@JokhaSaid-e1c3 күн бұрын
Acheni kuuliza watu maswali kuhusu vipato vyao
@kessikahawamango41144 күн бұрын
Hili Freemason bwana
@happykazikuboma24273 күн бұрын
Muongo huyo mdogoake 2018 awezekani awe amamamilza form four na leo 2025 anamiaka 20 inamaana alimaliza form four na miaka 13
@mwanahawamohammed85403 күн бұрын
Mhh, Huu ni uvaaji gani wa scaf za kike kuvaliwa na wanaume hivi 🤣🤣
@nugwiziwe7577Күн бұрын
😢na Mimi huwa najiuliza au ndokutangaza ushoga😢
@MauriceHaseenКүн бұрын
@@nugwiziwe7577 Masharti ya wale wazee wa kuzimu.
@HadijaJoseph-d1gКүн бұрын
nicheke bule sikuhizi vilemba vya kina mama na wanaume wanavaa kichawani kweli dunia inaenda, huyo kaka yupo frimansoni sio kweli mama mzazi adanganye , huo utajili ni wanguvu, zagiza una lana unaowa na kuacha masharti ya frimansoni sio mtoto mdogo umejingiza kwenye . ushetani kisa hela na bola mama slivyo jiongeza kukataa hilo gari na ng'ombe walikuwa wakafala hao da mama alijiongeza sana
@piliramadan8754 күн бұрын
Kweli kabisa Mali bila daftali haiwezekani
@FatimaAli-of4gh4 күн бұрын
Mimi mpaka pesa yangu ya mshahara naoyandika kwa daftar😂😂 kisha naigawa kumi ya kodi,20 ya hichi 50,ya hichi 100 ya chakula mpaka inaisha😂
@blueberrypotatogames7950Күн бұрын
Mamman ana akili zaidi. Mungu amemuonesha kila kitu.
@jokhasaid86663 күн бұрын
Kuna watoto wengine wanatumwa na wazazi kuombaomba
@dennisnjonanje6210 сағат бұрын
Hamna kitu hapa, pesa zake za KZbin hizo zinampagawisha… tajiri amnunulii mama yake vitz
@chazp6436Күн бұрын
Mwanzo alisema vicks milion 18 dogo ksema milion 17 which is which?
@Husnasalim-f2gКүн бұрын
Ila na nyiny mjiongez mtt wa miak 5 anatoa wap nguvu ya kuzurula usiku mtaoji majin nipo hap
@blueberrypotatogames7950Күн бұрын
Uongo
@piliramadan8753 күн бұрын
Tajili chui jitahidi kuongea na family
@blueberrypotatogames7950Күн бұрын
Wamekutuma umpane mamma yako uzidi kufanikiwa
@blueberrypotatogames7950Күн бұрын
Unawaacha ao unawatoa kafara
@meowzna4 күн бұрын
😂😂😂😂
@chazp6436Күн бұрын
Huyu hana utajiri wowote pia anaboa habari zote za kiongo hana pesa yoyote...kifupi chokoraa sema njia zake za kipuuzi atumie muda kupambana na mziki sio kiki kama hizi...kuna comments nilifuatilia jamaa mmoja alikoment kasema huyu anaitwa hamisi amepnga nyumba analipa 35elfu na kazi yake anauza viatu yani chinga..
@adamadwan-g5qКүн бұрын
Wa tz bana mtu akiwa tajiri freemason badilikeni watu wanajituma hsa waliopitia wakati mgumu.mnamsakama kama mna uhakika vile .Mfateni bakhresa muulizeni kaanzia na nn .. Mkidharau kazi ndogo mtavunja moyo vijana wanouza miwa karanga au ubuyu.BADILIKENI BWANA ACHENI FIKRA POTOFU.
@EmanuelMbandiКүн бұрын
Mbona huyu dada anauliza maswali ya kikuma uliza maswali ya msingi sasa ww unauliza habari za account ya nn
@maryammboreha54753 күн бұрын
The
@SaraSara-i1lКүн бұрын
😂😂😂😂 tajiri miwani fake hii ni content sio gari katoa wala sio Mason upumbavu tu