JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@Lameck-f5i18 сағат бұрын
God bless lema.Boda boda siyo kazi?,MUNGU ibariki Africa. MUNGU wakumbuke waafrica wote. AMEN
@motowayesumotowayesu13 сағат бұрын
Inhi nźuri viongoz wàpuuzi sana
@MmohamediSaidi16 сағат бұрын
Boda ni tatizo kwenye hii nchi alafu baadae watoka washenzi wanawaunga mkono serekali au ccm
@BlackKing89-l1uКүн бұрын
Kwahiyo kama unasafiri na ndege imekula kwako
@ChogoMarwa-r9kКүн бұрын
yaani watu sijui wakoje kwani wanakuja kuzulula wanakuja kwenye mkutano
@MejumaaRashid-s8g16 сағат бұрын
Hiyo itathiri wanyoge uma wakawaida
@ChogoMarwa-r9k14 сағат бұрын
mtajua wenyewe na Barbara zenu kwani magari sio chombo Cha moto?
@AsiaShaban-zz4yr16 сағат бұрын
Manina zenu Kwa Barbara ngani Tz fyuuuu mnanyima watu uhuru upuuz tuu uzalendo uko wapi magufuli r.i.p mbona wanaokuja sio weupe ni weusi tiii ubwakini tu
@neemamanungi2207Күн бұрын
Zote hizo zipo matengenezoni sasa mnachofunga nn wakati tushazoea
@ameirdarueshi2593Күн бұрын
Mke wangu eti mke wangu eeee haya basi samahanini
@johnsonvisualКүн бұрын
je tunaofanya biashara kariakoo na tunatumia usafiri huo tunatakiwa tufanye nini, mbona ni ushenzi huo
@ChogoMarwa-r9kКүн бұрын
fungeni bas kaliakoo mzima kazi isifanyike mpaka watakapoondoka
@jizzotheking9238Күн бұрын
Tanzania I Love you my beatiful country, Wageni wote karibuni
@abdalahfundi7936Күн бұрын
Tunaficha uhalisia wet wakat africa yot inafann
@EmmanuelMlowe-u1v17 сағат бұрын
Acha ujinga mbona mgeni akija kwako unakopa hela ili mgeni ale kwann usia he alale na. Jaa uonyeshe uhalisia kwamba huna hela, Elimika usiwe msomi
@Kabwela7766 сағат бұрын
Afrika haifanani nenda Namibia au Botswana au South Afrika uone msivyofanana!
@denisipaulo7785Күн бұрын
Sasa sisi wa Taxi tukipokea wageni wanao kwenda hayat au serena tutapita wap
@omarykibunta4950Күн бұрын
Kaka hapo huhusiki kuhusu usafiri wa kupeleka watu kwenye mahoteli hakuna huduma hizo kwa siku hizo za kuwapeleka