Umekaa zako Huna stress mara ghafla unakumbuka umri wako😢😢😢
@Leodimk-n5c4 күн бұрын
Mi sikubaliani nae maana wengi hawa ni wanamchi wa kawaida lakini vigogo wakituhumiwa kwa ubakaji kama yule mkuu wa mkoa kule Simiyu wao baadae wanasafishwa kuwa hawana hatia
@BeatriceKitembe-gs9si4 күн бұрын
Heri ya mwaka mpya kama da wetu.. MUNGU azidi kukujaalia kheri...hongera kwa kazi kubwa🙏🙏
@nasrachayaКүн бұрын
Kama da
@AgiripinaNisiphory3 күн бұрын
Tafadhali afande tupe na taarifa za wale watekaji wenye pingu jamani au uchunguzi bado unaendelea😮😮😮😮😮😮😮
@Zaynab-ny6gr4 күн бұрын
Kher ya mwaka mpya kamanda
@ALEXBUNDI-b2t4 күн бұрын
That says all through the years was safe.
@emmanuelzawadiel53204 күн бұрын
Jamani kamanda muliro ndio kaonyesha meno yake kwa kucheka
@Zaynab-ny6gr4 күн бұрын
Kwahyo kinondoni ndio walevi zaid hatari sana
@stanastana31994 күн бұрын
Mimi nataka kazi hii ya kamanda miliro ntakabidhi fomu kwa mama
@ALEXBUNDI-b2t4 күн бұрын
Hivyo,upade wa madereba kulikua sawa mwakani
@rahabnkya82764 күн бұрын
Pamoja nawe KAMANDA MULIRO KHERI YA MWAKA MPYA 2025. BBA BARIKIWA KAZINI NA NYUMBANI. NAFURAHI TUMEONA SIKU KUU
@danielshimora53154 күн бұрын
Shida kubwa ya ajali Ni mzaha barabarani ,.
@globaltv_online4 күн бұрын
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@mcharoshaghude1853 күн бұрын
P
@AgiripinaNisiphory3 күн бұрын
Tafadhali afande tupe na taarifa za wale watekaji wenye pingu jamani au uchunguzi bado unaendelea😮😮😮😮😮😮😮