Waziri Ummy Mwalimu Kuzindua Kiwanda cha Dawa za Binadamu Bagamoyo

  Рет қаралды 1,403

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Watanzania Wazalendo wameamua kutatua changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa dawa hapa nchini baada ya kuamua kujenga Kiwanda kikubwa cha kutengeneza dawa za binadamu ambacho mitambo yake itasimikwa eneo la Zinga wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani.
Kiwanda cha Zinga Pharmaceuticals LTD ambacho uzinduzi wa ujenzi huo unatarajiwa kufanywa leo Machi 30, 2017 na Mgeni Rasmi ambaye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Watoto Jinsia na Wazee, Mhe. Dkt. Ummy Mwalimu, kitatengeneza dawa zenye standard ya Europe na kitakuwa na uwezo wa kusambaza dawa hizo Afrika Mashariki na Kati.
Mitambo itakayozalisha dawa hizo itatoka Ujerumani na tayari wataalam wake wameshaingia nchini kwa ajili ya kuanza kufanya kazi hiyo muhimu.

Пікірлер: 2
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 19 МЛН
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 43 МЛН
FULL LIST OF 291 MPs WHO SIGNED THE IMPEACHMENT MOTION OF DP RIGATHI GACHAGUA
17:40
WAZIRI UMMY ATANGAZA MIPANGO MIPYA YA SERIKALI KUHUSU BIMA YA AFYA
5:33
TURKEY | A Muslim Superpower?
13:52
Prof James Ker-Lindsay
Рет қаралды 112 М.
WAKUU WA MIKOA WALIVYOISHANGAA KAHAMA, WAZIRI UMMY ATOA MAELEKEZO
10:17
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 19 МЛН