PART 1: Maisha ya Zabibu Kiba na Mumewe Banda (A.KUSINI)

  Рет қаралды 82,747

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

#ABDIBANDA #ZABIBUKIBA
PART 1: Maisha ya Zabibu Kiba na Mumewe Banda (A.KUSINI)
GLOBAL TV imepaa anga na kutua katika ardhi ya Jacob Zuma nchini Afrika Kusini na kutembelea nyumbani kwa Mwanasoka machachari wa Timu ya Taifa ya Tanzania na Beki wa Baroka FC ya S.Africa, Abdi Banda anayeishi na mkewe ambaye ni mdogo wa msanii wa Bongo Fleva, Alikiba anayeitwa Zabibu Kiba.
bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe ww.youtube.com/... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Suazi1 / uwazi1 WEBSITE:
globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Пікірлер: 290
@amenashel6473
@amenashel6473 6 жыл бұрын
Love Mumy umeongea maneno mazito yenye busara ongeza mamy Allaah atujalie kheri atupe mwisho. mwema mitandao hii wengi wanafurahiya mabaya huku wakichochea maovu kwa wenzao Ushahuri mzuri hawa
@mariamariam9239
@mariamariam9239 4 жыл бұрын
Nawapenda
@ftmat2805
@ftmat2805 6 жыл бұрын
Nawaombea Sana wapenzi ndoa yenu idumu inshallah yaarab🙏
@حديجهحسن
@حديجهحسن 6 жыл бұрын
Hongeren sana m/mungu ailinde ndoa yenu mpendane milele daima
@jasmenejuma6025
@jasmenejuma6025 6 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@hustlerdunga9098
@hustlerdunga9098 6 жыл бұрын
Jistilini mioyoni mwenu na sio mavazi tu. Kuna kisiwa kimoja mwanamke akitoka kwao kavaa baibui ila kumbe anaenda disko pombe sana kwaiyo angalia nafsi kwanza,,na msimpangie
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Hustler Dunga, stara ni moyoni na mavazi. Na huezi kujistiri kwa kumuhofu mtu au mzee na huku unafanya matrndo maovu halafu ukasema au ukahisabika kua ati umejistiri. Lkn km unajistiri kwa mavazi kwa ajili ya kuchunga heshima yako na kutokuudhiwa na wanaume hapo utakua umejistiri na hutoeza kuenda disco, kufuatwa na wanaume wala kutenda matendo ya ovyo. Na km hutojistiri ukasema ni moyoni hakikisha utapata mtihani wa kuvunjiwa adabu na watovu wa adabu. Kwa sababu wanaume wanavutiwa kwa mavazi.
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 6 жыл бұрын
Mashallah Mungu awabariki
@deboramrema2861
@deboramrema2861 6 жыл бұрын
Kama mumewe anavutiwa nae zaidi akivaa hivyo mwacheni ajiachie jamani kwani si yuko na mumewe kuna shida gani mtu anaweza kuvaa mavazi ya dini lakini moyoni kwake dini haipo jiachie my kikubwa mweshimu mumeo
@evarestatarimo2953
@evarestatarimo2953 6 жыл бұрын
Debora mrema.... Umeongea 100% kweli kikubwa ni upendo....na pia hizo nguo kamnunulia mumewe hivyo ni pendekezo la mume
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Debora Mrema, kufahamishwa ni wajib, kusikiliza anahiyari yake. Na hakuna mtu anaeweza kumlazimisha kutenda anavyoambiwa lkn haitomaanisha kua asiambiwe.
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Evaresta Tarimo, mwanamme asonawivu hana mapenzi ya kweli
@naimakweyamba5340
@naimakweyamba5340 5 жыл бұрын
@@alhamdulillah5796 Swadakta My usemayo
@saudaabdalla278
@saudaabdalla278 4 жыл бұрын
Debora Mrema kwel kikubwa mumewe alizie
@husseinabeid8934
@husseinabeid8934 6 жыл бұрын
Iliyo baki n kumuomba Allah atujalie mwisho mwema
@ashuramamy4128
@ashuramamy4128 6 жыл бұрын
Hongera
@artemisneoy9596
@artemisneoy9596 6 жыл бұрын
Safi sana Abdi na Zabibu
@maryammarym4437
@maryammarym4437 6 жыл бұрын
Hongera mr and Mrs
@fatmat9433
@fatmat9433 6 жыл бұрын
Waislamu kukumbushana ni wajib na tutakwenda kuulizwa juu ya hii zawadi jistiri wewe ni muislamu utapendeza zaid ukijistiri
@husseinmohamed9365
@husseinmohamed9365 6 жыл бұрын
Yes
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Fatma T, ni kweli kabisa hayo wanayoyaita magunia tukivaa tunapendeza kuliko hata hyo kujikaba kwao viuno km kima
@tejawamapenzi1958
@tejawamapenzi1958 6 жыл бұрын
Swadaqtaa Kukumbushana Ni Wajib Maana Hakuna Aliyemkamilifu Zaidi Ya Allah Napia Mtt Wa Kike Wa Kislamu Hapendezi Ikiwa Hakujistiri
@queenshebasheba3595
@queenshebasheba3595 6 жыл бұрын
Fatma T ukijistiri wewe inatosha kila mtu ataulizwa kivyake huko kwa mola wake
@aishahassan9235
@aishahassan9235 6 жыл бұрын
@@queenshebasheba3595 Lkn kukumbushanaa n wajbuu
@princesspriince1376
@princesspriince1376 6 жыл бұрын
SubhanaAllah ni Msiba mkubwa sana pale unapoamua kumfahamisha ama kumpa naswaha Muislam mwenzako unaona Ummah unakujia juu kisa ati unampa naswaha Muislam mwengine.. sasa kama Waislam wanapiga Naswaha wanazopewa jee wale wasio kuwa waislam wafanye nini ama waseme nini? Nyinyi ndio mnao rudisha Watu nyuma wallah.. mume ana kila nafasi ya kumwambia Mkewe jambo na amsikilize ila sio kila Jambo mume akisema linafaa kusikilizwa... tafakari
@zaituniramadhani5626
@zaituniramadhani5626 3 жыл бұрын
Tunaangamia sana sisi waja
@charitymnyazi2633
@charitymnyazi2633 6 жыл бұрын
Haki hii couple naipenda Sana.....hawana mapepe yaani mambo Yao kimya kimya....naomba nipate Mme kama huyu
@jasmenejuma6025
@jasmenejuma6025 6 жыл бұрын
bibu namimi naolewa ukouko 1 week in shaallah tutakuwa pamoja mdogo wako
@merryn4891
@merryn4891 6 жыл бұрын
Hongera kilarakher
@aishajoseph6417
@aishajoseph6417 6 жыл бұрын
Safi sanaa kaka
@zennakailo8106
@zennakailo8106 6 жыл бұрын
MashaAllah 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@pennyjohn1306
@pennyjohn1306 6 жыл бұрын
Naipenda sana hii familia haina matashtiti😍😍
@KhadijaKhadija-mk6jf
@KhadijaKhadija-mk6jf 6 жыл бұрын
Zabibu na mumewe nawapenda Sana😘😘😘😘😘
@halimkepa7766
@halimkepa7766 6 жыл бұрын
Mtot wakislm hijabu muhim mume muhimiz mke ajistir 🙏
@sophiamose1328
@sophiamose1328 6 жыл бұрын
Hongera 2
@sophiamose1328
@sophiamose1328 6 жыл бұрын
Lakini Dadangu wapendeza Zaidi ukivaa vazi la Dini yako bila kujali uko sehemu ipi kwan vazi hilo huwa haliangushi mtu hupendeza zaidi kuliko nguo za kawaida
@zubedaseif2950
@zubedaseif2950 6 жыл бұрын
amekaa kama kinyago, kuiga mavazi yasokuwa yetu vipi? haijapendeza .
@antoinettedjumapili2522
@antoinettedjumapili2522 6 жыл бұрын
Sophia Mose kwani unataka ajifunike hayo magunia kama mjambazi
@sophiamose1328
@sophiamose1328 6 жыл бұрын
@@antoinettedjumapili2522 pls and pls usiongee Mavi kiasi hicho wewe tafadhali sana vazi la kiislam halija wahi kumtoa mtu vibaya Hufanya mtu apendeze zaidi muogope mungu unapo ongea matope
@antoinettedjumapili2522
@antoinettedjumapili2522 6 жыл бұрын
Sophia Mose really we are living in a free world go out of tz and integrate with other people hata Dubai na ndiyo inchi ya ki Islam sio wote wanavaa ma gunia
@sophiamose1328
@sophiamose1328 6 жыл бұрын
@@antoinettedjumapili2522 Wewe siajabu huna DINI ila siwezi kuongea sana Ju hiyo n kazi ya mungu ila ATA wakristo kuna mavazi hutakiwi kuvaa sema Binadamu tuna kupuuza ila Endelee na Hiyo roho uliyo nayo mungu ana sababu ya kukupa hiyo Roho Ata Mimi unaye niongelesha UJI Huko unako sema ndiko niliko ila Mwanamke lazima Ajiweke kama mwanamke siku zote huo ndio msimamo wangu ata ukaongea Tope vipi maneno yako hayaniingii akilini
@okostv1906
@okostv1906 6 жыл бұрын
Jamaa ana hekima katika kuzungumza
@faridabakari8511
@faridabakari8511 6 жыл бұрын
ni aibu kwa mtoto wakike wakiislam kutojistiri........tumejisahau binadam ..nitumuombe Allah atuongoze na atupe mwisho mwema inshallah tubadilike na tuikinai DUNIA ..tusijichumie dhambi tutubuni InshaAllah
@athmanbello380
@athmanbello380 6 жыл бұрын
Kabisa Mrs mahmoud
@vivianrichard9096
@vivianrichard9096 6 жыл бұрын
Kabla hajaolewa mlikuwa wap kutoa ushauri,mlisubiri aolewe mikundu nyie
@athmanbello380
@athmanbello380 6 жыл бұрын
@@vivianrichard9096 wko watoka mavi without brake
@vivianrichard9096
@vivianrichard9096 6 жыл бұрын
@@athmanbello380 una dalili za uchoko
@athmanbello380
@athmanbello380 6 жыл бұрын
@@vivianrichard9096 like u 🤣🤣🤣🤣🤣 bitch
@ngemabohero2853
@ngemabohero2853 6 жыл бұрын
mashaallah .
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 6 жыл бұрын
Uislam haumruhusu mwanamke kutumia Jina la Mume na nikosa kubwa. Atabaki kuitwa Zabibu Swaleh Kiba
@renathamaganga9819
@renathamaganga9819 6 жыл бұрын
Minsk Belarus e
@naimakweyamba5340
@naimakweyamba5340 5 жыл бұрын
Kabisa Aram labda Wamuite Mrs Banda
@mwatumsaidi5104
@mwatumsaidi5104 6 жыл бұрын
Mashallah
@zahramobne7807
@zahramobne7807 6 жыл бұрын
Mm nashanga sana ukimwambia mtu ajistiri wakunza kukutukana ni mwisilamu hili hali anajwa nimakosa tumeambiwa tuamrishane mema natukatazane mabaya mpa inafikia abaya inaitwa gunia anajwa hiyo abaya ama bubui inatoka pesa ngapi ndio itwe gunia jamani hizi ndizo karne za mwisho zabibu jistiri ww ni mke wa mtu atamukimutukana sijali bora umeambiwa.
@mbwanabakarimansoory6801
@mbwanabakarimansoory6801 6 жыл бұрын
I support you Zahra Mobne
@leonardjoseph5643
@leonardjoseph5643 6 жыл бұрын
Zahra Mobne we mumewe utajikuta ww mwenyewe hutaki kupangiwa Na mumeo
@vivianrichard9096
@vivianrichard9096 6 жыл бұрын
Tuliza vuzi hilo
@binthassancollection.6308
@binthassancollection.6308 6 жыл бұрын
Zahra Mobne umeongea ukweli daa yani ukimkumbusha mwenzio mambo ya kheri wengine viherehere wanajitokeza kutetea ujinga wanadhani ww ni mtu wa team fulani, TZ kuna shida Wallahi Allah atuongoze. Watoto wa Kiislamu wanakaa uchi minywele ndio hiyo alafu ukisema waambiwa
@zahramobne7807
@zahramobne7807 6 жыл бұрын
@@binthassancollection.6308 mm comment kitu naona kina faida lakini watu wamechwa mitando kama sijui nn kwanza dini imeamrisha kila mwanamke anafakujisitri uwe umeolewa ama bado kweli vile umesema watu wanakutukana kwamambo yaheri una pata muisilam ana sema inatuhusu nn afathali jamazetu waupande mwingine waseme hivyo sababu ajui ww unajwa unajiunga nao kumtusi mwisilam mwenzako atusamehe. Shukuran halima Hassan tusichoke kuelezana mema atatutukanu tusichoke.
@samanthaali873
@samanthaali873 6 жыл бұрын
Jistri dada ww ni binti wakislam hata ungejifinika mtandio kichwa na unajua unatolewa na media,,chuka mfana wa mke wa kiba ila mabinti
@komboomar8275
@komboomar8275 6 жыл бұрын
Vovote sawa tu sawa tu hhhh mtangazaji anakula vizuri naamini akinipiga ngumi moja tu hapo hapo na rest in peace
@eliaikaminja6712
@eliaikaminja6712 6 жыл бұрын
Kombo Omar hahah
@mishisaidi8696
@mishisaidi8696 6 жыл бұрын
Kombo Omar 😃😃😃😎
@saimtangi7508
@saimtangi7508 6 жыл бұрын
Kombo hujatulia wewe😂😂😂
@komboomar8275
@komboomar8275 6 жыл бұрын
@@saimtangi7508 hhhhh
@evalinevictory6071
@evalinevictory6071 6 жыл бұрын
Hahahahahahahahahahah
@fatmaally7056
@fatmaally7056 6 жыл бұрын
💕💕💕💕
@wemakalam9415
@wemakalam9415 6 жыл бұрын
Big up 👍 👍
@abdallamwinyi4790
@abdallamwinyi4790 6 жыл бұрын
Zabibu mm naona ungevaa tu ka!ma mke wa Ali kiba...hivi babako anafurahia kweli...basi itengeze kesho yako na mumewako...sije ukajutia baadae...Mungu hajui mitandao wala ustar kuwa makini na dini...
@abdallamwinyi4790
@abdallamwinyi4790 6 жыл бұрын
Dini yake hairuhusu yy kujiweka alivyo jieka...ndio mana namkumbusha dini in sema nn...
@kingkiba3728
@kingkiba3728 6 жыл бұрын
Hongera Sana kaka
@agathamatambula9551
@agathamatambula9551 6 жыл бұрын
imanii Bwanaa na suruali imemkaa hatarii
@nzomukundafatuma5364
@nzomukundafatuma5364 6 жыл бұрын
Safi san kaka ongera san kwa kumuowa dada yake kiba familie zuri.san iyo
@bettykadzo3000
@bettykadzo3000 6 жыл бұрын
Hongereni
@Saniamunguatujaliyemwishomwema
@Saniamunguatujaliyemwishomwema 6 жыл бұрын
Asalamu alykumu waramatullahi wabarakatu dada yangu kipenzi zabibu Kiba usiadaike na dunia vah nguo zakujisitiri nyieh niwatoto waumati wamutume muamadi sasa hizo nguo urizo zivah zabibi zinatia aibu sana
@zubedaswaleh5158
@zubedaswaleh5158 6 жыл бұрын
Makubwaa kuolewa na kuenda sauz ndio kukufanye zabibu usijistiri hujapendeza kukaa hivo stara mwanamke muhimu
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Sania1234 mungu atujaliye mwisho mwema, watu km hawa ndio wanaokufa ugenini wakazikwa kikafiri. Kweli kabisa. Unatembea huna kitambulisho, huna mwenyeji halafu unaanguka unakufa. Huna baibui wala hijabu. Umebandika manywele, umekaza makalio na maziwa yamekutoka. Wanakupeleka kanisani. Sisi msikiti wetu imamu huitwa mara kwa mara hospitali kukagua maiti. Haezi kukujua km ni muisilam. Huna identity yeyote. Wigi, marangi ya kucha n.k ataona sio muisilam. Unapelekwa kanisani huko unachomwa moto kw kupenda kuiga. Mana kuzika ni gharama. Wazungu km huna jamaa wakulipia mazishi wanakuchoma. Lkn misikitini tunafaham km kuchoma hakufai utachangiwa uzikwe. Mavazi ni identity.
@janesuma2193
@janesuma2193 6 жыл бұрын
Sania1234 mungu atujaliye mwisho mwema just back off mwangalie sura kama sambusa vazi vazi wewe mbona unamadhambi mpaka matakon akifa utakufa nae unafki tu ovyo
@herosisi9085
@herosisi9085 6 жыл бұрын
Ivi nyinyi nani aliwaambia kuvaa kwa heshima ndo ustarabu Kuna watu wanavaa kwa heshima alf malaya wa kwanza
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Hero Sisi, sasa nambie ww malaya anayejisitiri na malaya asiejisitiri yupi atapewa heshima mbele ya mtu asieujua uzinifu wao? Sio aghlab kuvaa ovyo halafu ukawa umetulia, kwa sababu kule kuvaa ovyo kunavutia wanaume na ndio kunakopelekea kufuatwa. Na ukiwa na mavazi ya ovyo hakuna atakaekuheshimu kwa sababu tayari jamii inakua imeshakueka ktk kundi la watu flani.
@ummykidah8876
@ummykidah8876 6 жыл бұрын
Congrate
@عايشهسعيد-ض5ذ
@عايشهسعيد-ض5ذ 6 жыл бұрын
Hahahahaha nimeona kichekesho umu duuu ukimwambia mwenzio ajisitir cku izi wew una udini tooooba
@merryn4891
@merryn4891 6 жыл бұрын
😀😀😀😀
@beatricekamengekamenge5543
@beatricekamengekamenge5543 6 жыл бұрын
😂 😂 😂 umeonaee watu wanataka kujifanya mungu duniani mtu fyuuu
@husseinmohamed9365
@husseinmohamed9365 6 жыл бұрын
Ase kwel
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Beatrice Kamenge kamenge, hakuna anaeadhibu adhabu ya uungu hapa duniani. Kwa hiyo hakuna mungu hapa kuna kuelekezana. Anayekubali akafuata atanusurika na anayejifanya mtete Allah pekee atajua km ni kumuadhibu au kumswamehe. Na adhabu za Allah huanza hapa na zikaishia akhera. Unaeza ukajifanya hutaki kuambiwa Allah akakupa mitihani hadi ukarudi mwenyewe kwake. Kwa hiyo chunga sana.
@husseingwanone7825
@husseingwanone7825 6 жыл бұрын
Banda Unabonge LA Toto Broo
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Hussein Gwanone, ndio hayo. Mwenye macho sio pekee. Na asubiri waume wenza sasa
@veronicakawawa7057
@veronicakawawa7057 6 жыл бұрын
jamani no namdogo wangu anacheza sana mpira yuko dar kinondoni, anafait sana ila hajapata mtu wakumbemba jamani, Masada please
@fatmajuma856
@fatmajuma856 6 жыл бұрын
Mumewe kamruhusu muacheni na vazi lolote atalovaa hayawausu
@antoinettedjumapili2522
@antoinettedjumapili2522 6 жыл бұрын
Riziki Khalid kweli umeonge 100%
@mwasitially1030
@mwasitially1030 6 жыл бұрын
Tenaaa waja awaishi maneno
@ftmat2805
@ftmat2805 6 жыл бұрын
Wivu unawasumbua hawa
@sadiaabeid7552
@sadiaabeid7552 6 жыл бұрын
Riziki Khalid ndio mwajidanganya hata allah hapendi ingawa waambiwa mume ana radhi hatakama lakini kwa style hii hata allah haridhii nakama nimume ndio kamruhusu anakaribisha zinaa maana mwanamume akimuangalia na akamtamani ashazini
@asmahussein7330
@asmahussein7330 6 жыл бұрын
kwanzaa jiulizeni mwanzo alikuwa anavaa vipi?kama umezoea masurual na kuweka manywele ya bandia basi hata kwa mume utavaa tu maana ndo umeshazoea ni wachache saaana wanaoolewa na kujistr
@neemakabona9978
@neemakabona9978 6 жыл бұрын
jamani vazi halimpeleki mtu peponi achane mambo ya kumpangia mtu mavazi
@priscamartin4247
@priscamartin4247 5 жыл бұрын
Nyie mnaomsema mwenzen msikute nyie wenyew hamna kujistir ndo walewale msiseme tu ili muonekane wema mwachen na maisha yake hayawahusu kwan dhambi ni zake au zenu mnajikuta wema hamna lolote jitazame ww ndo mumseme mwenzenu
@dboymudih3632
@dboymudih3632 6 жыл бұрын
Kapendeza bhana
@jasmenejuma6025
@jasmenejuma6025 6 жыл бұрын
Mashallah wooow😍😍😍😍
@lulunnk8321
@lulunnk8321 6 жыл бұрын
nawapend kila la kher
@مريممريم-ف5ق6ي
@مريممريم-ف5ق6ي 6 жыл бұрын
nikweri mwanamke wa kiisram stara bana
@merryn4891
@merryn4891 6 жыл бұрын
😀😀😀
@husseinmohamed9365
@husseinmohamed9365 6 жыл бұрын
Kwel ase
@sarahclemence4180
@sarahclemence4180 6 жыл бұрын
umependeza zabibu banda,
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 6 жыл бұрын
Nivizuri tukaheshimu maamuzi ya mtu,hata mpoki alisema,kwasabu mwisho wasiku hukumu yake haiwahusu nawala hamtakuwepo,atakuwa pekeake
@ibtyhans1163
@ibtyhans1163 6 жыл бұрын
Kukumbushana pia ni vizuri sio kua tunaingilia maamuzi ya mtu
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 6 жыл бұрын
@@ibtyhans1163 usinichekeshe,mkumbushe mtu mkiwa karibu unamfata unamwambia nakumuelekeza.lakini humu kwenye mitandao nani atakae kuelewa wewe!!!!!!, na unajua mitandao ,simu na vitu tuanyoona vikifanyika ndovinatuharibu.utapotezewa2.jaribu kujiongeza
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 6 жыл бұрын
Cathereen Mungu wa Kiislam na Mungu wa Kikristo wote wanahimiza binaadam amsihi binaadam mwenzake pale anapoenda kinyume na Mungu anavotaka na usipofanya hivo atakuuliza na atakuhukumu kwa kutokumkanya mwenzako.
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 6 жыл бұрын
@@minskbelarus7255 sijakata najua vizuri nannalitambua kushinda ujuavyo,lakini jeee km mtu hataki unafanyaje!!!!!!!?usilete maneno mengi
@ibtyhans1163
@ibtyhans1163 6 жыл бұрын
@@m.mmarckus6298 Sawa umeshinda wewe waonekana ni mjuzi Sana. Hongera
@hadijashabani2913
@hadijashabani2913 6 жыл бұрын
kaka zako wenyewe wavaa kanzu wew iweje uvae hivyo
@nacyluizer3734
@nacyluizer3734 6 жыл бұрын
Maan wakina wem hamuwaon,,,anaonkan zabibu ndo muislam pekee,,,
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 6 жыл бұрын
zabibu upo na familia nzuri
@mesasaid2128
@mesasaid2128 6 жыл бұрын
Bibuu utachapwa na mamaa kwa kujiachia huko bila sitara
@munaahmed8499
@munaahmed8499 6 жыл бұрын
Nina shrmeji yangu nae anaitwa Abdully majid Yahya anaelew mpira vizur mno so naombeni yeyote anaeweza kumsaidia ajitokeze au aangalie timu ya biashara united iliyopo mwanza atamuona mwe
@abdalaturabi9156
@abdalaturabi9156 6 жыл бұрын
Muna Ahmed v
@halimamapande6272
@halimamapande6272 6 жыл бұрын
nyinyi mnao jistiri kutwa kwenye mitandao mnafata nini humu
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Halima Mapande, Hatukai kutwa mitandaoni mana tuna majukum yetu ya dini na dunia. Na mitandaoni kuna mengi yenye manufaa. Au hujui? Na tukibahatika kuingia kwenye site km hzi tunakufateni watu km nyinyi haswa mnaopoteza watu. Mnaopenda kuchochea maovu. Kwa usipanic ukituona. Wala hatuna shobo na wasanii sisi. Sote tutasimamishwa na Mungu cku hyo mtu isiyomfaa mali yake, watoto n.k Na ni siku ambayo wale wote wanaoungana ktk maovu hapa duniani basi watakimbiana.
@marybalongo221
@marybalongo221 6 жыл бұрын
halima umeongea vizuri
@esthermnyasenga1808
@esthermnyasenga1808 6 жыл бұрын
hapo chacha
@denniskalisti2570
@denniskalisti2570 6 жыл бұрын
Mnasema ajajisitiri alowaambia mtu mbinguni mtu anaenda kwa kujisitiri ni nani wapo wanaojisitiri lakini wanakuwa washenzi wa tabia kwa iyo tabia ya mtu c mavazi
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Dennis Kalisti, tabia si mavazi lkn asiejistiri hua mshenzi zaidi km kufaham. Pipi ilokua wazi na pipi iliyofungwa ubataka kunambia iliokua wazi ni safi?
@harrisonockitavian5750
@harrisonockitavian5750 6 жыл бұрын
Tanzania yaja kisoka jaman jitahidini wachezaji wetu
@cockshublakisoma3655
@cockshublakisoma3655 6 жыл бұрын
wabongo hamna dogo
@minjaminjaukovizurdogo5187
@minjaminjaukovizurdogo5187 6 жыл бұрын
Abdu kama hana raha vile, ila dda jitambue unavyosema unapata shida nakushangaa komaa ndoa ni ppote usimkaraishe mwenzio, tulia
@monasadi7629
@monasadi7629 6 жыл бұрын
Wew dada jistiri basi ....mtu yuaona nisifaa kuvaa mavazi hayo nipumzi tu hizo za kudanganya kwa kweli
@sylviemutwale9527
@sylviemutwale9527 5 жыл бұрын
Kwani yupo uchi
@shanimwakipesile3341
@shanimwakipesile3341 6 жыл бұрын
Eeeeeeh mtangazaji anaongea kuliko wahusika
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 6 жыл бұрын
Subscribe kwenye chaneli yetu bonyeza picha itakuleta kwenye chaneli yetu kucheki ubuyu habari zoote za instagram,SHOW YA KUTAFUTA WACHUMBA , comedy na filamu zetu asanteni
@nuruyusuf3237
@nuruyusuf3237 6 жыл бұрын
Unaruhusiwa kuvaa hivy kma uko ww na mumeo lkn ulimwengu mzima wakuona my dear
@saidatkhamis4633
@saidatkhamis4633 6 жыл бұрын
Zabibu yuko sawa kwani yuko na mumewe na anachovaa kapenda mumewe Imani iko moyoni sio kwa mavazi.muwache umbea na mavazi nyie mnaojiona waislamu
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Saidat Khamis, hujifaham km unajifaham basi usingesema hayo. Ikiwa sisi ni wambea ww tukuite nani kuadi?
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Saidat Khamis, acheni masikhara yenu nyinyi. Ndani ya minutes mwanaadam anaitwa maiti. Na mwisho wa majigambo, kejeli na majivuno ndio unakua hapo.
@shufeeseif9890
@shufeeseif9890 6 жыл бұрын
hukusoma madrasa?
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 6 жыл бұрын
Zabibu uko South Africa mtandio aufai au?
@mzanakionlinetv8324
@mzanakionlinetv8324 6 жыл бұрын
ila kwasasa mnatoa sauti mbaya hadi inaboa
@christophermandia1289
@christophermandia1289 6 жыл бұрын
Soka la uyu jamaa sijui kama litafika mbali kama samata ,mana kucheza South Africa basi anaongea kila siku,anatakiwa akomae atoke hapo alipo
@ikopwdjh694
@ikopwdjh694 6 жыл бұрын
sasa mnaleta uislam wenu apa
@queenjohm3451
@queenjohm3451 6 жыл бұрын
kila mtu na taswira yake mme anachopenda bas hakuna haja ya kupginga,ila kisiwe kibaya,vazi sio ubaya muwaache wale maisha wapo wanajisitili lakn ni wanamauvu mtupu,
@rahimalewe3518
@rahimalewe3518 6 жыл бұрын
hujapendeza zabibu ulivyo vaa
@husnabbygal5213
@husnabbygal5213 6 жыл бұрын
Banda ni mpole jmn
@laymapeace4538
@laymapeace4538 6 жыл бұрын
kumbe Africa kusini kama mbagala tu nilijua kuzuli 😏😏😏😏
@isaiahissaya1376
@isaiahissaya1376 6 жыл бұрын
mbagala town apo kama kongowe
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Ukichukuliwa mkeo usije ukatuekea zogo mitandaoni.
@saadeased7160
@saadeased7160 6 жыл бұрын
Zabibu mama jali utamaduni wako vazi la staha lina kupendeza zaidi
@nadiarajabu8780
@nadiarajabu8780 6 жыл бұрын
unajistr kimavazi rakini ni malaya kiko wapi....
@naimaabdu4502
@naimaabdu4502 6 жыл бұрын
loooh laana tullah we we hata. Allah angekuwa anaazibu kila baya tufanyaloo ungekuwa wa kwanza kupazwa, unadhani kwanini kila Leo tunakumbushwa na mawaidha ,. usimhumumu MTU tena kwa matusi, mwalimu bora yule anaeanza kukosoa kasoroo za ndani kwake kabla za njee .natumaaii jamii yako IPO safiii
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Nadia Rajabu, Kwani malaya hatakikani kujistiri? Sas umalaya iwe kosa la kwanza na kujistiri la pili. Huoni km ni mzigo mkubwa?
@jazilayasinijazilayasini6880
@jazilayasinijazilayasini6880 6 жыл бұрын
Jamani mwacheni kwani yeye haoni kwamba dunia ni mapito watu kama yeye ndioeambao wamepigwa mihuri ya motoni kwenye nyoyo zao kumbadilisha kazizizizi eeeeeeee
@irakundazawadi2021
@irakundazawadi2021 6 жыл бұрын
mumendana sana
@ezekiafilbert4896
@ezekiafilbert4896 6 жыл бұрын
pendaaa bibu yan nawaona mbali na mumeo
@aishaomari1881
@aishaomari1881 6 жыл бұрын
Z aibu kabla ulikuwa stars why Leo hv
@mwanahamisihassani1943
@mwanahamisihassani1943 6 жыл бұрын
wabongo wafukunyuku mmekazana ajajistili kinachowauma kitu gani kikubwa mume anapenda
@selestineosoo5045
@selestineosoo5045 6 жыл бұрын
Andikeni vitu vya maana.. SAfrica kisha mtu na mumewe hakuna stara
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Km hufaham nn maana ya kujistiri basi bora nyamaza
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
selestine osoo, hata km na mumewe lkn anaangaliwa na wangapi?
@sadiaabeid7552
@sadiaabeid7552 6 жыл бұрын
mm nasema huyu si ni muslim na hapa yuko na bwanake na wote ni waislamu sasa mbona hajistiri jamani zabibu tunaambiwa famili uako imeshika dini kweli basi hata kujistiri sijaona dah aiseee mke wa mtu na muislamu hujistiri
@bdjsbejjdlevsk4546
@bdjsbejjdlevsk4546 6 жыл бұрын
Sa kma yupo na mmewe wote waislam na mmewe ameridhia we upinge kma nan
@asmahussein7330
@asmahussein7330 6 жыл бұрын
hizo dhambi anazibeba mumewe maana yeye ndo mweny amli ya kumwambia mkewe ajistr lakn inaonesha ameyafurahia hayoo mavazi anayovaa mkewe na huyo mwanamke hata kwao akivaa hvyo bas ndo kuzidi kwake anaona sawa tu
@sadiaabeid7552
@sadiaabeid7552 6 жыл бұрын
Asma Hussein alaaaah hivyooo dah haya wee nikukumbushana tu mambo mema
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Asma Hussein, na yy pia anadhambi kwani hakupewa akili? Unless awe mumewe anamkataza kuvaa mavazi ya stara. Na km mume kishafikia hivyo kukukataza kuvaa stara basi ujue ni chombo cha kuvutia wengine na sio mke.
@ashnaomi2385
@ashnaomi2385 6 жыл бұрын
Vaz na matendo na nadini .
@KhadijaKhadija-mk6jf
@KhadijaKhadija-mk6jf 6 жыл бұрын
Hayakuhusu mavazi yake mfyuuu 😏😏
@angelamndolwa1927
@angelamndolwa1927 6 жыл бұрын
Ila kwwl jmn kwan mavaz yana dini kwan watu wamekazana jistil jistil kwan yupo uchi
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Khadija Khadija, si maneno mazuri kwa muisilam kusema hayo. Halafu ww umejihifadhi kwa kua unajua uzuri wa kujihifadhi. Dada unalolipenda ww mpendelee na mwenzio, huo ndio uisilam..
@newassong7194
@newassong7194 6 жыл бұрын
Khadija kisha jina kubwa masha Allah alafu na ww wasema hivyo....nyokooooo
@jasmenejuma6025
@jasmenejuma6025 6 жыл бұрын
Sasa kwani kujisitr lazima nyie vipi nyiee wabogo bahna mmh
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Ashor Ramdan, ni lazima kuna aya ktk Qur-an 33:59.
@jasmenejuma6025
@jasmenejuma6025 6 жыл бұрын
@@alhamdulillah5796 Kwani yy mwenyewe ajui kama kunakujisitri bhna soo mtt uyo mpaka m mwambiee punguzeni kiki bogo
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Ashor Ramdan, hebu acha mambo ya kijinga ww, kwani mtu akiwa anajua ndio hapaswi kukumbushwa?
@laymapeace4538
@laymapeace4538 6 жыл бұрын
zabibu mbayaaa
@priscajustine2183
@priscajustine2183 6 жыл бұрын
Wivu huo
@marygaspar6429
@marygaspar6429 6 жыл бұрын
Kwani hapo Zabibu yuko uchi? mbona kajisitiri tu . Bwege ww nilikuandikia baibui mana niliona ulitaka avae hiyo . Coz hapo kavaa ww unataka ajisitiri kajisitiri huko Veep mana suruali ndefu tishet ndefu ww ulitakaje mbaazi mbichi ww!
@jasmenejuma6025
@jasmenejuma6025 6 жыл бұрын
Nawapenda adi naumwa mmependeza sana sana yani saaaaaa
@KhadijaKhadija-mk6jf
@KhadijaKhadija-mk6jf 6 жыл бұрын
Hunipit Mimi😘😘😘😘
@marygaspar6429
@marygaspar6429 6 жыл бұрын
Hakuna kitu kinaitwa vazi la dini, ikiwezekana mshauri avae gauni refu au pana . Hijab na baibui ni tamaduni za kimagharibi! Tisheti na jeans ni kawaida tu kibongobongo na mbele pia. Ukitembea sana duniani utagundua ni jinsi gani baadhi ya wabongo wanavyojaji wenzao, mavazi nywele muonekano nk. kwa wenzetu usitoke tu uchi hakuna mwenye time na ww kila mtu na yake !
@marygaspar6429
@marygaspar6429 6 жыл бұрын
Kwanza kwa sauz huyu dada kajistiri sana, mitaa ya huko baadhi wabongo walioishi au kwenda kule nadhani wanaielewa!
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Mary Gaspar, kwani ww fikira zako unapoambiwa mtu ajistiti ajihifadhi ni lazma avae baibui? Km hufahamu nn maana ya kujihifadhi sema ufahamishwe. Unaeza kuvaa nguo yeyote upendayo ila iwe refu, pana isiyokubana, isiwe nyepesi ikawa yenye kuonyesha mwili wako na hijabu ni lazma uvae na sio kibendera au nusu kichwa. Sasa km ulikua hufaham ni vzr kwanza kujua mavai ya kiisilam na sio kuona baibui ndio vazi la kiisilam
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Mary Gaspar, kujihifadhi hakutegemei upo nchi gani, na wala haitegemei watu wa hiyo nchi wanavyovaa. Watu wapo urope na wanavaa mavazi yao mazuri ya heshima ije iwe hapo south?
@henriettenkuba7078
@henriettenkuba7078 4 жыл бұрын
Banda kamufanana uchebe
@bintisuleimani7124
@bintisuleimani7124 6 жыл бұрын
Muacheni ni maisha yake
@zubedaswaleh5158
@zubedaswaleh5158 6 жыл бұрын
Kukatazana mabaya nakuamrishana mema dunia tunapita kesho kuna hisab mama usiipe uso dunia
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Binti Suleimani, kila mmoja ni mchunga wa mwenziwe na utakwenda kuulizwa juu ya ulichokichunga. Dadaaa wakati unaangalia jivue majukum usijali lawama. Ama kwa kukataza, kuondoa au kuchukia lkn usiseme muache ni maisha yake.
@hadijamohamedi1859
@hadijamohamedi1859 6 жыл бұрын
Zabibu jisitiri Mwaya wasikudanganye hao. Wewe ni mke Bora kwa hiyo usipoteze ubora wako kwa sababu ya mapambo yasiyo na malipo mbele ya Mola Wako.
@janesuma2193
@janesuma2193 6 жыл бұрын
waislam my foot kazi yenu kuchungulia maisha ya wenzenu haya wahusu dini din alie wambia dini INA zuia kifo au kumpeleka MTU mbingun nani achenu unafki jipangien maisha yenu msipangie wengine na hamja mowowa nyie sow back off na madini yenu upumbavu kabisa mnajifanya watakatifu kumbe nyoka wa usiku washambenga wa mitaani
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Jane Suma, huo ushambenga hauna dini wala kabila. Na km unadini dunia ingekua imetulia. Wanafik wa chini kwa chini wakubwa nyie
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Jane Suma, ww huna wasi dhambi zako anabeba Yesu. Sisi tunabeba wenyewe na anakubebesha na weye uloangalia na ukawa hukukataza. Kwa hiyo unapoongoa ni vyema kuongelea jambo unalokua na idea nalo. Na wala mbinguuni hakuna aendae kwa ukuadi. Mwenzio akae uchi umfurahikie japo kua anazini.
@janesuma2193
@janesuma2193 6 жыл бұрын
Love Mummy Yesu hawez kubeba zambi zangu kama sijazikabiz kwake na Yesu si kwa ajili ya wakristo tu Yesu ni kwa ajili ya kila mwanadamu alikuja kwa ajili yako na yangu na kila mtu duniani na kila mwenye dhambi bila kujali dini kama ujatubu kuzimu itahusika kwsivyo hampaswai kumnyoshea binti vidole ilihali nyie mnao jifunika mmeoza kwa zambi kuliko yeye sow jiangalie wewe usimwangalie mwingine akifa hafi na wewe na hamtozikwa kaburi moja kila MTU la kwake
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Jane Suma, Mm, yesu na ww sote tumeumbwa na Allah(Mungu). Yesu ni Mtume na sio Mungu na wala hana sifa ya uungu. Na Yesu atakaporudi atakuja kukufahamisheni kua yy mumuamini na mumfuate km ni kiongozi(Mtume) na sio Mungu. Kilichooza kikafunikwa na kilichooza kikawa wazi kipi chenye kutoa haruf? Kila mtu ataingia ndani ya kaburi peke yake lkn kaburini sio kwamba ndio mwisho. Tutakusanywa sote na tutahukumiwa. Na ikiwa mama atamlaumu mtoto na mtoto atamlaumu mama unahisi mm na ww tutaachana, hatutolaumiana kwa kutopeana muongozo?
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Jane Suma, na halafu zambi zako ati hujazikabidhi kwa yesu, basi huyo Yesu atakua na madhambi mengi km kila mtu hukabidhi zambi kwake. Mungu hughufuru zambi na hajitwiki yy. Acheni kumkufurisha Nabii Issa (yesu). Yy aliletwa kwa kukuongozeni km mitume mengine na atarudi mana hajamaliza kazi aliyopewa, mlitaka kumuua na akashufaishwa. Machafu ufanye ww kukatazwa hutaki na ushadidie na wengine halafu ati umkabidhi yy. Kwani yy ndie mpenda machafu? Na tutakwambieni vzr tukibahatika kuingia kwenye site zenu za kushadidiana machafu. Hata mkikasirika, mtakavyosema hatujali. Na km hamtaki tuachieni kisiwa chetu na nyinyi mkae na ukafiri wenu muone km tutakuingilieni. Lkn bila ya hiyo tutasema. Mana huo uozo unaosema basi hatujakupiteni nyinyi makafir wakubwa
@estherakinyj9392
@estherakinyj9392 6 жыл бұрын
Hongera
@ngemabohero2853
@ngemabohero2853 6 жыл бұрын
mashaallah .
@مريممريم-ف5ق6ي
@مريممريم-ف5ق6ي 6 жыл бұрын
nikweri mwanamke wa kiisram stara bana
@christophermandia1289
@christophermandia1289 6 жыл бұрын
Soka la uyu jamaa sijui kama litafika mbali kama samata ,mana kucheza South Africa basi anaongea kila siku,anatakiwa akomae atoke hapo alipo
@maureenmwimano1973
@maureenmwimano1973 6 жыл бұрын
Hongera
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 6 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 13 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 4,2 МЛН
PENEZA ANASEMA CCM OYEEEEE,,,,UZINDUZI WA KAMPENI CHADEMA GEITA MJIINI
10:09
AIRPORT: Cheki WEMA Alivyomrukia Van Vicker Usiku!
6:23
Global TV Online
Рет қаралды 51 М.
#LIVE: MTOTO WA ZABIBU KIBA AKITOLEWA NJE KWA MARA YA KWANZA
10:22
Was I able to fly?
0:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 12 МЛН
Зу-зу Күлпаш 2. Интернет мошенник
40:13
ASTANATV Movie
Рет қаралды 540 М.
Каково это - проходить мимо первого класса
0:51
Время горячей озвучки
Рет қаралды 4 МЛН