MREMBO MTANZANIA AFARIKI INDIA - BADO SIKU 1 MWILI UCHOMWE MOTO, MILIONI 19 ZAHITAJIKA KUUCHUKUA...

  Рет қаралды 236,008

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MREMBO MTANZANIA AFARIKI INDIA - BADO SIKU 1 MWILI UCHOMWE MOTO, MILIONI 19 ZAHITAJIKA KUUCHUKUA..
GLOBAL TV imefunga safari hadi Chamanzi Jijini Dar kuzungumza na familia ya dada aliyefariki akiwa nchini India huku mama mzazi akifichwa juu ya kifo cha mwanaye..
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 739 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 548
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@priscamlyuka5531
@priscamlyuka5531 Жыл бұрын
Kkokolpdpqep
@joycekalago532
@joycekalago532 Жыл бұрын
Mkagueni figo kabla ya kumzika, polen sana
@faidhafaidha4587
@faidhafaidha4587 Жыл бұрын
Sio kwa ubaya lakin kama ikishindikana majivu yatumwe tu yazikwe kama mwili kuja inaleta ugumu..natamani ningekuwa na uwezo ningetoa hata pesa yote atumwe...mungu awatie nguvu
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Жыл бұрын
Huja kosea ikishindikana basi, je ? Huyo bwana aliye kuwa naye ni mhindi au kwahiyo Hana pesa ya kuchaniwa huko
@lisaanthony629
@lisaanthony629 Жыл бұрын
Ni mtanzania mwenzie alekuwa mume wake huku
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 Жыл бұрын
@@lisaanthony629 na ww uko India?? Au sio?!
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 Жыл бұрын
@@ziadasalimu1730 inavyoonekana labda ni muhindi
@lisaanthony629
@lisaanthony629 Жыл бұрын
@@kassimrajabu7805 ndio
@kenedymboma6345
@kenedymboma6345 Жыл бұрын
Ubarozi nawao wanatiaibu wangelimaliza jamani maishahaya wanapatawapi hiyopesa
@reganshao
@reganshao Жыл бұрын
Kabisa kabisa kabisaaaa
@sofi_1940
@sofi_1940 Жыл бұрын
Poleni Sanaa kwa msiba,,,, mungu ni mwema atasikia kilio chako
@aminaabdalla9949
@aminaabdalla9949 Жыл бұрын
Polesana my dear hii nimitiani itaisha mungu atafanyawepesi😭😭😭
@siasia5469
@siasia5469 Жыл бұрын
Pole sana dada Allah awafanyie wepesi mumpate mpendwa wenu
@gililwise
@gililwise Жыл бұрын
Tumieni ubalozi wa Tz nchini India watawasaidia au balozi wa India hapa Tz.Mungu anaweza atarudishwa tu .
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 Жыл бұрын
Mimi hili naona ni swala la kitanzania mi naamini watanzania tukatoa 2000 tutaona ni pesa ndogo Ila ni nyingi mnoo maana huo no msiba Wa Taifa sio Wa familia tena kwa ml 19
@happyjohn7630
@happyjohn7630 Жыл бұрын
Nimekupenda sana sister l really love you ulivyo jielez mungu awatie nguvu tu
@natashasergo119
@natashasergo119 Жыл бұрын
Huyu dada anavyo ongea kama mwandishi wakati mwandishi anaongea kawaida
@rosechuma9873
@rosechuma9873 Жыл бұрын
Duuu poleni sana 😭😭😭 ngoja tutulie tu tulage ugali na maharage nyumbani kwetu TANZANIA,naipenda nchi yangu ,naipenda pia amani ya nchi yangu🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@birusidesmond3245
@birusidesmond3245 Жыл бұрын
Kifo mahali popote mungu ndio mpangaji
@mauamwessa2944
@mauamwessa2944 Жыл бұрын
Kwakwel
@nyamwinukankwera3749
@nyamwinukankwera3749 Жыл бұрын
@@birusidesmond3245 kweli 😭😭
@zuleikhahemed6224
@zuleikhahemed6224 Жыл бұрын
@@birusidesmond3245 ndio ila uondokee family ikiw Iko vzr na ww
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه Жыл бұрын
Subhanaallah innarillah wainailyh rajiun 😭😭😭pole sana wana familia
@khamismohammed2582
@khamismohammed2582 Жыл бұрын
Mtihan sana ila india hakuna maisha wao wenyew kwanza wapo weng halaf maisha ni magum sana. Mtihan sana
@rashidkejo8666
@rashidkejo8666 Жыл бұрын
Innalilah wainnaillah! Poleni sana na Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu. Amin.
@angeldejoice3202
@angeldejoice3202 Жыл бұрын
Mungu awajalie mambo yaende vizuri.
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Жыл бұрын
Poleni sana allha awape subra lnshallha Mungu atulindi atupe afya njema umri mrefu lnshallha tulio kuwa mbali na family zetu kifo kipo popote pale lakini vizuri ukifia nyumbani eeeeh Mungu tulinde ss watafutaji na uwape family zetu umri mrefu lnshallha 😭🙏
@mwanahawasaid1561
@mwanahawasaid1561 Жыл бұрын
Amiin
@chrisshonga
@chrisshonga Жыл бұрын
MUNGU akutie nguvu dada angu maisha yetu sisi wanadamu ni siri kubwa sana ambayo ni MUNGU peke yake anaeijua! MUNGU awape familia yote faraja yake ya mbinguni katika kipindi hiki kigumu familia inachopitia. Duniani tu wapitaji tu na maisha yetu tuzidi kumuangalia na kumtegemea YESU KRISTO peke yake ambae ndie MWAMBA wetu
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb Жыл бұрын
Mtihani jamani yarabbi atupe mwisho mwema yarabbi
@dommybalama7423
@dommybalama7423 Жыл бұрын
Watanzania , mdg zangu nimeona Upendo wenu na nguvu ya maombi yenu. Furaha anarudi Kesho anarudi Kesho jamami. Meetup NI muujiza. Ni muujiza jamani. Naendelea kuwashukuru jamaniiiii. Ndg zangu jamani nawashukuru mmenisjika mkono. Wapi mliokuja mpaka nyumbani. Mungu senseless kututuzs watanzania sisi. Daah
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 Жыл бұрын
Oooh jaman utukufu kwa Mungu
@tamamoman9454
@tamamoman9454 Жыл бұрын
Maziko lini?
@neemakatikiro785
@neemakatikiro785 Жыл бұрын
Je watoto wake wameletwa
@achsahcharles6728
@achsahcharles6728 Жыл бұрын
Hongera na pole sana dada
@lennyahadi9261
@lennyahadi9261 Жыл бұрын
Mungu ni mwema. Ameona unyonge wetu. Jina la Bwana lihimidiwe.
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 Жыл бұрын
Da polen sana ndugu zetu mungu atabarik in sha Allah na ampe safari njema kaul thabit
@davidchengula3044
@davidchengula3044 Жыл бұрын
Polesana dadayangu mungu akupe wepesi na yote tumwachie mungu ndo atakaye Fanya njia pasipo njia polesana ndg yangu daaaa!!!!!!
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Umesema kweli, vijana waache tamaa, waache kuforce maisha ya juu,kutafuta short cut,,,hakuna life ya short cut
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 Жыл бұрын
Nafanyaje
@jokhaali5893
@jokhaali5893 Жыл бұрын
Mashaallah mtangazaji uko makini kabisa na unaijuwa kazi yako
@nipolive..2745
@nipolive..2745 Жыл бұрын
Wasanii wa bongo movie. Hamnaga pesa. Ndo mana baba levo. Anawachana live. Sasa mmeshindwa kumchangia mwenzeni akudiswa bongo kweli akazikiwa kwao.
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Labda hata kuwaaga hakuaga wenzake 😂hivyo nyinyi kusafirisha maiti mnaona rahisi sana
@japharymagesa735
@japharymagesa735 Жыл бұрын
Ml 19 ni pesa nying zaid vip kama mkifanya Dua kwaajir yake mana hata mkimchukua hanafaida tena achen achomwe wataleta jivu tutazika lkn hizo pesa ni nyingi mno
@Kidia-yt3bm
@Kidia-yt3bm Жыл бұрын
We jamaa unaakili sana hata mie nilikuwa nafikiri hivyohivyo
@kipipakipipa5050
@kipipakipipa5050 Жыл бұрын
Japo kuna uzito kidogo ila zingesaidia watoto kwenda shule
@drallicemugasa3086
@drallicemugasa3086 Жыл бұрын
Poleni BABA wa MBINGUNI awapesi ktika Hili. Msiba huu umenifundisha kitu kikubwa,yakuwa Mzazi si wakuficha tatizo zito Kama ugojwa kwani sisi ni binadamu lolote baya laweza tokea ,aliefichwa akiujua ukweli, ataumia zaidi, pia awezapa Sonona nakupeleke mkupata natatizo ya strick.tuwe makini ndugu zangu.
@reisezone4574
@reisezone4574 Жыл бұрын
nyie jaribuni kuwa na maadili ya uandishi na urekodigi video huwezi kurekodi kumrekodi mtu amefiwa akiwa kwenye hali ya aibu huyo mtoto mara yuko chumbani mara chini ilitakiwa muonyeshe tu mahojiano
@amanimapenzi571
@amanimapenzi571 Жыл бұрын
Asante kwa kuwaonyesha
@seinabelimi2296
@seinabelimi2296 Жыл бұрын
uko sahih kbsa
@nkukiramadhan9402
@nkukiramadhan9402 Жыл бұрын
Sijapendaaa asa izo
@oman7710
@oman7710 Жыл бұрын
Hakika ndugu wamekosea
@samwelipaul9014
@samwelipaul9014 Жыл бұрын
Walikuwa vizuri Sana Mwanzoni ila Kwasasa Wamekuwa Washamba sana hawa.
@linashayo2068
@linashayo2068 Жыл бұрын
Pole sana dada Mwenyezi Mungu awasimamie.
@allyhusseni3121
@allyhusseni3121 Жыл бұрын
Duuh mama k polenisana jamani Dada Domi juzitu nilikua ninamuulizia!!
@ummohammed8380
@ummohammed8380 Жыл бұрын
Watoto wakaidi Sana wa siku hizi allah awahifadhi yarab Watoto wetu na awaongoze njia iliyonyooka Poleni sana
@happyjohn7630
@happyjohn7630 Жыл бұрын
Ameen
@jacklinejerr2447
@jacklinejerr2447 Жыл бұрын
Amen
@steveagustino9368
@steveagustino9368 Жыл бұрын
Dada pole sana upande wangu hauna kosa.
@daudkhatib4678
@daudkhatib4678 Жыл бұрын
Duuhhh. Jamani. Dada. Poleni. Ssannss. Wafiwa. Note. Kwa. Jumlaa. Mungu. Mkubwaa
@shukranjazzakhaallahukheir1897
@shukranjazzakhaallahukheir1897 Жыл бұрын
innalillahi wainnaillahi rajiuni
@didamanyanya4893
@didamanyanya4893 Жыл бұрын
Umeongea kwa uchungu sana dada angu
@didamanyanya4893
@didamanyanya4893 Жыл бұрын
Dah mungu tusaidie
@aishaissa2512
@aishaissa2512 Жыл бұрын
Poleni wanafamilia mungu awasaidie mwili wa marehemu urudishwe nyumban I🤲😭
@nelliebwanga5428
@nelliebwanga5428 Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu dada inauma sana
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Wabongo mnachanga mgonjwa aende kutibiwa India mimi naona familia ya mume wake walipie mwili ukuje
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Dah maskn inauma sana😭😭😭😭😭💔💔💔
@laprincessatokyo2188
@laprincessatokyo2188 Жыл бұрын
Dah poleni sana kwa msiba Mwenyezi Mungu awape subra katika hili na naomba msisahu watoto walioko na mama yao huko pia
@tato8979
@tato8979 Жыл бұрын
😭😭😭😭polen sana wanafamily mungu awafanyie wepesi katika kipindi hiki kigum mnachopitia
@zuchu3138
@zuchu3138 Жыл бұрын
Pole dada 😭😭😭
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Sio vitisho jamani nchi za wenzetu kuzikwa wana mipango yao,,,na wasichana wengi wanaokwenda India ,Turkey,China..kazi zao zinakuwa sio nzuri,,ukiongea nao vizuri warudi nyumbani wanakutukana na kusema uache na maisha yao,,WaNigeria wanawatumia vibaya sana na kuwatesa,
@naomisaid4366
@naomisaid4366 Жыл бұрын
Nimeliaa jaman khaaa maisha haya Uwiiiih 😭😭😭😭😭
@naomisaid4366
@naomisaid4366 Жыл бұрын
Poleni Jaman Pole Sanaa Dadaangu Mungu amekuskiaa Atatenda Mungu Si Kiziwi Dear Asisikie Vilio vyenu
@marysiasawaki3698
@marysiasawaki3698 Жыл бұрын
Kweli kabisaaaaa yaani Uneongea point sana yani wanawatumia vibaya sana sio siri .....
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
@@marysiasawaki3698 yaani we acha tu,,,ukiona wanavyofanyiwa utalia,,lakini ndio tamaa wanataka high life
@zainabuhamisimmbaga1840
@zainabuhamisimmbaga1840 Жыл бұрын
Inatia Huruma sana
@alawi6796
@alawi6796 24 күн бұрын
Kwhyo serikali Iimeshindwa kulipa Dola elf 8
@oman7710
@oman7710 Жыл бұрын
Innalillaah wainna ilayh rajiuun, Mungu akupe subra dada
@s.flavor38
@s.flavor38 Жыл бұрын
Uyo shemeji yetu ni mwafrika au muhindi mbona ww unae hoji umejisahau kuu Liza?
@montteyfloki3953
@montteyfloki3953 Жыл бұрын
Ni mtanzania
@victormneney1475
@victormneney1475 Жыл бұрын
Wahindi ni maskini sana kwao usiwaone hapa bongo Tajiri nitajiri kweli na maskini nimaskini hasa bora maisha ya Tanzania Imba ule wimbo wa Tanzania x2 Nakupenda kwa moyo
@aishajuma18
@aishajuma18 Жыл бұрын
Hao wahindi wamejaa uarabuni wanafanya kazi za ndani wengine wanafagia barara hawana lolote
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Жыл бұрын
wapo uku uwarabuni kama wote wana fagia barabarani na kukota vitu kwenye maubala
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
@@aishajuma18 na wanaroho mbaya
@nareensaleh4957
@nareensaleh4957 Жыл бұрын
We wahindi maskin hatari wengine wanazoa taka uarabuni wengine wajenzi wenginewanafukua mitaro kila siku wanarudishwa kwao walivyozidi Oman
@naythardarling1115
@naythardarling1115 Жыл бұрын
Kweli kabisa wahindi masikin sana tena nchi yao mbaya sana aina hata Maendeleo kabisa
@scholamwasi2782
@scholamwasi2782 Жыл бұрын
Sasa miaka yote mamaake ajui chochote daaa ina sikitisha Sana😭😭😭😭
@siamnyone8403
@siamnyone8403 Жыл бұрын
No hakupewa tu taarifa za ugonjwaa b
@EdiltrudesMalivata
@EdiltrudesMalivata 3 ай бұрын
Sasa si wachome tu,kurudisha mwili uliokufa wa nini? Asiye sikia la mkuu huvunjika guu. Achaneni nae kayataka mwenyewe. Sasa hui mwili ukija atafufuka???
@arafakiloli749
@arafakiloli749 Жыл бұрын
Innahlillah wainnah illah rajiun Allah amrehemu poleni sana ndugu na jamaa Allah awape subira katika kipindi hiki kigumu.
@jonaspatrick2871
@jonaspatrick2871 Жыл бұрын
Hii Serikali hovyo kabisa, sasa kwanini ubalozi usilipe harafu wakawadai ndugu huku bongo? Yaani kuna mijizi ipo Serikali inaiba mamilioni ya pesa kuwalipia hao 19millions inakuwa shida, fungeni basi huo ubalozi it's useless.
@safinatourssafaris2519
@safinatourssafaris2519 Жыл бұрын
Serikali ingelipa hiyo hela ndogo sana.
@laymashabani832
@laymashabani832 Жыл бұрын
Mh poleni familia maana inauma sana jamani duh.
@radiammchecheto5050
@radiammchecheto5050 Жыл бұрын
huyo.mwanaume raia wa wapi?..kunaishu ya dragi hapo ndiomaana hataki kujitokeza
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Hahahahaha
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Жыл бұрын
M/MUngu ilazeroho yamarehem mahalipema peponi pole kwa familia
@asifiwekitunga4655
@asifiwekitunga4655 Жыл бұрын
Duh tunakosa million 19 wakati msanii vazi lake tu linagharimu mil 35 na ni msanii mwenzao
@natashasergo119
@natashasergo119 Жыл бұрын
Jamani mbona unamlaamu ndugu yako marehemu..?ameenda kutafuta maisha ya shortcut ila alikua na mume wamezaa jamani..!she’s full of complans yaani mdogo wako kafariki unamzodoa ..!kueni na maadili,usitafute shortcut ,mjitambue aisay…!sijafikiri ata mjudge hivo mwenzako hao hawatoto watakua tu kwa uwezo wa mungu..!sijapenda
@mariammohammed5131
@mariammohammed5131 Жыл бұрын
Inalilah wainalajuhn mungu awatie nguvu katika kipindi iki kigumu Amina🙏
@AminaMdahoma-p7z
@AminaMdahoma-p7z 3 ай бұрын
Inalilahi wainailayihi radjioune Alhamdoulilahi rabi lanlamine
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 Жыл бұрын
Matajiri wasaidie kuchangisha jamani. Hata sisi watu maskini tunaweza kuchanga jamani...
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 Жыл бұрын
Mungu awatie nguvu jamani.poleni sana.
@Boaz22
@Boaz22 Жыл бұрын
India ni bei rahisi kusafirisha mwili, china ni million 40... poleni sana,Mungu awape faraja
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Duh
@dianafaith6623
@dianafaith6623 Жыл бұрын
Polen sana familia mungu awatie nguvu kwa kipindi hiki kigumu mnachopitia
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Tamaaa, Za mabint loooh Bora mimi nipo. Zangu Omani muscat 😢pole sana my dear dada kule hakuna pesa India!! Marafiki zangu wana niambie japo wana niambie njoo n ww 😭
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 Жыл бұрын
Mmmh huko nako sio salama
@zaitunhassan332
@zaitunhassan332 Жыл бұрын
😭 Maisha tu do yanasababisha. . Tumuombee Allah atujalie turudi salama makwetu
@aminahmusa3723
@aminahmusa3723 Жыл бұрын
Sio tamaa maisha tu usiseme hivo hakuna aijuae kesho yake ni kumuomba Allah tu
@julietymgallah3534
@julietymgallah3534 Жыл бұрын
Mmmh wote kutok njee n tatizo , mnawapa wengne shida jamaaan
@nareensaleh4957
@nareensaleh4957 Жыл бұрын
Wao wenye wengi maisha magumu India nyie bora ya tz Mara kumi
@edwardmakonge6951
@edwardmakonge6951 Жыл бұрын
Serikali kwa nini isiwasaidie hawa wanafamilia??mbona serikali inaweza.
@aishachambo8663
@aishachambo8663 Жыл бұрын
Kila kitu serikali tu wazike tu huko huko
@verobecamfipa8655
@verobecamfipa8655 Жыл бұрын
Apo asilimia mia watachangia watu wa hali ya chini wasaniii wenzie apo hawaonekani maskini tujaribu kuwa na marafiki wenye moyo wa kujitolea
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Жыл бұрын
Pole Sana Dada ukubwa Ni jalala, Pole Sana Mungu akutie Nguvu🙏🙏
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 Жыл бұрын
Kweli kabisa atavuka tu
@Atb300
@Atb300 Жыл бұрын
Jaman sio vitisho ni kweli wahindi wanasumbua ukiwa na maiti kama awqelewi wanachoma
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Sio wahindi tu ,,,hata western country wana mipango yao ya kuzika
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 Жыл бұрын
Poleni wana familia. May her soul rest in peace 💕🤲
@alfredchacky2189
@alfredchacky2189 Жыл бұрын
Poleni sana Dada mungu atawajalia
@steveagustino9368
@steveagustino9368 Жыл бұрын
Sisi ni watanzania tumekusikia na tumekuelewa msiba ni wetu sote tutakuchangia
@irenejustine2455
@irenejustine2455 Жыл бұрын
Mungu wangu shamona uwiiii
@siamnyone8403
@siamnyone8403 Жыл бұрын
At c mjuii jamaan
@mwashabanirashidimitumba7788
@mwashabanirashidimitumba7788 Жыл бұрын
Allah awafanyie wepes 🤲
@aminahmusa3723
@aminahmusa3723 Жыл бұрын
Inna Lillah wainna Lillah rajyun 😭 poleni sana Mungu awatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu inshallah
@rahmatambwe1069
@rahmatambwe1069 Жыл бұрын
Inna lilah wanna Lilah rajuun poleni Sana wanafamilia m/ mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu
@godfreyelleuther3624
@godfreyelleuther3624 Жыл бұрын
Ffofg my
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Жыл бұрын
WEWE DADA HAO WATOTO WACHUKULIWE. USICHUKULIE MZAHA.
@justinamusyoka4986
@justinamusyoka4986 Жыл бұрын
Anasema hawajawahi kuwaona,mume haonekani na wanasema alilipa mahali.its too bad.
@LUCASRANGE-y7k
@LUCASRANGE-y7k 3 ай бұрын
Kagueni Figo zake kwanza poleni sana Mola awajalie maisha marwfu
@winniembisse5492
@winniembisse5492 Жыл бұрын
R.I.P Shamona 😭😭😭 dah hii imeniumiza
@loserianlukumay5195
@loserianlukumay5195 Жыл бұрын
Poleni Sana watu wa mungu
@littlepie5914
@littlepie5914 Жыл бұрын
Poleni sana M/Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu dada
@enterenter7798
@enterenter7798 Жыл бұрын
Kijijin kwetu nako kuna dada alienda india aliuliwa huko asee nyie achen tuu
@RahmaMajid-p6r
@RahmaMajid-p6r 7 ай бұрын
Wanaigeria watakupenda ukiwa mzm tu 😳
@cleverkifaluka4337
@cleverkifaluka4337 Жыл бұрын
Poleni sana dada Nora hili nalo litapita mtafanikisha kila kitu na Mtauona wema wa Mungu juu ya maisha yenu. Mungu hajawaacha atawavusha. Relax na umpe Mungu nafasi. Usilie sana tumia muda mwingi kuomba Bwana atawavusha. Sisi lilitukuta kama hili lakini Bwana alitupigania kwa namna apendavyo hata sasa yeye ni Ebenezer kwetu.
@khadijandege2036
@khadijandege2036 Жыл бұрын
Amina
@erisieriaseli7805
@erisieriaseli7805 Жыл бұрын
Poleni sana mungu yeye anajua😭😭😭😭🙏
@EvaMfangavo
@EvaMfangavo 2 ай бұрын
Duuu polen sana.mungu awatie nguvu
@katealicios4437
@katealicios4437 Жыл бұрын
Poleni sana take heart may God strengthen your family at this time of the moment..🙏🙏🙏🙏
@siasalehe7808
@siasalehe7808 Жыл бұрын
Short cut ipi angefanikiwa mngeongea Ayo jamani wewe dada Kama unajua maisha popote unamlaumu marehemu kwasababu gani
@merinajohn2534
@merinajohn2534 Жыл бұрын
Mwanaume ni mbongo mwezetu au mhuindi
@KhadijaNkya
@KhadijaNkya 3 ай бұрын
Polen sana tumuombee duwa usilie
@olivajoseph1697
@olivajoseph1697 Жыл бұрын
Dada angu usiseme hivo mwenzetu alienda kuolewa India hakwenda kupambana kama Wana Gulf alipata Mme ndo akaenda INDIA
@tamarali8325
@tamarali8325 Жыл бұрын
Mungu awatie nguvu
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Kule wange wana jiuzaa na madawa wana uza pia na juwa marafiki zangu wapo wengi sana wana sema wa Africa wapo wengi sana
@nareensaleh4957
@nareensaleh4957 Жыл бұрын
Sasa wanafata nini India wao wenye we wanalia naumaskini bora uende zako Oman ufanye kazi za ndani
@atuganilemwaigomole7512
@atuganilemwaigomole7512 Жыл бұрын
Poleni sana ndugu zangu Mungu awawezeshe
@rehemanmkumbo5631
@rehemanmkumbo5631 Жыл бұрын
Kweli kabisa dada tunatamani kutafuta Tanzania lakini hatupati ndiyo maana inafika kipindi tunakimbia pole sana
@shamsakiobia6421
@shamsakiobia6421 Жыл бұрын
Nimeumia sana pole sana dadaangu, lnauma ni mdogo wako.
@lissamsalu12345
@lissamsalu12345 Жыл бұрын
Pole sana dada angu nafamilia yenu TU jaman maisha nipopote dada msamehe TU hata amtu akiishi kwenye nchi yake bado kifo kinaweza kumpata chamsingi nikumuombe mungu apunguziwe azabu zakaburi inshallah
@rayasalum3044
@rayasalum3044 Жыл бұрын
Watanzania india akuna maisha awo waindi tuko nao omani apa awana kitu chochote
@albertlemau3980
@albertlemau3980 Жыл бұрын
Pole Sana Dadangu pole Sana Familia Mwenyezi Mungu awasimamie na kuwatia nguvu
@mlapikauma7660
@mlapikauma7660 Жыл бұрын
India kuna maisha hani ya kutafutwa jamani. Mhh. Mungu amsaidie. Mwili urudi salama
@neemaruben5427
@neemaruben5427 Жыл бұрын
Ubalozi unakazi gani jmn kwa nn ivii lakiniiii ....nahuyu dada India alikuwa anafanya nn aiseeeee poleni mno ndg jamaa na marafiki
@zainabuomara541
@zainabuomara541 Жыл бұрын
Poren sn kwa msiba akika st kwake tutarejea
@ayubuiddi8563
@ayubuiddi8563 Жыл бұрын
pole Sana dada yangu mwenyewezi mungu atakufanyi wepesi lnshaallah 😭😭
@kaluluu2011
@kaluluu2011 Жыл бұрын
DAH dada poleni xana. Mungu awafanyie wepesi . Dada ameongea vzr xana na ujumbe mzuri xana Kwa jamii.
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 Жыл бұрын
Pole Sana Ndugu yangu Mungu awape subra
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 34 МЛН
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
MZUNGU KANIZALISHA KISHA KAKIMBIA KISA DAWA ZA KULEVYA NAJUTA SANA
35:17
THE MOST POWERFUL RUQYAH REMOVES Djinn IN THE HUMAN BODY AND BLOODSTREAM
1:40:25
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 34 МЛН