Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@dinakyoma59776 ай бұрын
Mungu akutunuku mheshimiwa Jerry Slaa , akupe maisha marefu
@ruqaiamohammed3456 ай бұрын
Ameen 🙏
@gfydfdf88696 ай бұрын
Jamani haya machozi ya watu nilaana kwenye taifa,huyu baba aripe nyumba zao,wote ario wafunjia, Mungu nimwema atamtumia Jeri silaa,kupata haki zenu,
@edlumala94286 ай бұрын
Nchi ngumu sana hii, kama uji wa moto! Ukitaza kwa juu unaona umepoa, ukianza kunywa unakuja ule wa chini ambao ni wa moto sana! Mungu akupe afya na umri Mh Jerry Silaha kwa kazi nzuri.
@TatuHaji-k8s6 ай бұрын
Silaha na makonda Allah atawafanyie wepes katk uongoz wenu tunawapenda sana
@kassimmanaramalika85926 ай бұрын
Allahumma Amiin
@KhadijakassimMwaipaya6 ай бұрын
Aminaa
@RobertsonNandime-eo9fp6 ай бұрын
Hangela waziri silaa yani tanzania 🇹🇿 hii wew na Makonda ni viongozi kabisa❤
@ruqaiamohammed3456 ай бұрын
Binadamu tunadhulumiwa hapa duniani 😭😭wenye pesa wanatudhulumu 😢😢😢tulio lia pamoja na huyu baba like plz 🙏🙏🙏😥😥😥
@uredmwasembo85796 ай бұрын
Ktk teuzi za mama akika uyu wazili na makonda akika mungu awalinde sana
@section8ight1746 ай бұрын
*WaziRi
@lunangabenjamin31216 ай бұрын
Huyu ndo waziri wa kwanza kuwa simple safi kabisa.inauma sana kuvunjiwa nyumba.hujuwi miaka mingapi mtu alisumbuka mpaka kukamilisha ujenzi wanyumba yake.unauma sana.kuna viongozi mavi serikalini wapo.
@eveliynejoseph79446 ай бұрын
Yaan na mtu alivojinyima,kujenga sio Kaz rahisi jaman afu mtu akubomolee
@awaynaaaa34906 ай бұрын
Yaan inaum nyie iskiye t kwa mwenzio lisikufik yaan huli hunyw kwasabb upate sehem ya kujistir
@reginaedward48836 ай бұрын
Pole sana kaka yangu mwenyezi mungu atakulipa, mh JERI SILAA NA Mh Makonda watakusaidia.
@penuelmmbaga11186 ай бұрын
Pole sana kaka,hongera mh.Jerry Slaa,umeokoa maisha ya watu.
@MonicaRaila-tn5rb6 ай бұрын
Mama samia mungu akushidishie maisha uokoe watanzania
@kayombotv97586 ай бұрын
Mungu akubariki sana mheshimiwa Jerry Slaa kwa kazi njema unayofanya. Hicho kitu wajifunze na watu wa mazingira wafanye kazi bila ya kumwonea aibu aliyetenda kosa. Kitu kiko dhahiri lakini wanachojua ni kuzungusha watu bila sababu hii ina umiza bila sababu.
@moddy87446 ай бұрын
Asante Mh Slah kwa kweli wewe na Makonda Mungu Awabariki kwa kazi nzuri mnayofanya kutetea haki kwa kweli mnastahiki sifa sana Mungu Awabarik
@Dorka12-n7b6 ай бұрын
Waziri siraa na makonda ni wachapa kazi live long to help the voiceless in the society
@MonicaMassawe-eh4xf5 ай бұрын
Pole kaka Mungu akupe nguvu inaumiza usikate tamaa Mungu yupo.
@dorahmushi-we6ts6 ай бұрын
Mungu azidi kuwatangulia na kuwatunza
@hassaniabdi39916 ай бұрын
Alfu mijitu mingine imekaa ofisini kazi yaoo kuwatete watu waxhache wanao waaribia maisha walio wengi.ongera Jerry slaaa
@cloudngoko.26796 ай бұрын
Daa MAKONDA NA SILAA MUCH RESPECT🇹🇿✅
@dorcasjonathan97936 ай бұрын
Pole sana kijana wangu mungu atakusaidi nyumba yako itajengwa na utaishi umtukuze mungu alie kuumba mungu ambariki Dr slaa pole kaka
@fatmaabdallah77096 ай бұрын
Mashaallah waziri slaa mungu akupe umri mrefu na afya umeokoa maisha ya mtu aliyekata tamaa ya maisha hongera sana!
@dennishyera54486 ай бұрын
Mwenyezi Mungu mlinde mh. Slaha ,(waziri).
@prettygirl83256 ай бұрын
Yan mimi najenga room 2 tuu mwaka wa tatu cjamaliza....alf mtu anavunja nyumba yko kirahisi rahisi ivo...yesuuu...utajenga gorofa mbona
@Waky-h8u5 ай бұрын
Huyu waziri aokoa Maisha ya huyu baba. Pole sana baba watoto. Nimesikia machozi moto...kwangu. i wish niko karibu...nikusaidie pia kidogo. Mi ni Mkenya. ❤❤ your tears are hurting me kabisaaaa kama mama.
@abdirizakibrahim19756 ай бұрын
Jerry shujaa wa kweli mzalenda wa kweli sina maneno mengine zaidi ya kusema MUNGU akubariki
@deokulaya4505 ай бұрын
Jerry na Makonda Mungu azidi kuwawekea uwigo
@musasaguti47606 ай бұрын
Mungu awatie nguvu, ulinzi na busara wale wote watendao haki, na kuangalia haki za watu wengine pia. Jerry, Mungu awe nawe, timiza wajibu wako na muogope Mungu peke yake.
@patrinraura13976 ай бұрын
Mungu akubariki Mhe Slaa WANANCHI walio wengi wametiririkwa na Machozi kutokana na hili tukio ambalo ni mfano hai wa baadhi ya VIONGOZI na hasa wenye hela wanavyodhulumu haki.Umeokoa maisha ya huyo Ndugu yetu kw kutoa HAKI"MUNGU AKUPE AFYA Na akulinde Tutazidi kukuombea
@NurueliMapunda6 ай бұрын
Mungu ni mwema
@smartonlinetv51446 ай бұрын
Hongera sana Mh waziri Jerry silaa kwa kweli unajitoa sana Kwa ajili ya wananchi hawa. Aidha nikuombe Mh waziri, kama itakupendeza nakuomba toa mawasiliano yako ili wananchi waweze kukupata direct kuokoa maisha ya wengi. Ninaamini wenye changamoto kama hizi ni wengi sana na wengi wao wanashindwa kupata msaada mwisho wa siku ndio wanaishia kutoa uhai. Embu tazama huyo baba kwa kweli inaumiza sana
@sayuni123-kl6xk6 ай бұрын
Watu wanadai haki zao alafu kuna wengine wamekaa kwenye viti tu wanapindisha haki zao lakini Mungu anaona
@israelkisaila84016 ай бұрын
Naombeni namba ya huyu kaka nimsaidie hata chochote 😢😢
@AminaAmine-v4m6 ай бұрын
Kwakweli inaumiza mno unahangaika unapata kwako tena unavunjiwa😢😢
@FreeGod3686 ай бұрын
Nimeangalia video zingine uko nyuma kumbe jamaa ni machinga aisee, na watoto wake wa3 na mke wamerud kijijin hawana tena makazi😢 ila mtafte insta respis blasius ,au fb U mtafte kwa nickname yake ya baloon macheni,msaidie broo kama unaweza
Tunaumia sana ukisha kua mwajiriwa wa serikali ndio vimbo yakuwatandika wengine toshekeni na mishahara yenu muezi jitoe sadaka kwa mungu zipo kazi ambazo azina lawama kwa mwananchi
@karamaabood43676 ай бұрын
Fanya toba kwa M mungu ndugu yangu mungu pekee ndo atakusameh nasio padri
@ip_header6 ай бұрын
Kudos kwa Mh. Slaa, May Godbless him
@EmilyMsacky-hq9qy6 ай бұрын
Mungu wa mbinguni mwenye enzi yote azidi kuwatumia watu watendao haki Tanzania kwaajili ya wengi na wasiyopenda haki Wala rushwa mungu awafute kazi ktk jina la yesu.
@epifaniamilinga28486 ай бұрын
Mungu Yupo kila mahali.
@Mapenzi26356 ай бұрын
Inaumiza sana. Zaburi 35 isome ili Mungu akulipizie kisasi
@ritapiusnicolaus70686 ай бұрын
Mungu akubariki Mheshimiwa Slaa
@RASHIDMOHAMMEDI6 ай бұрын
Munampata vipi mh waziri maana mzee wangu anamtafuta kupita maelezo kazurumiwa mali zake na hajui anampata vipi mh kwa ajili ya msaada wa kurusha mali zake
@GoshaNgosha6 ай бұрын
Mungu akubaliki jeli nakufatilia Sana
@KkhamisKha6 ай бұрын
Waziri wengu mpnda haki mungu akubarik
@epifaniamilinga28486 ай бұрын
Mungu,akuponye sanaa.
@hadijaally57355 ай бұрын
Silaha mungu akutuze ❤
@faridakailembo30606 ай бұрын
Duh,hakika Mungu ni mwema😢.
@yousifyousif-p7f6 ай бұрын
Huyu kaka kaniliza 😭muheshimiwa Saha mungu akupe maisha marefu 🙏mtete WA wanyonge tunakupenda tunakuombea🤲
@juliethkatabwa53066 ай бұрын
Mungu ambariki waziri
@alexnyigo88646 ай бұрын
Mungu ni mwema sanaa
@hajjisanga7896 ай бұрын
Mungu kakuponya mshukuru Sana na utoe sadaka
@JUSTINPiniel6 ай бұрын
Hii serikali yuko Rais, slaa waziri na Makonda wengine wasindikizaji tu bila kuwasahau Bulaya, na mpina na mdee
@maryamabdallah31406 ай бұрын
Wanajua kutuletea robot Eunice, eti anawasalimia bungeni! Huku wakiwasahau wananchi waliowachagua ili kutetea haki zao!
@EsterNdosi-ud4xp6 ай бұрын
Mungu yupe slaa na makonda Kila wilaya ni
@jeniferlyimo82605 ай бұрын
Mungu akutunze daima
@timothymoshi58006 ай бұрын
Duh, Mkuu poleni Sana. Inauma.
@MuhinaCharse-gt7og6 ай бұрын
Mungu akutie nguvu wazir jer silaa
@siamollel60516 ай бұрын
Mungu tunaomba utuinulie viongozi wenye uchungu na watu masikini
@cjrtz5 ай бұрын
Wabaya sana hao wanashiriki udhurumati
@annazacharianmko46576 ай бұрын
Hakika Jerry slaaa ni wa mungu mwenyewe mungu akulinde kila hatua unayoiendea maana sio wote wanaokupenda kwenye huu ulimwengu ukiwa mkweli ni vita maana nafasi za wengi zimejaa udhalimu na uongo mwingi ulindwe na malaika kama musa
@juliusdominic-uk4bu6 ай бұрын
Mungu wa haki na wema akulinde mh slaa
@geraldlyimo28596 ай бұрын
Kwani haya anayofanya waziri mahakama hawaonagi mapungufu yoote hayaa Samia mama anza na watu wa mahakama
@ttss77166 ай бұрын
Wanyonge haki yao kwa mungu ukiipata duniani mpaka watu wana muogopa mungu kama kina makonda na kina silaa 😢😢😢😢
@ntangiregemfuruki54785 ай бұрын
Bba silaga love❤ aana
@Oman-p8x6 ай бұрын
Mungu akubariki
@jeromejulius2386 ай бұрын
Kwenye hii dunia kuna watu tunateseka sana
@khadjamhozya6 ай бұрын
Bongo Ni ya kwanza
@aminasittusaid38306 ай бұрын
@@khadjamhozya wanaoteseka ni wengi sana palestina, kongo.... dhuluma ni kubwa sana hapa duniani yaani mtu akiwa na vijisenti kidogo anajiona yeye ndo yeye wengine wote sio - INASIKITISHA SANA
@petercostakisoka6 ай бұрын
Poleni sana uyo jamaa jinsi anavongea alikuwa anajiuaa kweli
@RiddoRiddo-jj1bx6 ай бұрын
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi
@MarthaBura-or8fe6 ай бұрын
Mheshimiwa Jeri silaha njoo kinyamwezi pungu dar tumedhulumiwa viwanja na Matapeli .wanaochukua aridhi za watu.sasa ni mwaka watano. Tunateseka. Jamani mungu akulinde.
@zainabamran82306 ай бұрын
Pole sana
@AshaMwamba-v2o6 ай бұрын
Waziri adi kalia pole sanaaaa nchi inadhuluma hiiiik
@SalimKombo-xo4pq5 ай бұрын
Mungu yuko nawe.
@MwakisimbaMwakisimba-l9l6 ай бұрын
Mungu yupo kaka
@kanankirannko61746 ай бұрын
Wanalaanika sasa hawa viongozi ?
@margarethsaramaki39666 ай бұрын
Yaani am speech less Hata mimi clip ya mh Jerry Slaa akiwa bungeni nilifatilia kwa kweli ile hotuba yake kwanza inakupa moyo na msimamo na kukupa mwanga ufanye nini? Kwa kweli libarikiwe tumbo lililokuzaa na Mungu akusimamie kwa kila jambo 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@robertzamani56126 ай бұрын
Waziri huyo aliyebomoa nyumba za watu ajenge sio kuwalipa fidia
@TRAVELER2886 ай бұрын
Aliyetokw na chozi kw hii video tujuane 😢
@newbornhaule6 ай бұрын
Kwasasa tunahitaji vijana nasio vijana ni VIJANA MAKINI kama hawa Mungu awalinde wafanikiwe sana katika mambo yote
@juliethkatabwa53066 ай бұрын
Mungu Yupo
@mkombozifreshoil6 ай бұрын
Halafu mtu ajitokeze kuwabeza viongozi kama hawa.
@NoorLheyNoorLhey6 ай бұрын
mamaikibidi hawa watuwawili waogezemshahara munguawaepushiyeni maaduwi awavizekama mayayiviza nawapendasana
@Happizo6 ай бұрын
Unajiuliza kwanini MTU kajinyonga... 🙏🥺😭😭😭Kumbe ni Mambo Kama haya jamani... Uwiiiiiiiiiii Mungu tusaidiee Wanyonge
@edithlameck81706 ай бұрын
Anatia huruma sana huyu kaka. Viongozi MJITAFAKARI. Kuna wananchi wangapi wanaumia kama huyu kijana jamani.....
@johnnkelebe73606 ай бұрын
HUYU jamaa kaongea kwa uchungu sana. Serikali ya Samia imkate huyo jamaa alievunja nyumba za watu.
@abdulbonomali65486 ай бұрын
Hivi ndivyo halo halisi ilivyo nchi nzima
@MzeeKagambo6 ай бұрын
Nikweli tusicheze na maisha ya watu
@elizabethsjoberg57346 ай бұрын
😭😭😭pole kaka
@fatmamdihiri41646 ай бұрын
Sijui nalia nini 😰😰
@hyacintagugu76 ай бұрын
Maumivu ndugu yangu.Duniani hapa kuna huzuni nyingi mnooo
@KkhamisKha6 ай бұрын
Pole san kk mungu akipambanie
@goodlucknnko54936 ай бұрын
Kiukweli JERRY, MUNGU AKUFANYIE WEMA WOTE UNAOHITAJI. MIMI SINA INTEREST YOYOTE KWA SILAA ILA NINAUHAKIKA WA DHATI KUWA NI MTUMISHI NA SIYO BOSI, ENDELEA HIVYO MKUU KWANI MUNGU UWANYANYUA WANAOTETELEA WENYE SHIDA
@florianhenry71986 ай бұрын
Haki za WATANZANIA walio wengi zipo Kwa watu wengine
@WaziriOmari-f3h6 ай бұрын
Wanaume wanatoa machoz mbele ya camera hili choz halishuki Bure 😢😢
@dn.n49836 ай бұрын
Unabusara sana muheshimiwa mawaziri egeni mfano huu mzuri sio kunyanyasa watu watu kukaa kwelye aircondition navkutumia magari serikali kazi imelala sio kwa ubaya wote wamkuu mkoa wajumbe sione aibu kusema mnaiga hii ndio kufanya kazi kwani huyu mweshimiwa anapata kusaiha watu kuna mshara unongezeaka yeye baraka maisha marefu na anapata usingizi nzuri kweli kwa hiyo fanyeni kama yeye ana sifa wala kutetea majiriri kama haki yako anakusaidia ukijua halipo panda basi mfate ili tatizo lako litatuliwe safi ila muheshimiwa upate mda weekend na family yako maana mke asije halalamika ongera sana sana
@FloraNgoma6 ай бұрын
TUBU TU KWA MWENYEZI MUNGU MOJA KWA MOJA WEWE NA MUNGU YEHOVA KATIKA JINA LA YESU KRISTO. NI MWINGI WA REHEHA ATAKUSAMEHE AMINA.
@tumainichanya32684 ай бұрын
Mwaume kumfikia hapo ujue ni maumivu ya kupitiliza
@aliabdallah84566 ай бұрын
Asilimia ya 90 watu wa mkoa huo ni watu wenye roho mbaya sana na ukatili wanao hawa watu hawana dini nini haaaa hata waogopi Mungu
@neemanziku54036 ай бұрын
Watanzania tunateseka sana
@amospetro87896 ай бұрын
Aseee poleee kaka
@daudiniyonsaba11136 ай бұрын
Nchi imeoza tena baada ya mwamba Magufuli kuondoka...uozo unasikitisha mno!
@andrewsayi21526 ай бұрын
Tunamuomba mh Rais aiangalie Arusha kwa jicho la tatu inaonekana watu wana mizigo mizito kwenye mioyo yao
@karolikisaka89916 ай бұрын
Tatizo ni serikali maana hii kesi imechukua miaka zaidi ya 30.hukumu ilipotoka kwanini serikali isingesitisha ubomoaji na serikali ni ya ccm. Hii siyo sawa
@thabitdaudi98156 ай бұрын
Makonda akiwa rais slaa akawa waziri mkuu watashika adabu
@tahirnephessalum36786 ай бұрын
silaa ndo awe raisi, makonda wazir mkuu sababu silaa ana akili kubwa sana kuliko makonda, hakurupuki hata mara moja na nimsomi kuliko makonda na ana busara kuliko makonda .. sometimes makonda akichukia ana uamuzi usio na busara hivyo kwa ngazi ya uraisi sio nzuri sana kwake ila makonda ni muajibikaji kweli kweli kwakuwa mtendaji mkuu wa serikali ni wazir mkuu hii nafasi itamfaa, pia makonda anachukia dhulma, hapendi rushwa na hapendi watumishi wavivu... Ila silaa ana matumizi ya akili zaid kuliko makonda na kwakuwa sip mtu wa kupanic kirahis nafas ya uraisi inamfaa ila makonda ni mtu wa kupanic kirahis sana endapo utamzingua hata kidogo anakulipua dkk 1