WANANCHI ARUSHA WAMFUNGUKIA MAKONDA - ''AKIONDOKA AWE ANAAGA '' - WAMPA KAZI YA KUANZA NAYO KUFANYA

  Рет қаралды 85,479

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

WANANCHI ARUSHA WAMFUNGUKIA MAKONDA - ''AKIONDOKA AWE ANAAGA '' - WAMPA KAZI YA KUANZA NAYO KUFANYA\
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 191
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@damianikimario5695
@damianikimario5695 Ай бұрын
Mungu wa mbiguni na kuomba umjalie afya njema yeye na familia yake umlinde na maaduwi.... binafsi nampenda sana tena sanatu. Kutokana na utendaji wake wa kazi.👊👊
@EmannuelKusema
@EmannuelKusema Ай бұрын
❤🎉nakubali sana kiongoz wangu binafsi mungu azid kumtunza miaka mingi kiongoz wangu
@EsterAloyce-m4j
@EsterAloyce-m4j Ай бұрын
Amaa nimemuombea jaman nampenda sana mungu mkumbuke
@janelyatuu1135
@janelyatuu1135 Ай бұрын
❤❤ mungu akutunzee kaka akupe afya njema tulibaki na maswali mengi sanaa mungu akutunzee baba uwishi miaka mungu usimulie matendo makuu ya mungu nakuona raisi ajae mungu amesikia kilio chetu wananchi wa Arusha jina la bwanaa libarikiwee ❤❤❤❤
@AmenMushi-j2j
@AmenMushi-j2j Ай бұрын
Makonda kioo Jamani acheni mm niko Morogoro nampenda maana ni mtu wa haki
@jofreykilangila4118
@jofreykilangila4118 Ай бұрын
Usimfananishe makonda na mtu yeyote. Inabidi awe anaaga huyo ni wa tofauti na wengine
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Ай бұрын
Hiyo haipo kwenye utaratibu wa kuaga kwa matangazo!!! Ukienda ofisini kwake ukiambiwa yuko likizo itoshe!!! Si unatoka hapo unaanza kuzusha ooh mara wanatudanganya ooh mara amepelekwa hospitali mara anaumwa!!! Jamani mbona tunatia aibu!! Nchi imekua ya umbea umbea tuu na kutakiana mabaya...hata angeumwa ni siri yake na daktari wake!!! We ukiumwaga unapiga nduru kwa majirani??!! Hii nchi inawajinga wengi sana😔😔
@ubunifulifestyle3492
@ubunifulifestyle3492 Ай бұрын
We nae tuache​@@mamboshepea8888
@linahndemeka8428
@linahndemeka8428 Ай бұрын
😂😂
@DaudiJastas
@DaudiJastas Ай бұрын
RAIS ijayeee,, hivi hao viongozi wengine hawana aibu mokonda anasifiwa wengine kusifika kwa wizi na ufisadi,,, makonda❤❤
@MengineyoBernad
@MengineyoBernad Ай бұрын
Mungu akulinde hatuna cha kusema ila unapoomba ruhusa kumbuka nyuma yako kuna watu wanaokuangalia kama kioo cha jamii usiwe unajificha sana mwamba
@MartinLaban
@MartinLaban Ай бұрын
Makonda oyoooooooo nikiwa kenya nimefurahi furahi sana saaana kukuona jembe la majembe
@amedeustesha5947
@amedeustesha5947 Ай бұрын
Mungu akujalie afya njema niliumia Sana habari nilizokuwa nazisikia. All the way mungu akulinde sana
@Nafsa-st9pm
@Nafsa-st9pm 27 күн бұрын
Rais wetu wabadae Makonda❤
@janetymatola6639
@janetymatola6639 Ай бұрын
Mungu akupe umri mrefu siku moja tuonane kipenzi cha wanyonge Rais wetu 2030
@SaumuLekule-de4hr
@SaumuLekule-de4hr Ай бұрын
Tunamshukuru Mwenyez Mungu amerudi salama, alhamdulillah
@user-rb6tv7xw5l
@user-rb6tv7xw5l 27 күн бұрын
Moyo wangu unaniambia makonda akuwepo sehemu salama,tumshukuru tu Mwenyezi Mungu ni kwamba amerudi salama
@chikujuma18
@chikujuma18 Ай бұрын
❤❤❤❤ makonda tunampenda kwa sababu anakutatulia shida zako hapo hapo sio wengine wengine hamjali wanyonge mnajali family zenu makonda mwenyezi mungu yupo nawe inshallah
@ShirfaDigubike
@ShirfaDigubike Ай бұрын
Nakupenda sana niliumia sana ingawa nipo tabora .makonda niwakwetu sote
@JekobuNgwara
@JekobuNgwara Ай бұрын
Alusha mungu awabaliki huyo nimtoto wetu afrika dam ya baba magu tumwombeage
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q Ай бұрын
Huyu makonda atuage wananchi hatutaki hofu juu yake . Akiondoka atuambie maana keshakuwa baba
@EmmaPonera
@EmmaPonera Ай бұрын
Sumu
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 Ай бұрын
Tulipokosa bandika bandua mkoani wee tulihangaika kutaka kujua yuko wapi kipenzi cha wananchi wa Arusha sasa Roho zetu zipo burudani kwa kweli Mungu ibariki Tanzania na wananchi wote
@MariamAnafi-bf9gy
@MariamAnafi-bf9gy Ай бұрын
Mimi mmoja wapo Kila siku nilikuwa naweka mb Kwa ajili nijue makonda wetu Yuko wapi ila Jana niliposikia yupo ofisini lilifurahi sana na nilikula chakula kikaongia
@user-do1ug7de3g
@user-do1ug7de3g Ай бұрын
Ameridi
@user-do1ug7de3g
@user-do1ug7de3g Ай бұрын
Amerudi au ni maneno tu jamani
@Neema-mo4sm
@Neema-mo4sm Ай бұрын
Mungu akutunze kaka yangu Makonda,heri na baraka zikufuate wewe na uzao wako,kila jambo mtangulize Mungu,Endelea kutenda kazi katika misingi ya haki,damu ya kristo itulinde uwepo wa Mungu ukuzingile ewe na uzao wako,Ameen Ameen
@JanethSwai-i3d
@JanethSwai-i3d Ай бұрын
​@@MariamAnafi-bf9gyduu mi madonda ya tumbo hoi 😢😢 ila amerudi nimehisi kupona
@ChandeMaulid
@ChandeMaulid Ай бұрын
Afadhali nitanenepa sasa nilikuwa namawazo sana kuhusu mkuu wetu ❤❤
@ritamaro5444
@ritamaro5444 Ай бұрын
Mungu ni mwema,karibu tena Mkuu.Tulipata wasiwasi Sana juu yako.
@mohammedabdullah5895
@mohammedabdullah5895 Ай бұрын
Mungu ampe umri mrefu makonda
@omarimsangi4075
@omarimsangi4075 Ай бұрын
Hapana kuna haja ya viongozi kukomaa sas kuaga ni ustaarabu zaidi na ndio tabia njema Tuna miaka 60 tu ya kujitawala ni nafasi yetu na viongozi kuonyesha ukomavu wa utawala bado tuna ugeni katika utawala tuwe wenyeji. kuacha mambo ya mazoea kama viongozi kuchomoka tu bila taarifa linatengeneza ombwe ambalo watu watajaza mtakataka.Mkuu wa mkoa hongera sana chapa kazi ni dalili njema kwako hongera sana. Pamabano na maovu yanayo kumbatiwa na viongozi wengi.GEKO NGOSHA
@selinamichael6504
@selinamichael6504 Ай бұрын
Daah MUNGU WA MBINGUNII NAOMBA UTUKUZWE MILELE DUNIANI NA MBINGUNII🙏🙏🙏
@marypeter7209
@marypeter7209 Ай бұрын
Angepangiwa kila mkoa hata mwaka mmoja mmoja tu huyu ni mwamba
@SalmaMakuwani
@SalmaMakuwani Ай бұрын
Mungu akubaliki makonda,mungu aendelee kukulinda.mchapa kazi,kijana makini,muaminifu,mtendahaki
@EmmanuelassemblieschurchSirari
@EmmanuelassemblieschurchSirari Ай бұрын
Mh Asante kurud Salam
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta Ай бұрын
Acha kutusemea kidogo nipate pressure,alafu unasema wananchi wa Arusha hatukustuka ,wote tulipata taharuki,usiwe unadanganya watu, pressure ziliwapata watu alafu unasema ni mambo ya kawaida ,acha hizo mambo sema ukweli
@AhmediKilingamoyo
@AhmediKilingamoyo 27 күн бұрын
Allaahumma nakuomba kwaidhniyako mpeusalama naumuinue kicheo RC makonda aamyn
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 Ай бұрын
Mkaka,umesema ukweli, Mungu akubariki 🙏🏽
@thabithamagnus638
@thabithamagnus638 Ай бұрын
We dada labda wewe hukutaharuki,wenzako hatupo Arusha ila tulilia na wengine Kufunga kwa maombi,ili tumuone tena na tena! Kwani Magufuli aliondokaje katika safari yake ya mileke?
@HadijaJoseph-d1g
@HadijaJoseph-d1g Ай бұрын
Mama siku nyingine udiludie kusema hivyo kama wewe makonda humpendi Yani sisi makonda tunampenda. VibayaSana kutokana na kazi na na natamani siku moja aongoze nchi ndio nitalizika
@brownmgidange5201
@brownmgidange5201 Ай бұрын
Yule mama Ni walewale, taharuki haikua Arusha tu, na maeneo mengine ya Tanzania
@Sharifa-e7y
@Sharifa-e7y 29 күн бұрын
Nipo Mwanza kama umerudi nimefurahi sana ❤
@fedakatoga3161
@fedakatoga3161 Ай бұрын
Namshukuru sana mungu
@EdithTelemark
@EdithTelemark Ай бұрын
daah, Kwa kweli amejua kuutumiza Walala hoi, Mungu Ni wewe tu uwezaye!
@mathiasmandi
@mathiasmandi Ай бұрын
Vyombo vya habari vinavyotoa habari za uongo vifugiwe kwasababu vinaleta uchonganyifu wamesema mambo mengi sana amevishwa mpaka hadi walie mlisha wamekuwa wakiwatajja namaliza kwa kumuombea Makonda Mungu amlinde ili aendelee kulitumikia taifa. na Mungu amfikishe pale alipokusudia kumfikisha damu ya yesu imtangulie mpaka pale Mungu alipokusudia kumfisha
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 Ай бұрын
Siyo hawelewi,ni upendo.Yasitukute kama ya magufuli
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Ай бұрын
Makonda njoo uwe mkuu wa mkoa wa songwe🎉🎉
@abubakarmwasumilwe7070
@abubakarmwasumilwe7070 Ай бұрын
Muombe Rais Makonda hana mamlaka
@thabithamagnus638
@thabithamagnus638 Ай бұрын
Makonda Mungu akutunze Sana,akuepushe na kila baya
@LomayaniLukumayi
@LomayaniLukumayi Ай бұрын
makonda..mungu..akulinde.sana
@josephatmtweve6534
@josephatmtweve6534 Ай бұрын
Makonda Yuko vizuri mungu akulinde tunakuombea Sana chapa kazi
@pungopungo411
@pungopungo411 Ай бұрын
Tuheshimiane tuheshimiane Makonda aseme mwenyewe.dada tuheshimiane mshazooea kutuuli viongozi adimu.huyo ndio anatukumbusha magufuli.ebu twende taratibu tunaomba aseme mwenyewe
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 Ай бұрын
Ni kweli uwe unaaga watu walifikiria vibaya.
@restitutakisamo7607
@restitutakisamo7607 Ай бұрын
Kabisa,kufuatia kitu kwa uhakika.
@user-rl1pn4ln5e
@user-rl1pn4ln5e Ай бұрын
Alhamdulilah
@JosephPeter-i5k
@JosephPeter-i5k Ай бұрын
Jembe la Kaz iloooo
@NeemaMollel-vw8ct
@NeemaMollel-vw8ct Ай бұрын
Kaka yangu Manase.
@babusadala5732
@babusadala5732 Ай бұрын
Hacha uongo we dada ,watu walikuwa wanajiuliza sana kuhusu baba kigan....
@JanethSwai-i3d
@JanethSwai-i3d Ай бұрын
Mchawi huyo😂😂
@babusadala5732
@babusadala5732 Ай бұрын
@@JanethSwai-i3d mweeee..umeonaee
@IshipalemyPasko
@IshipalemyPasko Ай бұрын
Tabia mbaya Sana hii mheshimiwa Uwe unaaga bana
@chikujuma18
@chikujuma18 Ай бұрын
❤❤❤ makonda kipenz cha watu jaman tunampenda msie mpenda makonda kunywen sumu😂😂😂😂😂
@UtukufuEliya-sy2po
@UtukufuEliya-sy2po Ай бұрын
Si Arusha tu ni kipenzi Cha watanzania wote
@amNANGUJI24
@amNANGUJI24 Ай бұрын
Mji wa Arusha umetupwa haujajengwa kabisa kwa umuhimu wake
@NeemaMduma
@NeemaMduma 26 күн бұрын
Kwl kabisa niliugua juu ya makonda
@Faraja-j2z
@Faraja-j2z Ай бұрын
Kwani nchi hii wakuu wa mikoa mingapi ulishawahi kuona mkuu gani wa mkoa anauliziwa akienda likizo kwa walio wengi akiwe hujui asipo kuwepo hujui
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui Ай бұрын
HAO WENGINE C WAKU WA MIKOA HAWANA UMUIMU
@ProsistaTarimo
@ProsistaTarimo Ай бұрын
Huyu ni jembe hasa. Wengine ni matumbo yao tu. Huyu ni baba hasa. Mungu amfunike kwenye kiganja chake
@RatifaHamisi-s4i
@RatifaHamisi-s4i 29 күн бұрын
S❤❤❤❤ Makonda kaenda kujipika
@GillbertMapesa
@GillbertMapesa Ай бұрын
Hili liwe fundisho kwa ccm kuwa watanzania hawaiamini serikali ya Tz kwakuwa imezoeleka kuwa kiongozi akiwa mwema na mpenda watu huuwawa haraka. Kwahiyo ccm ccm ccm sisi raia hatuna Imani nanyi dhidi ya watu wema
@NkindaNzobe
@NkindaNzobe Ай бұрын
Mimi Sasa cjaamini Kama makonda amerudi ofsin naitwa Dr nyangaki kutoka sudani kusin
@mussamarwachamahaaaaaaaaaa8065
@mussamarwachamahaaaaaaaaaa8065 Ай бұрын
Dad sema ukweli kwa Sisi tumefulai tunamupenda San akasema ukweli
@MussaMlali
@MussaMlali Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
@moshiwasua5749
@moshiwasua5749 Ай бұрын
Mtandao ilipokuwa inasema kuhusu sumu , siyo wana chuki , bali wana upendo mkubwa kwa Mheshimiwa ,, jamani kumsema kunasaidia sana. , Nawapongeza wana mitandao Kumbuka mwaka fulani Mo alikuwa haonekani ,, ' mitandao ikasema sema Mo akaonekana Mh Makonda amepewa na Mungu uwezo nia. Nyota mkubwa sana , Viongozi wa dini muombeeni sana , maana anawasaidia kazi ya kuleta amani ktk jamii , Wasiyo mmpenda Makonda wasisubutu kufanya yaliyokuwa yanahisiwa kwenye mitandao. Mungu atawapiga
@LavinaJoseph-ei2tv
@LavinaJoseph-ei2tv 28 күн бұрын
Tuliumia sana ila tunamshukuru sana mungu kwa kurudi salama maisha yako yaongezeke sana ila usiruhusu tena wakunenee mabaya haya maana kinywa kinaumba mwanangu makonda kiongozi shupavu mtenda haki
@omarimsangi4075
@omarimsangi4075 Ай бұрын
UMEWEKA HISTORIA NGOSHA GETEGETE
@MengineyoBernad
@MengineyoBernad Ай бұрын
Mmmh kwa nini hamkusema aliko mpaka yote hayo yanazushwa
@HamisiMtulia-p7f
@HamisiMtulia-p7f 28 күн бұрын
Nimefurahisana kurudivyema kiongozihuyu makonda makondachapakazi munguyuponawe,nakutakiakillalakheri,hamisimtulia kutoka kibiti pwani
@FranciscaMichael-r9f
@FranciscaMichael-r9f Ай бұрын
Baba mtetezi wawa nyonge kazi iendelee
@anethmasuki4638
@anethmasuki4638 Ай бұрын
kuweni wa kweli tuu, usitudanganye kama watto
@EvenEvarist-sk6ur
@EvenEvarist-sk6ur Ай бұрын
Kweli kabisa
@mauajonelo8675
@mauajonelo8675 Ай бұрын
Muheshimiwa utalii iwe no 2 anza na hawa walawiti na wauwaji wa watoto tafadhar
@meikoking
@meikoking Ай бұрын
Hata arusha hatukuwa cool uwongo huo
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx Ай бұрын
Makonda hakuwa likizo mbona afya yake haiko sawa
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 25 күн бұрын
Mkuu wa mkoa namba moja Tanzania. Asiyekubaliana na cc ajitafakari
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv Ай бұрын
We dada Acha uongo watu hatukulala tuliumia sana
@user-sj4vo9cg2c
@user-sj4vo9cg2c Ай бұрын
Mbona mnayasema haya baadae ya kuonekana
@jofreykilangila4118
@jofreykilangila4118 Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@DamianyPeter
@DamianyPeter 29 күн бұрын
Hakika kuna haja ya kufuatilia vyombo vya habari vinavyoshiriki katika kutoa maneno yasiyo ya kweli katika mitandao
@brendasamson2086
@brendasamson2086 Ай бұрын
Dada usitupoteshe mkuu wetu wa mkoa Tunampenda ilitakiwa atuage
@pungopungo411
@pungopungo411 Ай бұрын
Msiringe na sisi Dar tunamhitaji makonda
@CareenTaji
@CareenTaji 28 күн бұрын
Fanya kazi makonda ni mkoa wa mwisho wa usumbufu wa siasa mariza baba kazi yako
@zianasalimuhivikunamchunga5224
@zianasalimuhivikunamchunga5224 Ай бұрын
Mama samia please tafadhali nakuomba umlete makonda Mkoa wa Tanga. Awe. Mkuu wa mkoa wa Tanga nakuomba mama
@EnockManase-df9sf
@EnockManase-df9sf Ай бұрын
Arusha tulijawa na taharuki kubwa sana maana tunampenda Sana kamanda wetu
@thabithamagnus638
@thabithamagnus638 Ай бұрын
Mioyo yetu imeteseka Sana,hata mpaka sasa hatuamini kwamba ni yeye au
@innocentkanyata9923
@innocentkanyata9923 Ай бұрын
Kwa Makonda tuwe tunajulishana..
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 Ай бұрын
Mbona tuliona wanaandamana
@AnatoriaRwabatwa
@AnatoriaRwabatwa Ай бұрын
🎉We Anociatha huna lolote huna shukrani
@AGNESSJOHN-v2g
@AGNESSJOHN-v2g Ай бұрын
Natamani makonda awe raisi Jamani kila siku naomba sana kwahili
@miletuskgmiletus1563
@miletuskgmiletus1563 Ай бұрын
Umeombwa kusema jambo
@pungopungo411
@pungopungo411 Ай бұрын
Tusalimie sisi tulioko mbali.tusiendelee kusema hovyo kwa hao simba Wala watu
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 28 күн бұрын
Hamna kazi malkonda kila siku
@mwanaidchande9180
@mwanaidchande9180 29 күн бұрын
Mimi nipo morogoro lakini kijana yupo vizur.
@jtheophil5499
@jtheophil5499 Ай бұрын
Mbona hukujitokeza kuongea before..
@AmdaniSuleiman
@AmdaniSuleiman 27 күн бұрын
Nimapuguf ya ubinadam 2sameeyane 2:19
@MartineShija
@MartineShija Ай бұрын
Kuna jamaa alisemaga kabisa Kuwa haya anayoyafany MAKONDA ndiyo anazidi kupenya hivo wengine waendelee kukaa2 maofisini yani jamaa amekubalika mno kila sehemu atayowekwa watuwanamkubali wengi mno
@DavidSemu-gu6wp
@DavidSemu-gu6wp Ай бұрын
SIO DAR.
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 25 күн бұрын
Watu tuliogopa, mtaani kila mmoja alitaka kujua yuko wapi? Watu wanaulizana kwa sauti ndogo, kwa woga hofu na kukata tamaa...! aagage tuu, atuage wadau wake,tunampenda sana kuliko anavyofukiri
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Ай бұрын
Arusha ni.nchi gani hv
@reginaemanuel8994
@reginaemanuel8994 Ай бұрын
Tz
@zuberiismail2972
@zuberiismail2972 Ай бұрын
USA
@azzaalmalki41
@azzaalmalki41 Ай бұрын
Arusha ni nchi ndani ya nchi ya tz😂😂😂😂😂😂
@AbdillahSalimu
@AbdillahSalimu Ай бұрын
Mimi nimeshangaa sana Mkuu wa mkowa kuondoka kihuni hivyo nakuachataharuki kwa wanamkowa.sijui Kama ndio taratibu zao
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Ай бұрын
Kaondoka kihuni??!! Hivi viongozi wote wanaoendaga likizo huwa wanatangazaga??!! Mbona wabongo manachekesha??!! Waliozusha ni wale wale!!!
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur Ай бұрын
wewe huna marinda wewe ni shoga
@HildaMacharia
@HildaMacharia Ай бұрын
Una uhakika?
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z Ай бұрын
Ni kweli dada
@rashidissa5887
@rashidissa5887 Ай бұрын
Ulikuwa ni mpango tu kupima umaarufu wake. Jee, umefanikiwa kiasi gani?
@brianshomi722
@brianshomi722 29 күн бұрын
Watu wenye ufahamu wameshajua nini kilikuwa kinaendelea😂
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 Ай бұрын
Wewe mdada unazingua, kama hamkuwa na taaruki, lkn mlijua kinachoendelea mitandaoni mbona hamkutoka hadharani mkasema? kama mnajua aliko?
@mcback4384
@mcback4384 Ай бұрын
Huyo mama wa Kwanza ana matatizo ya akili, Arusha ilikua kwenye taharuki, yeye ajiongelee mwenyewe lakini asituongelee wakazi wa Arusha sababu sio msemaji wetu
@JanethSwai-i3d
@JanethSwai-i3d Ай бұрын
Walihoji mwendawazimu
Bike vs Super Bike Fast Challenge
00:30
Russo
Рет қаралды 23 МЛН
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 50 МЛН
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 52 МЛН
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36
Wasafi Media
Рет қаралды 124 М.
AI chip makers battle for dominance | BBC News
21:17
BBC News
Рет қаралды 50 М.
Bike vs Super Bike Fast Challenge
00:30
Russo
Рет қаралды 23 МЛН