JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@RahmaIddi-s2s12 күн бұрын
Subhana Allah 😭😭 Yarrab tustir na vizazi na fitna za duniya... jaman pole sana ndg zetu...magufuli alikuwa hatak bidhaa za nje..anathamini sana vitu vya nchi yake... anawajuwa sana watu wa nje hawatak tufanikiwe Tanzania 🇹🇿🇹🇿 mtihan kwel... Tuombeane Dua kwa sana Mungu atulinde na mitihan ya duniya hii
@chamboChild12 күн бұрын
Pole sana Mfanya biashara Mwezangu Imeniuma sana
@aairraahseif564812 күн бұрын
Pole sana, nafurahi umetoa ushirikiano mzuri, ubarikiwe sana ndugu,usijali biashara yako itakua sawa
@linusmassawe-f4p11 күн бұрын
Kampuni husika ya mafuta inapaswa ilipe fidia kwa wananchi waliopatwa na athari za kiafya na watu wakafanyiwe vipimo zaidi maana huenda kukawepo mazara zaidi wanasheria walichukue hili
Temeke kwakina Usthadhi Kishiki Allah awajalie dawa ya kuwaponya maradhi hayo mpate shifaa ya haraka katoi masikini
@hanifa915312 күн бұрын
Watu wasitumie tena mafta ya nje jamani tumieni mafta ya alzet ni mazuri hayana cholesterol Alhamdulillah Tanzania yetu tumebarikiwa na wakulima wanalima sana zao la Alzet ufta sasa shida inatoka wap😢😢😢
@nantaembanusurupia567412 күн бұрын
Yana cholesterol sana😮
@hanifa915312 күн бұрын
@@nantaembanusurupia5674 mafta gani yana cholesterol!??
@saidyambally463211 күн бұрын
sisi kwetu alizeti lita elfu 8. ebu nambie
@fatumahamadi137911 күн бұрын
Kw kweli ALLAH Atulinde n Maadui wasiotutakia Mema Si Mafuta tu Hat Mbolea z nnje sio nzr mbegu z kisasa dawa z kukausha majani mi TISHIO kw Africa nzima Jamani tutumie vitu vyetu vya Asili vitu vya nnje Hatari hasa Vyakula hili tatizo lichukuliwe Hatua
@hanifa915311 күн бұрын
@@saidyambally4632 kwenu wapi kaka zao hilo liko kwa wingi nchini yaan matajiri wa nje ndo wanatumia mafta ya sunflower alafu nyinyi masikin mnaolima hilo zao hko kwenu mnatumia mafta ya hovyo ya nje mtakufa wote cku moja ama mpate ulemavu ndo mkmbke shuka kumekcha
@QuteZani11 күн бұрын
Dah mungu awaponye ndugu zetu😢
@AminaJuma-g2f12 күн бұрын
Subhanllh jamn poleni mungu awasaidie
@madamloveness727412 күн бұрын
Wale wapenzi wa mafuta ya alizeti ya nchini kwetu endeleeni kutumia ni salama kabisa
@NeemaJumanne-h5d11 күн бұрын
Kabsa yani
@Jamalybella12 күн бұрын
Turud kwenye mafuta ya alzet jamn daaah Allah atunusuru pia awape sahali Inshallah
@Kalssambabo-gv6uh12 күн бұрын
Afuu mambo mengine tujitegemee tz yetu hivi vitu vyakutoka nnje sio vizur
@Ayuminchasi12 күн бұрын
Kabisa alizeti imejaa Tanzania
@victorianganyagwa246712 күн бұрын
Ktumia mfuta mbl na yaalizet nilishasahau kitambo San Yan alizet ndo mfuta yang
@Kalssambabo-gv6uh11 күн бұрын
@@Ayuminchasi hata karanga zinamafuta mazur tuuh nazi pia tunajumiza wenyewe
@Ayuminchasi11 күн бұрын
@Kalssambabo-gv6uh kabisa mm nikiwa nyumban Tanzania natumia mafuta ya alizeti pamoja na karanga kwenye chakula sinunui mafuta mengine
Mwende hospitari athari isije ikawa ndani na ngozi
@Fathasssane-vs2th12 күн бұрын
Mafuta yalikua na sumu sumu isipo uwa inatabia ya kutoa ngozi iwapo imepata kupozaa huku kwetu alikuepo mzee alikuala kuku aliekula panya aliekula sumu akaambiwa usile kuku huyu amekula panya alie na aumu alijibu sumu haiyuwi mara mbili kili mkuta sasa mwili mzima ulitoka ngozi Allah atulinde
@faridhamad367812 күн бұрын
Allahumma Amiin 🤲
@KieranNjoroge-r1t11 күн бұрын
Weee
@AnnamaDavid-e7n9 күн бұрын
Daa bonge la story😂😂😂😂
@Fathasssane-vs2th9 күн бұрын
@@AnnamaDavid-e7n weee hatar nilimshuhudia huyo mzee ni jiran kuku alie baki alitupwa na sufuria yake 😂😂ilikua kipindi cha 2001 nina miaka 8 ila sisahau hadi leo mzee alikua hoi
@DianaMosha-y8c11 күн бұрын
Pole baba angu
@rehemaAthuman-s2d9 күн бұрын
mungu mkubwa jamani kwa ili wameshinda maana dar matukio ni mengi ,,ayo mafuta pengine yalitaka kuuwa watu tuu ,ila wameshindwa mungu ameipooza iyo sumu ,
@AlexMkwama12 күн бұрын
Bwana yesu ponya waathirika wote. MJI WA RAHA TV You tube
@HafidhHafidh9612 күн бұрын
Mbona hio ngozi ya mtoto imetoka kama ngozi ya nyoka au imewekwa sumu ya nyoka😢😢😢 subhaallh
@eliyasanga637410 күн бұрын
Vitu vingi vina kuwa vimehalibika January hii siyo nzuri kabisa
@naimamalekela81211 күн бұрын
Mungu wangu
@fazo-kl9fu12 күн бұрын
Ata linalo hoji haliulizi nimafuta gan watu watu waepujane nayo
@theresaelizabethelijah11712 күн бұрын
Makubwa 😮 twambieni majina yasije yakafika kenya 😢
@ayububakari99429 күн бұрын
Huenda yametoka kenya
@theresaelizabethelijah1179 күн бұрын
@ayububakari9942 mtukome jmn mwatuonea sana 🤣🤣🤣🙌
@Rebeccanjohn12 күн бұрын
Poleni sana 😢😢😢
@WardaYousuf-g2n12 күн бұрын
Subhana Allah
@dayana5513story12 күн бұрын
Poleni
@MwantumRashidi11 күн бұрын
Mangi wasimlaumu hata
@YasminaMkali12 күн бұрын
WAPENDWA. KWA WALE WOTE WALIO ATHIRIKA NA HAYA MAFUTA YA KULA, INABIDI, WAKAPIMWE FIKO, TAFADHALI.
@NaomiCharles-f4l11 күн бұрын
Fiko ndo nini😂😂😂
@TatoTato-t7s11 күн бұрын
@@NaomiCharles-f4llabda alitaka kusema figo
@MusaJuma-y6s12 күн бұрын
Jamani mafuta hayo Ili yatumike tbs lazima wajiridhishe je yameingiaje madukani
@EdithaEditha-z3s12 күн бұрын
Mmmmh mungu wangu
@aminatanzanya747512 күн бұрын
Daaahh.!?poleni sana wahanga wte hayo mafuta yakatwaze mar moja
@Sharifajafari-ys6gx12 күн бұрын
Tupeni jila la ayo mafuta jamani eeee
@gloria599011 күн бұрын
Ningependa kujua wizara ya afya imefanya nini na hili jambo. This is a serious case!!
@MohamedKaburu12 күн бұрын
Nchi ngumu hii sasa ma tbs wanafanya kaz gan mpka bidhaaa inawafikia waraji
@Mrmohadi.OFFICIAL12 күн бұрын
Hii yote kwa sababu atuna raisi 😢
@fathiyakhamis127012 күн бұрын
Kwann usiwe ww Rais @@Mrmohadi.OFFICIAL
@RoseMichael-oz7cy12 күн бұрын
@@Mrmohadi.OFFICIAL hatuna nn? sa tufanyaje mkuu
@fatmaOmmy12 күн бұрын
Hilo nalo neno hii inawahusu tbc
@leokamil628412 күн бұрын
Wapo holyday uongozi mbovu rushwa tupu
@EDNEEBAKER12 күн бұрын
duh MUNGU Awasaidie wahanga wote
@Liyale_Kid_Gold8 күн бұрын
napendelea sana kula wali na maarageee 😁
@FrancisNgomaitara12 күн бұрын
Au mafuta ya transformer
@omarydololo171710 күн бұрын
Mwenyeduka akamatwe asiachiwe
@julianapeason625412 күн бұрын
hivi mtasema jina la mafuta au hamsemi????? maana iyo ndo point hayo mengine hatutaki kuyajua
Mwehu huyu mwenyeduka ndio kayatengeneza hayo mafuta?
@OliverGodwinzakaria11 күн бұрын
Polen sana
@RahmaMgoo-v7y12 күн бұрын
Jamamni😢😢😢
@AbdallahKwasha-o5o11 күн бұрын
Dah hiyo hatari sana
@FrancisNgomaitara12 күн бұрын
😂😂watu wa dar wanapenda chapati na maharage
@claudia150012 күн бұрын
Tbs wapo au wamehama nchi?na mwenye duka ni mstaarabu sana sema bahati mbaya imemkuta
@leokamil628412 күн бұрын
Yamwagwe hayo mafuta kwa huyo Mangi aliyemuuzia amrudishie fedha zake. Serekali ipo kwenye kampuni nchi imekuwa hovyo kabisa. Washikwe waliohusika washenzi wauaji
@deonicemollel420510 күн бұрын
Sasahivi hii dunia hakuna hili wala lile kila kitu kimekuw na madhara😮
@Neemav-c5i10 күн бұрын
Kosa lipo TBS tunalishwa sumu Sana, viongozi wanajua vyakula visivyo na madhara, wanakula hawaugui lakini wananchi tunakuwa kama Wanyama pori. Mungu atawahikumu Kwa hakika
@AminaLibisa12 күн бұрын
Duuh poleni sana ni kampuni gani ayo mafuta
@leokamil628412 күн бұрын
Wenye wajibu wapo kimya kama hakuna kitu kilichotokea .Rushwa tupu muizi wa kuku yupo jela muuza sumu analindwa
@philemornmutta15979 күн бұрын
Kamatani hao wahojiwe yametoka wapi na Kwa nani mzalishaji
@Shekhahamed-v2f11 күн бұрын
Nahic Kuna mdudu. Aliingia kwenye mafuta
@MauFundiElectronics11 күн бұрын
VIONGOZI wapo dodoma kwenye mkutano wananchi uku wanateseka kwa sumu zilizo wekwa kwenye mafuta aiseeee hii ndo Tanzania.
@adiaygo854611 күн бұрын
Sasa hayo ya Dodoma na ugonjwa wapi na wapi
@SaidiRajabu-n4c12 күн бұрын
Chapati nne daa mwanangu una hatari
@mwatangachuma906912 күн бұрын
Nilikuwa naitafuta hii msg
@Carolina-sm5zt12 күн бұрын
Poleni jamani ni mafuta gani hayo tena
@omarydololo171710 күн бұрын
Hakuna Cha bahati mbaya
@NungulaRais10 күн бұрын
Hii hatar sna
@ShazmaRamadhan-w4o11 күн бұрын
Mimi mwenyewe nimewashwa maupele yametoka mwilini
@demicratia407112 күн бұрын
Jamani so lazima awe MANGI BALI WALIOMUUZUA LAZIMA ICHUNGUZEE YAMETOKA WAPI HAYO MAFUTAAAAA CHUNGUZWEEERRR
TBS haifai kwann wasiwe makin kwenye ukaguzi wa bidhaa
@TusubilegeMwanyonga6 сағат бұрын
Yanaitwaje hayo mafuta
@DativaMbowe11 күн бұрын
Point tunaomba jina la mafuta nasisi tujue
@NethrinePaul11 күн бұрын
Sasa tbs wanalipwa kwasababu zipi
@ZainabIssa-r7c12 күн бұрын
Maskn katoto kabonge kamebabuka
@AwaziRajab10 күн бұрын
Aya Mafuta Yanasababisha Watu Kutokubusiana Jamani Serikali Iwe Kali Kwa Wafanya Biashara Halamu Kwenye Taifa Letu
@HanifaOman-oo4pl12 күн бұрын
Nje ngozi ipohivyo jee ndani yatumbo?😭😭
@FatmaMatenga12 күн бұрын
Du mungu nirindie familiar yangu
@romeotz-v2n11 күн бұрын
TBS kazi yake nini kwani
@Shen_tz12 күн бұрын
Duuuh jamani sasa haya mafuta itakuwa shida nn jamn poleni kwa wapambanaji
@annabyekwaso-wt7oi11 күн бұрын
Hayo mafua jina ni lipi tutajua?
@Sharifajafari-ys6gx12 күн бұрын
Jamani watatu maliza
@fazo-kl9fu12 күн бұрын
Ni mafuta gan
@elinurukitomali600812 күн бұрын
Yanaitwaje jamani
@McwaDunianzima12 күн бұрын
😢😢
@aminahamadi719812 күн бұрын
Uyo mwenye duka anajua.
@colletatesha526512 күн бұрын
Anajua nni na wewe
@salmanassor873212 күн бұрын
Yeye mwenyew kanunuwa tu afanye bi ashara sasa anachojuwa nn kwan kayatengeneza yy?
@AishaMwarabu12 күн бұрын
Mh iyiatali
@JosephJackson-f1s11 күн бұрын
Mafuta ni alizeti sahv haya ya nje haya fai
@HabibuHoseni-sv8hd12 күн бұрын
Weakness of d gvnt hii ni aibu khaaa effect ya product za vyakula wher ar tbs aibu aibu asee khaa we ar so poor ndg zang yaan magonjw yazuke kwa mamb mengine vyakulaa ni aibu kubwa tbs wanafany nn duuh asee hii ni hatar sana kwa hii gvt yet mitano tena
@leokamil628412 күн бұрын
@@HabibuHoseni-sv8hd 💐
@GeorgeElias-p5o12 күн бұрын
Tbs ipo wapi..!!? Na hayo ni mafuta ya kampuni gani..!? Na hatua gan za kisheria imechukuliwa.. AFYA NDIO KILA KITU HAPA DUNIANI MBONA MNAFANYA KOMEDI
@hamisyiddy158611 күн бұрын
Ni mafuta ya Aina gani? Kweli tanzania hakuna madipota
@aairraahseif564812 күн бұрын
TBS inawahusu hii Kwanini hata huko aliko chukulia mafuta pia wazuie yasiuzwe yatekelezwe ili kuepusha madhara! Na hata huko yanakozalishwa wafatilie ikiwezekana yasiendelee kuzalishwa, kama ni kutoka Nje ya Nchi basi yazuiwe yasiingizwe,ili kuepusha madhara zaidi, kinga ni bora kuliko tiba
@leokamil628412 күн бұрын
Viongozi hawajali raia wao ilitakiwa wawe mstari wa mbele kwenye hili ila wapo Dodoma kwenye bata
@aairraahseif564812 күн бұрын
@leokamil6284 kweli kabisa,thamani ya binadamu imekwisha
@FrancisNgomaitara12 күн бұрын
Mnashauriwa tumien mafuta ya arizeti hamuelew
@hamisyiddy158611 күн бұрын
Kwaiyo huyo magi alinunua mafuta bila kupewa risiti? Hadi wa mkatae kwa ajanunua katika duka hilo? Kwanini risiti hawatoi? Shida hii
@SirajiAbdalah12 күн бұрын
Ngano ndio shida
@HafidhHafidh9612 күн бұрын
Mbona huyu kingozi munae muhoji mbona kama ana kajanga maneno hayo masuli yamwisho kuweni makini pasije lishwa rushwa jamii ikaendelea kuteketea
@LusinaPaul-jm4er11 күн бұрын
Tunaomba serekali ifuatilie hayo.mafuta yaetoka wapi na yapimwe