Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@AbubakarMsham-j5y2 ай бұрын
Maisha nichanga moto sana unapo amuakupa mbana pambana tuu
@LailaLaila-kg2qd3 ай бұрын
Mi niseme alhmdulillah nipo Oman muda sana sina changamoto kwa kweli alhmdulillah 🙏🙏
@FidesMushi-lz3xz2 ай бұрын
Naomba connection dada
@shanimbaruku20713 ай бұрын
Pole zali binadamu Ndio tulivyo we fanya kwa ajili ya Allah ❤
@barakasegugu5494Ай бұрын
Asanteni sana kwa kipindi kizuli sana mnafanya vizuli mno
@Mhg-p5h2 ай бұрын
Hongera sana baba selemani kwakwer mungu akuweka unatujali sana wapananaji wako mimi nipo oman mwaka wa 5 sasaivi inshalla bado mmoja nifunge sita na mafanikio nimeyaona nashukuru mungu
@barakasegugu5494Ай бұрын
Hongera sana zali changamoto hazikosi na huwezi kupendwa na wote Mungu wa mbinguni ata kulipa fanya kaz kwa moyo yatakuja mengi ila yata pita.
@khadejakhadeja97133 ай бұрын
Jamaniii zari zari .mungu .akujaliee kuaandaa hiki kipindi nakupa nauwaa. Yako❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@nattarianny-ey5jl3 ай бұрын
Huy mama anae hojiwa mbn sijamuelew miaka mi nne et bila changamot uongo pia matatizo et unayatak mfanyakaz mwenyew uongooo
@tunuyaomar50173 ай бұрын
Ukiona hivyo ni agenti fake ndio hua wana kauli hizo
@hidayamanda-gk7nf3 ай бұрын
Umeona eee kwaza uyu mama anaonekana kasha alibika kisaikolojia😂😂😂
@talhakibaja83882 ай бұрын
Muongo hyu heti mfanyakazi ndio unaweza kuharbu kazi
@nattarianny-ey5jl2 ай бұрын
@@tunuyaomar5017 mi alinitia hasira Kuna watu wanateseka na Awana msaada Alf anasema et mfanyakaz ndo anasababish matatizo inawezekana Hy mama yeye n agent
@RahmaOmar-k3cАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂@@hidayamanda-gk7nf
@Khadijah-gy7juАй бұрын
Mimi nashukuru mungu nakalibia kumaliza mkataba ishu ni mshahara mdogo kazi nyingi
@GdFf-ik2eo3 ай бұрын
Ma sha llah zali.umependeza sn ulivyojifunika dumu na stara mdg wangu
@KhadijaMasoud-m6uАй бұрын
Salum mungu akuzidishie na dada Zari mungu awaweke
@111dudiАй бұрын
Huyo msichana kasema ukweli ingawa Zari anamsukuma alalamike au aseme uongo. Hongera msichana.
@AbubakarMsham-j5y2 ай бұрын
Ukwel nikwamba ma Agent wa tanzania nijanjajanja but uyo mzee mungu amjalie sana anautu sana mungu akueke mzee seleman
@marthajohn91203 ай бұрын
Kaka sele big up kwa mm upande nashukuru Mungu sana nilipokelewa mjengoni vizuri na kupata kazi Alhamdullilah
@laylayl51663 ай бұрын
Jamani kila pahala kuna changamoto hata huko tz changamoto zipoo lakini kwakweli kunawa dada wengine wanakwenda oman. Hawana shida ya kazi wanafanya mambo sivo ndivo japo ndio wapo mabosy wakorofi lakini siyo wotee
@NayratDarwesh2 ай бұрын
Pole dada zari kwa yanayo kukuta mwenyezi mungu akulinde na kila shari na kila mabalaa usiogope dada angu ndo binadamu hao hawabebeki
@RenaldaZeramula2 ай бұрын
MUULIZE HIYO 80 NA 90 RIAL IMEPITA MIAKA 10 ILIYOPITA. IWEJE WEUPE WALIOWE 160. WTZ WALIPWE 80 HADI 90 KISA WEUSI RANGI ZETU
@AminaTanj2 ай бұрын
Pole sana Zali Allah akuafidh❤
@khadejakhadeja97133 ай бұрын
Hapo kwa kumrudisha Rahma. Seleymani na mwaminia hongera baba Seleymani❤❤❤❤❤
@MadinaIdd3 ай бұрын
Asalamu Alaykum Warahmatullah wabarakaatuh kaka mudi ni mimi madina nashkul sana kwa kunisaidia na hapa nilipofikia na huu nipo mwaka wa 5 alhamdulillah pamoja na agent wangu wa oman nawaombea dua allah awahifadhi allahumma amin ❤
Jaman mbona tupo miak mingi sana sijapata matatizo yoyote na Kwetu tanzania kukitokea matatizo msiba nasafiri sina manyanyaso wala shida yoyote na bado nipo nitaendelea kuwepo
Hawa wafanyakazi hawajapitia magumu, watu wanapigwa hadi na vibao vya chapati wanalala stoo 😢😢
@husnathabiti41143 ай бұрын
Ndio ivyo
@dorcaskidoti2493 ай бұрын
😢 Na bd limtu linapinga na kusema kila mtu anaishi vzr inakera sana
@hidayamanda-gk7nf3 ай бұрын
ACHA tu ndugu ila Kuna watu wanaojifanya wanapinga
@AbasJeilan-ns8yp3 ай бұрын
@@dorcaskidoti249jaman mm hapa kuna kesi nafuatilia ya manyanyaso lakini sijapata msaada bado napambana mwenyewe
@AhmedMohamed-zj8hi2 ай бұрын
Habari hapo ndg zang. Samahani naomba namba ya mzee Suleyman na huyo agent Moud
@umranim58543 ай бұрын
Huyo msichana hana hijabu kuongea point ni kweli kila Mahala kuna changa moto hata Tanzania kuna changamoto nyingi mpaka mauaji kubakwa ila wengi wanakwenda huko kufata umalaya tu kazi hawezi Oman wana pewa mshahara laki 7 mpaka 8 lakini hawana shukurani na midomo tu wamebarikiwa
@MonicaAgapitiBruno3 ай бұрын
Nyie amka pitia magumu Kuna watu wananyimwa adi kula uku wanaoigwa na kunyanyasika Sema tu sio wote kifupi uku Kuna Changamoto Sana 😊
@ZainabLol-wx7xf2 ай бұрын
Uncle Suleiman tunakupenda ❤
@nattarianny-ey5jl3 ай бұрын
Kiinua mgongo ni nini?
@AdinaJuma3 ай бұрын
Wew dada ulisema ujapitia changamoto yeyote sasa mbona hatukuelewi
@salmaalkindi57353 ай бұрын
Sawa sawa wanavyosema hao kina dada haoliopo hapo studio
@TatuSaid-lq2zh3 ай бұрын
Awa wanawake wanaojiwa ni matahiraa
@lailafakhihaji3 ай бұрын
😂😂😂
@omanhairat42773 ай бұрын
hmm unaambiwa uongelee kuhusu huku unaazaje kuongelea kuanzia matatizo yako kifamilia hmm
Amina tumemchangia katika group La UMOJA ACIOSION kazikwa kwao mwaza
@ayshasaid15472 ай бұрын
@fatemafatemamubarak3965 sio wajuzi yupo mwengine kaacha mtoto mmoja bint kazikwa hapa 🇴🇲
@khadejakhadeja97133 ай бұрын
Mimi nakuombea ZARI mungu akujalie na moyo huo huo Tatizo binadamu hatuna akili ukiona mtu .anapaza sauti ZARI. Endekea mimi nakuombea sana Love❤❤❤❤❤.ZARI
@Fofo-z6t3 ай бұрын
Hao wanaotetea warabu jmn😢😢hivi wako sawa
@hidayamanda-gk7nf3 ай бұрын
Awako Sawa wanamatatizo yaakili
@maryammo-gd3me3 ай бұрын
Ndug yangu inategemea namtu anapofanya kazi kama sehemu Iko poa kwanini asiwaseme vizur
@MariamJuma-pe4sy2 ай бұрын
@@hidayamanda-gk7nf😂😂😂😂😅
@SinaHafidhi3 ай бұрын
Mabosi wengine hapendi hata mfanyakazi kutoka Nnjee
@SihabaAbdallah-li6dx2 ай бұрын
Kweny intranet una wajulisha vipi
@mariamhakim14632 ай бұрын
Mimi pia nilipitia thaus Afrika mwaka 2019 ilikua mwezi waramathani
@bakarimwabua16633 ай бұрын
Waarabu wanUnyanyapaa
@Fatuma-p9y3 ай бұрын
Mimi nilishapewa pesa yangu nilikua sijakuja likizo wakanipa pesa yangu ya tiketi bosi wangu alikua mtumzuli nilifanya kiaka 6 nilipo ondoka pia nililipwa pesa yangu reyl miambili kusema kweli kunawatu waugwa wanaofu ya mungu adileo naendaga kusalimia bado kama nyumbani napokelewa kama binti yao nakula nalala na pesa ya nauli napewa reyl 30 saingine reyl 20 utajiuliz kwa nini naenda kutembelea sababu niliondoka kwa bosi nilipata mchumba nikaolewa na wao ndo walisimamia shuuli yangu kama mtoto wao bilaubaguzi bila iyana kwaiyo siowote wanatesa wafanyakazi baadhi kamauko tz kuna wengine mbona wanatesa wanyakazi tena wasichana wadogo utasikia mama ajanipa mshalaa tena unakuta mshaala erufu 40 pengine 30 bado amlipi siouku ukouko tz wenyewe kwa wenyewe
@KhadijaMasoud-m6uАй бұрын
Huyo dada Mtu anae hojiwa mwengine tn mtu mzima yy anadakiya na muda wk bado hiyo sio adabu
@bas28233 ай бұрын
ABSOLUTLY WRIGHT VERY TRUE👍
@AminaTanj2 ай бұрын
Muulize alitolokaje?
@ShemsaKiobya-x8h3 ай бұрын
Da zari naomba namba za agent
@LamaribamJumbe3 ай бұрын
Daaa Aisseh Mie nina Mtihani Apa ninapo fanya Kazi Wallaah Dua Zenu wapendwa
@KhadijaMasoud-m6uАй бұрын
Mwisho wa siku ukipata matatizo unakosa msaada wowote
@fatmamansour27643 ай бұрын
Dada zai M.mungu atakuhifadh na kila shari achana nao hao wapuuzi
@MariamJuma-pe4sy2 ай бұрын
😂😂😂😂
@zuwanahemedy91703 ай бұрын
Ss kwa ushauri wangu wa tz tufanye mgomo tusiede kwa warabu tupambane kwetu
@zuweinaalhabsya87733 ай бұрын
Mgomo WA nini kwani Kuna anaewalazimisha mje huku.
@shamzone3883 ай бұрын
Bora mupambane na kudanga inalipa sana mwisho kuuliwa
@alialmahrooqi969411 күн бұрын
Fikra nzuri mzizi wafitina utaisha
@FelistaMatindi3 ай бұрын
Naomba namba za huyo selemani plz
@bas28233 ай бұрын
ABSOLUTLY WRIGHTS" U TALK THE TRUTY" VERY TRUE"👍"
@HanifaOman-oo4pl3 ай бұрын
Mm.nashukuru nimedai nimelipwa kiinua mgongo miezi miwili2 Allhamdulillah. Wengiwao wanaogopa kuwaambia ukweli maboss wao nandiyo maana hawapewi
@zohoraramadan45403 ай бұрын
Umekaa miaka mingapi
@mahijjaeidi91443 ай бұрын
Hongera mm myaka 10 hata kinuwa mgongo sijapewa hongera
@nattarianny-ey5jl3 ай бұрын
Kiinua mgongo ndo nn
@HanifaOman-oo4pl3 ай бұрын
@@nattarianny-ey5jl kiinuamgongo ni pesa ukimalizamkataba wako wakufanyakazi miaka2 inabidi boss akulipe wwpesa yamie miwili lkinihapo namsikia sele anasema ya mwezimmoja
@HanifaOman-oo4pl3 ай бұрын
@@mahijjaeidi9144 Pole sana uwenda ulikua hujui nahawa ukinyamaza nawao wanajua ila wananyamazakusudi. Mm miaka2 tu nikawaambia.walilalamika hao wakataka wanipe.yamwezi nikakataa. Ndiyo wakasema nebda ingine yamwezinitakutumia ndiyowametuma tz. Hanimeruditena nikimaliza kamakawa lnshaallah. Hapapesa.yamshaala.usipokomaanao. hawakuongexi
@KhadijaMasoud-m6uАй бұрын
Hili kweli wakala feki unaondoka fasta tu
@faridaally-jp1gx3 ай бұрын
Mimi nashangaa waraabu wabaya sasa wanaenda oman kufanya nini wakae kwao watulie msiende oman
@piliramadan8753 ай бұрын
Mashaallah mashaallah
@Reyla2553 ай бұрын
Huyu Aly ajent wa Rahma ni Ally yupi?
@TatoOman-s5t3 ай бұрын
Huku sio kutegeneza story dada tupo wengi dad tulopitia mikiki
@LamaribamJumbe3 ай бұрын
Mie namshukuru Boss Sele Halinisaidia nilipoenda Ubalozi Nawashuru kwa Kweli uongozi wa Ubaloz
@HusnaBwire27 күн бұрын
Naomba unisaidie namba ya kaka sele
@omanafrica77303 ай бұрын
Sema kweli sisi tunaoenda huko ujue kwanza kilichokupeleka utakaa lakini ukiwa umekuja kwa ajiri ya starehe basi
@LailaLaila-kg2qd3 ай бұрын
Kiukweli kwanza ni waoga sana ata ukishamkataa tu aludii tena
@talhakibaja83882 ай бұрын
Hawa wote walienda hawajielewi
@Jassmin-media-official3 ай бұрын
Zari mbona huyo Baba unamuita sanaa Baba Baba eshima imepitiliza mzungu ukimuita Baba anakwambia hajakuzaa usiwe na heshima ya woga Dada
@moddysunshine66183 ай бұрын
Inaonekana Mtangazaji unataka kusikia mabaya tu. Hutaki kusikia watu walipata neema pia
@ZulfaZulfazulfa-j7c3 ай бұрын
Mm nakupenda sana zar siku zote mm nakuku bali sana tena
@salmauae22612 ай бұрын
Mimi uyo fatma alinipitisha kenya uyo ambae mko nae
@HeryethAleck3 ай бұрын
Hivi taesa toka 2009 duh mm nikajua imekuja juz tu😂
@ayshasaid15473 ай бұрын
Mimi nipo na mkataba passport yangu wameninyanganya na bataka yangu wanayo je hii ni haki nipo 🇴🇲
@rommybravo3 ай бұрын
Miezi sita ni under probation huo mkataba anytime unavunjika ila ikipita miezi ni ngumu kuvunja mkataba
@OtiliaPius-dr1be2 ай бұрын
Dada zari tunaomba namba ya kaka Sele na huyo Kaka Muhamed kunawatu wanahitaji kwenda hofisin kwao kwaajili ya kazi
@victoriamaige28623 ай бұрын
Siyo kweli ht ufanye mazuri inategemea boss uliyempata
@AidathRweyongeza3 ай бұрын
Mm naomba namba yake ili tuweze kusaidika
@saidmasoud90043 ай бұрын
Dada Zari hakuna mfanyakazi anaweza kuachwa na njaa Oman. Wengi wao sio kweli.
@kamarhelo3 ай бұрын
Wew kaa kimya mim hapa napika na sili mpka wao wale wakati huo wamekaja ndani wanakula matunda keki yani kwa kifupi hawakai njaa anamwambia hakuna kula mpka watu wote wale kwaio usiongee kitu ambacho hukijui
@dorcaskidoti2493 ай бұрын
😂 Ivi viherehere vya kuongelea maisha ya wenzio nn ?? Kila mtu anapitia maisha tofauti tofauti ebu kimiya uko nyau ww tena kmy
Saida saida saida masoud nakuita mara tatu dada usimalize manen watu hawafanan mm niliend kumuona mfanyakazi wallah utaliya kula hapew na simu piya hatakiw kutumiy na wala hatakiw hata kukaa kitak kwahiy ww uliye Pata sehem ambay Ina aman bs funga mdom wak sabb hujamaliz mwend
@hidayamanda-gk7nf3 ай бұрын
Sio razima uongee kama una chakuongea shez nin we unajua mabos Wote Wana roho Sawa au unaropoka tu
@Mwanaisha-hs3uxАй бұрын
Mh da zali mi napitia changamoto
@mog7913 ай бұрын
Siyo kweli anayo Sema Kwamba kwenda huko salala wala hata hawakuambi😢
@TatoOman-s5t3 ай бұрын
Huku sio kutegeneza story dada tupo wengi dada
@Mariam-l3g4j3 ай бұрын
Kk suleman ndio mtetezi wetu Kwa Oman hao wengine wote hawana msaada wowote
@KhalfanSalim-v1x24 күн бұрын
rial 40 sio laki Moja nanusu iyo pesa karibu lakitatu dadaang
@محمدمم-م8ي3 ай бұрын
Jamani eti mtu akimaliza mkataba na hataki kurud nyumba i nataka aendelee lakini sio hapo je atalazinishwa kurud tz
@عاىشةالصبحي-م6ه2 ай бұрын
Jamani mimi nipo oman nimeitiwa kazi yakupika chakushangaza nakosha magari,paspt wameninyanganya kulala saa nane usiku jamani nateseka
@zaitunomar542 ай бұрын
Asalaam ghalayikum
@rayahamisi1183 ай бұрын
Shida na zipo kila sehemu akuna sehemu utakuta rahaa tupu ata kwenye ndoa ata kwenu shida shipo kwenye raha nipeponi tu
@SinaHafidhi3 ай бұрын
Kaka suleiman. Ongea Ukweli mabosi wengi hawapendi kusafiri na Wafanyakazi. Wao
@MwanaHussein-s2n3 ай бұрын
Hao wa Dada apo studio wafunge waache uongo Kila kazi zinachangamoto
@salmaalkindi57353 ай бұрын
Hao wanaosema wameteswa waongo sana
@sistertrashid24883 ай бұрын
Changamoto zipo Ila na mafanikio tunayapata kwakweli kwa upande wangu nimekua mfano wawengi wengi wamekuja mimi nimekua KIOO Chao nikisema KIOO yaani wengi wanatamani mafanikio yangu na wao wanakuja
@rayahamisi1183 ай бұрын
Akuna kitu kisichokuwa na changa moto
@sistertrashid24883 ай бұрын
@@rayahamisi118 kweli kabisa Kila kazi inachangamoto zake na Kila mafanikio yana historia yake iwe nzuri au mbaya hakuna mafanikio yanakuja kirahisi rahisi tu
@laylayl51663 ай бұрын
Halafu tuwe tunasema na mazuri piya siyo mabayatu tugeukie na upande wapili
@sistertrashid24883 ай бұрын
@@laylayl5166 kweli kabisa kipenzi wengine alhamdulillah tumenufaika na kazi izi tumeheshimika kwa kazi izi tunajikwimu mahitaji yetu kwa kazi izi
@zainabuhusseinАй бұрын
Jaman m Nataka Kuja huko ila Natak nipate ofisi za mzee seleman ziko wapi
@mwanaidimbwanamwakuro58843 ай бұрын
Hao maajent nimatapeli watanzania
@KhairatiSulemani-t6d3 ай бұрын
Heee namuona kaka mudy ❤
@MbarakHaruna3 ай бұрын
Kajifunze kuongea kwanza huna hata sifa ya kuiliza maswali