KWA MARA ya KWANZA CHADEMA WAPANDA SGR - WAFUNGUKA - "SIYO KILA MRADI wa SERIKALI UNAPASWA KUPINGWA"

  Рет қаралды 8,747

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 62
@globaltv_online
@globaltv_online 10 күн бұрын
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO 🔥🔥 chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 10 күн бұрын
Hahahahaha bado mtasema tu Mungu ibarik Tanzania , Mungu Mbarik SSH na wote wanao msaidia
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 9 күн бұрын
Mungu bariki serikal
@ShesheKaoneka
@ShesheKaoneka 10 күн бұрын
Chadema wapuuzi, kila kitu huwa wanaponda huo ndio upumbavu mnaolalamikiwa sio vinginevyo, wajirekebishe wataeleweka sio kuponda kila kitu.
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 10 күн бұрын
Cha ajabu huwa hawatoi ushauli Mimi huwa siwaelewi labda vision zao ndogo😂😂😂😂
@kanoleausi4204
@kanoleausi4204 9 күн бұрын
Hao wote ni wamoja. wakiwa bungeni ndio wanapitisha mipango ya nchi . siasa si uadui
@rahimzuberi2673
@rahimzuberi2673 10 күн бұрын
Ikiwa bwawa la mwalim nyerere mlilipinga sgr ingeendeshwa vipi wapinzani wa tz ni wapuuzi tu
@aminitaycoon
@aminitaycoon 10 күн бұрын
Yaone sasa ivi yana furahia matunda lkn kipindi serikali imeamua kufanya, kutwa yalikua yana shinda yana ponda tu
@evelina9621
@evelina9621 10 күн бұрын
Nyinyi.çcm.nyerere.alisema Cheo.zamàna.leo.kwako.kesho.huna.mogope Mungu Mtusi.vurugu Acheni.wanaccm
@MtanganyikaTanganyika
@MtanganyikaTanganyika 10 күн бұрын
Mbuzi huyu Hana akili lazima tutofautiane mawazo na tukubaliane mwisho
@KamiliKapeta-yr3uc
@KamiliKapeta-yr3uc 10 күн бұрын
Kenge aoo
@allymusira2153
@allymusira2153 10 күн бұрын
Halafu mkipanda majukwaani mnatukana na kubeza kuwa hakuna kilichofanyika
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 9 күн бұрын
YAME KAA TU YANAKURA AC YA MAMA AF KWENYE MAKUKWAA YANAMTUKAN 😂😂😂😂😂 YA ONE KWANZA HAYANA ATA AIBU😂😂😂
@salmanmagwe2612
@salmanmagwe2612 9 күн бұрын
😂😂wewe jamaa umeniacha hoi
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 9 күн бұрын
Wahuni tu Hawa mwamba anaanza miradi mkakati wakawa wasema wanataka maerndeleo ya watu sio vitu acheni ujinga wenu ccm wapiga kazi ona wamevimba utazani wapo kwa vibaraka wao wazungu kudadeki !!!!! Mama piga kazi sisi tunaendelea kipambana mitaaani
@kostajoseph5811
@kostajoseph5811 9 күн бұрын
WANAANZA KUA WAZALENDO , SAMIA MITANO TENA
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 10 күн бұрын
Haya majamaa bwana tayari yatakuja na jambo ringine tena la kukosoa 😂😂😂😂😂
@robertzamani5612
@robertzamani5612 10 күн бұрын
Na wao ni wananchi wanatakiwa kupanda hiyo treni
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 9 күн бұрын
Kwaiyo pale wanapo pinga kila jambo la maendeleo wanakuwa si wananchi
@husseinloyy1912
@husseinloyy1912 8 күн бұрын
lisu aliwahi kumsema magu kuwa ni raisi wa ajabu leo ameamini kwa nini watz walimpenda jpm mungu mlaze peponi mwana wa tz jpm
@NassoroSipemba
@NassoroSipemba 10 күн бұрын
Maendeleo hayana chama.
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro 10 күн бұрын
Na bado wanasema
@aminattai2676
@aminattai2676 9 күн бұрын
Wanapanda kila siku,kwani unawajua wote wanapanda SGR? inatakiwe iwe hivo wakubaliane na mazuri ya Tanzania kwani ni ya wote,ata ukiwa mpinzani ndio umekuwa mgeni kwenu
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 10 күн бұрын
Watata wamekubali
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 10 күн бұрын
Chadema wanatapa tapa tu
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 9 күн бұрын
Bado hamjasena na mtasema yani mpaka mseemeeee hapo baaadooooo
@stateofart1089
@stateofart1089 10 күн бұрын
Baada ya muda kidogo utasikia wamehamia CCM
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 8 күн бұрын
Mpunguze matusi watanzania tutawaelewa
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 9 күн бұрын
Mnapenda kukosolewa tu au kikiwa kitu nzuri tunasema
@OscarAsukenie
@OscarAsukenie 10 күн бұрын
Watu wanasafiri kwa sababu kwenye treni hakuna kusimamishwa hovyo, pia usalama una afadhali hasa kwa kipindi hiki cha matukio ya utekaji
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd 10 күн бұрын
Nimeskia Machadema yote yamehia meza yenye nyama, CCM. Mbowe yup Dom tayr.
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 10 күн бұрын
Haki zao
@henryndosi2002
@henryndosi2002 9 күн бұрын
Chadema walipinga na yule machunusi zitto kabwe ndie alikuwa anadanganya waziwazi,
@josephchaba6007
@josephchaba6007 9 күн бұрын
Walisema hakuna kitu
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 10 күн бұрын
WAPINGA MAENDELEO YA VITU!!!, VIVURUGE !!
@afropanorama4730
@afropanorama4730 9 күн бұрын
Ni njaa tu huwa inawasumbua sio kwamba hawaoni maendeleo ya nchi
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 10 күн бұрын
Kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa watayasema Mazuri ya JPM
@ruhindacostantine2092
@ruhindacostantine2092 9 күн бұрын
Shida Yao wanabeza kila kitu hao.Walimpinga pia Rai's magufuli wakati anaanza ujenzi
@willymdeka6034
@willymdeka6034 9 күн бұрын
Aibu zimewajaa hapo
@hasanimkamba8377
@hasanimkamba8377 10 күн бұрын
duu maendeleo hayana chama sema kungekuwa chama kingine hapo ungewasikia chadema wakisema ni ccm b siasa bahna
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 10 күн бұрын
Nyie nae mbona hamna msimamo filam mlisema samia mcheza sinema yani rambo
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 9 күн бұрын
WANAFIK WAKIBWA KWENYE MAKUKWAA S WAGA WANASEMA SERIKAL YA SAMIA HAIJAFANYA CHOCHOTE KO HIYO TREN IMEJENGWA KWA USIMAMIZ WA CHAMA CHAO YAN HAO ILITAKIWA WASIRUHUSIWE KUPANDA HIYO TREN NADHAN UNAFIKI UNGEWAISHA😢😢
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 9 күн бұрын
We akili huna na ndio maana kuandika ni mtihani kwako.
@evelina9621
@evelina9621 10 күн бұрын
Nimaamuzi.ya.vikoo.au.miniti.vikao.vilivyokaa.kubuni.miradi.ndip.kusema.raisi.anayeingia.madarakani.ndiye.kaanzasha.hapana.viongozi.wote.serikali Ndiyo.shina.lenyewe.kodi.,zetu.wananchi.tanzania.sifu.serikali
@EmmanuelNyinyigwa-m1o
@EmmanuelNyinyigwa-m1o 10 күн бұрын
Chadema ni sawa na mbwa Koko. Tangu waliposema mnyika anahuska na mauaji ya Ali kibao. Mpaka Leo wako kimya kama hawapo
@NDEWARA
@NDEWARA 10 күн бұрын
Malalamiko jazz band 😂😂 Leo wameona nchi yetu pendwa inakoelekea kimaendeleo
@danielshauri6390
@danielshauri6390 10 күн бұрын
Chadema chama cha wajinga sana. Wao wanapinga kila kitu , hata chema wanaponda
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 10 күн бұрын
Jamani msiwasimange nawao wamechangia kwa kukatwa kodi.
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 10 күн бұрын
Hawasimangwi ila wanaambiwa ukweli uliopo, wakipanda jukwaani watasema kinyume kabisa
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 9 күн бұрын
Tanzania hakuna mlipa kodi bwana pana wachangiaji tu na walalamikaji hebu tutembeeni tukaone nchi za wenzetu wanalipaje kodi bila shuruti wala mtutu
@timothykaiza327
@timothykaiza327 10 күн бұрын
Kwahiyo mmeamua msome kwakupokezana mtu na demu wake au sio.
@kasomishedrack5027
@kasomishedrack5027 10 күн бұрын
Mko wa hovyo tu nanyi kwani wao chadema hawatoi kodi? Au mradi huu unajengwa na ccm? Pateni hakili za maana.
@fauzseif7344
@fauzseif7344 10 күн бұрын
Ndio ni ccm chadema walibeza rejea hutuba zao za miaka mitano nyuma walitukana miradi ya kipumbavu
@bestman3651
@bestman3651 10 күн бұрын
Hizi comment zinadhihirisha watz bado vilaza sana. Hadi naona aibu nchi yangu kuwa na raia vilaza hivi. Kwani hii SGR ni ya CCM?
@robertzamani5612
@robertzamani5612 10 күн бұрын
Ndio ushabgae Wana akili ndogo za kufikiri
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw 10 күн бұрын
Ni ya serikali ya chama cha ccm
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw 10 күн бұрын
tunae Jemedali Samia Suruhu Hassan Rais bora Africa na simwingine zaidi ya SAMIA HASSAN SURUHUHISHO YA MATATIZO YA WATANZANIA yatakwisha na tunaenda kuwa bora Africa huwezi kulinganisha na viongozi vilaza maendeleo yao ni kula pesa ya saccos pamoja luzuku wanazo pata hawana vision chama hakina majengo ya office ya kwao nikula hela tu. kudai maandamano yasio na kichwa wala miguu.
@TisaMkenda-oj5uj
@TisaMkenda-oj5uj 10 күн бұрын
Kilaza wa kwanza ni ww,,kwani c ni wao walikuwa wanapinga,,pamoja na mradi wa bwawa la umeme,!!
@bestman3651
@bestman3651 10 күн бұрын
@@TisaMkenda-oj5uj nitajie mrombo ambaye si kilaza
"KINDIKI WILL NOT BE SWORN IN BY FORCE" RUTO RECEIVES BAD NEWS FROM COURT
23:00
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 81 МЛН
JOSEPH MBILINYI USO KWA USO NA TULIA WAPEANA MAKAVU LIVE MBEYA PACHIMBIKA
19:56
SABABU SAKATA LA DKT TULIA ACKSON, SIYO WA KWANZA KUSHUTUMIWA
13:22
NAMNA YA KUINGIA JESHI LA MAREKANI | NINI KILINIPELEKEA KUAMUA KUA MWANAJESHI
1:00:05
Official Dating Assistance
Рет қаралды 52 М.
Madaraka Nyerere Hajasema KWELI - Mohammed Said
35:41
Kalamutz
Рет қаралды 21 М.
SGR YA TANZANIA YAWATOA MAPOVU JIRANI  KAZI YA RAIS SAMIA INATISHA
10:22
WABONGO UGHAIBUNI MEDIA PRODUCTION LIMITED WU®
Рет қаралды 16 М.
SPIKA TULIA AFOKEA WAZUNGU ULAYA “NIHESHIMUNI MIMI SIYO MUNGU”
8:51
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20