JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@anosiata824223 күн бұрын
Gadi muya nimesoma comment mitandaoni wanasema dr slaa amekamatwa au ameshaachiwa kwasababu hiyo cripu naona ni mpya
@AgathaNdalichako23 күн бұрын
Hajapata zamana
@anosiata824223 күн бұрын
@ ok
@anosiata824223 күн бұрын
@ kwahiyo bado yuko ndani
@AgathaNdalichako23 күн бұрын
@@anosiata8242 Jumatatu dio analudishwa mahakamani
@kiluiWanguvu23 күн бұрын
unatafuta umaalufu haujui cha kufanya ccm hawakutaki na chadema hawakutaki kwani ni kigeugeu
@schniderlivin23 күн бұрын
Sasa SLAA anatafuta umaarufu gani wakati yeye tayari ni maarufu 😂😂
@zedmsuya42023 күн бұрын
Sasa atafute umaarufu wa nini na yeye siasa hataki tena, ye mwache atoe maoni yake tu
@shukurumaganga-w2o23 күн бұрын
Wewe mchonganishi
@MwangaSA21 күн бұрын
Tatizo la siasa Tz ni Gen Z hawapo kwani katika Hatua za Ukuzi Gen wa Tanzania wako hatua X halafu waje Y na kisha Z tofauti na wale wa Kenya ambao wako Z ni aibu kwa kijana mdogo kama huyu kumhoji Mzee ina maana vijana wa Tz hawajajitambua mpaka watoke hatua X ,Y hadi Z itachukua karne mbili tatizo ni kufutwa somo la Historia na masomo ya Uraia ,Civics Education ,General Studies na Development Studies yamechakachuliwa vijana wengi ni MACHAWA si Wanaharakati ndio sababu kila uchao wanarubuniwa na kununuliwa na CHAMA TAWALA tofauti na Julius Malema wa EFF kule South Africa na kauli hizi wadhibiti maudhui brain washed na mentally slaved hawazitaki wana suspend accounts