#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 98,348

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 154
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 Жыл бұрын
Naenda kukufollow evaaaaaa😄😄😄😄 kumbe in person uko charming Hivi 😂😂😂🥰🥰🥰🥰
@rehemaaman4685
@rehemaaman4685 Жыл бұрын
Ameeen kwell tulio na wazazi tuwapenda Eva wewe ni bint unayejielewa Mungu akutunze na akupe umri mrefu na wenye mafanikio
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Ambao bado tupo na neema ya kuwa na wazazi duniani tujitahidi kuwafanyia wema pole sana dada
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Жыл бұрын
Kwakweli
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Жыл бұрын
Kweli kbs
@WinnieMbwiga
@WinnieMbwiga Жыл бұрын
Kabisaaa maana ambao hatuna wazazi acha kabisaa inaumaa
@msalice4451
@msalice4451 Жыл бұрын
Pole Eva Kwa kufiwa na mama MAPENZI ya mama ni matamu sana❤❤❤❤❤❤❤
@RestutaKelvin-jm4uw
@RestutaKelvin-jm4uw Жыл бұрын
Kwenye haya maisha kila unachokiishi kuna mwingine nae anaishi, yaniiii umeni inspire sana nipambane
@Mjuni3
@Mjuni3 11 ай бұрын
Una akiri sana, nimekupenda nakuona kama ndugu yangu
@mohdsolutions6952
@mohdsolutions6952 Жыл бұрын
Tangu nimeanza kumuona kwenye jua kali nikaanza kumpenda, Mungu amtie nguvu
@danielmsuya720
@danielmsuya720 11 ай бұрын
Pole sana Lissa, kwakumpiteza Mama. Mungu amekuandalia mazuri sana. Barikiwa Mpendwa.
@sospeterurassa9894
@sospeterurassa9894 Жыл бұрын
Hongera Eva,yaani hayo uluiopitia kwa ndugu zako ndio daraja lako Mungu alilotumia kufika ulipo, Wapende sana na uwasaidie kwa furaha,
@mariamsamwel2750
@mariamsamwel2750 Жыл бұрын
Wasichna watoke wajitume life n ngumu but lazima tupambane kma watoto wakike mungu atatubarikii amen 🙏
@angellwehela4303
@angellwehela4303 Жыл бұрын
Sahihi
@irenebwire
@irenebwire Жыл бұрын
Nampenda bure lissa🥰🥰🥰🥰😍
@UsuiliMilangitoni-gm.c
@UsuiliMilangitoni-gm.c Жыл бұрын
Hongera mate wangu, Mungu amekupa alichokihitaji kukifanya, maisha siku zote nikupitia mapito ili upate cha kusimulia.
@SalomeMct
@SalomeMct Жыл бұрын
Uyu alikua anakaa singida sehemu gani nakasoma shule gani
@UsuiliMilangitoni-gm.c
@UsuiliMilangitoni-gm.c Жыл бұрын
Nimesoma nae Gumanga secondary, Wilaya ya Mkalama.
@SalomeMct
@SalomeMct Жыл бұрын
Haaaa asante nilijua Town
@UsuiliMilangitoni-gm.c
@UsuiliMilangitoni-gm.c Жыл бұрын
@@SalomeMct Hapana my
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Жыл бұрын
Hongera tulioishakutana na hiyo hali tunakuelewa congratulation umetuwakilisha wengi japo wengine na misaada tumewapa watesi wetu na kuwajengea ila bado wanatufatilia kuturoga hadi tunatamani kupaa tuishi mawinguni ambapo hawatafika ili hata watushukuru siyo kutuumiza
@janerosenjonyoli576
@janerosenjonyoli576 Жыл бұрын
Napenda unavojbu maswal yan unajibu vizur,polee kwa yaliyokukuta n maisha tu
@lovenessmackline6606
@lovenessmackline6606 Жыл бұрын
Nampenda uyu mdada❤❤❤
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Pole sana wengine bado tunashida tu allah atupe riziki
@MeriMari-ol3ii
@MeriMari-ol3ii Жыл бұрын
Pole sana Lisa kwa kumpoteza mama
@lucyjoseph3335
@lucyjoseph3335 Жыл бұрын
Pole kumbe umepitia maisha magumu ivo jaman lakn ndugu zako wanaonekana wanamaisha mazur tu pale singida
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 Жыл бұрын
Napenda unavocheka mwaya😂😂😂😂😂😂
@WahidaHilaly
@WahidaHilaly 7 ай бұрын
Mungu akubariki kila iitwapo Leo 🙏
@KissaMwaibila-xp7io
@KissaMwaibila-xp7io 4 ай бұрын
Samehe dear watu wanapita ktk mitihani sanaaa,pole sanaaa
@JoyceKidoti-um3kt
@JoyceKidoti-um3kt Жыл бұрын
mungu akulinde sikuzote my dear pia unaigiza vizuri
@olgakayihura3254
@olgakayihura3254 10 ай бұрын
Love you sweetheart ❤ unamoyo muzuri mama 😘
@SelemanMuhamed-ir5zl
@SelemanMuhamed-ir5zl Жыл бұрын
Eva ethan wa morogoro anakusalimia. Anakupenda sana
@sandrine6562
@sandrine6562 Жыл бұрын
Mahi namupenda Sanna
@GerardEmanuel
@GerardEmanuel 7 ай бұрын
I like it Eva or lisa pambana sana na Mungu hata kufanyia wepesi ili utoboe kimaisha dada maana sote tunapita hapo kwenye so hard
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Pole sana eva ndo maisha tulopitia sitamani niishi kwa mtu hata kwenda kusalimiya
@MshananeyMshananey
@MshananeyMshananey Жыл бұрын
Yaani Maryam umeongea kama Mimi sitaki mazoea na Ndugu kabisa
@MshananeyMshananey
@MshananeyMshananey Жыл бұрын
Yaani Maryam umeongea kama Mimi sitaki mazoea na Ndugu kabisa
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 Жыл бұрын
Pole sana ndio maisha yalivyo
@mmn7480
@mmn7480 Жыл бұрын
I love you sister imelda
@vickydan2869
@vickydan2869 Жыл бұрын
Nakupenda sana Asia
@mashakhamiss6598
@mashakhamiss6598 Жыл бұрын
Sina tofauti na Eva nimejikuta nalia sana nataman Mama yng ningekuwa nae na kumfanyia mengi mazuri,ila mm hadi Baba nimempoteza yaan dah! 😭😭😭
@totobigi274
@totobigi274 Жыл бұрын
Mimi sina wote na ndugu kunitenda.ninacho shukuru mungu ni upendo wake ,mume wangu na wanangu
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de Жыл бұрын
Polen Sana jmn wapendwa woote mliofiwa na wazazi wenu safar y kwetu sote 😭🙏
@kapingalucy2707
@kapingalucy2707 Жыл бұрын
Pole
@akbaslismh9874
@akbaslismh9874 Жыл бұрын
Poleni sana😢
@annethsongwe6063
@annethsongwe6063 Жыл бұрын
Ni km Mimi na Mungu ni mwema hajawahi niacha
@omarykitua3843
@omarykitua3843 Жыл бұрын
Yan mpk machoz yamenitoka 😢😢😢mung aendelee kukujaalia zaid na zaid ufanikiwe mpk wale walokutenga wakupigie magot uku wanalia kukuomba msamah
@jazmelgar
@jazmelgar 7 ай бұрын
Nakupenda sana eva wangu
@annethycyprian3520
@annethycyprian3520 Жыл бұрын
Daah maisha yangu kbsa😭
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Aise hii story imeniliza sna i wish siku na mimi nipate chansi ya kuojiwa dada maana Niko na mengi sana mnooo ila ndio ivyo 😢😢😢😢
@homesaickofficial7407
@homesaickofficial7407 Жыл бұрын
Tutakuoji 2050 kwaiyo kaa kwa kutulia na ayo matatizo yako
@hamidahamadi
@hamidahamadi Жыл бұрын
​@@homesaickofficial7407 hahahahah et 2050 wallah unavituko wewe
@mwajumamwajuma55
@mwajumamwajuma55 Жыл бұрын
​@@homesaickofficial7407 😂😂😂
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын
Unatakiwa uishi na watu mbona wewe watu walikaa na wewe hukumbuki hiro kuwa na shukrani
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty Жыл бұрын
Pole huyu sababu ni msanii mkabizi Mungu omba yataisha Mungu wetu ni mwema
@ashahassan2120
@ashahassan2120 Жыл бұрын
Pole niwengi tumepitia magnum mm nakuelewa sana
@olicej7837
@olicej7837 Жыл бұрын
Upo Safi my dia ila shida ni wigi 😀😀😀😀😀Yaani linakukera na mimi pia linanikera unavojikuna kila muda😃😃😃😃😃😃
@SaveraKawindi
@SaveraKawindi 9 ай бұрын
Nimekukubal sana eva natamani sana nifikie ulipo
@rachelbathromew6223
@rachelbathromew6223 Жыл бұрын
Dada Eva anaongea point sana
@modestamashoke9038
@modestamashoke9038 Жыл бұрын
Pole sana,
@shirondungu4412
@shirondungu4412 Жыл бұрын
Eva you are my favorite. Bigup dear .. u are a strong woman n l like your parsonality
@MaryKitso
@MaryKitso 11 ай бұрын
That's happened to me but I thanks God know I own my house
@milkaboaz1244
@milkaboaz1244 Жыл бұрын
Dah akuna kitu kinauma kama kufukuzwa ndo maisha mdogo wangu
@MarthaCosmas-dk9cq
@MarthaCosmas-dk9cq Жыл бұрын
Nakupenda lisa
@zainabukilumbi5061
@zainabukilumbi5061 Жыл бұрын
pole hata mm natamanigi angekuwepo mama kwa sasa nngekuwa nmpatia kile nikipatacho
@ginzerakitojo
@ginzerakitojo Жыл бұрын
Nakupenda
@MwanaishaRashidi-h9i
@MwanaishaRashidi-h9i Жыл бұрын
Da pole mwaya Kwa uloyapitia ndio maisha
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Жыл бұрын
Usije kuthubutu kumpokea mtesi wako make haji kwa kitu kimoja bali anakuja pia kukurudisha nyuma ili uendelee kuwa wa chini na wakucheke kama kawaida
@solangebagal149
@solangebagal149 Жыл бұрын
Aki hii interview nikama tu ana niongeoea mimi nilicho pitia ,ingawa mm mama yupo,Ila Mungu nimwaminifu
@wowwow494
@wowwow494 Жыл бұрын
Una takiw kushkur kwanz Mungu kila siku arafu Ramata atakuw mtutu wapili wakushkur
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Жыл бұрын
Leo MTANGAZAJI umependeza ndo mara yangu ya kwanza kukuona umependeza hongera
@esterstaphord5184
@esterstaphord5184 Жыл бұрын
😂😂😂😂aise
@zulfayusra8747
@zulfayusra8747 Жыл бұрын
Mmh😂😂
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Жыл бұрын
Ahahahaha!
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Jaman
@mwajumamwajuma55
@mwajumamwajuma55 Жыл бұрын
Sikuizi anapendeza tu
@monicaneema7305
@monicaneema7305 Жыл бұрын
Usimsahau baba mdogo na mama mdogo pia .wamekutoa mbali
@RadioSmk
@RadioSmk Жыл бұрын
Nakupenda saaana
@shafiamustafa7856
@shafiamustafa7856 Жыл бұрын
Yaan huyu dada story yake ni kama yangu kbsaa jaman wadada tunaweza tuache kukata tamaa
@angelamarlow4834
@angelamarlow4834 Жыл бұрын
Km mimi tu jpo mimi bado sina kwangu ila iyo history yangu kbs
@fadhilasalimsalimshoo-hf3ju
@fadhilasalimsalimshoo-hf3ju Жыл бұрын
Yani wote aisee kama mimi nyie ety🥺🥺🥺
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty Жыл бұрын
Ombeni Mungu Mungu wetu ni mwema tupieni matatizo yote kwakwe atachelewa lakin atajibu usichoke
@Fatma-qi9yc
@Fatma-qi9yc 5 ай бұрын
@Ebben-hm8gw
@Ebben-hm8gw Жыл бұрын
Lisa pole
@SadaDjuma-s9w
@SadaDjuma-s9w 11 ай бұрын
❤❤❤❤
@Oliver_philemoni
@Oliver_philemoni 2 ай бұрын
Masikin wewe stori yako kama yangu namuomba mungu namimi siku ntakua mkubwa sana
@missminnatz
@missminnatz Жыл бұрын
Trauma inamsumbua sana lbd kwavile maisha aliyopitia ndio yanamfany awe lonely, strong na anajiahid kuish kwa aman alone ana traum anahitaji mtu au mume atakaye tak plac ajihis normal.. maisha ndio yalivyo up and down tusikate tamaa na kuwa na subr.
@vickydan2869
@vickydan2869 Жыл бұрын
Maskini masenga c amuoe tu
@sadahgullam8228
@sadahgullam8228 Жыл бұрын
Basi iyo trauma hata mm naona inanisumbua
@anithabahimana-hp8en
@anithabahimana-hp8en Жыл бұрын
Pore sana eva
@OfficialA83640
@OfficialA83640 Жыл бұрын
Kwahy Seleman Masenga mmebwagana au 😮😮😮
@Jijuw
@Jijuw Жыл бұрын
Zamani
@faithkaganda-k3s
@faithkaganda-k3s Жыл бұрын
Mi siko single ila niko2 mwenyewe😢😢😂😂😂
@AnithaSwedisintia-jy5nk
@AnithaSwedisintia-jy5nk Жыл бұрын
Mmmmm nipesiri
@faithkaganda-k3s
@faithkaganda-k3s Жыл бұрын
@@AnithaSwedisintia-jy5nk 🤣🤣🤣eva ndivo kajibu hukuskia😁😁a2pe jib sahh
@praisesteven7774
@praisesteven7774 Жыл бұрын
imagine uyo ndugu anasikiaaa hii interview aisee cjui ana feel vp jmn tuache roho mbayaaa no body know tomorrow ndio maan naumiaaa saan mtu akimsemaaaa mtu ambae yupo kwetu 😖😖😖yaan mim sipnd manyanyasoooooo
@jojo-ne3oy
@jojo-ne3oy Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@MuuSaid
@MuuSaid 9 ай бұрын
waooohoo
@roqayaro9439
@roqayaro9439 Жыл бұрын
INALILAH WAINA RAJIRUN ATA MIMI NIMEMPOTEZA MAMA SIKIA KAMA UNAPATA LIDHIKI MTOLEE SADAKA MAMA YAKO MUOMBEE DUA INAMFIKIA NAKUKUBALI UPANDE WA KUINGIZA
@furahaakilei7336
@furahaakilei7336 Жыл бұрын
Dada uko kama mimi
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Pole Eva
@mariamnur1036
@mariamnur1036 Жыл бұрын
Ni mtu kua n Akili Tu nakujua unatka nn kwnye maisha....mbona utafurai duniani
@AlphoKag-jm5ib
@AlphoKag-jm5ib 4 ай бұрын
Mbone kama maisha ya eva alisi n'a juakali Lina match
@PendoZacharia-ss1sd
@PendoZacharia-ss1sd Жыл бұрын
Kiukweli umepitia mengi Ila pambana ndugu yangu
@NajmaNassoro-jg8oo
@NajmaNassoro-jg8oo Жыл бұрын
Dah mama akifa akuna tena zaidi yke
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj Жыл бұрын
Pambana mdogo mungu Yuko pmj nawe
@judithminja6386
@judithminja6386 Жыл бұрын
Yan hii story ni mm kabisa sema tu sijatajirika ad sasa
@SarahStephano-i1h
@SarahStephano-i1h Жыл бұрын
Mambo
@LatifaSufian
@LatifaSufian Жыл бұрын
❤❤🤝👍
@زينببورندي
@زينببورندي Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@FatmaLaurent-ik3or
@FatmaLaurent-ik3or Жыл бұрын
Love you baby
@sakinahamis6443
@sakinahamis6443 Жыл бұрын
Piga kazi mdogowangu
@glorianikiza3940
@glorianikiza3940 Жыл бұрын
Pole
@NyandwiAntoinette-nj2si
@NyandwiAntoinette-nj2si Жыл бұрын
Pole dada Eva Ila napenda msimamowako nakujua usamaniwa mama
@prettygirl9733
@prettygirl9733 Жыл бұрын
Sakina
@jacklinemahende1007
@jacklinemahende1007 Жыл бұрын
Jmn kukaa kwa ndugu achen ni shida
@centrinenyukuri9076
@centrinenyukuri9076 Жыл бұрын
♥️♥️♥️😭
@mariamcrispo8296
@mariamcrispo8296 Жыл бұрын
Nikiangaliaga mahojiano ya hivo lazima nilie maana najua mwenyewe yalotokea
@avitaasimwe1800
@avitaasimwe1800 Жыл бұрын
Story za hivi ukisikiliza unalia halafu unaongeza machozi ya matatizo yako machozi yanaongezeka zaidi acha tu haya maisha daaaah😢😢😢😢 kila mtu akipewa nafasi ajieleze hapa unaweza ukasema ya kwako yana afadhali
@mariamcrispo8296
@mariamcrispo8296 Жыл бұрын
@@avitaasimwe1800 moyo unaumia sana
@avitaasimwe1800
@avitaasimwe1800 Жыл бұрын
@@mariamcrispo8296 Kuna mengi tunapitia hasa hasa sisi wanawake acha kabisa
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
Pole sanaaa😢sio wewe pekeyako😢Mungu ataenderea kutupa ujasiri wakuenderea kusikiliza,lengo tufarijike baada yakuona tatizo lako nidogo, kuriko la mtu mwingine🙏
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
Pole sanaa,sio siri nimeshindwa kuvumilia 😭😭😭😭😭
@rizoibrahimovich605
@rizoibrahimovich605 Жыл бұрын
Eva juakali, aka lissa wa rapcha
@richardgabriel8345
@richardgabriel8345 Жыл бұрын
Pole shoga yangu ila mi natamani kua muigizaji cjui nifanyaje hua napenda sana😂
@sisifaty9183
@sisifaty9183 Жыл бұрын
Unanikumbusha mengi mwanangu
@rosemarenga832
@rosemarenga832 Жыл бұрын
Pol San jmn ❤❤❤
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Жыл бұрын
Eva 😂😂
@maryamhamad3485
@maryamhamad3485 Жыл бұрын
Nani kaona eva wigi linamkera
@olivajoseph1697
@olivajoseph1697 Жыл бұрын
Amezoea kukaa kipara
@nangasukitoy9024
@nangasukitoy9024 Жыл бұрын
Nakukumbuka vizur kipindi Cha tuition UKOMBOZI
@aishahezron7474
@aishahezron7474 Жыл бұрын
Pole eva
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Tuone basi mazingira 🙄
@suzanalucasemanuel7006
@suzanalucasemanuel7006 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂🤦
@olicej7837
@olicej7837 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ani nimecheka
@hyacintagugu7
@hyacintagugu7 Жыл бұрын
Mazingira si ndio hayo yanaoneka Rafiki?
@praisesteven7774
@praisesteven7774 Жыл бұрын
mahangaikooo gan sema kudangaaaa 🤣🤣🤣🤣
@tausishabani263
@tausishabani263 Жыл бұрын
Hata Kama kudanga siana pata lizki we hapo unandugu wangapi wanadanga nahawana chochote hata chumba hawana mxxxxm
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
Daaaa 🙆Ongera kwaujasiri wakuropoka ivyo❌hira nakusisitiza usisaau kumuombea hiri awe kama wewe🙏
@shafiamustafa7856
@shafiamustafa7856 Жыл бұрын
Wivu unakusumbua huna lolote
@MshananeyMshananey
@MshananeyMshananey Жыл бұрын
Alikuwa anamdangia Babako Mbwa wewe Punguza makasiriko mtoto wa kiume ...wivu tuuu
@jacqueli18
@jacqueli18 Жыл бұрын
Umejitaidi ku coment ila unajisikiaje ku coment pumba alafu unajichekesha
@BupeNdagile-c2f
@BupeNdagile-c2f 4 ай бұрын
Naomb namb ya WhatsApp
@BupeNdagile-c2f
@BupeNdagile-c2f 4 ай бұрын
Naomb namb yako ya WhatsApp
@annamnyazi8206
@annamnyazi8206 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Hisabati darasa la tano- kutoa sehemu@francademy2405
10:25
FRANCADEMY
Рет қаралды 1,7 М.
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН