PART 2: ROSE MUHANDO Amwaga MACHOZI Akisimulia ALIVYOTISHIWA BASTOLA, MATESO | HARD TALK

  Рет қаралды 397,206

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 423
@globaltv_online
@globaltv_online 2 жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE UWE WA KWANZA KUONA:🏾 bit.ly/3MraYdQ
@elizabethmhapa3658
@elizabethmhapa3658 2 жыл бұрын
Napenda Dada Liliani anavyoshangaa kwa kunena kwa lugha Nakupenda sana dada❤️❤️💋🙌🏽
@violetakinyi7968
@violetakinyi7968 2 жыл бұрын
Waaaapole sana dada
@yurithakibasa7565
@yurithakibasa7565 2 жыл бұрын
Namuamini Rose anachosema,hata Mimi nimepitia hayo ili nisomeshwe😭😭😭,ukikataa unateswa
@songerashidi1554
@songerashidi1554 2 жыл бұрын
Pole kwa matatizo
@emmilianamlewa3239
@emmilianamlewa3239 2 жыл бұрын
Da Rose pole sana hiki kipindi kimenitia moyo
@emisiathasimon734
@emisiathasimon734 2 жыл бұрын
Huu ushuhuda umenigusa sana!! Na Mungu atusamehe sana huwa tunawashtumu sana watu especially watu maarufu lakini hatujui ni nn wanapitia nyuma ya pazia!! Watu ambao wamebeba kusudi la Mungu wana vita sana!!! Mungu awatetee kwa kishindo!!! Rose i love you Mungu afanyike faraja kwako na tumaini
@vicentgodda3357
@vicentgodda3357 2 жыл бұрын
Haki haififishwi, pamoja na wito wa Mungu kuwa na amani na watu wote na kusamehe maadui. LAKINI HILI halivumiliki. Mimi nimeuona ukuu wa Mungu katika huduma ya Rose Mhando. Nasema huyu mtu hatakiwi kuwa katika jamii. Ikiwa wauaji wa kimbari wa Hitla waliojificha wakakamatwa na kufiflkishwa mahakamani. Haki ionekane
@vicentgodda3357
@vicentgodda3357 2 жыл бұрын
Msamaha ni muhimu sana kwa uponyaji wa roho na utakatifu mbele za Mungu. Haki ni muhimu kwa jamii ione kuwa mwanadamu asiye ishi kwa amani na watu bali ni tishio la amani na utulivu katika jamii haki itendeke mahakamani aadhibiwe kifungo akiwa amesamehewa na Rose kwa faida ya Rose na mkosaji kuoneshwa neema ya Mungu inayookoa ili ikiwa Mungu hajamfungia mlango wa kuokoka atajitambua na kuokolewa na Mfalme na Bwana Yesu Kristo. Ole kwa Makanisa yanayo wapendelea na kuwapa uongozi ndani ya Kanisa kwa sababu ya utajiri na umaarufu wao. Shetani ana maajenti wake Makanisani kama mtesi wa Mpendwa Rose Mhando. By. Rev. T. Godda
@linnyblessed4593
@linnyblessed4593 2 жыл бұрын
Ameeeeen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💗
@DorisKaranja
@DorisKaranja 2 ай бұрын
Amina 😭🙏🙏😭
@samson19
@samson19 3 ай бұрын
Wakongomani tulimupenda Rose muhandosaana. Tulipo ambiwa mamboyake tuliambiwa kitofauti na jinsi anavyoeleza, leo tume pata ukweli wa Mambo kweli Mungu nimwema aliye kupiganiya. Kazana na injili,pambana mpaka mwisho, Usi sha wishiwe na mambo yaduniya kwani wewe ni mchaguliwa wa Bwana. Ev leon Samson from Drc.
@scholasticalaurent1542
@scholasticalaurent1542 2 жыл бұрын
Da Rose umeniliza mwanzo wa interview mpaka mwisho , baba wa Mbinguni aendele kukulinda mama, pole kwa uliyoyapitia umetuponya wengi asante da Lilian kwa kutuletea Rose Mhando
@ndungemartinofficial
@ndungemartinofficial 2 жыл бұрын
Wamejivalia ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu, na wamejaa kanisani!!!!! Pole sana dada Rose. Nimesoma kwamba nisimwamini mtu ila Kristo peke yake
@Anita_Ndinda23
@Anita_Ndinda23 Жыл бұрын
Kenyans we love madam Rose God bless you
@mohbear5654
@mohbear5654 2 жыл бұрын
Mungu nisamehe nilikuhukumu Rose Mungu anisamehe mno
@Elineswai155
@Elineswai155 Жыл бұрын
Na mm ni miongon
@machetebogota4218
@machetebogota4218 2 жыл бұрын
Twende mbele turudi nyuma watu wengi wa kanisa ni watu wabaya tofauti na tunavyowaona mungu atulinde
@teresiateresia6464
@teresiateresia6464 2 жыл бұрын
We love our sister Rose muhando, God bless Kenya 🇰🇪🇰🇪
@olivabutoyi434
@olivabutoyi434 2 жыл бұрын
Ndio maana taifa la Kenya litazidi kusonga mbele zaidi na zaidi 🙏. Blessings to you dear Kenya, Mama Kenyatta na wote 🙏
@godwins6961
@godwins6961 2 жыл бұрын
Baraka Baraka dadaaa. Asante kwa kuomba taifa langu 🙏🙏🙏 Amina amina
@thedridsfamilly6545
@thedridsfamilly6545 2 жыл бұрын
Kajinga
@zipporahmunguti1524
@zipporahmunguti1524 2 жыл бұрын
Rose muhando endelea kuimba, tunakupenda na tunapenda nyimbo zako sana, they are touching songs. Mungu akubariki sana na aliyekuumiza hivyo, wacha mungu adeal naye. We love you and your songs. Kumbuka MTi ulio na matunda ndio upigwa mawe.
@gracesuguta
@gracesuguta 7 ай бұрын
Nakupenda sana Rose Muhando! Ishi tu kwa neema ya Mungu. Mungu akutunze kwa ajili ya ulimwengu
@deborakosgei7099
@deborakosgei7099 2 жыл бұрын
Jehovah atukuzwe kwa ushindi, natamani u toe sacrifice kwa the higher Altar Mwezi Mungu akutetee akupiganie kwa Vita vyote, pia natamani Mungu aku saidie uimbe Kama zile wimbo za upako Kama za kitambo zilikuwa zani bariki saana na kuni saidia Ni karibie Mungu, Ujumbe kwa Rose Muhado
@annastanciachepchumba2680
@annastanciachepchumba2680 2 жыл бұрын
@Rose Muhando nitakupata wapi jamani.... You are an angel sent from heaven... Hii ushuhuda umenitia moyo sana. Huwa nasikiliza nyimbo zako na huwa inanisaidia kiroho haswa ile ya wanyamazishe bwana.... God bless you
@mwaminindayishimiye4434
@mwaminindayishimiye4434 2 жыл бұрын
Pole saaana Dada yangu kipenzi hadi machozi yamenitoka😢😢 umeniku mbusha mateso yangu niliyo pata haliye kuwa Mme wangu achaa tuu Mungu njo kila kitu inshaa Allah
@blessingsmwaipaja3691
@blessingsmwaipaja3691 25 күн бұрын
Dada rose pole sana kabisa Mungu akutie nguvu kabisa naweza peana ushuhuda yangu nimefanyiwa hayo hayo na wachunganji nawapenda nyie wote nikipata nafasi dada mwazi Unitafutie nafasi naomba
@happylynguya3464
@happylynguya3464 2 жыл бұрын
Kumbe ule wimbo "WAABISHE" ni kweli umeyapitia. Pole sana Rose nahisi kwa sasa umekuwa huru na ndiomana mwili umekuwa vizuri.
@mercysusan1351
@mercysusan1351 2 жыл бұрын
Enyewe watu hupitia mengi. Pole sana Rose Muhando my favourite singer. Keep serving your purpose of life and let nothing stop you.
@alengalumulade1782
@alengalumulade1782 2 жыл бұрын
Our prayers are forever with rose muhando. 254 loves you so much.
@jannyrose5367
@jannyrose5367 2 жыл бұрын
a very huge hug from Kenya,we love Rose 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Juan-t2j5l
@Juan-t2j5l Ай бұрын
😢😢😢😢 may God continue to bless you dearest,I am also still healing due to childhood trauma,abuse and being rejected 3 times, and not growing up with ur biological parents, rejected by school boy friend, rejected by an uncle, rejected and abused by my husband,2 children with sickle cell,lost my dad 😢😢,my mum has epilepsy,😢,it's too much in my mind,my chest hurts, due to depression, please pray 🙏🙏🙏 for me, my sisters and brothers.
@peterjames5
@peterjames5 6 ай бұрын
Very powerful testimony
@carolynembaka4706
@carolynembaka4706 2 жыл бұрын
I have learnt that some of the anointing on people of God that we admire,,,it cost them so much to get there.
@Mugishaofficial12
@Mugishaofficial12 Жыл бұрын
Please we love rose muhando as well can you pls tell rose muhando to share her testimony in kinyarwanda people need to hear this in all languages in the name of Jesus
@jacqmorah7865
@jacqmorah7865 2 жыл бұрын
Asante yesu kwa kunushuru maisha ya huyu dada
@nurualjabry1633
@nurualjabry1633 2 жыл бұрын
Nitacommet part3 ukiwa tayari..Ila dada rose pole Sana wewe sio wa Kwanza kupitia hayo Ila malipo ni hapahapa duniani
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 2 жыл бұрын
Mungu ni Mwema sana🍃🌺🍃 Mungu akutunze Rose wetu,Amina🙏
@georginakamuti2693
@georginakamuti2693 2 жыл бұрын
Repentance and forgiveness is the key to overcoming rejection and pain. May GOD heal you and your children Dada Rose Mohando in Jesus name 🙌🙌. We Kenyans love you so much Dada Rose Mohando 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@siamuchunguzi
@siamuchunguzi 2 жыл бұрын
Ee MUNGU simama kuwatetea watoto wako,,, makanisa sasa yamekuwa miamvuli ya kufichia maovu,,, tunapaswa kumwomba sana MUNGU atujalie macho ya Rohoni ili tuweze kuona huu uozo. Pole sana dada Roz
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 2 жыл бұрын
Da Rose mi nakupenda sana your my Roll Modo kwakwel umepita mengi mama Yetu lakini umetunza ushuhuda wa Bwana.
@glaqgloryaqram7511
@glaqgloryaqram7511 Жыл бұрын
God bless Kenya for helping our Daughter Rose Muhando.,Anastasia and Solomon Mkubwa God bless you guys msipungikiwe milele!
@tapraandichmetto153
@tapraandichmetto153 Жыл бұрын
We love you as Kenyans Rose ♥️
@kamum380
@kamum380 Жыл бұрын
Rosemuhando is a living testimony
@kamulaidalia2093
@kamulaidalia2093 2 жыл бұрын
I wish Osinach would get this help, true ministers of the Gospel are going through alot omg
@rosemalele9850
@rosemalele9850 2 жыл бұрын
Pole sana nimelia sana kwa uchungu Mungu akutie nguvu
@sabinajoseph6733
@sabinajoseph6733 2 жыл бұрын
Pole Sana dada Rose. Umepitia magumu sana lkn ni MunguBaba bdo ankusudi na we na ndo maan mpka sasa upo Hi ...🙏
@mellow0289
@mellow0289 2 жыл бұрын
Rossy you r great we love you as kenyans, you have bess us. Mimi kama jane umenibariki sana sana toka mteule, jua kwamba kunalo jambo unalo dani mwako ambaye adui yu walifuata, aliyopitia yesu furahi ukiyapitia maana kama haungelifuata huyu yesu haugelipitia haya, adui hakomi tumuishie huyu yesu. Wewe ni baraka kwa wakenya na afrika kwa jumla. We love jane from kenya.
@estherndirangu776
@estherndirangu776 2 жыл бұрын
what a testimony Dada Rose... you are such a strong woman, a blessing woman. May God see u through and justice be done. Mungu hamwachi Mja wake...
@NaomiMhoza
@NaomiMhoza 11 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 2 жыл бұрын
Makanisa yameficha Wachawi Wauaji Wabakaji Mafisadi Malaya Na mafirauni Wamama / wanawake mnaawaamini sana hawa watu Mnajiharibia maisha yenu na vizazi vyenu TUMIENI COMMON SENSE
@hildahillary9586
@hildahillary9586 2 жыл бұрын
Umeongea ukwel kabisa
@DOREENCHARLES1995
@DOREENCHARLES1995 8 ай бұрын
Very true
@michaelirungu3266
@michaelirungu3266 Жыл бұрын
Kenya twakupenda Rose njo uishi Kenya
@jacklinemuthoni1918
@jacklinemuthoni1918 2 жыл бұрын
😱😱 Aki pole sana rose kwa yenye yalikupata mungu ako pamoja nawewe.🙏🙏
@neemalema8992
@neemalema8992 2 жыл бұрын
Touched story and painful nimeshindwa kuzuia machozi hakika
@kerencikuru6039
@kerencikuru6039 2 жыл бұрын
God bless you people from Kenya for everything you did to this wonderful woman
@judymburu8898
@judymburu8898 2 жыл бұрын
Thank you Rose for this testimony. Watching from Kenya. Needed to hear this today. I have learnt alot .
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 ай бұрын
Rose ww ni mwanamke na nusu Mungu atakutumia sana mpk useme basi
@dominiqueharerimana5536
@dominiqueharerimana5536 7 ай бұрын
Nagomba nizungumze kwa kipindi hiki kabisa kabisa kabisa Mungu mwenye kuumba mbingu na nchi atihulumie nasikia kumbe Kila mtu kwa kazi yake Kuna mateso Kuna vikwazo tuache kidomodomo Mungu atalipa Kila mtu faida yake kulingana na kazi yamikono yake ndo fariji nilimwandikia Mchungaji Mwakipesile nawale wameteshwa kwa kazi ya Mungu Ngangania Imani.
@marionwanderaTK
@marionwanderaTK 2 жыл бұрын
My God will guide your family my dia Rose 🌹 my favourite singer
@irinewavinya3756
@irinewavinya3756 2 жыл бұрын
A living testimony, barikiwa sana dada Rose
@aplokimo405
@aplokimo405 2 жыл бұрын
Yaani unapitia haua na unaba nyimbo zuri sidi wakenya twazipenda pole rose saba mum we love you kenya
@Esther-rm7fg
@Esther-rm7fg 2 жыл бұрын
Sis Rossy pole sana, na pole Zaidi, keep serving the Lord, i hate this mistreatment on you, your voice is indeed for many including myself, i love you, will meet you someday.
@xkingx8041
@xkingx8041 2 жыл бұрын
Pole saaana dadaangu Mpendwa Rose 😭😭😭😭😭 historia inaniliza jamani!!!!
@jacksonkyalo5967
@jacksonkyalo5967 2 жыл бұрын
I am a muslim i love rose and i have shed my tears
@DavidWakileo-f4h
@DavidWakileo-f4h Ай бұрын
Pole xana dadayangu kumbe wanajifafa. Watakatifu ndani ni waniwanyama kisihicho.
@neemalema8992
@neemalema8992 2 жыл бұрын
Pole sana dada rose Hakika unapitia magumu Ila dhahabu safi lazima ipitie kwenye moto so simama na Mungu amini siku yako ya kufutwa machozi yaja Nakupenda mno
@aoman5214
@aoman5214 2 жыл бұрын
Dada dada Mungu atusamehe tuliozungumza mabaya juu yako EEE mwenyez Mungu msaidie huyu mtumishi wako
@MarthaChuwa-o6b
@MarthaChuwa-o6b Ай бұрын
Yaani ukiwa umebeba kitu cha Mungu Halisi Kila mikono itakavyokuwa karibu nao ni mikono mibaya sijui ni Kwa Nini Yani hata mahusiano unaangukia mikono michafu mikono ya wadhalimu aisee MUNGU TUSAIDIE TUFIKIE MALENGO najifunza Kwa mama huyu sana na ninampenda sana
@fredanunda7719
@fredanunda7719 6 ай бұрын
Does it mean the security apparatus in Tz doesn't have power to😮 deal with criminals as such who are hiding in religion??? So sad,may God bls u sister Rose & continue using u to higher heights. & give u more spirit of perseverance. God bls u. So touched with ur testimonies, so sad,even body scars out of physical wounds. So sad
@jamesadoli2822
@jamesadoli2822 6 ай бұрын
This is my biggest question
@kennedyngeleka8656
@kennedyngeleka8656 2 ай бұрын
Was that man arrested that old man who assisted you was not a human being but an angel God bless you sister rose muhando
@Mugishaofficial12
@Mugishaofficial12 Жыл бұрын
Asante Sana Rose muhando kutupatia testimony yako nilimba mungu kunionesha testimony yako sasa nashukuru Mungu
@puritynamayi2064
@puritynamayi2064 2 жыл бұрын
Weeeh....youre healed mama....we love your songs
@k.hellen6289
@k.hellen6289 2 жыл бұрын
Any annointed person go through.stuff... to be a warrior lazima ukuwe na scars..
@ivethaignas603
@ivethaignas603 2 жыл бұрын
This is hardtalk Wengi tunapitia mateso, ambayo kwa haraka uwezi weleza mtu akaelewa, tz hospital nyingi hasa vijini walau angekuwa anawekwa daktar mmoja anayehusika na masuala ya saikolojia, walau ingesaidia, maana gharama za kuwaona hao special doctor ni kubwa kwa mtu wa kawaida inakuwa ni vigumu
@fredricksikukuu2743
@fredricksikukuu2743 Жыл бұрын
Ooooooh mungu zidii kusimama na mwimbaji mwenzangu nyimbo Zake injili Rose muhando
@severinamwaja1822
@severinamwaja1822 2 жыл бұрын
Pole Sana Rose !! Km yupo hai mfungulie kesi
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 ай бұрын
😢😢😢😢msamaha tu
@jamesrobert6430
@jamesrobert6430 2 жыл бұрын
Pole sana Rose MUNGU kuweka kitu ndani yako ila cha msingi rose tafuta kanisa la watu wanaoenda mbinguni sio kila penye msaraba kuna kanisa la kweri hapana mengine makaburi tu
@nadzuwaMkala-cq7jp
@nadzuwaMkala-cq7jp Жыл бұрын
Amina sana ubarikiwe pia dada rose wakenya tunakupenda sana na nyimbo zako twazipenda sana mana zako zinatia ujasr
@jaqueeen1
@jaqueeen1 2 жыл бұрын
Binafsi huwa namuangalia huyu dada kwa tofauti sana licha ya kuchafuliwa lkn uwa naona ni pito tuu na shetani anafanya uharibifu lkn God loves this woman so much
@graceamanimakokha6488
@graceamanimakokha6488 2 жыл бұрын
I'm sorry sister Rose Muhando remember that the same God who protect u that time is the same God who will walk with you the rest of your life 🙏❤️🇰🇪
@maindajumbe927
@maindajumbe927 Жыл бұрын
Dada Lilian kwenye interview za Hard Talk uweke TISSUE kwaajili ya kufuta machozi
@FaridaSilwani
@FaridaSilwani 7 ай бұрын
Kwakweli jamani
@Kenyanmoon
@Kenyanmoon Жыл бұрын
Rose a really Strong woman indeed...unaenda mbali mamaa...Hapa Kenya bado tunakupenda.
@carolynembaka4706
@carolynembaka4706 2 жыл бұрын
May the good Lord continue using you for the glory of God.
@lailajeremia1259
@lailajeremia1259 2 жыл бұрын
Mungu awabaliki sana na akubaliki na wewe pia
@dtash0663
@dtash0663 2 жыл бұрын
So sorry dear Rose Muhando,may almighty God continue using you to enlighten the whole world....I love you
@damarykhatioli7838
@damarykhatioli7838 Жыл бұрын
Woman of God you are a real servant of God. God loves you so much and he allowed this to uplift you up your testimony is Soo toutching. It's making me shade tears but najua mungu ana sababu ya Kila jambo you are a really servant of God. kwa mapigo yake sisi tumepona .
@SelinaWaruingi
@SelinaWaruingi 6 ай бұрын
Rose we love you and your songs. God will use your wounds to bring victory in your life and Glory to His Name. Watu wengine ni zaidi ya wanyama wamejicha kanisani
@NeemaMeshaki-qm4ew
@NeemaMeshaki-qm4ew 7 ай бұрын
Dah Mungu atusaidie sana Mungu Bado ni mwema sana kwetu aendelee kulinda makusud ndani Yetu alioyayaweka
@zamonya46
@zamonya46 2 жыл бұрын
Kenya tunampenda sana Rose
@judithnzuku1860
@judithnzuku1860 2 жыл бұрын
😭😭😭😭 the testimony touched my heart 😭😭Kenya we Love you mummy 😭😭😭 WASAMEHE wote waliokukosea waachilie na Mungu azidi kukubariki,kukuinua na kukutumia katika kazi yake 🙏
@julietnaserian7242
@julietnaserian7242 2 жыл бұрын
Wacha nimelia yangu yote
@judithnzuku1860
@judithnzuku1860 2 жыл бұрын
@@julietnaserian7242 nothing to say 😭😭😭 huyu mtumishi wa Mungu amepitia makubwa lakini Mungu azidi kumtumia
@julietnaserian7242
@julietnaserian7242 2 жыл бұрын
@@judithnzuku1860 I'm telling you mama, but when you've God you have everything 🙏🏿🥰🥰🥰
@gemamwakyusa6100
@gemamwakyusa6100 2 жыл бұрын
Duniani hakika kuna watu wanapitia magumu! Baba Mungu wavushe
@nyotaaastarkipndaa8253
@nyotaaastarkipndaa8253 2 жыл бұрын
Strongest women I know 😍🫶🏾I love you mama
@michaelwaweru8432
@michaelwaweru8432 2 жыл бұрын
Pole Sana dada ushuhuda huu umeniguza moyoni mwangu natamani Sana MUNGU anipe roho mtakatifu anipiganie kwenye maisha yangu Amina!
@nchimbirobert5926
@nchimbirobert5926 Жыл бұрын
Dhahabu safi lazima ipitie kwenye moto. You are pure Gold Rose.
@velviviansaid989
@velviviansaid989 Жыл бұрын
What a testimony! Rose you are a woman of God... You are chosen to save many hearts...... May God bless you and your family and protect you. I love you so much... Much from Kenya.
@rizikia6765
@rizikia6765 Жыл бұрын
Pole mama rose kwayele uliopitia mungu akupe roho ya ushuja mahali upo mungu akuzishe akupe kipawa cha juu zaidi in Jesus name nmeisikila imeniumiza san
@rizikia6765
@rizikia6765 Жыл бұрын
Usilie mungu yoko pamoja naw melele
@inongee1141
@inongee1141 2 жыл бұрын
Pole sana kila binadamu hupitia magumu maisha ni mapambano.sahau na usonge mbele😭
@marrypius576
@marrypius576 Жыл бұрын
Dada Mungu akubariki san endelea kumtumikia Mungu
@nancylangat5970
@nancylangat5970 2 жыл бұрын
Pole sana rose,asante kwa kubariki 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@CenterforLifeSkillsOnline
@CenterforLifeSkillsOnline 2 жыл бұрын
Rose God Bless You. Thank you for defending your faith.
@nadzuwaMkala-cq7jp
@nadzuwaMkala-cq7jp Жыл бұрын
My goodness 😭😭inauma kiukweli mungu akutie nguvu azid kukupa ujasiri mtumishi rose hadi nakumbuka nyimbo ombea hadui yako aishi siku nyingi ili unapo barikiwa wajionee kwa macho 😭🤲🤲🤲sasa mungu wacha awaonyeshe moto 🔥🔥
@EM2916
@EM2916 2 жыл бұрын
Mimi kwa kweli Dada Rose wewe ni Role model wangu tangu nianze kukusikiliza nikiwa darasa la Tano. Mwaka wa 2003. Hadi leo nakupenda tu dada . Jerusalem, bwana Yesu nakupenda, akina mama waleo, na nibebe, dada nyimbo hizo hadi leo ni taa yangu. Nilisikia ukiwa umelazwa nikawa na mawazo mengi lakini kama kanisa tulifunga na kuomba . Mungu akulinde. Sikumoja tu natamani nikusalimie tu kwa mkono
@blessedonebuyanzi1458
@blessedonebuyanzi1458 Жыл бұрын
OH MY GOODNESS! ROSE MUHANDO'S STORY HAS TOUCHED MY HEART AND I AM ENCOURAGED MAY GOD KEEP PROTECTING YOU DEAR ONE AND YOUR CHILDREN... YOUR SONGS HAVE BEEN A BLESSING TO ME AND TO MANY...
@abiingendo8041
@abiingendo8041 2 жыл бұрын
Pole Sana Rose mungu yupo atakulipishia
@annambezi6226
@annambezi6226 Жыл бұрын
Pole sana mama. Bwana Yesu Kristo akutetee
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 2 жыл бұрын
Huyo "(mtu-mzee wa kanisa)", anayetaka kumuua, kwa maelezo anajulikana, si na Rose pekee, bali na watu wengine, Inakuaje polisi hamchukulii hatua??
@Victorialonginisulle
@Victorialonginisulle Жыл бұрын
Ameen dada rose umenibariki sana
@jamesadoli2822
@jamesadoli2822 6 ай бұрын
Swali mzuri
@DorcasMukhebi-gx7mk
@DorcasMukhebi-gx7mk 6 ай бұрын
Kweli kabiza
@BethuelofficialTz
@BethuelofficialTz 4 ай бұрын
Rose hajaruhusu polisi wamchukulie hatua, badala yake amewasamehe wote.
@simonsakibu5213
@simonsakibu5213 2 жыл бұрын
Namshukuru mungu kuisikia historia yako nimejifunza mengi sana ili tungae lazima tupitishwe.
@izzohmofficial5151
@izzohmofficial5151 2 жыл бұрын
May God bless you Rose. Your songs blessed us really great as our mum would play them via cassette on the radio. Your songs have always been a blessing
@carolinechege6338
@carolinechege6338 2 жыл бұрын
Mungu bariki Kenya🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@DennisArisi-s7w
@DennisArisi-s7w 3 ай бұрын
Love you rose muhando very much God bless you mama umeshida hayo
@millymilly7244
@millymilly7244 2 жыл бұрын
Pole sana rose , mungu alikuona akutumie ww ili uje kuponya mioyo ya wengi and now you are a living testimony ❤️ ❤️
@vivianwanini9169
@vivianwanini9169 2 жыл бұрын
A living testimonie sister Rose👑🏆🌟 🙏
@evalinenyarufunjo2294
@evalinenyarufunjo2294 2 жыл бұрын
Mmh Pole sana dada Rose, kwa Mungu mbalii mweeeh
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 7 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 28 МЛН
Family Tears 2B - Wema Sepetu, Steven Kanumba (Official Bongo Movie)
1:09:00
Rose Muhando - Wanyamazishe (Official Music Video) SMS SKIZA 7634235 TO 811
7:20
Rose Muhando Official
Рет қаралды 29 МЛН
TUKIO LOTE LA ROSE MUHANDO ALIVYOKABIDHIWA GARI NA KUHANI MUSA
20:05
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 755 М.