King n mmoja tuu mpaka afe yee baba king kiba nice king 🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@alialvintz43174 жыл бұрын
Ebhana eeh! Vanny anazikubali sana njia anazopitia Kiba😂 Yeebabah😁, me zaid nasalute sana #VanIskaka🖐, unyaamwezi mwingiiii»»»√ You know whaat!.. Hujawahi niangusha kweny reaction za King👑 I salute u bro🙌💪
@michymxhambiliajiwassimba70254 жыл бұрын
Mzeee una mizukaaa balaaaaa🔥🔥 KingKiba 🔥 ameuaaaa
@adamhashimu44624 жыл бұрын
😅😅sikia njia za Kiba ,Kiba ananjia zake we all know that🔥, km Kawa nice reaction Van
@allenmark58244 жыл бұрын
Yap mtoto kakazia.+254 nawakilisha nipeni likes japo buku tu.nawapenda sana.king forever🤴
@alicenice17114 жыл бұрын
Ni fire fire wimbo funga mwaka, na mwanzo wa mwaka wanatuburudisha kinghimself, na Darassa wetuu we love u more💕👑🔥🔥🔥😋
@alfylegit95734 жыл бұрын
Kiba kafanya mambo yake humoooo.... Sauti ya king kama king... Kiukweli Domo kubwa hatoboi king kwa sauti, wacha tu king abaki kuwa king milele🔥🔥🔥🔥
@fx-farm68884 жыл бұрын
Yaaani kwenye huu wimbo nikianza kuusikiliza huwa narudia hapa mwanzo kiba anavuruga anga na hizo sauti zake 😂😂😂😂😂💥💥💥💥💥
@suzzannemark45454 жыл бұрын
Finally awaiting for this reaction. Dope 💥💥💥🇰🇪🇹🇿. You know Whatttttt
@tsuma_lee4 жыл бұрын
Another day another reaction... Katika video reaction video reaction..😅💥💥💥 IG name ako ni ipi.. Another day 💥💥💥
@frankchibago32064 жыл бұрын
King 👑 kiba 🔥kamsarpot ✍️mwamba %💯🙏🙏🤛
@judy72913 жыл бұрын
Ye baba..... 001❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️King kiba na darassa💕💕💕💕💕💕
@ansarradjabu27264 жыл бұрын
Oya Van inakuaje? Happy New Year2021, naomba tujuwane kama umemuona #tommyflavor kwenye video😋
@ibrahimkatana84164 жыл бұрын
Yuo know what 🔥🔥🔥 unyamwezi mwingi sana ngoma kali sana 254 nawakilisha
@sleyumomar36374 жыл бұрын
Van,, umemuona Tommy flavour, kashkilia mtoto kwa mbali ivi, au macho yngu tu
@lockedaway91214 ай бұрын
Hii reaction nimeirudia tena after three years😊 bombo claaat❤❤🎉
@lucasmwinuka38384 жыл бұрын
Ngoma kali. Ungaaamwezi mwingi.... Ngoma mpya ikitoka siangalii hadi ifanyiwe reaction #vanisikaka. Yooooooou knoooooow whaaaAt
@Yummycuisine269_2304 жыл бұрын
King Kiba ame uwa 🔥🔥🔥 I love this song Mtoto kifuwa John Cena 🤣🤣🤣🤣 You know whaaaaat!!!
@Vanisikaka4 жыл бұрын
🤣🤣🤣 mtoto John Cena🤣
@Yummycuisine269_2304 жыл бұрын
@@Vanisikaka 🤣🤣🤣🤣
@jasminejuma43753 жыл бұрын
@@Vanisikaka 🤣🤣🤣ila wewe
@lastborn_boy63644 жыл бұрын
🙌🙌🙌💥💥dah bro👏👏napenda energy yako aisee 💯
@fzlcomrajabu95144 жыл бұрын
You know what, Two kings on one track 🔥
@mashakajuma9024 жыл бұрын
You know what viivan boy nakubali Sana mjomba king kiba
@adeelsaid62133 жыл бұрын
King
@khamiswaje2mussa8484 жыл бұрын
Ye baba king kiba kauwa sana
@ramadhandihinji57334 жыл бұрын
Unyama ❤❤
@ludatoke1394 жыл бұрын
Hiyo ndy bongofleva king darasa mziki mzur bonge la nyimbo .
@phillipsthealchemist52333 жыл бұрын
Best reactions
@dittorashidi22144 жыл бұрын
Wa kwanza like kwangu
@princekenyan4 жыл бұрын
254=nimekubali Kali sana
@BIGDinnit4 жыл бұрын
Happy New Year 2021 🙏🏿✌🏿
@damacynyangaka10174 жыл бұрын
Ivi kiba koromeo lake ni kama makoromeo yetu kweli !! Mi nahisi kuna kitu hakipo sawa kwenye koromeo lake kabsa, madaktari watusaidie kumchunguza.
@firegun94434 жыл бұрын
Hahshahaha/umetishaaaaa
@kasikazinimedia39164 жыл бұрын
Yuko pw xan
@alialvintz43174 жыл бұрын
😁😁😁😂nmecheka saanaaa!! Umetisha mzeeee!!!
@officialrayzaTV75834 жыл бұрын
Jaemeni. Niko na Ngoma Kali ni search at Prince savior baraza 🙏
@dayzamc80823 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nahbirujuma64384 жыл бұрын
Bonge moja la ngoma daaah noma xanaaa🔥🔥🔥
@orestemanenomaneno77264 жыл бұрын
🔥🔥🔥king mzee ameua 👑👑
@Tiwiniankid4 жыл бұрын
Van weee nyokooooo snaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@osamabushoke36784 жыл бұрын
Nakubali mwamba unyamwez mwing
@christinezighe69164 жыл бұрын
You know what? Another day another year happy new year 2021
@zedennjate5483 жыл бұрын
Alikiba king of bongo flava ever...ila #van we mwenyewe pia ni mtu badi
@athumanijuma14754 жыл бұрын
Uongo Mbaya van unamkubal sn King maan unavyofanya reaction km unatak kupaa kwa mzuka bgp king
@mudymudytz10804 жыл бұрын
Kumbe ushaona njia za van anamaindi za kiba
@lockedaway46664 жыл бұрын
Sureee😂😂😂😂❤️❤️❤️
@lockedaway46664 жыл бұрын
King🤸🤸❤️❤️
@kennedykala71783 жыл бұрын
van nimeskia you saying 2021 ni yako...nimekuelewa sana..one love from the 254...2021 ni yangu na yako pia...less goo
@alyhamad75293 жыл бұрын
KING
@godsonsteven1533 жыл бұрын
Always king da best more🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 you know waaaaaaaaaaat unanipa vibe kinyamaaaa aseeeee van
@CoolKid-qk1jr4 жыл бұрын
Welcome back tumekuwait vinoma .....you know what💪💪💪
@eliasndungi90244 жыл бұрын
Happy new year bro.....unyamwezi 2021
@hidayaking33834 жыл бұрын
Unyemwezi mwingi 🔥🔥🔥🔥
@tabaroemmyyounusu83414 жыл бұрын
Nice song awa njo wanaimba siyo bado sana katuni
@luisojr34804 жыл бұрын
Kumbe kwenye ndege huko angani pia kuna njia Mzee Isikaka😂😂mnke umesema wakati unatoka likizo njia nzima kwenye ndege ulikua unasikiliza hii nyimbo😂😂 unyamwezi mwingi😂
@bensonshao89653 жыл бұрын
Kali sana king kama king
@HusseinMasudi-k9k10 ай бұрын
Darassa banaa
@zainamwangangi9344 жыл бұрын
You know whaat🔥🔥
@rashidally52444 жыл бұрын
😄😄😄 ila we jamaa bhn daah noma
@fransalbat18004 жыл бұрын
King🔥🔥🔥🔥
@omarmchoya3594 жыл бұрын
Pamoja San king kibaaaa!
@kingkiba63484 жыл бұрын
Umetisha broo
@peterlazima18024 жыл бұрын
Kiba nimo🔥🔥🔥🔥🔥
@daviecampbell88564 жыл бұрын
alikiba sio mtu mzuri kiukweri anaua saaana tena hatar
@khamisisanga45112 жыл бұрын
Kali Sana kinoma
@shaviercharvinho184 жыл бұрын
Naona jmekuja na moto moto mwaka wa 2021 heheheheh
@neeytemu4 жыл бұрын
Fireee
@mohamedywally11604 жыл бұрын
Mwanang ww ulitakiwa kuwa mtangazaji kbs voice Ni yenyew iyo
@gimdatdee18124 жыл бұрын
Niaje Van Isikaka tunaitaji video reaction ya KOKOTA BY BIG FIZZO 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@rukiaiddyyahaya95064 жыл бұрын
Nimecheka mpaka mate eti shoga ake mbu 🤣🤣🤣🤣🤣
@supertallone19024 жыл бұрын
😅😅😅😅
@junemuchiri6094 жыл бұрын
Kimbaombao icho,eeh shoga Ake mbu😂😂😂😂😂😂😂
@rukiaiddyyahaya95064 жыл бұрын
@@junemuchiri609 daaaa 🤣🤣🤣🤣
@hassannyangedontz43394 жыл бұрын
Nakubal
@allyabubakar7674 жыл бұрын
Shogake mbuu huyo... you know whaaat!! Top van
@francissimime24463 жыл бұрын
Kaz nzuri
@gastonbrooklyn86314 жыл бұрын
Nice
@abdallahmshamu55294 жыл бұрын
Duuuh yaan king kam king
@fetychina32734 жыл бұрын
😀😀😂mtoto kifua Johnsina😀
@omarimohamedi35594 жыл бұрын
Na sii uko na kidomo kitmu
@fetychina32734 жыл бұрын
@@omarimohamedi3559 👀😀
@sethbosco75954 жыл бұрын
Unatisha sana Van isikaka react ngoma ya Kokota by big Fizzo Nopfa by double jay Morning star by lolilo
@lucasmwinuka38384 жыл бұрын
Kuna siku natani sisi na chanel yetu ya reaction Kali za #vaniskaka. Tunakua #01ONTRENDING
@MITOBO4 жыл бұрын
Mitobo from Mozambiq U know whattttt
@yasminomar62354 жыл бұрын
Happy new year v
@rashidisalum31634 жыл бұрын
Ayaaaa, King kibaaa
@ivynzuki67084 жыл бұрын
Happy new year Vanisikaka
@ahammedmahruki87083 жыл бұрын
Yaap
@NeliaVascojulio2 жыл бұрын
Saluty king kiba♥️
@officialndotaboy3 жыл бұрын
6:35 Eti uyu nayee🤣😂
@keithp80974 жыл бұрын
React to dogo richie -sina habari nao,huu mwaka usinirushe
@mbembelatv4 жыл бұрын
Aisee wacha nirud t mjn maana huku bushi napitwa sanaaa bn😂🙆
@braytonysteven22464 жыл бұрын
😂😂😂eti shogaake mbu
@husseinmohamed17773 жыл бұрын
Hii ndo Bongo Flava✌🏼
@antonyngala19774 жыл бұрын
Kingkiba
@kakadevijo41294 жыл бұрын
nomasana
@fredrickfred57814 жыл бұрын
Njia za kingkiba ,noma sana
@julamamagota21084 жыл бұрын
Nakubaly xnaah
@lindaemmanuel44464 жыл бұрын
daaah!et kimbao mbao shoga ake mbu😂😂😂😂so poa
@francevicensio63274 жыл бұрын
Unanipa raha van bas
@fetychina32734 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀ha ha ha ha ha ha ha ha 🗣shoga yake mbu 😀😀😂😂😍😂😂😂😂😂😂😂
@legendkiller85484 жыл бұрын
You know what yes no ya baba levo
@michaelroy60793 жыл бұрын
😂😂😂Wadaisha " shoga wake mmbu" vile amekonda sio
@selemanally1264 жыл бұрын
Eti shogaa ake mbuuu hahaa
@alexalen67992 жыл бұрын
Nimecheka sana kaka shoga ake mbuu 😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
@kakozikalenga95624 жыл бұрын
You know what
@zainabubakari36304 жыл бұрын
Kk van likizo imeisha? Naona uko na furaha zako. Kiba sekta yeyote utayomuweka anafiti tu maana huyu jamaa ana sauti ya kipekeee kabisa
@munirashughuli72244 жыл бұрын
Isakaka ww
@hkidemobiledoctor73554 жыл бұрын
Unaposema King ni mmoja unamaanisha huwa anajiamin yeye kama yeye hategemei nguvu ya mtu eti adi corabo ya nje ndo upate tunzo yaan kapasua mipaka ya nchi bila corabo na anajulikana bila makorabo na matunzo bila corabo za nje aliechukua tunzo 21 kwa nyimbo ya mwana msanii yupi kavunja ubabe uo uo ndo ubabe na ndo maana kalipata jina King kibaaaaaaaaaaaaaaaaaa yap
@suleimanseif74364 жыл бұрын
Mejja kama mejja kaachilia bonge la kazi unyamwez mwingi
@alisaideabdala64614 жыл бұрын
Ameua king
@adeelsaid62133 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@octomunga54844 жыл бұрын
vitu vitamu viko kings music
@gastonbrooklyn86314 жыл бұрын
Burundi umetusahau Bantu bwoy bazidi kukiwasha 1.#Nopfa by double jay ft kirikou 2.#Kokota ya Big Fizzo ft kundi nzima Bantu bwoy
@rukiaiddyyahaya95064 жыл бұрын
Yani nawapenda hawa watu vani umenikosha
@mbembelatv4 жыл бұрын
💥💥
@gilbertmushi.4 жыл бұрын
Van apo anasema namkiooo fagio maana yake mkiomba fagio