From 🇰🇪❤NEY ndio favourite artist wangu wa Tanzania 🇹🇿🔥nipeeni likes basi alafu mtu wangu siunifanyie throwback flani inaitwa IVO IVO IVO by OCTOPIZZO
@mathapaulo61903 жыл бұрын
Nice
@jumanamkopa26023 жыл бұрын
Jamani unaekubali miziki ya nay weka like
@rehemahussein7483 жыл бұрын
Ilaa tuje kwa ukweli ukiskiza wimbo za Nay karibu zote huyuu jamaa nyimbo zake zina ukweli ndani yake!love this...amekiwasha wallahi sentro ihakwita maana sio kuwachamba huko daa!💥💥💥💣
@aronnyboy_tz77853 жыл бұрын
kiliochetu kimesikilizwa🙏🙏🙏 huyu ndo msanii Rais wa kitaa
@batoboy26723 жыл бұрын
Nakbali nei ujumbe umewafikia💪💪💪💪
@jaberbamatraf27213 жыл бұрын
The best boys from +254 Mombasa Double trouble- Ngwata....New hit🔥🔥🔥
@abudoeugenio69033 жыл бұрын
Alo brother,ingekua vizuri sana Kama ungekua mwananchi wa inchi yangu🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿na ujasiri Kama uwo.Maaana dah,had balaa.Uku twetu maji ndo yamezidi unga.Big up my man.
@ceed_lovekley_wes3 жыл бұрын
Nice one fanya reaction ya song ya kelechi inaitwa kiuno utakua umetisha sana
@hassanngowo80363 жыл бұрын
Nakubal mzeeeee tozo co ishuuu mwenyew nshalipia jengo la mtu🙉🙉🙉
@chrissjoel77523 жыл бұрын
*Baada ya Ngoma hiyo kuifikia Serikali TOZO imepunguzwa kwa 30% 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂RAISI wa KITAA* 💪💪💪💪💪 Ikitoka nyingine basi serikak itafuta Kodi ya majengo kwenye Luku 😂😂😂😂😂😂😂
@Kingtiger983 жыл бұрын
Nigeria tv kzbin.info/www/bejne/oX60iaqblNyFeZI
@rostamnakatipwa93553 жыл бұрын
Nacomment kwamalia nyingine vav uko vizuri salute ✌️✌️
@michaelmb92373 жыл бұрын
Kali sanaaa Nay kauwa sana kabisa🔥🔥🔥🔥
@toyasuleman93003 жыл бұрын
Nay humalizah kabisa 🔥🔥🔥
@zahirurumidis43013 жыл бұрын
Ney katuwakilisha kitaa🙋♂️
@yahyasalum56343 жыл бұрын
You know whaaaat
@realnine..3 жыл бұрын
#vanisikaka rais una makocha wengi watakukosesha ushindi
@kabintmpase15443 жыл бұрын
Kweli kabisaa yaan muda mchache mambo mengiiiii dah
@mosesburudani18693 жыл бұрын
Nay noma Sana,,,vany ifanyie ivo ivo ivo by octopizzo
@Mrhb253 жыл бұрын
🔊🔊🔊🔊🔊🔊sauti inatoshaaaa kabsaa
@luisojr34803 жыл бұрын
Kama vipi Isikaka uruke na Reaction ya dude lingine la Nay wa mitego linaitwa Wee mkuu ndugu yangu😂bonge la ngoma🔥
@brianb.a90843 жыл бұрын
Aje broo ...big fan toka kenya....nimekaa chini nikapata humjui ESIR kwa vile hauna reaction.....ESIR ndiye Tupac Shakur wa kenya
@elishamgaya63053 жыл бұрын
Kaka vann hii imekaa pow sana bro✌️💪
@kingmusiccover91063 жыл бұрын
Kaka Van iskaka so fanyia reaction ngoma hii yw huyu bro anafanya vizuli Sana anaweza #IsmailyStarOrg#Nakupenda
@stevenmnyagani55993 жыл бұрын
Thank you brother vany
@kignbrown87643 жыл бұрын
Love 💕
@arabgandaempire3 жыл бұрын
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
@realnine..3 жыл бұрын
#vanisikaka ney anasema nani atusemee sisi wanyonge sio nani atusamehe
@bantujunior70723 жыл бұрын
Oyaaaaaa vanny 254 mombasa kumewaka hainaga error wamerudi tena na ngoma mpya yaitwa NGWATA iko moto sana
@rehemahussein7483 жыл бұрын
Huyuu jamaa ni moto 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌
@donformidable30423 жыл бұрын
Noma sana kiukweli mze
@nangasixmshamba3 жыл бұрын
Kali kuliko zote 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 naomba ufanye reaction vídeo yangu please
@janviernizeyimana83523 жыл бұрын
Uko sawa saana
@aronyhussein85453 жыл бұрын
Atariiii sanaaaa ngoma iliii
@mandarakalimbo22352 жыл бұрын
Great bro
@christinezighe69163 жыл бұрын
You know what 🔥🔥
@tobiasamkeyia64653 жыл бұрын
Van plz nakubeg fanya reaction y hamadai by ndida n bonge la nyimbo
@alikadir26923 жыл бұрын
Fanya reaction ya uoto
@zuwenimyamba8983 жыл бұрын
Ney namkubali sana
@erickbmaxunga60193 жыл бұрын
Watakuosesha ushindi #vaniskaka
@asmhatanzania86973 жыл бұрын
Makato ni makubwa sana kweli nilituma laki saba na 60 nimekatwa elfu 35😭
@aminiabdallah75193 жыл бұрын
Dem shit 😡😡😡😡 RESPECTFUL nay
@umikarama53632 жыл бұрын
Van fanya ya ney acha niongee
@vasboy-tz24423 жыл бұрын
Wakwanza leo like zangu jaman namimi you know whaaaaaaaat#vanisikaka
@Vanisikaka3 жыл бұрын
Umetishaaaaa sana ndugu🔥🔥🔥🔥🔥
@erickbmaxunga60193 жыл бұрын
Oy, #van, hujaona iyo bendera man!!!!
@kigoliwakinyalu82083 жыл бұрын
Wenye nyumba bas watupunzungiee kodi za vyumbaa
@rostamnakatipwa93553 жыл бұрын
Van mkalii upooo
@IIam_suzzy2203 жыл бұрын
I love it 😻
@castorymwaipopo2903 жыл бұрын
Goma kali 💥
@joselyneirankunda52123 жыл бұрын
Nice reaction
@kigoliwakinyalu82083 жыл бұрын
Inama wapangaji tuna mlipia mwenye nyumba kodi selikalin
@joselyneirankunda52123 жыл бұрын
Love From Burundi 🇧🇮
@TheMint_tz3 жыл бұрын
Inatia hasira sana kwa mambo yanayo endelea kwa viongozi wa nchi hii 🇹🇿
jamani. ney kasema ukweri wananchi.jasana fozo nyingi
@tobiuchiha28273 жыл бұрын
React to creepy Japanese McDonald commercial
@taharamohd25153 жыл бұрын
Wasanii wote wakiwa hv viongoz watanyooka🤣🤣
@ramsojamali57193 жыл бұрын
watuwenye hatujajenge nimaumivu bati raki NNE. nawakati hapo nyuma irikuwa raki mbiri na kunatano jamani huu uongo basitu
@gilbertndigonje33993 жыл бұрын
Andaa passport sepa watakuniga Safi sana
@williammasawe15503 жыл бұрын
Ukwel mtupu
@mejamiela16053 жыл бұрын
Ameua
@ramsojamali57193 жыл бұрын
nihatari
@MANING413 жыл бұрын
Unasema umechanja chanjo ya Corona? Kapimwe tena usipojikuta na ukimwi ujue mimi murongo! Harafu utanijibu hii comment!
@Vanisikaka3 жыл бұрын
Ha ha ha Wake up bro , this is 2021...hatuishi kwa simulizi wala kwa story za kurithishana , mchaguzi wa afya yako ni wewe mwenyewe🤣🤣 Mpaka leo bado unaogopa Ukimwi au sio😂
@MANING413 жыл бұрын
@@Vanisikaka ukimwi umekuja na chanjo hiyo! So hakikisha ufanue vipimo hivyo tena kisha tudiskasi swala la ushauri kwa wengine! Big up kama unaridhia chanjo lkn!
@Vanisikaka3 жыл бұрын
Sawa ndugu daktari😂😂 maana akili za kuambiwa changanya na zaki😂 wewe umejua kuwa chanjo ina ukimwi ila rais na madaktari hawajajua🤣. Kweli tunazidiana kwenye ujuzi wa mambo....Ila Tambua tu chanjo ya Corona zipo aina tofauti ,sasa sijaelewa hiyo unayoongelea inaitwaje..Anyway mzee siku njema😂
@nassirjuma63083 жыл бұрын
Mmmmmh
@gangmore90913 жыл бұрын
@@Vanisikaka 🤣🤣🤣 huyuu itakua amechanjwa chanjo y peke yake me nimechoma n chanjo n nimepima ukimwi sina 😅😅😅