VICK -- SIMULIZI FUPI (USALITI, SPONSOR, TRUE LOVE)

  Рет қаралды 42,554

LUCAS LUMBASI SIMULIZI

LUCAS LUMBASI SIMULIZI

Күн бұрын

Пікірлер: 157
@Aysa-r7h
@Aysa-r7h 9 ай бұрын
Nimeinjoi mnooo asante Lukas
@reachelchemtai2604
@reachelchemtai2604 9 ай бұрын
Amen mungu akubarike sana Dada asente Sana Lucas lumbasi simulizi tamu Sana
@irne2926
@irne2926 9 ай бұрын
Yani tamu mpaka basa yani mauwa yako pokeya🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@racheluwda6552
@racheluwda6552 9 ай бұрын
Utamu walipa vick jamani 😂😂😂😂😅😅😅❤❤🎉🎉🎉
@RashidaHamad-o2g
@RashidaHamad-o2g 9 ай бұрын
Asante kwa simliz nzr..nime enjoy sana
@sinaartsgroup5723
@sinaartsgroup5723 9 ай бұрын
Daah yani kk Luka mungu akubaliki sana ktk kazi zako
@priscamtimavalye2661
@priscamtimavalye2661 9 ай бұрын
Leon ❤nimekupenda
@simonmapesa5639
@simonmapesa5639 9 ай бұрын
Nzuri zaidi
@Rehema-n7w
@Rehema-n7w 9 ай бұрын
Vick naamini mm pia tembo mbaya sana
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 9 ай бұрын
Tembo sio chai
@Gamil-r9o
@Gamil-r9o 9 ай бұрын
Nakweri kabisa ma hb wapo kwenye simurizi tu
@fetreshazKhamisi
@fetreshazKhamisi 9 ай бұрын
Anko Lucasi uko🔥🔥🔥🇴🇲kwasimulizi Ahasante sana kwasimulizi mpya❤❤
@EmJesho
@EmJesho 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 nmecheka sana na cjui nacheka nn jamani
@EmJesho
@EmJesho 9 ай бұрын
Waoooo ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 story tammmmmm sana
@agnesbasistian9248
@agnesbasistian9248 9 ай бұрын
Tamu mno inasisimua sana jamani. Saruti kwako kaka Lukas kweli umeniteka ❤
@christinahaule-p8i
@christinahaule-p8i 4 ай бұрын
vick mtaka vyote ukosa vyotee karick anataka kumvarisha pete shoga yng vick umeweza mama kuchuna wanaume ❤❤❤
@scollamwanisisi2739
@scollamwanisisi2739 9 ай бұрын
Vik mjinga angesema kuwa mi bikra angeshuhudia mwenywe
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 9 ай бұрын
Hongera❤❤
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 9 ай бұрын
Big up lukas Kaka 🎉🎉🎉 nzulii cn 🎉🎉🎉
@MaSI-p5o
@MaSI-p5o 4 ай бұрын
Mungu ni wa neema tuu
@MwajumaAli-w3o
@MwajumaAli-w3o 9 ай бұрын
Sante sana Kaka Lucas kwa simulizi nzuri
@saadamohammed7431
@saadamohammed7431 9 ай бұрын
Ahsante ndugu Lucas kwa siku ya leo kutupa msuwa mazuri ❤❤❤❤
@Decute4074
@Decute4074 9 ай бұрын
Story nzuri big up lucas lumbasi ❤❤❤❤❤
@Babyfaty-m3y
@Babyfaty-m3y 9 ай бұрын
Wa kwnza jmn lke zng
@STARJAMAL-my4mq
@STARJAMAL-my4mq 9 ай бұрын
Vick jameni hauna uwogs
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 9 ай бұрын
Umalaya pia kumbe n kazi naona wenzangu wamefaulu 😊😊
@AdidjaMema
@AdidjaMema 9 ай бұрын
Wow kimeumana
@JackineMdugala-xs8ht
@JackineMdugala-xs8ht 7 ай бұрын
Hakukatatamaa❤❤❤❤🎉🎉😊
@AnnaMukhwana-pf4qr
@AnnaMukhwana-pf4qr 9 ай бұрын
Mm nakulaumu tena sana ..nahisi wivu kaa ambae ni kaka zangu wanachezewa .
@jamilanahimana-wc4nd
@jamilanahimana-wc4nd 9 ай бұрын
Iyi simulizi 😂😂😂😂😂😂😂😂😅 eti kale kababadangote
@aishaabu3044
@aishaabu3044 8 ай бұрын
Hii kali xana❤❤❤❤❤❤ nmeipenda
@victoriaedfonss727
@victoriaedfonss727 9 ай бұрын
Wajina wajina umekosa msimo jomon 😂😂ushaaribu,wajina wangu 😢
@Lightkiboga
@Lightkiboga 9 ай бұрын
Yani huyu Vick anareflect kabisa uhalisia wa mabinti wa siku hizi we're looking for money only..and not true love❤
@annahnyansiaboka451
@annahnyansiaboka451 9 ай бұрын
Omba sana uyo reony alikuwa n mtu wa upendo sana sii km kivuruge clintony
@crestian8343
@crestian8343 9 ай бұрын
Huyu msichana ana kibali cha kutokutosheka aki weee maajabu haya lakini ni simul8zi tamu sana nimefurahia sana pokea maua lukas 🎉
@MariamShaban-t6s
@MariamShaban-t6s 9 ай бұрын
Simulizi ni nzur next plz
@Catherinemichael1995
@Catherinemichael1995 9 ай бұрын
Ila majina ya kina vicky au bas 😂😂😂😂😂😂😂
@hawasaid6625
@hawasaid6625 9 ай бұрын
Kwenye simulizi kila mtu huwa anakaa mapacha😊
@victoriangasa
@victoriangasa 9 ай бұрын
Hee vicky kama vicky 😂😂❤❤🎉
@FaithPeter-j4w
@FaithPeter-j4w 9 ай бұрын
Kazi zuri❤❤❤like zanu
@SofiaKhamis-f2n
@SofiaKhamis-f2n 9 ай бұрын
❤Kiasi nimewai sihaba🎉🎉🎉🎉🎉
@Bikhafija
@Bikhafija 9 ай бұрын
Asantee
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 9 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 6 ай бұрын
Khaaa,ila Vicky unayakoroga,daa! hadi huruma ,sijui utauanywaje maskini,ngoja tuone,ili tamaa mbaya ni hatari
@AsiyaMangaza54-qr1kk
@AsiyaMangaza54-qr1kk 9 ай бұрын
Wow merci beaucoup Mr Lucas kwa story zuri 🇨🇩🇨🇩✌️
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 6 ай бұрын
Pombe siyo suluhu ya changamoto isipokuwa daima itazua changamoto mpya na kuharibu kila kitu
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 9 ай бұрын
Asante sana kaka Lucas Lumbasi kwa kazi nzuri unatupatia mungu azidi kukubariki sana ❤❤❤🎉🎉🎉
@Edna-w3z
@Edna-w3z Ай бұрын
Kusema ukwel me napenda Lucas anavyo simulia ananogesha sana🎉❤
@TiffaOmary-m2q
@TiffaOmary-m2q Ай бұрын
Khaaa vick shikamoo🤚😅😅🙌
@Sss-b9w6f
@Sss-b9w6f 9 ай бұрын
Shukrani sana Mungu awatanguriye ❤❤❤
@medinahsamita3981
@medinahsamita3981 9 ай бұрын
Eti aliambulia mabegtu 😂😂😂😂 lukas
@AdmiringGrazingCows-im1kh
@AdmiringGrazingCows-im1kh 9 ай бұрын
Lazima ulaumiye ukona tama
@Evelynmoreen3655
@Evelynmoreen3655 4 ай бұрын
Huyo mwanaume asije kuwa yule mwanaume alie mupa wine kwenye chupa huko hon kong 🤣🤣🤣🤣🤣 patachimbimba Roma kura chuma hicho😂😂😂😂😂
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 9 ай бұрын
Haya ndio mambo na mind❤ lucas ukileta vitu kama hivi siwezi choka kusikiliza .ila vicky mpigaji kweli😂😂
@Joycetatu-h5g
@Joycetatu-h5g 9 ай бұрын
Wauuu xku hiz na wahii😂
@EmJesho
@EmJesho 9 ай бұрын
Kwanza me nasikiliza hapa natetemeka jamani
@salmabakari-xp7ud
@salmabakari-xp7ud 9 ай бұрын
😂😂😂nimecheka jmn
@Elizabeth-87
@Elizabeth-87 9 ай бұрын
Waaao nimeipenda ❤❤🎉🎉
@hawasaid6625
@hawasaid6625 9 ай бұрын
Changu doa 😅😅ila hawa wanaume wanao fanyaga upuuzi dah
@jennytugara9470
@jennytugara9470 2 ай бұрын
Jamani Lucas eti Ma Ex boyfried wengine mkiachana mnawindana kama Paka na Panya😃😃
@umi-je4qm
@umi-je4qm 9 ай бұрын
Story nzuri sana ila niroho ngumu kwel wengine hatuwezi😅
@victoriafausteni7708
@victoriafausteni7708 9 ай бұрын
Uwii
@NuruWiliamRandu
@NuruWiliamRandu 9 ай бұрын
Jaman Lucas ww hahaha nmecheka mpka bc,,eee vicky alpitia magumu ykujitakia
@Holiness-to3wp
@Holiness-to3wp 7 ай бұрын
Jamani huyu rita ana roho chafu
@MadinaRashid-v5n
@MadinaRashid-v5n 9 ай бұрын
Mwanafamilia mpya wa Lucas lumbas simulizi
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 9 ай бұрын
Karibu snaaaa❤❤❤❤
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 9 ай бұрын
Karibu dear❤❤.one family big family🫶🫶🫶
@saumunyadzua
@saumunyadzua 9 ай бұрын
Karibu ndani ya familiar 😂😂😂😂mwaya
@Athmanmasini
@Athmanmasini 4 ай бұрын
😂Kuna mda Nimehuzunik na kuna mda nimechek kam mweu na jinsi vick alivychangnyikw na kudate waume Wawil anyway simulizi ni tam san😊
@neemakapela7312
@neemakapela7312 9 ай бұрын
Great
@Salma-zi6hn
@Salma-zi6hn 9 ай бұрын
Nimechelewa leo kaka Lukas bt nimewasili
@FatimaRamadan-s4f
@FatimaRamadan-s4f 9 ай бұрын
Viko vya ku shea lakin si mapenzi mm siezi kupita na watu wawili
@AdmiringGrazingCows-im1kh
@AdmiringGrazingCows-im1kh 9 ай бұрын
Tamaa
@RoseMbuya-cn5dg
@RoseMbuya-cn5dg 9 ай бұрын
Mashabiki WA Lucas mpoo umeona Lucas yetu aki enjoy na Ngoma naomba like zenu
@AnethDavid-k1s
@AnethDavid-k1s 9 ай бұрын
00
@AnethDavid-k1s
@AnethDavid-k1s 9 ай бұрын
000000⁰00⁰0😊0😊😊😊p😊ppl P😊😊😊😊k😊😊😊😊😊l😊😊l😊llllll😊
@kisaagustino3278
@kisaagustino3278 9 ай бұрын
Wanaume wanaofungulia maduka madem Woote wanapatikana kwa lukas😂😂😂
@Edna-w3z
@Edna-w3z Ай бұрын
😂😂😂😂 subutu
@RadhylesModdy
@RadhylesModdy 7 ай бұрын
Shemeji analika tatizo lake wenge tu
@RenaldaMsuya-s1f
@RenaldaMsuya-s1f 9 ай бұрын
So interesting ❤… big up kaka Lucas
@ZinaTanzani
@ZinaTanzani 9 ай бұрын
Mimi wa mwisho
@KuvunaGonda-l4f
@KuvunaGonda-l4f 9 ай бұрын
Vick Jamani 😄😄😄😄 daaah unatutisha ww haaaah
@angellandambuki794
@angellandambuki794 9 ай бұрын
Haya sasa❤❤❤
@FatimaRamadan-s4f
@FatimaRamadan-s4f 9 ай бұрын
Kwa hiyo ukiitwa Malaya tutakua twa kosea tamaa mbaya sana
@SheladSalum
@SheladSalum 9 ай бұрын
Nimeipenda mno jamani
@ZabibuHassan-ci5vz
@ZabibuHassan-ci5vz 9 ай бұрын
Khaaa nikajua leo nitawai jmn 😊😊ila sio mbaya wa 4
@ashalwamba8286
@ashalwamba8286 9 ай бұрын
Wa Tanzania ni wamalaya sana
@ZabibuHassan-ci5vz
@ZabibuHassan-ci5vz 9 ай бұрын
@@ashalwamba8286 🤣🤣🤣jmn
@josephineuwizeye8250
@josephineuwizeye8250 9 ай бұрын
Belle histoire!!!!❤❤❤❤ Felicitation à toi Lucas
@hamsoben5037
@hamsoben5037 9 ай бұрын
Kama movie vile..dah..
@WitnesiMgeni
@WitnesiMgeni 9 ай бұрын
🎉🎉🎉
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 6 ай бұрын
Mh,njia mbili zilimshinda fisi jamani,nikufanya maisha yawe magumu na yamashaka mwisho ni kuambulia magonjwa ya moyo bure.ona sasa inataka kuwa za mwizi arobaini sasa😂😂😂😂😂,na hao marafiki wawili anaowamiliki,kweli mdada hana akili kabisa😂😂😂😂
@hamsoben5037
@hamsoben5037 9 ай бұрын
Hapa huu mzunguko wa vick..kuna kitu kilikua hakiko sawa..why? Ukifatilia hii story kwa makini..utagundua all those 4men they knew what they were doing to this girl...from father..two brothers and friend leon...they were using this girl..and I dnt know..lengo Lao lilikua nini...jus see..alienda abroad..all those yrs..but alipewa kikaratasi na kina Deborah..aje apate ajira tz..that means akaangukia mikononi mwa Leon.. ambaye nirafiki wa carick..so akarudi pale pale...anyway..its amazing story...iko na mengi ya kujifunza..keep it up bro.
@GlorryMariki-ee6dc
@GlorryMariki-ee6dc 5 ай бұрын
Alooooh!! 😂😂😂shikamoo english 😅😅😅
@lizzygabriel9601
@lizzygabriel9601 9 ай бұрын
Inamaana vick miaka yote hiyo ulishindwa hata kutafuta kazi ukawa na hela kweli mmmh hata kama ndio simulizi mtu gani hujiongezi
@linnerphilip4260
@linnerphilip4260 9 ай бұрын
Mi hapa sielew niwe upande wa nan
@ANKOZUBERI881
@ANKOZUBERI881 9 ай бұрын
hii kitu ipo kiaina yake
@yussufadidja433
@yussufadidja433 9 ай бұрын
🎉🎉❤
@victoriangasa
@victoriangasa 9 ай бұрын
Ety Victoria saimon mbona hat mm naitwa ivoivo😂😂😂🎉
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 9 ай бұрын
Ni wewe basi maybe umepoteza kumbukumbu hukumbuki ya zamani
@victoriangasa
@victoriangasa 9 ай бұрын
@@MwanatumuJumaa-rj4fg we hapn so mm jmn
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 9 ай бұрын
@@victoriangasa 😀😀😀😀
@victoriangasa
@victoriangasa 9 ай бұрын
😂😂😂😂​@@MwanatumuJumaa-rj4fg
@mwanasiti83sete63
@mwanasiti83sete63 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤Big up kaka lucas 😂😂😂❤❤❤🎉
@KhadijaKassim-k8d
@KhadijaKassim-k8d 9 ай бұрын
Asante sana kaka Lucas Lumbas
@omerrashed9080
@omerrashed9080 9 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉
@FaudhaHamisi
@FaudhaHamisi 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@saumurajab7542
@saumurajab7542 9 ай бұрын
Thanks ❤❤👌👌👌😘😘😘🔥🔥🔥🤣🤣
@FatumaHamisi-sr6yj
@FatumaHamisi-sr6yj 9 ай бұрын
🥰🥰🥰👏👏
@AdmiringGrazingCows-im1kh
@AdmiringGrazingCows-im1kh 9 ай бұрын
Huna utu
@lulusenzia4807
@lulusenzia4807 9 ай бұрын
Huyu Vicky kitamkuta la kumkuta
@MwantumuBakari-v7p
@MwantumuBakari-v7p 9 ай бұрын
Like zenu mashabiki leo nimekuwa wa kwanza ❤❤❤🎉🎉
@LeahLissu-x5w
@LeahLissu-x5w 9 ай бұрын
🎉🎉🎉
@saumunyadzua
@saumunyadzua 9 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@mwanaibrahim3288
@mwanaibrahim3288 9 ай бұрын
🎉🎉
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@zuhramwavyoni8400
@zuhramwavyoni8400 9 ай бұрын
😅😅😅❤
@JosephineRobert-s8m
@JosephineRobert-s8m 9 ай бұрын
Kila cmulizi hb akosekani
@ZenaidaDaniel-r9d
@ZenaidaDaniel-r9d 9 ай бұрын
🤣🤣🤣
@GlorryMariki-ee6dc
@GlorryMariki-ee6dc 5 ай бұрын
😂😂😂😂
BINTI YUSRA - SIMULIZI MPYA YA KUSISIMUA
1:42:33
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 30 М.
IRENE (MAPENZI, VITUKO, MAISHA)  SIMULIZI FUPI
2:32:52
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 40 М.
How To Choose Mac N Cheese Date Night.. 🧀
00:58
Jojo Sim
Рет қаралды 107 МЛН
Lamborghini vs Smoke 😱
00:38
Topper Guild
Рет қаралды 39 МЛН
PENDO | TRUE STORY | LOVE & LIFE STORY
2:03:58
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 20 М.
BINTI EMMY - [ PART 01 ]
3:06:12
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 39 М.
A Wise Person Silently Cuts Off these 5 Types Of People | Islam
13:39
Truth Path Of Islam
Рет қаралды 1,1 М.
KAKA JAMBAZI: SIMULIZI FUPI YA KUSISIMUA.
4:10:30
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 37 М.
ANITA - SIMULIZI FUPI
49:34
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 29 М.
CATHY | SIMULIZI FUPI
2:16:15
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 14 М.
SAJDA (KAJICHANGANYA KWENYE PENZI LA MWANAJESHI) - SIMULIZI FUPI
1:33:04
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 24 М.
BUSH GIRL - [ PART 01 ]
2:13:27
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 42 М.
EDNA | SIMULIZI MPYA | NILIEMDHANIA KAHABA KUMBE BIKRA | LOVE AND LIFE STORY
2:00:39
How To Choose Mac N Cheese Date Night.. 🧀
00:58
Jojo Sim
Рет қаралды 107 МЛН