Victor ataka kuruka na dada wa kazi, Peace amfumania | Mzani wa Mapenzi EP 42

  Рет қаралды 17,471

Sinema Zetu

Sinema Zetu

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@Star-f4c
@Star-f4c 5 күн бұрын
Uyu victor karogwaa😂😂 Kijini kipenda ngonoo
@JasiminJasimin-i5l
@JasiminJasimin-i5l 5 күн бұрын
Limekosa pesa ya kuhoga limeanza kutongoza mfanya kazi wa Dani 🤣🤣hukiwa na limime la hivi Bora single
@JabirHija
@JabirHija 19 сағат бұрын
Uko sahihi kabisa ❤
@FatmaAbdul-q5o
@FatmaAbdul-q5o 3 күн бұрын
dada wa kaz anatetemekaa😢😢😢
@EditherWilliam
@EditherWilliam 6 күн бұрын
Cecy mitano tena Kwa huyu mjinga 😅😅😅 daaah ila Victor 🙌🙌🙌🙌🙌🙌😅😅😅
@priscakimario4863
@priscakimario4863 6 күн бұрын
Wanaume bana 😢😢😢😢😢😢
@Neema-m6s
@Neema-m6s 5 күн бұрын
Wanaume shikamooo Victor unahatari sijui unachokitafuta
@WhitnessMponda
@WhitnessMponda 6 күн бұрын
😂,,😂😂duh huyu mwanaume ni kiboko aiseee
@afrahelgoth5657
@afrahelgoth5657 5 күн бұрын
hivi victor anapepo la ngono au anahitaji maombi ya mwamposa
@Daniella249
@Daniella249 5 күн бұрын
Victor achinjwe exmasi 😂😂😂
@CAREENKIMARO-g8m
@CAREENKIMARO-g8m 6 күн бұрын
Cecy apewe tuzo tu jamn😂😂
@RahelMzunda
@RahelMzunda Күн бұрын
Anastahili man anaupiga mwingi mno
@Khairath-c3x
@Khairath-c3x 5 күн бұрын
Wadad wakaz tunakaz san allh ndy anaetumisima kweli 😢😢😢😢😢😢😢
@hajinyange1447
@hajinyange1447 3 күн бұрын
polen sana
@MussaRasul
@MussaRasul 5 күн бұрын
Victor chizi mapenzi
@JENIPHANOBERT
@JENIPHANOBERT 5 күн бұрын
Victa we mbwaa wewe koma na mabintiiii
@TEDY-MTEMY24
@TEDY-MTEMY24 6 күн бұрын
Huyu victor mimi nashindwa hata kumpata vizuri, hadi dada wa kazi duhh 😮
@Riyyah_143
@Riyyah_143 6 күн бұрын
Wekeni movie nzima jmn
@Riyyah_143
@Riyyah_143 6 күн бұрын
Sio vipande vipande hv 😢
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 6 күн бұрын
😂😂😂😂Wanaume nungu nungu
@FARAJABANKA
@FARAJABANKA 6 күн бұрын
Huyu kaka kila siku ana mafua😅 au?
@nancyg8664
@nancyg8664 6 күн бұрын
mafua ya chini ya kiuno au
@salmakasim8390
@salmakasim8390 2 күн бұрын
😂😂😂mazoeaa
@JudithMapunda-i4o
@JudithMapunda-i4o Күн бұрын
😂😂😂😂
Kumbe ni gari la Cleo | Mzani wa Mapenzi EP 41
2:52
Sinema Zetu HD
Рет қаралды 14 М.
За кого болели?😂
00:18
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,4 МЛН
Lamborghini vs Smoke 😱
00:38
Topper Guild
Рет қаралды 37 МЛН
JUX AFUNGUKA VITU AMBAVYO PRISCILLA AMEWAZIDI MA-EX WAKE
4:05
Wasafi Media
Рет қаралды 25 М.
Alooo hapa pamewaka | Mzani wa Mapenzi EP 42
2:26
Sinema Zetu HD
Рет қаралды 7 М.
Chakula chazua balaa | Mzani wa Mapenzi EP 41
2:25
Sinema Zetu HD
Рет қаралды 12 М.
MAJI YA SHINGO S01 EP 1O / duma anamtesa mdogo wake hemedy phd
25:57
Ameanza kulia lia, ila Victor | Mzani wa Mapenzi EP 41
3:09
Sinema Zetu HD
Рет қаралды 14 М.
За кого болели?😂
00:18
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,4 МЛН