Video Bora za Bibi Kibena! | Ubongo Kids | Hadithi za Kiswahili

  Рет қаралды 138,328

Ubongo Kids Kiswahili

Ubongo Kids Kiswahili

Күн бұрын

Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo!
Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya Akili and Me inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!
Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia:
www.ubongokids...
/ ubongokids
Created by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning!
www.ubongo.org
Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid.

Пікірлер
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Re-upload: Kusudi la Kibena | Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa Kiswahili
31:08
Ubongo Kids Kiswahili
Рет қаралды 102 М.
Usalama Barabarani Na Ubongo Kids |  Tufike Pamoja | Swahili Version
28:21
Scania East Africa
Рет қаралды 260 М.
Mti Mwenye Kiburi | Proud Tree in Swahili  | Swahili Fairy Tales
10:08
Swahili Fairy Tales
Рет қаралды 3,1 МЛН
Kibena! Kiduchu! Amani! | Wasichana wa Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa Kiswahili
39:55
Chungu chake cha ajabu | Magic Pot in Swahili | Swahili Fairy Tales
9:13
Swahili Fairy Tales
Рет қаралды 2,4 МЛН
Ng'ombe wa kimazingaombwe | Magic Cow in Swahili | Swahili Fairy Tales
9:51
Swahili Fairy Tales
Рет қаралды 879 М.
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН