VIDEO: CCM WATOA TAMKO JUU YA KUTEKWA NA KUUAWA KWA MZEE ALI KIBAO

  Рет қаралды 21,092

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 126
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Ай бұрын
Pole yakinafiki. Mungu yupo ipo siku yenu yaja msizan km sis hatuumii
@newvoicetutorial2131
@newvoicetutorial2131 Ай бұрын
Tatizo lenu mnalazimisha mamlaka eb kuweni kama RC MAKONDA watu watawapenda wenyewe bila hatakutumia nguvu ya kudhulu maisha ya watu kuweni na royo ya khuluma muogopeni mungu Jmn inaumiza kuona familia za watanzania wanyonge vilio haviishi
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u Ай бұрын
Toka alivyotekwa taarifa ilitolewa lkn hakuna aliyeshugulika nalo. Ameuawa Ndiy mnajitokeza wallah Tz tunakoendea itakuwa km Kongo 😢😢 Wamekatisha uhai wa huyu baba kubaki na machungu family yake 😢
@amerwelder7786
@amerwelder7786 Ай бұрын
Bora
@mariamhussein8536
@mariamhussein8536 Ай бұрын
Jamani jamani mie hili jambo limeniuma sana ila nimekuwa na tafakuli ya kina kidogo nchi yetu inapoelekea kwenye uchaguzi tu kumekuwa na haya matukio ya watu kutekwa na kuuwawa. Tusihukumu jamani wala tusiilaumu serikali tu wanasiasa wa nchi yetu hii wapo ambao hawataki kuachia madaraka ktk vyama vyao kupisha wengine watu wa namna hii wanaweza kufanya lolote kwa wenzao na wakaelekeza vidole kwa serikali kikubwa MUNGU yupo na anayajua ya siri na dhahili tusubiri tu subra ni ngumu ila ina malipo makubwa na tukumbuke tu unacho tendea wenzako hufi lazima kikupate. Pole nyingi kwa walio potelewa na ndgu zao na walio fiwa pia ALLAH akupeni subra inshaallah
@AdamCheze
@AdamCheze Ай бұрын
Wale wenye kukalia viti na madaraka kwa kumwaga damu za wenzao basi utawala huo hauna baraka ya MUNGU na wale wasio na baraka na MUNGU basi wamelaaniwa
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson Ай бұрын
Ninaamini kwa hizi damu zinazomwagika na robo kuacha mwili kwa kuteswa ardhi hii ya Tanzania italaaniwa. Laiti ningejua haya nisinge zaa kabisa maana mbele naona giza nene kwa vizazi vijavyo. Mwenyezi Mungu nakulilia tutazame viumbe wako tunaishi kwa hofu ndani ya nchi yetu. Muongoze Rais wetu aweze basi kulihutubia Taifa atutoe katika hofu hii na mara moja Amani ndani ya roho zetu ilejee.
@RobartMusa
@RobartMusa Ай бұрын
Kweli lkn hii nchii hainaaa uhuruu kabisaa , inabidi tufanyee mechanisms ya kutafutaa uhuru tenaa
@ZawadyKaoneka
@ZawadyKaoneka Ай бұрын
Alipo tekwa serikari na viongozi wote mlikaa kimnya amekufa sasa maneno mengi mmejulishwa kuna utekaji mnabisha viongozi mnao mizaha sana na maisha yetu kwasasa tunajiuliza nani atafuata kupelekwa polini
@isamony58
@isamony58 Ай бұрын
Nilikuwa mpz wa CCM lakini toka afe magufuli naichukiy CCM sana
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Ай бұрын
Nchi gani hii hatuna viongonzi ila hizi damu na ziwe juu yao na familia zao wote wanakaa chini na kuagiza hili lifanyike hizi damu narudia damu hazitaenda kunyamanza zikainuke zitembee watekaji na waliowatuma
@HemedmusoTz
@HemedmusoTz Ай бұрын
Hata unavoonekana tu hio sio pole ya ukweli ni unafiki tu
@HassanAhmed-di9jq
@HassanAhmed-di9jq Ай бұрын
Nyingi sindio wauwaji juzi tuu kijana wenu ametangaza kama yeye ndie aliekua kiongozi wa chinja chija leo unatoa pole ya nini namnajua kila kitu kaka
@rechomathayo-kf7jc
@rechomathayo-kf7jc Ай бұрын
Mungu siunawajuwa baba waliokaa nakupanga mauwaji aya nawaliotenda kitendo cha kikatili kias uchi baba wa mbingun tena kwawote waliotenda aya sis atuwez waoneshe mababa ili wajuwe kama mungu upo kwahali hii wanaofanya matukio aya naiman awajui kama mungu upo sisi atuhukumu bali mtowa ukumu ni wew tenda baba
@naimahhussein8430
@naimahhussein8430 Ай бұрын
😢😢😢😢Allah awalaani ccm laana kubwa kubwa kwa hivi vifo mnavyofanya 😭😭😭😭😭😭😭hii nchi sasa democracy ya nini km kila kukicha members wa chama pinzan wanafanyiwa ukatili 😭😭😭😭😭😭😭😭Tanzania futeni democracy tujue moja 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭inaumiza sanaaaa MUNGU TUNUSURU 😭😭😭
@josephmaduka-xv8yp
@josephmaduka-xv8yp Ай бұрын
Wnafiki tu hawa mbona wao wa ccm hawatekwi ila wa vyama pinzani tu na wanaokosoa serikali
@salummaulid4860
@salummaulid4860 Ай бұрын
Allah awalaaani wote waliofanya kitendo hicho wao na kizazi chao
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Ай бұрын
Nyinyi ndio watekaji na wauwaji kwahy pole ya kazi gani
@athumanbalozi9748
@athumanbalozi9748 Ай бұрын
Na uzuri hii dunia Hata ukiuwa IPO siku utakufa Walofanya vile Mungu ndo hakimu
@noot-oe2mw
@noot-oe2mw Ай бұрын
Inalilah wainalilah rajuuni poleni sana family
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Ай бұрын
Nilikua naipenda Ccm asa ivi naichukia vibaya mno na viongozi wao wengi wa mchongo uku Uraiani ata awakubaliki
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Ай бұрын
Mimi mwenyewe wamenitoka moyoni ila basi tu
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Ай бұрын
@@aishafrancis7714 kweli kabisa
@aliciamwalimu582
@aliciamwalimu582 Ай бұрын
​@@aishafrancis7714ongea taratibu shogaangu husije tekwa naww ukaacha familia ila hii nchi sio jmn😢
@aliciamwalimu582
@aliciamwalimu582 Ай бұрын
​@@mangulimanguli3974mwanasheria wako yuko vzr🤣? Maana alochoma picha mmmmmh mdomo koma😭
@alphoncejackson9300
@alphoncejackson9300 Ай бұрын
Pole za nn wakati nyie mna teka watu xawa ccm so musha fanya inchi yenu ok😊
@emmanuelandrea9794
@emmanuelandrea9794 Ай бұрын
"bwana Mungu nashangaa Kabisa nikitazama kama vilivyo nyota ngurumo vitu vingi sanaa viumbwavyo Kwa uwezo wako"
@mtakamatv
@mtakamatv Ай бұрын
Hata namna ya kuongea tunaelewa ni unafiki tu,mnajua mnachokifanya kuwafanya watu waogope kujiunga na vyama vya upinzani.bunge lenu,lilionekana halitaki kushighulikia Wala kujadili mauwaji na utekaji wa watu,ambapo bunge ni la ccm,
@ahmadifataha6677
@ahmadifataha6677 Ай бұрын
Dawa ni kutopiga kura wawaachie wenyewe ambao wanona wao ndio wanastahili kuwa wenye hiyo nchi aiwezekani watu wanauwawa tanzania hatuna hizo tamaduni hizi
@champion-dz6kr
@champion-dz6kr Ай бұрын
Inalilah wainalairajiuna, niko pale mtakuja kunielewesha badae
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi Ай бұрын
sasa kutuambia vyaama ina saidia nn atu chagui ccm mwaka huuuuu mwishoooo
@salummaulid4860
@salummaulid4860 Ай бұрын
Huyo ni muislam mwenzetu na Hata kama asingekua muislam dhulma ya nafasi daima hudumu na ipo siku nanyi mtakufa, mtaenda kukutana na adhabu Kali kabisa yenye kuumiza moyo
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 Ай бұрын
Da jamaaa wanachekeshaaa sana hawa watu
@sidearsenal666
@sidearsenal666 Ай бұрын
Nyie c ndio mlisema mkiwapoteza police wasiwatafute hebu tuacheni bhana
@MHDFURNITURE-jn2rx
@MHDFURNITURE-jn2rx Ай бұрын
ukitaka kuwa muwaji na kubeba zambi za uwaji kuwa mwana chama wa ccm
@michaelmhina3613
@michaelmhina3613 Ай бұрын
Makala utaenda lini Msambiazi Korogwe?
@aidankakulu398
@aidankakulu398 Ай бұрын
AMBACHO HAMKIJUI TUMESHACHOKA NA KUCHAFUKWA NA HICHI CHAMA CHA CCM TUNASUBILIA UCHAGUZI TU NDIO MTAJUA PALE MTAKAPOJARIBU KUFANYA UJINGA WA KUGEUZA KWELI KUA ZULUMA
@WiliamVicenteWiliam-q2y
@WiliamVicenteWiliam-q2y Ай бұрын
Watekaji ni wa CCM awo
@timothbenard8213
@timothbenard8213 Ай бұрын
Mungu anawaona
@rahimmarions5712
@rahimmarions5712 Ай бұрын
Tanzania Tanzania Tanzania...daaah sijui haya mambo yanaenda vp aisee...daily yanaongezeka tu
@elizabethexaud4766
@elizabethexaud4766 Ай бұрын
Mbona alivyotekwa hawakufanya juhudi zozote mfyuuuuu😢
@oneandonly9816
@oneandonly9816 Ай бұрын
Kutoa pole kwa chadema sio Watanzania!! Mtanzania amekufa
@mtotowamanka
@mtotowamanka Ай бұрын
Hawa ndo waovuu😢
@Keyjop
@Keyjop Ай бұрын
Mmmh.,...bongo nyoso 🙌
@InnocentCharles-hm3ff
@InnocentCharles-hm3ff Ай бұрын
Kuna siku hizi mic mtazikimbia...msichochee wananchi watulivu na kuwafundisha ukatili...wallah hakuna wa kuuzima moto wa watanzania wakiaumua kujitetea...
@PeterNMzee
@PeterNMzee Ай бұрын
Mnatuona maboya
@JulianaPantony
@JulianaPantony Ай бұрын
Mungu anawaona haki tena ,,,yote hayo nimadalaka kweli
@mariamumechara3398
@mariamumechara3398 Ай бұрын
Sio chadema ni watanzania wote tumeumia mnatupereka pabaya sana wanasiasa
@piusbille3905
@piusbille3905 Ай бұрын
Acheni Unafiki Mgejuwa Mnae Muuwa ni Binadamu Msinge Fanya huu Unyama
@storytownTv
@storytownTv Ай бұрын
Ningecomment sema naogpa kupotea..😢
@KlugarNguvila
@KlugarNguvila Ай бұрын
Sio kwer kabsa
@frankmhengilolo1584
@frankmhengilolo1584 Ай бұрын
Me napita tu jamani nilikua nalingia wakili wakujitegemea ila kwa asaiv amna cha wakili Wala nn🏃🏃🏃🏃
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh Ай бұрын
Kwel lazima usepee mzee
@HussainMaula-l1s
@HussainMaula-l1s Ай бұрын
Hasbiya llha waneemal wakil
@BozaDizamile-u1d
@BozaDizamile-u1d Ай бұрын
ACHENI UONGO BWANA NYINYI NDIO MNASABABISHA HAYA MNAUWA WATU KISA MADALAKA TU
@Nestoemanuel
@Nestoemanuel Ай бұрын
Mnamwishoweni 😭😭
@PeterBayyo-dn2qx
@PeterBayyo-dn2qx Ай бұрын
❤❤
@husseinbakar2358
@husseinbakar2358 Ай бұрын
TANZANIA tunaichafua ,na wanao chafua Tanzania ni watanzania
@jamesmboneko2952
@jamesmboneko2952 Ай бұрын
Ni CCM na Machawa wake
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Mmmmmmmmmmmm makubwa hayaaaaaaaa
@kilolomasazi4240
@kilolomasazi4240 Ай бұрын
😮😮😮😮
@gabrielmchau8764
@gabrielmchau8764 Ай бұрын
Niliwah kuwa na kadi ya ccm ila kwa utoto ninaouona nimeamua ntaichoma moto kabisa
@CantonaKunona
@CantonaKunona Ай бұрын
R.i.p
@MHDFURNITURE-jn2rx
@MHDFURNITURE-jn2rx Ай бұрын
ilikuwa haina haja yakuuwa watu jamani unaanzaje kumuuwa mtu kwajili yamadalka hicho unacho kitaka nakukitafuta kwa kumwaga damu utakiacha apapa duniani subirini nanyia siku yakufa mtajuwa hamjui
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 Ай бұрын
Maovu yanayo endelea na utekaji siku raia wakichoka sijui itakuaj
@FeisalDoctor-wr8ws
@FeisalDoctor-wr8ws Ай бұрын
Haw ccm ni wanafiki hawa hawatak maendeleo ya nchi ndio waliomuuw magufuli haw ukiwa ccm ukipenda haki wanakuuwa au unaham chama Chao kam uy waliomuuw alikuw ccm ila Aliham chama baada ya kuona anaishi na mafisi sio watu
@AgathaLumala-l2z
@AgathaLumala-l2z Ай бұрын
Mnachunguza nini wanafiki ninyi....
@salumnassor3857
@salumnassor3857 Ай бұрын
Utaonge nn ssa hv????
@jamesmaths2296
@jamesmaths2296 Ай бұрын
ameonyesha ubinadamu na amekwepa kuongelea chanzo cha kifo chake ili awe ktk safe side
@IreneEdmond
@IreneEdmond Ай бұрын
Hivi unamuua mtu alafu na wewe ni marehemu mtarajiwa 🤔🤔 Binadsmu kiumbe cha ajabu sana Ipo siku na nyie wauwaji tutawaambia R.I.p msifikir mna dunia yenu Ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upanga hukumu ipo mtatoa hesabu ya hizi damu zisizo na hatia mnazozimwaga
@juliusmagunila6308
@juliusmagunila6308 Ай бұрын
Mbona alipotekwa hamkusema chochote
@ALEXANDERELIKADO
@ALEXANDERELIKADO Ай бұрын
Pole mwana harakati
@IreneEdmond
@IreneEdmond Ай бұрын
Sitapiga kura mpk naingia kaburini
@lilhydon452
@lilhydon452 Ай бұрын
Watu wametekwa wengi, unamuona tu huyo?😢
@gabrielmchau8764
@gabrielmchau8764 Ай бұрын
Ifike mahali mkumbuke tu dunia hii ni fupi kwa kila mtu, miaka 100 sio kitu ila hamuoni hilo bali mnafanya mambo ya kitoto, ifike mahali mkue na muwe tayar kujikuza kwa haki, huu ni ujinga na taifa halitokua kwa akili za kitoto kama hizi
@josephmpemba8004
@josephmpemba8004 Ай бұрын
UKIUA KWA UPANGA UTAUAWA KWA UPANGA!!
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh Ай бұрын
Mpaka comments tunaogopa du!
@MisMona-oo6zk
@MisMona-oo6zk Ай бұрын
Kila siku nyinyi tu lawama ccm ccm hamuoni hata haya chadema wote wanafki hampati iraisi
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi Ай бұрын
Sasa na ww subilii uwone kama mtapata ulaisii
@ErickCharles-m5x
@ErickCharles-m5x Ай бұрын
Kumanina zenu ccm nyie ndo mme muuwa Tena mfanye uchunguzi ninyi
@msukumamnywamaziwa2785
@msukumamnywamaziwa2785 Ай бұрын
😮😮😮Mhhh 2kitoA neno 🎉🎉🎉
@christophermwalugaja9296
@christophermwalugaja9296 Ай бұрын
Duu.kwa unafki huu natamani hata nice leo
@MaurusMpinga
@MaurusMpinga Ай бұрын
Moyon wanafulai
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h Ай бұрын
Tunaosoma comment za watanzania tupo?😢
@salimomar9385
@salimomar9385 Ай бұрын
Kaka Millard make sure Kila hatua post Ili kukemea haya Tanzania ni nchi ya Amani sio uwanja wa mauaji
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 Ай бұрын
Inarusiwa vipi mtu kuruhusiwa kunnunua Acid (TINDIKALI)
@selemankishema5780
@selemankishema5780 Ай бұрын
Jamani mbona shutuma zinaenda moja kwa moja ccm ? Tusiishi kwa dhana sio maisha hayo wache uchunguzi ufanyika tutabaini
@febby8308
@febby8308 Ай бұрын
Comedia yahan ipo siku ukwel utajulikana
@martinkisha6307
@martinkisha6307 Ай бұрын
Huu ndiyo uchaguzi eti
@andersonsadock8470
@andersonsadock8470 Ай бұрын
Siwalisema watu hawatekwi jaman saivi ndo wanataka kujionesha wema kwakuwa kafa mtu mkubwa
@kkimbokaimboka
@kkimbokaimboka Ай бұрын
Unafiki
@MisMona-oo6zk
@MisMona-oo6zk Ай бұрын
Sio ccm hawamtaki huyo raisi wa kike wanajua wanachokifanya wana kikundi Chao hao chadema ili wamuaribie mama mama piga gazi
@Bonifaskagoma
@Bonifaskagoma Ай бұрын
We ni mtanzania na una miaka mingapi ili niongee kitu nisije kuwa namjibu mtt wa 2000
@joycemfuru4752
@joycemfuru4752 Ай бұрын
mshenzi sana wewe mtu alikuwa muhimu kwenye chama wamuue halafu waue na vijana wao muhimu kwenye chama tena karibia na uchaguzi acha upumbavu wewe
@ConsolataWilla
@ConsolataWilla Ай бұрын
Meshiba matoki mimi,niende chooni nludi nkalale
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Ай бұрын
Acheni unafiki ccm
@maase2023
@maase2023 Ай бұрын
Mmmhhhhh
@IssaMtana
@IssaMtana Ай бұрын
Furahini hiyo ndiyo mmeijenga
@eliasgoseph1075
@eliasgoseph1075 Ай бұрын
Unafiki tu
@CleopatraSantino-es2ft
@CleopatraSantino-es2ft Ай бұрын
Ipo siku naamini ipo siku😢
@salumnassor3857
@salumnassor3857 Ай бұрын
Mnawaibia pencil alafu mnasaidia kutafuta
@arrifymshenga3104
@arrifymshenga3104 Ай бұрын
Unafiki mtupuuuuu
@joshuajohn2668
@joshuajohn2668 Ай бұрын
Jamani mimi ni ccm nimejisajiri kwa electronic kabisa ukitaka kujitoa unafanyaje?
@EuniceNgede
@EuniceNgede Ай бұрын
Kwann ujitoe😅😅😅
@anoldaudax4713
@anoldaudax4713 Ай бұрын
😂😂😂
@musamhaya5319
@musamhaya5319 Ай бұрын
Sasa nyie ccm ndiyo mmemteka na kuua pole za nini tangia juzi tunawaeleza mtupe majibu huyu mtu yuko wapi kimya??
@Adonaitvonline
@Adonaitvonline Ай бұрын
Leo nimekuwa wakwanza ku comment duh
@RamadhaniAlly-mi2dg
@RamadhaniAlly-mi2dg Ай бұрын
wanafki tu nyinyi
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar Ай бұрын
Wanafki wakubwa nyie
@henryyuda2989
@henryyuda2989 Ай бұрын
Inaumiza
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en Ай бұрын
Wanafiki wakubwa nyie ila dawa yenu inachemka
Colorful Pasta Painting for Fun Times! 🍝 🎨
00:29
La La Learn
Рет қаралды 308 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 34 МЛН
Wait… Maxim, did you just eat 8 BURGERS?!🍔😳| Free Fire Official
00:13
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 5 МЛН
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,6 МЛН