Tatizo ni kwamba magari ya kutoka kigoma kwenda bukoba moja kwa moja n mawili nayo ni mabovu kabisaa ee mwenyezi mungu tusaidie hadi naogopa
@WillyJossam6 сағат бұрын
Mwenyezi Mungu azipumzishe roho zao mahara pema peponi mbele yetu nyuma yao wapendwa 😢😢😢😢
@Rashidmchopa4 сағат бұрын
Mungu tujalie mwaka tuumalize salama,,,,🙏pole kwa wafiwa wote 💔 wapumzike kwa Amani
@hawaelymaricca76024 сағат бұрын
Pole sana wafiwa Mungu apumzishe roho za.marehem
@ReginaMeitanavi6 сағат бұрын
Pole sana ndugu zetu mliondokewa na wapendwa wenu,na majeruuhi mpone haraka
@petroswale78438 сағат бұрын
Mungu awapumzishe kwaaman
@PaulinaAlicia-x5k4 сағат бұрын
Poleni sana namajeruhi wapone mpema mungu awasalimii
@elinurukitomali60084 сағат бұрын
Magari kabla hayajaanza safari stand..yakaguliwe jamani..pia magari meng tn mabovuuuuu
@marthakamwela10206 сағат бұрын
Selikali ya tz kutubeba ufara mnatuona kama hamnazo gari iishe ivyo wafe 11 nyee pumzike kwa amani pole kwa family
@simonsadala23866 сағат бұрын
Jmn Serikali hizi ajali zinazoendelea kila siku nchini ifikie kikomo tumehoka kusikia ndg zetu wakipoteza maisha na majeraha ya miili zao ki ukweli ifikie wenye mamlaka wawajibishwe otherwise ujue nyie ndo wahusika
@NasraIbrahim-dw1hr5 сағат бұрын
Subuhana Allah, inalilahi wainalilai lajun pole sana ndugu zang
@agnesnnko88726 сағат бұрын
Uuuwiii Yesuu iokoe T na hxi ajali jamaniii 😢
@GodfreyMathias-bx1xo6 сағат бұрын
Police wa Tanzania mnajituma sana, MUNGU awapumzishe marehemu wote mahala pema peponi, AMEN, na majeruhi MUNGU awaponye.
@babuloliondo745 сағат бұрын
Mtazika kilasiku na balabala zenu nyembamba mno nchii kubwa sema mnajinyima balabala 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@200Stella7 сағат бұрын
Magari hayafanyiwi ukaguzi kabla hayajaondoka na ni ya abiria.
@ElishaSolomoni-kc4zk4 сағат бұрын
DUH AISEE 😭😭😭😭😭
@eliudezekiel86156 сағат бұрын
Kafala kamanda hata usihangaishee kichwaaa
@Leodimk-n5c6 сағат бұрын
Poleni sana ndugu mliopoteza wapendwa wenu na Mungu awape kupona haraka mareruhi. Kwa hiyo sasa chanzo ni mfumo kufeli au gari ni bovu??
@VisiaWilison-q6c8 сағат бұрын
Rodirick rafiki yangu pumzika kwa amani
@Neema-qm9kk5 сағат бұрын
Daaaa tumempoteza shemeji yetu na mtoto wake ktk ajali hii. Duniani tunapita
@TibihikaGerad4 сағат бұрын
Alikuwa mwalimu akitokea Kigoma kwenda muleba?
@Neema-qm9kk4 сағат бұрын
@TibihikaGerad ndio
@TibihikaGerad4 сағат бұрын
@Neema-qm9kk Bas ata kuwa ndiye yeye Mwalimu ni jiran yangu kabisa
@Neema-qm9kk4 сағат бұрын
@TibihikaGerad ndio huyohuyo ametuachia watoto watano ambapo wengine bado wako hospital. Yaani Mungu aisaidie familia.
@TibihikaGerad4 сағат бұрын
@Neema-qm9kk Pole sana wew upo wapi Sasa? Na nasikia Bado marehemu wapo biaramulo?
@Erique-p7r8 сағат бұрын
Yan huyu kamanda wa polis ameongea ki ubinadamu sana sio kama wale wengine ameonge ukwel zaid gar ni Bovu kwel sio uzembe wa dereva
@salehemsumi6157 сағат бұрын
Kiukweli basi hili ni bovu,nilipanda Kakonko kuelekea Kigoma.Tulisimama njiani karibu mara 6 ili watengeneze tuendelee na safari!
@EmmanuelKatumaСағат бұрын
Tatizo ya hiyo njia ya Bk to Kgm kuna kampuni moja ivi ipo Bk wao huwa hawataki kampuni zingine kwenye hiyo njia- fitna saaana!
@leilaadamraymond73446 сағат бұрын
pleni sna familia.
@GamDuel-vr4hp7 сағат бұрын
❤God
@TibihikaGerad4 сағат бұрын
Iv kamanda unajua bas nyingi zinafanya kaz kwa mazoea ya ukaribu wa wamilik na trafik? Bas lina simama vip kwenye mlima na hapo hapo linarud nyuma ? Maanake hand break ilikuwa hakuna dreva akatumia foot break kusimamisha gar kwenye mlima na upepo ukakata ikawa chanzo cha gar kutozuilika tena na kurud nyuma kwa speed na gar ikishakuwa inarud nyuma kwa speed ata gia uwez kuweka kwa hiyo Afande sion sababu ya bus kusimama kwenye mlima na kuanza kurud nyuma
@EmmaJapheti-i2l7 сағат бұрын
Gar kama hizi mbovu zinatakiwa zifungiwe
@selvestarjoseph26496 сағат бұрын
Rip 😢
@rachelndaki56426 сағат бұрын
Kweli delva wabas tena wenye. vyeti vikubwa kulik madlva unasmama mlimani kweli kwan uwa mnajion mmebeba punda au ila hatushangai kwan mabas wapo raf sana tena mbele yenu tena wote kama wametok familia moja wanawasbabishia hata maderv wengne ajali tena mabasi wanafujo sn kwann mabas yana kimbzana ovyo ovyo tena mbel zenu kwann magari mengne huazibiwa
@aishafrancis77147 сағат бұрын
😢😢😢😢😢😢
@adambakari9276Сағат бұрын
Kwan tatzo nn jmn
@marthageorge50437 сағат бұрын
😭😭😭😭😭😭😭
@AbubakariKisuju5 сағат бұрын
R I P
@HamadBashir-bs5wo7 сағат бұрын
Mtoto waliokuwa wamebeba sio binadamu wa kawaida
@gideon94546 сағат бұрын
We mpuuzi sana yaani unaambiwa hata wazazi wamepiga alafu unasema sio wa kawaida wewe una uhakika gani