VIDEO: JINSI WAZIRI MKUU WA SYRIA ALIVYOKAMATWA NA WAASI BAADA YA BASHAR AL ASSAD KUPINDULIWA

  Рет қаралды 17,853

Z TV Online

Z TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 51
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Күн бұрын
Waziri mkuu w siriya Allah akuhifadhi,kw masilahi y siriya
@kwisa4899
@kwisa4899 3 күн бұрын
Sema Assad angejitoa kabla nchi aijaharibika
@MOSESIMCHUNGUZI
@MOSESIMCHUNGUZI 3 күн бұрын
URUSI , IRAN, CHALIIIIIIIIIIIII😮😢😮😮😮
@ONESMOBENARD
@ONESMOBENARD Күн бұрын
Hàw👍👍👍👍👍🏻
@estonhaule9253
@estonhaule9253 Күн бұрын
Hawa jamaaa wameupiga mwingi sanaaa kwanza huyo Rais ashitakiwe kwa kushindwa kulinda haki za binadamu. Harafu kama alikuwa kiongozi bora kwanini aandae underground tunnel
@issadullah2074
@issadullah2074 2 күн бұрын
Walio kua wanamuona mbaya Watajuta waasi watajuta nakumkumbuka Assad marekan anawaza kuiba mafuta
@peteralex6408
@peteralex6408 3 күн бұрын
Hawa sio wa waasi bali ni raia wamechoka utawala .na hili nifunzo kwa viongozi wengine
@jut1161
@jut1161 3 күн бұрын
Hao si raiya. Wengi wao hata sio watu wa Syria. Wapo kdg ambao wamewekwa mbele ili ionekana kama ni wananchi
@AlpheusCharisma
@AlpheusCharisma 3 күн бұрын
Baada ya kukimbia huyo Urusi na Iran wamejificha wapi jamani😅😅😅 Wale waandishi vibaraka wa Urusi na Iran wakowapi leo😅😅😅
@AlpheusCharisma
@AlpheusCharisma 3 күн бұрын
Kibaraka huyu wa tv hii,Leo kawa na adabu,kwa vile Urusi na IRAN wameshika adsbu😅😅😅
@OmaryIsmailikihango-g4o
@OmaryIsmailikihango-g4o 3 күн бұрын
Nyinyi wasirya kumbukeni kumbukeni sana
@hanifahassan-sf1gg
@hanifahassan-sf1gg 3 күн бұрын
Wamejizima data na waasi sio wa sirya watalia kwikwikwi Hawa Kurdish Hawa
@SalumMmaka-o6w
@SalumMmaka-o6w 3 күн бұрын
Mh hata Libya na iraki waliwapindua viongozi wao ivoivo saiv Wana lala nje wenyine wanakufa njaa chezea wazungu wewee hawana mapenz na waarabu na waafrika atakidogo
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf 6 сағат бұрын
Hili funzo kwa viburi ma kibri wanaojiona wao ndio wamefika
@gidongowi-o7u
@gidongowi-o7u 3 күн бұрын
Wale wairan wakuje watoe maelezo
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 3 күн бұрын
Na mipakani au nchi jirani je! Vifaru.
@QudraIbnUmar
@QudraIbnUmar 3 күн бұрын
Fall of Shia regime alhamdulillah ❤
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 3 күн бұрын
URUSI KACHEZA DRAMA YA HATARI APO HAMNA UASI WALA NINI. TATIZO NI ASAD. TOKA NJOO HUKU NYIE CHUKUENI TUTAENDELEA KUWASILIANA
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 3 күн бұрын
Wakati Urus iliwashambulia kwa ndege we vipi
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 күн бұрын
Unajifariji kijinga
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 3 күн бұрын
Hamnaga mwenye akili nyie muda wote 😂😂
@GideonNzige-k7i
@GideonNzige-k7i 3 күн бұрын
Hakuna lolote kashindwa vita Putin
@leecode6135
@leecode6135 3 күн бұрын
Nimefurahi saana kuona mtanzania mwepesi wa kuelewa faster hilo game bab kubwa
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf 6 сағат бұрын
Wanapata aibu kubwa kwauzembe wa kutaka watawale waotu
@Davidonyango-qx9et
@Davidonyango-qx9et 2 күн бұрын
Lazima wangekabithiwa mamlaka ama wangechukua tu!
@GideonNzige-k7i
@GideonNzige-k7i 3 күн бұрын
Jinga hili lilikuwa linasubiri nini
@adamhashim3352
@adamhashim3352 2 күн бұрын
Hili lenyewe mamluki
@GeremihJuma
@GeremihJuma 3 күн бұрын
Wajinga waasi Wana zani utawala Nimaji hata maji nisumu ukizama acha wazame ili waonje joto la uongozi wapumbav hawa
@IsmailNsengiyumvaa
@IsmailNsengiyumvaa 3 күн бұрын
Hp
@SuolFat
@SuolFat 3 күн бұрын
Wanajeshi wa urusi na Irani wote wameuliwa ktk uwanja wa vita
@ommymehmed8880
@ommymehmed8880 3 күн бұрын
Unaushahidi??
@AL-WAARITHUUNTZtv
@AL-WAARITHUUNTZtv 2 күн бұрын
Alkaida hao nyuma yao kunanguvu kubwa matukufu yote yakisuni nakushia yatavyunjwa maana hawa waasi ni mawahabi
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 3 күн бұрын
Rp iran na urusi
@AlpheusCharisma
@AlpheusCharisma 3 күн бұрын
Watu wanapiga na kuchukuwa nchi kwa siku 3, Iran, Syria, Urusi na Iraq nduki wamekimbia Vita. Kubwajinga nayeye miaka mi 3 anashindwa kumpiga Ukraine😅😅😅 Anaiwa hadi nguvukazi anaomba msada Korea😅
@clementsabuni75
@clementsabuni75 3 күн бұрын
Wee si fala hujui hata vita vikoje urusi anapigana na mataifa 32 ndo maana vita vimechukua miaka 3 elewa Nato ni wengi kuliko urusi kwahiyo usilinganishe siria na Ukraine pale ulikuwa mpango wa Israel na marekani baada ya kuona urusi haitoweza kupigana sehemu mbili Ukraine na siria kwahiyo usiwe msenge kaka jaribu kuelewa kuwa Ukraine sio siria.
@ABDIMUSSA-y4w
@ABDIMUSSA-y4w 3 күн бұрын
​@@clementsabuni75we taila kweli ujui urusi anapigana na nchi nyingi akili zako ni zakunya auelewi
@AlpheusCharisma
@AlpheusCharisma 3 күн бұрын
@clementsabuni75 Acha kujifariji Kama mjinga, Ncha za Nato wanampatu siraha, Ukraine. Sio kama huyo Kishwa maji anaeomba siraha na wanajeshi Korea. Anawaponza wajinga wenzake,unaona Sasa alivyo kimbia Syria
@clementsabuni75
@clementsabuni75 3 күн бұрын
@@AlpheusCharisma Ndugu allpheus mimi ni mweleewa. Sana wa vita vya urusi na Ukraine tangu mwanzo wake ni lazima muelewe marekani ni mjanja sanaa kwanza lazima ujue ukraine hapewi silahaa tuuu anasaidiwa pia na mamluki wa Nato na ni wengi mno wako ukraine kuna wakufunzi wa Nato kuna wanajeshi wa Nato wanaovaa nguo za kijeshi za ukraine kuna satellite za Nato ziinazoongozwa na Nato wenyewe juu ya urusi na pia mjue wanaotumia silahaa zinazopelekwa ukraine ni Nato wenyewe yaani Ukraine inaongozwa na Nato kupigsna na urusi kwahiyo ndugu yangu alpheus acha ushamba na ujinga mimi ni mwelewa kuliiko wewe ulielala usingizi.
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 3 күн бұрын
​@@clementsabuni75Kumbe Putin kamwalika Al Assad kwenda kumsaidia Putin kupigana hulo Ukraine!
🔴TIMU MBOWE, TUNDU LISSU ZACHUANA, DESEMBA 12,2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 72
MPASUKO UTAWALA WA NUSU KARNE SYRIA, NINI CHANZO?
14:09
Daily News Digital
Рет қаралды 11 М.
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 651 М.
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 25 МЛН
Syrians in the DMV react to fall of Assad regime
3:42
FOX 5 Washington DC
Рет қаралды 8 М.
Новости дня | 11 декабря - вечерний выпуск
11:43
Euronews по-русски
Рет қаралды 13 М.
Biden responds to fall of Assad regime
3:34
CBS Evening News
Рет қаралды 5 М.
Новости дня | 11 декабря - утренний выпуск
11:37
Euronews по-русски
Рет қаралды 109 М.
Новости дня | 11 декабря - дневной выпуск
11:40
Euronews по-русски
Рет қаралды 89 М.
SYRIAN in ATHENS gather after ouster of BASHAR AL-ASSAD
33:43
Diario AS
Рет қаралды 1,4 М.
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31