VIDEO: MAJIBU ya ALIKIBA kuhusu MPENZI wake Mpya/Ashindwa Kujizuia, ageuka MBOGO

  Рет қаралды 11,467

Rick Media

Rick Media

Күн бұрын

Пікірлер: 57
@Swahili_Wisdom
@Swahili_Wisdom 52 минут бұрын
Huyu Mdada Hana Gem Ya Good Journalism. Anahitaji Anolewe, Apewe training, Hana Kitu Anachokijua kuhusu Journalism.
@petersenteu7252
@petersenteu7252 Күн бұрын
Kingkiba ❤ we love you 🇰🇪🇰🇪
@amosihokororo9702
@amosihokororo9702 Күн бұрын
Rickmedia msimpoteze mtangazaji makini sana
@Lufuta33.
@Lufuta33. Күн бұрын
🎉🎉🎉king kibaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@issashabani-c7r
@issashabani-c7r Күн бұрын
Na hata huyo dem ukienda kumuuliza basi hutopata kitu yani mtu anatomba yeye alafu akuambieni nyinyi si ujinga huwo mambo haya nendeni kwakina zuchu mukawaize
@issashabani-c7r
@issashabani-c7r Күн бұрын
Maswali ya kisenge senge na mimi nilikuwa tu mwisho wa siku atamtaja diamond ila kwa vile ali kiba yupo kwenye game kitambo hakujibu kitu kuhusu show isiyo muhusu
@Redspace_Adventure
@Redspace_Adventure Күн бұрын
Huyu Ali anakatabia ka kikenya😅 coz vile anavyo jibu maswali
@DenisMatemu
@DenisMatemu 19 сағат бұрын
hapo hunipat boss😂
@razakilipwelele5518
@razakilipwelele5518 Күн бұрын
We unatakaje 😂😂😂
@twalibabubakar2815
@twalibabubakar2815 16 сағат бұрын
Yebaba kwani ww unatakaje😂😂😂😂😂
@khadija5761
@khadija5761 4 сағат бұрын
Safii sana kibaa🎉🎉 majibu mazur sanaa
@saadkazungu2411
@saadkazungu2411 19 сағат бұрын
Mtangazaji kapanick. Ali hapendagi umbea😅😅
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 19 сағат бұрын
Nimecheeka mtangazaji kageuziwa kibao yeye ndiye anaulizwa maswali
@Mariah-r1o
@Mariah-r1o 19 сағат бұрын
Ali 🙌🙌🙌🙌🙌
@joesplatnumz
@joesplatnumz Күн бұрын
Wewe saraphina wajua Ali katika maswali ya personal life yake huaga kukujibu hawezi so muache tuu maana aweza kukujibu vibaya hata ujute 😂😂😂
@IreenJuma-b4t
@IreenJuma-b4t 23 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂anahamu ya kulia huyu dada alikiba anamatusi huyu baba
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 19 сағат бұрын
Tatizo la huyu Saraphina ni kutojua mipaka ya interview. Ukiuliza swali na muhusika hataki kujibu basi unaacha hilo swali. Rick mfundishe huyu dada kufanya interview
@AmosiGeorge-w5b
@AmosiGeorge-w5b Сағат бұрын
Majibu ya alikiba noma ila mtangazaji amejitahidi kutuliza wenge
@pauldjamba9987
@pauldjamba9987 Күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 Kiba daaaaaa
@MyFadhili
@MyFadhili 18 сағат бұрын
Waambie huna jibu😅
@jumajay8496
@jumajay8496 11 сағат бұрын
I think in that way bora awe wakenya umbea na kiki ni tabia za kiumalaya
@mdbosco1640
@mdbosco1640 Күн бұрын
Kingi nakubali
@Avibrtz
@Avibrtz 19 сағат бұрын
Jifunzeni kufanya Interview Na wasanii wenye heshima kama Ali
@johjohns4021
@johjohns4021 21 сағат бұрын
Dah kumuoji uyu jamaa utumie akili mingi
@decoderhealthusa
@decoderhealthusa Күн бұрын
SAUTI YAKO TU NDUGU MWANDISHI
@kinjekitilew
@kinjekitilew Күн бұрын
Watangazaji watanzania kiukweri sijui
@ElyGody
@ElyGody Күн бұрын
We ina kuhsu nin
@directorwizard7310
@directorwizard7310 Күн бұрын
Hapo ndo penye shida ya Wanahabari wa Tz sijui wanakalili maswali? Yani umekaa unagandana na swali moja ambalo ushaona kabisa hapa hakuna jibu sahihi ila we umekaa haoo hapo. Hafu caption sasa haina uhusiano na Interview yenyewe Caption inasema mapenzi hafu Interview haina jibu sahihi ya mapenzi😅😂. Acheni kukalili maswali Shida ya kukalili ni kama ivyo ulitegemea utapata majibu ya maswali yako ila haujapata ndo mana umeishia kumganda ili akupe majibu yako ila ukakosa koo jifunze sana kuto kukalili maswali. Hafu Dada Sarafina Jerry kuhoji huyu jamaa kunaitaji akili kubwa nayazianda sana ili aweze kukupa majibu ya maswali yako
@ZumrahIdrissa-j6l
@ZumrahIdrissa-j6l 12 сағат бұрын
Saraphina jamn niko nacheka na lia tena😂😂😂
@AssumaniAssani-tx7ym
@AssumaniAssani-tx7ym Күн бұрын
Ww journaliste,mbona kero,uko ni kuhoji mtu ao ni kumuchokonowa,shida.
@joesplatnumz
@joesplatnumz Күн бұрын
Saraphina wataka kumkera Ali na hapo ashatokwa hamu na interview yako
@Sakinaamani-o1t
@Sakinaamani-o1t Күн бұрын
Ali hapendi unavyo muuliza najua kachukizwa lakini anajikaza
@msakadoobongeladada-uh3sk
@msakadoobongeladada-uh3sk 21 сағат бұрын
sio Ali tu hata ningekuwa mimi nisingependa tena ningemkogesha maneno machaf hadi maji yasimsafishe
@kinjekitilew
@kinjekitilew Күн бұрын
Huyu dem ache kingeleza
@AmosiKiango
@AmosiKiango 15 сағат бұрын
Mtangazaji wahovyo kabisa
@razackndeze-pv5bm
@razackndeze-pv5bm 22 сағат бұрын
Maswali hovio hovio kabisa
@NemesMasawe
@NemesMasawe 15 сағат бұрын
King kibaa
@Aisha-k2o
@Aisha-k2o 18 сағат бұрын
Ali uyu bouncer wa shencey ndio alikuwa na kierehere but kiba my be hakuwa na bouncer wakierehere manake wenye walikuwa siwatu
@jossporahmsw8420
@jossporahmsw8420 20 сағат бұрын
Teheee,,
@mohafadhili4464
@mohafadhili4464 21 сағат бұрын
Akwende zake ajibu maswali kenge huyo...vitu vipostiwe alafu anakausha,ubabe wakifala...pimbi kama kawa
@cmaxfrans4654
@cmaxfrans4654 20 сағат бұрын
Sasa mapovu ya nini? 😅
@cathbetsolomon3151
@cathbetsolomon3151 19 сағат бұрын
​@@cmaxfrans4654amna anazngua kweliii bhnaa mteteeni ila thats truu bro
@Kidavoxe
@Kidavoxe 18 сағат бұрын
😂😂MTANGAZAJI UMETUMWA AMA 😂😂NJOO UPITIE NYIMBO ZANGU KWA AKAUNTI HII HII TUONE KAMA UTAENDELEA KUPARUKIA WATU HIVYO 😮
@cathbetsolomon3151
@cathbetsolomon3151 19 сағат бұрын
Mtangazaji hana shida, the prob ni kiba mwenyewe jamaa ana ego sana hali ya kuwa amechagua kuwa star mwenyewe ni ushamba tuuu ndomaana anazidiwa na wasanii wengi tu nowadays 😂😂
@Fatema-l9s
@Fatema-l9s 18 сағат бұрын
Mkate ni mkubwa kwa hiyo kajimegea kipanda chake huwezi muuliza mtu maisha yake binafsi na wajua hapendagi so I like king kibaa
@allenonesmomwebembezi6248
@allenonesmomwebembezi6248 18 сағат бұрын
Hao wasanii wengine wanamzidi nini?
@cathbetsolomon3151
@cathbetsolomon3151 18 сағат бұрын
@@allenonesmomwebembezi6248 kimziki weweee unataka kusema nn? marioo mwenyewe tu mziki wake unaenda kuliko yeye saiv....au na anamzidi harmonize na rayvanny? Kati ya mashabiki wa kiba mimi nilikuwa mmoja huniambii kitu niggah pride is killing him 🥱
@cathbetsolomon3151
@cathbetsolomon3151 18 сағат бұрын
@@Fatema-l9s sawa endelea kumpenda hamna anaekuzuia kupenda utakacho, issue ni simple hataki asijibu basi, ila yeye anajikuta keki ni mambo ya kike bhnaa 😂
@humbleshoal
@humbleshoal 18 сағат бұрын
​@@allenonesmomwebembezi6248 Uhuni itakua na kukopi nyimbo
@queenmartine8792
@queenmartine8792 17 сағат бұрын
Ali now anazeeka
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
MAKONDA AMLIPUA MBUNGE GAMBO “NENDA KWENYE VIKAO”
3:30
Millard Ayo
Рет қаралды 71 М.
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН