Lione hili nalo michawi imejaa kila kona paula kakufanyaje sasa 🤥🤥
@rahimanuruislam-i1q9 күн бұрын
Km cjaon vzr ivi apo kuna mwanaume na mwanamke wanao hojiwa km cjaon tofaut ya mwanaume na mwanamke ngoj
@DavinaMsangi9 күн бұрын
Hiyo nguo paula anakojoaje jmn😂😂😂
@FrankMombo9 күн бұрын
Kavaa pempas, 😎
@rachelandrew80109 күн бұрын
😂😂😂😂
@ElgahKisilu9 күн бұрын
Na ee nguo ya Paula ezo mikono zinashika matiti ya marioo ni nani
@adiaygo85469 күн бұрын
Mndenge kakwama Tena hapo kwa P😅
@najmahamisi35119 күн бұрын
Amemuiga mapigo ya nandy 😂
@kimzymamy65949 күн бұрын
Waliga kwa Beyonce shosti😅
@LindaMbilinyi-n3n9 күн бұрын
Acha wivu mbwa ww na ww iga km rahis
@MillyMilly-m2j9 күн бұрын
Kumbe umeona waga anamuiga nandy na hamuezi
@mariasalomemelchiorkaigaru19749 күн бұрын
kuna maswali mengi kuhusu hili la ndoa muda ukifika mtaona
@Zuuh1079 күн бұрын
Ila wandishi wa habari 😂😂😂😂😂 p and o🎉🎉🎉💖💖💖
@abdul-hamidali65349 күн бұрын
Siku hizi Millard ayo umekua Kila kitu unapost habari nyengine naona hazina hata maana ungeachia tu media zinazojitafuta than ukatuletea habari za msingi
@michaelmsemo-nf9pk9 күн бұрын
100% fact
@meryamabdullah20819 күн бұрын
Ni huyo Vido yn anaishusha hadhi
@abdul-hamidali65349 күн бұрын
@@meryamabdullah2081 yaani siku hizi Millard hata mtu akicheka tu yeye anapost diamond kacheka hatujamzoea hivyo. Tukja kwa Millard maana tunafata real issues but now days too much. Ashapost huko "muonekano wa lulu Kwenye show ya Mario" hasa jiulize Ina faida gani
@hulianagreig14737 күн бұрын
@@abdul-hamidali6534 nyinyi ndo hamjaelewa hii siyo page ya hard news tu kama unataka hard news pekee follow page za ITV na TBC
@zena62039 күн бұрын
Paula kitambiiii shogayangu kitambiiiiii😅😅😅
@rerisamba9 күн бұрын
Yani Paula makeup hazimpendi kabisa
@Peterchila-un2lx9 күн бұрын
Wewe zinakupendaaaa
@Zuuh1079 күн бұрын
@@Peterchila-un2lx😂😂😂😂 bora umemuliza
@ashahassan21209 күн бұрын
Achawivu kapake na ww
@RizikiRebeka-e9v9 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@queenmilan20249 күн бұрын
NYIE NAO KILA KITU MNAPOST TENA VIPANDE VIDOGO VYA UJINGA.