Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu... Amina
@nicolenyerere3 ай бұрын
Amina. 🙏
@MiwagoTz4 ай бұрын
TOKA MADALE TZ,SAFI SANA HILI NI FUNDISHO KWA WOTE KWANI MUNGU PEKEE NDIYE ANASTAILI KUHUKUMU KIFO,MUNGU IBARIKI DUNIA NA WATU WAKE
@rojasofficially4 ай бұрын
Sawa kakaa kumbe na wewe KZbinr rajabu mbalika mojaa
@KidumetokaKyelauko3 ай бұрын
Kabisa shekhe
@serafinamalecela47284 ай бұрын
Being a soldier front line mazeee dah🙌🙌
@GabrielSky644 ай бұрын
Daah naumia sana Nikiona hivi uhai ni Jambo lenye dhamani Kubwa sana kwa binadamu inatia huruma Sana 😢😢😢😢. Ni heri basi wamfunge hata jera. Vita uviskie tu hakun mmbabe
@zenawahindi24254 ай бұрын
sio kila mtu ni katili simple deeds great outcome there is hope ya kuisha vita
@Riamaproduct4 ай бұрын
Rabi tujalie amani na usalama Kwa Dunia nzima🙏
@IBNQAASIMLUKANDAH4 ай бұрын
Aaaamin yaa rabb
@clouartmichael72963 ай бұрын
Amani na usalama unakuja na anayeileta ni mpinga Kristo ili aweze kuabudiwa Yeye dunia nzima na kumstaajabu...mpokeeni Leo Yesu Kristo akuokoe kwa kukupa ujasiri kwa hofu kubwa inayokuj ulimwenguni na kupata unyakuo.. 1 Wathesalonike 5:3 Wakati wasemapo, Kuna amani na salama, ndipo uharibifu uwajiapo kwa ghafula, kama vile utungu umjiavyo mwenye mimba, wala hakika hawataokolewa.
@khayraatabdool22863 ай бұрын
Allahumma Aamiyn yaa Rabbi Al 'Aalamiyn
@godfreyobadiah78924 ай бұрын
Imetugusa wengi shetani ashindwe kwa damu ya YESU !
@MathewNathan-yb2bz4 ай бұрын
Huo ndio utu ,hongera sana wanajeshi wa Ukraine kwa kuonyesha utu.
@RachelJimmy-t9v3 ай бұрын
kijesh nikosa kubwa
@GraciuosGeofrey4 ай бұрын
Wamekonda jamani hata chakula hakuna 😢😢😢😢
@fridahkarimi55104 ай бұрын
PRACTICE Love,kindness and mercy its God's character this the language to humanity we can offer here in the world 🙏
@amanmalima9404 ай бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@PhilipoKabalo4 ай бұрын
Mungu akubark kwa ujumbe mzito
@Kombs-cr2mj4 ай бұрын
Amina.
@officialmanji44384 ай бұрын
Amina
@AbdallahShaabani4 ай бұрын
Mbona ww Bado upo duniani aujaenda mbinguni👈👈
@meshacknyandongo5774 ай бұрын
@@AbdallahShaabanichukua uamuzi sasa maana baada ya Dunia hii yenye taabu nyingi liko tumaimi la makao mapya yasiyokua na hizi shida
@Pastorbarakamwanjala4 ай бұрын
Namwomba MUNGU asitishe vita vya Ukraine. Na pia vile vya Israel. Type amen.
@Revelation1412.4 ай бұрын
Amen
@josephjohn83634 ай бұрын
AMEN
@fredducaunt4 ай бұрын
Vita haiishi hadi makubaliano... Ambayo hayapo😂 Kwo mwisho wa vita ni mwisho wa mmojawapo
@SalmanMughal-lq5lt4 ай бұрын
AaminaYaarabi
@annasolomon98554 ай бұрын
@@fredducaunthayajakukuta ndo maana.. we bwabwaja huku huvijui vita 😅😅
@NikolausSungula-s2v3 ай бұрын
Mungu ni mwema kila wakati
@florencenduku44273 ай бұрын
Barack Allah Fik.Mashallah.🙏🙏🙏🙏
@donaldmgunda49704 ай бұрын
Haoo jamaaa ni ndugu, halafuu ni majiranii,anayewachonganishaa ni wahington na Brussels
@NaimaChekeche3 ай бұрын
Kumbe mwanajeshi wa urusi safi sana uawote nimefurah sana tena hyo adhabu ndogo😅
@Revelation1412.4 ай бұрын
Kwakweli wanajeshi huwa nawahurumia sana yaani wao ni mbuzi wa kafara na viongozi na raia wanashangilia daah 😢
@GabrielSky644 ай бұрын
Kabisa maskini wanao umia ni familia zwo😢😢😢😢
@emanuelmaraki97584 ай бұрын
Mrusii atashindwa tuu vita yeye ndio chanzo Chaa vitaa atalegeaa tuuu ukreni atukati tamaa mbele kwambelee mpaka kieleweke tuuuuuu💪💪💪🤛💯😎
@faidamuhamed30114 ай бұрын
Hata akishindwa lkn chamoto wamekipata
@starlonejadamskp82244 ай бұрын
Mungu ni mwema
@ERICKMAKENGO-cc9bk3 ай бұрын
Yeah ni sheria kumhudumia adui kipindi Cha vita akiwa na njaa au akiumwa akiwa na shida ukimuua shughuli inayo kwa taifa Hilo lililomuua
@GeofreySolomon-lp7xl3 ай бұрын
😂😂😂ila wabongo bhana
@godfreya69554 ай бұрын
Unarudia sana maneno boss. pull ur sock up
@itanzaniaAS4 ай бұрын
Ana familia inamtegemea😢😢😢
@yasintamsuya4 ай бұрын
Anafamilia jamani nyie maisha sema tu wakati wake ulikua bado😢
@HusnaSharifu4 ай бұрын
Vita siyo nzuri basi Tu wanataka silaha ziuzwe lazima waanzishe vita
@africa74794 ай бұрын
una akili sna.
@m.mmarckus62984 ай бұрын
Ili zipate soko
@hakizimanatony13554 ай бұрын
Asante kwa kinipotezea mda
@makongoronyerere15644 ай бұрын
Hhhhhhh, kwann
@rugambasamuel68363 ай бұрын
Wanyarwanda na roo mbaya
@rosemary38163 ай бұрын
😅😅😅😅😅😂😂😂😂
@shabanimbega404 ай бұрын
Hii siyo kweli kabisa uwongo mtupu
@annasolomon98554 ай бұрын
Tuletee ukweli 😅😅
@khloevibe75694 ай бұрын
huna unachojua
@JohnOuya-w7j4 ай бұрын
Shida ya waislamu ni ubishi tu
@Sandra398234 ай бұрын
@JohnOuya-w7j sasa uislamu unaingilia wapi apa ukona ujinga, kwani magaribi si wameishi kudanganya siku zote, Ukraine wanafanya hivyo kupata uruma kuwa wao ni wazuri bali hakuna, alikopelekwa unajua anachopitia?
@Sandra398234 ай бұрын
@JohnOuya-w7j sasa uislamu unaingilia wapi apa ukona ujinga, kwani magaribi si wameishi kudanganya siku zote, Ukraine wanafanya hivyo kupata uruma kuwa wao ni wazuri bali hakuna, alikopelekwa unajua anachopitia?
@Adonkamotci4 ай бұрын
Ana ujuA Ukweli waiyo Vita Ndio mana kamu Acha vizuli Sanna👏👏🇷🇺🇷🇺💞💞
Mungu ni mwema kama siku zako hazijafika huwezi Uliwa hata Ukiwa mikononi mwa adui yako.Controller wa ndege ya Ukraine ni mchaMungu ndio maana alimhurumia mwenzake.
@shukuraniLock3 ай бұрын
Eheeeeeee kube na vitani mungu anapewa heshima!!!! Nahuruma inapatika kati yanaowindana ahaaaaa"" HIVISASA naelewa kabisa, kinachotenganisha watu ni SIYASA .
@Irenes_Kitchen4 ай бұрын
MUNGU yuko pamoja na yeye watu msiuane jamani wote sisi ni wa MUNGU 😢
@josephatdunda19374 ай бұрын
Watu wa kwanza kabisa kuathirika na vita ni wanajeshi na familia zao
@goramatz94884 ай бұрын
GORAMA WAS HERE🔥🔥
@ebenezerchurchsupremetv94904 ай бұрын
Amemshukuru kabisa na Mungu wake
@ThomasMmary-r7w4 ай бұрын
Poa poa 👍
@StellaCharles-zk4kb4 ай бұрын
Safi Sana marekan
@expert58984 ай бұрын
Itakuwa ni kweli ndiomaana wamemchukua sura yake direct
@mlyamalitv17894 ай бұрын
Sio kweli, hao ni mamluki wa ukraine.
@kaya.o54834 ай бұрын
siokweli
@micumass19893 ай бұрын
Hata hafananii na warusi waongo awo😂
@allyrashid-o5l3 ай бұрын
umeon uyo mamluk tuu
@erickmjuni41083 ай бұрын
@@micumass1989Mkuu hao jamaa walikua nchi moja ukimuona m-Ukraine kuntofautisha na Mrussia ni ngumu sana wote walikua USSR
@tithomhagama3 ай бұрын
Kwakweli wanajeshi wanapitia mengi sana
@desngalaba11814 ай бұрын
Wamalize vita 2 wazazi wamezika watoto wao sana.
@mudinhomeshack90413 ай бұрын
😅😅😅 millard unatumika vby
@kaya.o54834 ай бұрын
😂😂😂😂 nyinyi hamuna habari kabisaaaa😢😢😢😢😂😂😂😂😂😂 na hamuna uhakika hili nimetoka wapi
@gildopitapita13834 ай бұрын
Amen mungu atukuze
@FrankKashamakula-xb1pc4 ай бұрын
Slava UKRAIN 💛💙💛💙
@JosephRaymondMushi4 ай бұрын
Kwakweli mungu atawahukumu wale wote wanyanyasao wenzao kwa maslai yaoo binafsi
@DavidOsward-kk2rz4 ай бұрын
Achane kuwadanganya watuu hv nyinyi mnaijua vita kweliii
@MsAisha-w4o4 ай бұрын
MNGU wetu ni mwema 😢🙏
@HALFANIJUMA-j8t4 ай бұрын
Muislamu nimtu waamani sana
@shijandobehe49534 ай бұрын
Mafala sana nyie Ukraine ikifanya vizur mnatoa taarifa
@Gervaskinongo4 ай бұрын
Tunaitaji amani dunuanzima tupendane
@philiphokoson12724 ай бұрын
Unaombea kwa MUNGU vita vya Ukraine unaacha kuombea waafrica wenzio kila saa wanakufa🧠.Guinea,Congo nk...
@othmandadi62424 ай бұрын
apo kaz anayo akirudi kambini wanaweza mmaliza
@ChrisUromi4 ай бұрын
Nilikua nakufatilia sahna ila kwa ili umetupiga sikuamini tehna
@lampadshigonko30064 ай бұрын
fala huyu... analeta story zakutengezwa na mashoga
@SultanAlly-nz4mz3 ай бұрын
Bahat hakukutana na muisraeli dah wangemsindikiza kwa mabomu
@hamidamussa-sy4fm4 ай бұрын
Wanajeshi hawataki kupigana ila niongozi wao ndio wamewatuma hawana cha kukataaa
@LeonardoJuja4 ай бұрын
Duhhh Mungu azid kuingilia kati
@richarddavidmk4 ай бұрын
Kawaida kijeshi anaposalenda Ana kuwa Pow. Sasa jukumu linabaki kwa aliye kuzidi uishi au ufe
@ibrahimaziz71584 ай бұрын
Mbona kafanana na yule yesu wa movie
@BobErick-er6qm4 ай бұрын
Big up+254
@FarajaKadungula4 ай бұрын
Ewe Mungu mtuliza bahari watulize vita yao
@africa74794 ай бұрын
tuna uhakika gan kama ni wa Urusi kweli.
@juliusmix4 ай бұрын
Mavazi
@naimasbuguza23954 ай бұрын
Siasa ya vita hiyo... Hii itawavuruga warusi na jeshi lao
@sbboymkaliofficial91084 ай бұрын
Mbona za Ukraine wakiuliwa usemi acha shobo pi Didy hakutaki 😂😂
@mohamedyonazi72294 ай бұрын
Kwa hiyo Barua alimuandikia muda huohuo,ukiwa muongo usidanganye waliokuzidi,Huwa wanakaa kimya sio umefanikiwa Ila wanakustiri.
@FrankieFrank-e4e3 ай бұрын
Sio kweli
@Adabachaa3 ай бұрын
Hakuna mrusi kama uyo bro acha uongo
@HamisiHassani-xj9vr4 ай бұрын
Nashauti mwandi na msimuliaji - akasome zaidi next time alete kitu cha kueleweka
@jacksonmsendo34783 ай бұрын
Hao ni ndugu ata lugha yao ni moja ni basi tu lakini hao ni ndugu kabisa
@SimbaM2kufu4 ай бұрын
Kawaida sana. Kuna video nyingi sana za wanajeshi wa Urusi wanasaidia wanajeshi wa Ukraine.
@GeorgeElias-p5o4 ай бұрын
Sio kweli
@Anthonyzombie-d2s4 ай бұрын
Choko ww
@omarymwaluko97654 ай бұрын
Ndio
@Happizo4 ай бұрын
Kawaida ya mavi
@SimbaM2kufu4 ай бұрын
@@Anthonyzombie-d2s Choko babako na mamako. Kobe wewe.
@yusafbayu70164 ай бұрын
Nyie tuna juwa mna fanya Kaz na vyombo vya magharibi mana sijawai kuona ma zuri ya urusi mpaka ukrain tu
@nyauclassictv8054 ай бұрын
Just imagine hapo kaaacha watoto wake na mke wake home…..lakini yeye kauwa wangapi mpaka kufika hapo? Simple question.
@EphraimGreen-t5c3 ай бұрын
Huo ni utaratibu , na ni sheria za kimataifa askari akijeruhiwa hatakiwi kuuawa anatakiwa asidiwe na kutibiwa
@AshuraSudi-z7l4 ай бұрын
Huyu akirud kambini atauwawa
@nameiztv78704 ай бұрын
Ni kwel.
@charlesmugisha65294 ай бұрын
Maskini🙏🙏
@Ezim24454 ай бұрын
We Miladi sasa hv hufai tena we chawa tu hujui lolote
@MuhhamadMsigala3 ай бұрын
Yupo Mungu
@ramadhankilango90883 ай бұрын
Mbona hakuna alama yeete kwe gwanda kuonesha ni wa Urusi au lah
@lugendondago84934 ай бұрын
Wewe Ayo TV mmeona hiyo tu, mbina wao wanapigwa hamuonyeshi au kwakuwa nyie ni katika wale
@EmmanuelNyinyigwa-m1o4 ай бұрын
Acheni SASA vita tuishi pamoja😊
@TALLUBOY4 ай бұрын
HAWA NDIYO WA NGWANA NA SIYO KILA SIKU VITA TU!
@Ampinobelitv4 ай бұрын
Hapo ndio ujue Marekani anapigana na urusi na sio Ukraine wenyewe
@GeofreySolomon-lp7xl3 ай бұрын
kivipi
@salumabdallah29904 ай бұрын
Huyo ni wa ukrain ila mbona za uzuri hutumi😂
@OscarlucasKagombogombo4 ай бұрын
Kumbe urus kuna wakristo wao🙏🙏🙏🙏 kama umegundua hii drop down like apo
@Ampinobelitv4 ай бұрын
Yeah wapo tena dhebu la othodox
@OscarlucasKagombogombo4 ай бұрын
@@Ampinobelitv 👏👏
@isaacdavid39974 ай бұрын
Asilimia 88 ya wananchi wa Urusi ni wakristo wa dhehebu la wa orthodox
@chany99504 ай бұрын
Amen🙏🏾🙏🏾 Yesu ni mwema jmn
@galdersniper27014 ай бұрын
Yesu ndo anaendesha hapo au ndo amempa maji
@Classic-i2e4 ай бұрын
😂@@galdersniper2701
@simonmwandu22144 ай бұрын
Hii media nimeshakuwa na uongo mwingi
@yohanakateko4 ай бұрын
Wanajeshi hawataki ujinga wanasiasa ndo wanaharibu mambo
Umeanza kuleta vitu vya kishamba tofauti na habari tunazotarajia
@kombosalehe97873 ай бұрын
Maigizo tuu angalia machoo uongo mtupu
@KelbnaMedard4 ай бұрын
Mmmmh wenzetu wanajeshi wanaata shida kama hiv unaacha family yako wanaish kwa matumain hawajui kama utalud au ndo unafia huko
@chindemasoftware4 ай бұрын
Kwamza mbona kama ni mu ukrain huyo
@kijukuuwakijukuu9234 ай бұрын
kwa sababu ni wa urusi ndio maana mmeirusha ila uwezi rusha za wanajeshi wa israel wanavyo nyooshwa na hamas au za wanajeshi wa ukraine wanavyo fanyiwa
@geomangi61234 ай бұрын
mimi nikiona mafala wanashabikia vita nashangaa tu sana tena sana. fahali wawili wapiganapo nyasi huumia saa hizi putin ankaa na bibi yake na watoto wake wastarehe huku wanajeshi raia wadhulumika.
@SaidMbulwa-ks4mk4 ай бұрын
Maajabu
@pascalvitalis4 ай бұрын
Millad ayo munakoelekea munakua page ya udaku sasa... Huyo ni shoga wa ukrain
@Rakim-y2z4 ай бұрын
Huyo ni mwanajeshi wa Ukraine hata sura yaonekana hiyo
@aloycialucas34424 ай бұрын
Ad huruma waliowatua wanakuna vitambi tu mpaka kasal baba wa wat
@edmundngongi54554 ай бұрын
Hapo mmetudanganya huyo ni mwanajeshi wa Ukraine 🇺🇦
@GeorgeElias-p5o4 ай бұрын
Huo ni ushabiki
@JeannetteManirambona-o6m3 ай бұрын
Sio kila mtu ni mtu mbaya
@sosteneselias77644 ай бұрын
Yaani mtangazaji upo empty kinoma hufai kuwa chanzo cha habari