VIDEO: TAJIRI ALIYETOA MASHARTI MATATU AZIKWA ARUSHA,WAZIRI MKUU AFIKA MSIBANI

  Рет қаралды 40,483

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 41
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 Жыл бұрын
RIP..ila kweli matajiri weusi na wazungu wakifa ni tofauti yaani maua mengi pesa yake hataki itumike,,,kwenye future wengine,,,,,ukishakufa uzikwe tu sio sherehe ni huzuni,,,,
@peterkananda7699
@peterkananda7699 Жыл бұрын
Mungu nijalie.utajili Kama mtu huyu.amen
@zamalisaide3209
@zamalisaide3209 Жыл бұрын
Pole san
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Жыл бұрын
Kama pesa zingekuwa zinazuia mtu asife, kabisa naona wengine wasingekufa. Ahimidiwe Mungu wetu hana upendeleo.
@mwanjaarashidi7402
@mwanjaarashidi7402 Жыл бұрын
Poleni sana dodoma ttuliishi naye vizuri sana alikuwa na hoteli inaitwa nam
@devisshirima6780
@devisshirima6780 Жыл бұрын
Tutafute sana lakini tunapoambiwa vitu vyote ni mali ya Mungu tuelewe hivyo, msingi wa kuishi duniani ni UPENDO tuu, maana upendo ndio unaobeba mambo yote ya duniani na ya mbinguni.
@seneu.2128
@seneu.2128 Жыл бұрын
Huu ni utamaduni wa waarusha na wamasai wengi wenye pesa wakifa huwa wanaacha wosia wa kuchinjwa mifugo mingi nimeona hili kwa wengi. RIP mzee
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
Mungu ampumzishe kwa amani mzee wetu🙏Poleni sana
@dicksonodupoi617
@dicksonodupoi617 Жыл бұрын
MUNGU amlaze mjomba mahala pema peponi😢!?
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 Жыл бұрын
Alijua tu watu wanapenda nyama wakisikia nyama watafulika.
@mcback4384
@mcback4384 Жыл бұрын
Kila mtu Ana uhakika wa kuondoka na mguu wa mbuzi na hamkutangaza mapema halafu mnasema mmetekeleza maelezo ya mzee? 😢
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
😢😢😢😢
@amour5535
@amour5535 Жыл бұрын
Yani hapo tu mm sikuwepo kwenda kula mguu wa mbuzi
@mcback4384
@mcback4384 Жыл бұрын
@@amour5535 wamempuuza mzee aisee me mwenyewe sina taarifa 🥺
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Wakiristo muna mbwembwee he haya bwana chukuweni Mbuzi yeye apambane na matendo yake huko aliko
@majomamajoma8776
@majomamajoma8776 Жыл бұрын
Tumtafte Hela wallah jamaa Hadi selikali unamjua halooo
@lightmashauri1725
@lightmashauri1725 Жыл бұрын
mzee alizitafuta mpeni mauwa yake,
@hanifamziray277
@hanifamziray277 Жыл бұрын
Sbb ya pesa ndio maana
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 Жыл бұрын
Mke mkarabati na hoter yenu ya man hoter imechoka sana
@JaphetThabit
@JaphetThabit Жыл бұрын
Mungu wa mbingu na nchi wafungue macho vipofu waone japo kidogo
@monicambuya-sq9ms
@monicambuya-sq9ms Жыл бұрын
Kabisa watu hawajaelewa kuna roho na maroho
@JaphetThabit
@JaphetThabit Жыл бұрын
@@monicambuya-sq9ms Mimi nimeelewa situation nzima hasa alipotoa agizo ng'ombe nyingi na mbuzi nyingi yaani mifugo mingi, tuyaache hayo , ila ni hatari sana kwa familia husika na kila atakae kula mbuzi na ng'ombe katika ulimwengu wa roho.
@lilyrose7983
@lilyrose7983 Жыл бұрын
@@JaphetThabit Mbona mna Imani potofu?Watakao kula watapatwa na nini?
@JaphetThabit
@JaphetThabit Жыл бұрын
@@lilyrose7983 pole dada yangu Mungu akupe macho uone
@JaphetThabit
@JaphetThabit Жыл бұрын
@@lilyrose7983 fuatilia kwenye chaneli yangu Mungu akinipa kibali nitafunfisha somo hili ili watu wafungunguke macho yao, kula msibani sio dhambi ila kwenye masharti ya namna hii siwezi hata kuudhuria msibani ili kuiokoa nafsi yangu kujiunganisha na ibada za wafu
@bayujaphary.9086
@bayujaphary.9086 Жыл бұрын
Inalillahi wainailayhi rajighuwn
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Poleni
@blackeagle4441
@blackeagle4441 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂asa jamani mauwa ni yanini mengi
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
umeona eeeh🤣🤣🤣🤣 namifugo mimgi🤔
@KHAMIS_SHILINGI
@KHAMIS_SHILINGI Жыл бұрын
😂😂😂😂
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 Жыл бұрын
Hajataka watu walie,alitaka mauwa mengi watu wakifika wa tabasam
@blackeagle4441
@blackeagle4441 Жыл бұрын
@@zuwenasalim2794 😆😆😆💔sawah kapewa maua yake
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 Жыл бұрын
Sawa orpayan, imeisha hiyo
@erickdaniel610
@erickdaniel610 Жыл бұрын
Amepewa maua yake
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 Жыл бұрын
Tutafte hela
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Жыл бұрын
Tajiriiiii
@255tz8
@255tz8 Жыл бұрын
Kapewa maua yake sasa huyu ni roma mtupu
@TANZAFORUM
@TANZAFORUM Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/e52pooeJYrBomMk kauli ya waziri mkuu kuhusu sakata la bandari
@MajaniDeusi-eg5wk
@MajaniDeusi-eg5wk Жыл бұрын
Plll
The Singing Challenge #joker #Harriet Quinn
00:35
佐助与鸣人
Рет қаралды 45 МЛН
The IMPOSSIBLE Puzzle..
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 170 МЛН
快乐总是短暂的!😂 #搞笑夫妻 #爱美食爱生活 #搞笑达人
00:14
朱大帅and依美姐
Рет қаралды 12 МЛН
Most Heartbreaking Moments in Football
8:33
Football IQ
Рет қаралды 3,4 МЛН
Israel Mbonyi - Kaa Nami
13:40
Israel Mbonyi
Рет қаралды 3,9 МЛН
TAZAMA MIJENGO ya BILIONEA wa MADINI MAREHEMU MATHIAS MNAGA wa ARUSHA....
5:21
The Singing Challenge #joker #Harriet Quinn
00:35
佐助与鸣人
Рет қаралды 45 МЛН