Well done Hakimi kwa kuwahamasisha vijana wetu wawe legend players kama yeye...........hongera Eng. Hersi kwa dhamira chanya ya kupromote soka letu. Hakika hawa vijana wamepata kitu kikubwa sana kwa tukio hili?
@nellykira7812Ай бұрын
Hivi Hersi ni Guide wa Hakimi au😂😂😂
@petercostakisokaАй бұрын
Kutesa kwa zamu acha na wao walisota sanaa
@mgenikhalfan7471Ай бұрын
Wacha wivu ww nguruwe fc kwa iyo tukusaidieje akiwaona ivo vyura
@MakameMsafirАй бұрын
Kwann isidake😂😂😂 mm mwana yanga ila usidake imenifurahisha
@davidmziray2048Ай бұрын
Ila yanga wanaharakati nyingi
@dullahbatuf9223Ай бұрын
Inapendeza
@RamadhanMussa-xt4qz29 күн бұрын
Ina pendeza sana
@devotabashome1090Ай бұрын
Si bora kaviona hivyo vyura...wivu tu
@user-ce1ps5hy4fАй бұрын
Refa unapulizaje kipenga hiyo kama wauza mitumba ilala boma 😂😂
@user-px1gd4de7kАй бұрын
Jamaa kaja kufanya utalii nasikia alivyotoka kuangalia wanyama ameona asiyende bila kuona vyura FC. Ana enjoy kuona vyura live na kurukaruka navyo
@naomisambala4041Ай бұрын
Sasa kama kawaona simba mbugan kwan kuna ubaya kuja kuwaona na vyura?😂😂😂
@FatmaRajab-ll8gwАй бұрын
😂😂😂😂😂mahasid utawajua tu duniani😊
@user-px1gd4de7kАй бұрын
Ila vyura janjajanja nyingi walivyosikia Simba imepanda viwango nafasi 6 2024/25 vilabu Bora barani Africa. Wakaona waanze kuzurura iliwapotezee make wao hata 10 hawamo. Na kutafuta watalii wakupiga nao picha ili mradi nao waonekane wako duniani. Vilabu vyote ambavyo vimejihakikishia kuwa ndani ya 10 Bora havina mihemuko namba tu ndio zinazoongea
@allytwalib7787Ай бұрын
mipasho ya kike hii
@IkoUwasi-it6qyАй бұрын
unateseka na nini nafasi ya sita klabu bingwa msimu huu haupo @@user-px1gd4de7k
@dundoonlinesingeliАй бұрын
hawakabiii eti ahaaaaaaaa wanamuogopaaaaa
@jonathankisingi1070Ай бұрын
Et usidake.....
@user-qy4vk2qp9tАй бұрын
Mala avunjike mguu 😂
@user-nl3fk6it3eАй бұрын
Achen wivu nyie mikia fc
@jumannechibaladya6223Ай бұрын
Eti usidakeeeeeeeee ....haya machizi kweli Kama mlikuwa hamtaki adake si mngeacha goli wazii