'Vijana Wenye Sifa za Kukopesheka' - Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo, Frank Nyabundege

  Рет қаралды 3,316

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

"Vijana wenye sifa za kukopesheka watajiandikisha kwenye mkoa mfano kijana atasema labda anataka kufuga mbuzi au ng'ombe wa maziwa.
Mfano kijana anataka kwenda kulima Mkinga, Tanga na umepata eneo ambalo limetengwa na Serikali ya mkoa ataungana na vijana wenzake wa pale wataanza kulima. Na benki yetu tuna 'finance' mnyororo mzima kuanzia uandaaji wa shamba, mbolea tutamsaidia kuvuna yale mazao yanayopatikana tutahakikisha tumeshatafuta na soko. Tunamuunganisha mkulima na soko. Na sehemu mojawapo tunayoifanya sisi ni kutengeneza viwanda vya kuchakata mazao ambao yatalimwa mashambani. Tunatoa mikopo kwenye mnyororo mzima wa kilimo kuanzia kwenye kulima hadi kwenye kutafuta masoko ya mazao" Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), Frank Nyabundege.

Пікірлер: 7
@richardmashauri2584
@richardmashauri2584 8 ай бұрын
nimeipenda
@iamthefarmerceo2316
@iamthefarmerceo2316 2 жыл бұрын
Nyabundege is the best MD Of all times
@johnnyika9949
@johnnyika9949 Жыл бұрын
Kilimo mkurugenzi pia funds hizo pia ziangalie na wataalamu wa Tiba asili wanaotaka kuwa Organic farms wapandw miti dawa kwa ajili ya SI kupata dawa kwa ajili ya Tiba lakini pia kuhifafhi mazingira. Mashamba hayo yanaweza kurudisha fedha kwakuwa utatengeneza dawa na utauza
@focuskimaro-km1uc
@focuskimaro-km1uc Жыл бұрын
Mimi nahitaji mkopo wakulima, nyanya, mahindi maharage Nina ujuzi
@johnnyika9949
@johnnyika9949 Жыл бұрын
Mtengeneze viwanda kwa ajili ya kusaga miti dawa zinazovunwa
@mgongolwajoseph6901
@mgongolwajoseph6901 Жыл бұрын
Aaawapi pesa hazitoki wNamadheriti 1000
@elishasimon2039
@elishasimon2039 Жыл бұрын
Mipango mizuri tunaomba utekerezaji
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 19 МЛН
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
CRDB YAPUNGUZA RIBA YA MIKOPO KWA WAKULIMA
4:09
Wasafi Media
Рет қаралды 2,3 М.
MBELE ya WAZIRI MKUU, MKURUGENZI wa BENKI ya KILIMO Atoa AHADI NZITO..
5:14
WAKULIMA KUNUFAIKA NA MIKOPO YA RIBA NAFUU, KUKOPESHWA MAMILIONI YA FEDHA
6:44
MAHOJIANO / FURSA YA MIKOPO / Maendeleo Bank / Vijana
5:54
SLC Network
Рет қаралды 3,1 М.
Mo Dewji Foundation yakabidhi zawadi kwa wajasiliamali
2:30
Mwananchi Digital
Рет қаралды 6 М.
Uzinduzi wa Ofisi ya Kanda ya Kaskazini TADB Arusha
2:49
USHAURI KWA WANAOTAKA KUANZA UFUGAJI WA KUKU
4:47
Changamkia Fursa
Рет қаралды 114 М.
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26