Habari. Nashauri kungekua na kifurushi cha familia inayoishi bila ndoa.
@AbdulMaeda3 ай бұрын
Kwakweli
@Shimdamian Жыл бұрын
Kwenye TV naongea vema lakini ikifika utoaji huduma mnakuwa very complicated hakuna siku mmenikera Kama leo
@fatmaalmujhairu1977 Жыл бұрын
Bei yakifurush chatt moja bei gan
@MarthaHaule-eh3vw3 ай бұрын
Je muhusika alifariki inakuwaje?
@fredyfile62310 ай бұрын
Kiukweli bima naomba mjitafakari upya bado sijapenda utoaji wenu wa huduma bcz kwanza kujisajili tu ni shidaa sana kila mtu anaongea lake pia malipo kwa hosp za prvt nichangamoto kubwa shirikisheni wadau mbali mbali ili muweze kupata mawazo mazurii.
@fatmaalmujhairu1977 Жыл бұрын
Tusaidien ss wazaz tulokua njee tunataka kujui bei zavifurush zawatt
@sasharamadhani84522 жыл бұрын
Asante NHIF nataka kujua ya familia shngap
@nhifonlinetv55252 жыл бұрын
piga 199 bure kwa maelezo zaidi
@MerryMatata4 ай бұрын
Je watoto azia miaka 0 . Hadi 17 nisaidie
@justineaugustino7166 Жыл бұрын
mimi ni mstafu nataka bima bira ndoa naomba maelekezo
@allymasoud8882Ай бұрын
Habar naomba kujua ni kifurushi gan cha bima kitamcover mama mjamzito kupata huduma labda ya clinik na mpka kujifungua ??
@nhifonlinetv5525Ай бұрын
vifurushi vyote vina huduma za mama mjamzito isipokua mwanachama anayejiunga na kifurushi cha Najali itampasa kuchangia miaka 2 mfululizo ndio anaweza kupata fao la kujifungua. na kwa mwanachama wa kifurushi cha Wekeza na Timiza huduma ya fao la kujifungua ataanza kupata mwaka wa pili. kwa maelezo zaidi piga 199 bure
@aminasaid16552 жыл бұрын
Namba ya huduma kwa wateja haipatikani
@allmsuya2305 Жыл бұрын
Vip kuhusu bima ya kikund
@RizikiAbedi-u4w11 ай бұрын
Mimi nipo Pemba office yenu Iko wapi?
@hassanjuma1837 Жыл бұрын
Nataka kifurishi mnapatikana wapi nipeni namba
@RamadhanSadick-y6l3 ай бұрын
Jmn mtuwekee n namb tujue tunapataj hiz bima
@NgiliniMohamedi5 ай бұрын
Bima ya mtoto inapatikanaje na bei gani
@munasaid14292 жыл бұрын
Mueke na namba
@nhifonlinetv55252 жыл бұрын
piga namba ya 199 kituo cha huduma kwa wateja, namba hii ni bure
@MaengelaDomician9 ай бұрын
Unapokuwa na bima ya afya ukaugua na kulanzwa nakuongezewa damu inabindi uchangie tena damu
@IrinNimrodi Жыл бұрын
Je mtu mwenye bima akishindwa kuilipa iyo gerama inakuaje
@ashamfinanga7279 ай бұрын
Kwa nini mmeondoa bima ya watoto wachanga miaka 0-5?
@nhifonlinetv5525Ай бұрын
mtoto mchanga 0- 5 anajiunga kwa utaratibu wa vifurushi vya bima ya afya, ambapo atajiunga yeye na mama yake au baba yake
@venusmakbel46792 жыл бұрын
Leo nimeenda kupima damu naambiwa vipimo vingine havipo ktk bima
@djmsafii94245 ай бұрын
Mna patikana wap naitaji bima
@marylusinde67172 жыл бұрын
Vp bima ya miaka kumi ni bei gani??
@nhifonlinetv55252 жыл бұрын
karibu, unaamanisha bima ya mtu mwenye umri wa miaka kumi au kipindi cha miaka kumi, naomba ufafanue
@marylusinde67172 жыл бұрын
@@nhifonlinetv5525 na maanisha kipindi cha miaka kumi inakuwaje gharama zake kwa mtu mmoja
@nhifonlinetv55252 жыл бұрын
@@marylusinde6717huwa inalipiwa kwa mwaka , yaani kila mwaka unahuisha uanachama wako, lakini pia unaweza kupiga namba ya kituo cha huduma kwa wateja 199 bure kwa maelezo zaidi.
@munasaid14292 жыл бұрын
Mnapatikana wapi
@nhifonlinetv55252 жыл бұрын
tuna ofisi kwenye Mikoa yote Tanzania bara na zanzibar, piga namba 199 kwa msaada zaidi
@NamatovuLumama8 ай бұрын
Samahani kifurushi cha timiz afya.beigani
@christiannyamamba90892 жыл бұрын
Pia ukikata bima ya mtoto pekee kadi inapatikana baada ya mda gani mana inahitajika kwaajiri ya shuleni mtoto anakaa bwenini hivyo anapaswa kuwa na bima ya afya, so je ikikatwa kadi inapatikana ndani ya mda gani ama mnatoa kitu gani cha kuonyesha itapatikana ndani ya siku kadhaa
@nhifonlinetv5525 Жыл бұрын
Inapatikana ndani ya siku 90, utapata ujumbe kwenye simu yako ya mkononi
@swaumujafary13452 жыл бұрын
Naomba vingezo vya bima ya afya
@nhifonlinetv55252 жыл бұрын
Unatakiwa kuwa na namba ya kitambulisho cha Taifa NIDA
@Shimdamian Жыл бұрын
mnakera mko very complicated
@fadhilabdurahman739117 күн бұрын
Ninaomba kujulishwa Ni kwa namna gani mtu anaweza kuhuisha na kuitumia kadi yake ya NHIF iliyo zuiliwa kutumika sasa kwa sababu alikua tegemezi wa muajiriwa alie sajjiliwa nanyi? ikiwa uwezekano wa kuifufua kadi hiyo upo mahitaji ni yepi na yana gharimu kiasi gani cha pesa? Ikiwa yapo masharti yanayo tekelezeka na yakatekelezwa itachukua muda gani hadi kadi hiyo kufaa tena kutumika tena kwa matibabu?
@nhifonlinetv552514 күн бұрын
@@fadhilabdurahman7391 hapa unaweza kujiunga na huduma binafsi kwa kuanza policy mpya, policy ya mwajiri -Mwajiriwa inakoma pale utumishi wako unakoma kwenye taasisi husika. Piga simu 199 kwa maelezo zaidi
@estherkisamo1351 Жыл бұрын
Huo uchangiaji ni kila mwezi au kwa mwaka. Na pia mbona hamnaweka sehemu ya mtoto tu!maana kunawatoto wengine hawana wazazi inakuaje
@nhifonlinetv5525Ай бұрын
uchangiaji ni kwa mwaka, na pia mlezi utatakiwa kuwasilisha taarifa za kumuasili
@ernestrodgersmalimbwi732810 ай бұрын
Iko very shallow, mambo mengi hamjaeleza.hizo gharama za vifurushi za 250000 ni kwa mtu mmoja au kwa alio ambatana nao (najali) .gharama ya hivyo vingine hamjaeleza ,mko kama mna tuzugazuga tu, jipangeni mtuelimishe vizuri...
@leylamark44832 жыл бұрын
Jaman naulzia nikishakata bima huwa naweza kutumia baada ya muda gan???
@nhifonlinetv55252 жыл бұрын
Ukishakata bima unaweza anza kutumia baada ya mwezi mmoja,
@venusbby2 жыл бұрын
Nmeona kwenye website mmeandika kwamba mtu anaweza kulipa kwa kudunduliza kupitia benki washirika, hapa malipo yanagawanywa vipi?
@nhifonlinetv55252 жыл бұрын
Hapa unapewa kipindi cha mwaka mmoja na unaweza kulipa kwa kipindi cha miezi mitatu mitatu.
@johnneema44768 ай бұрын
Wapedwa naomba kujuwa kifurushi cha mama na mtoto Kwa mwaka kinagarimu kiasi gani please
@stellahbenard24752 жыл бұрын
Je ukikata bima tayar inatumika Kwa miaka mingap
@nhifonlinetv55252 жыл бұрын
kila mwaka unalipia kulingana na kiwango cha kifurushi ulichochagua
@salhaatwaha74522 жыл бұрын
Hbr naomba maelekezo ya kifushi cha laki2
@nhifonlinetv55252 жыл бұрын
karibu, piga namba 199 bure kwa ufafanuzi zaidi
@irenehusein1316 Жыл бұрын
Shida yangu kulipia bima ya mwanangu muda umefika nafanyaje
@nhifonlinetv5525 Жыл бұрын
Unaweza fika kwenye Ofisi zilizo karibu nawe au ukapiga *152*00# na kufuata malekezo ya namna ya kulipia
@nhifonlinetv5525 Жыл бұрын
Utapata control namba utakayoilipia ili upate uhakika wa matibabu
@kelyne861 Жыл бұрын
?????????
@christiannyamamba90892 жыл бұрын
Je kwa wilaya ya ubungo ofisi zenu zinapatikana wapi
Naomba kufahamu kama nikijiunga, bima yangu inaanza kufanya kazi kwa muda gani?
@nhifonlinetv5525 Жыл бұрын
Vifurushi inaanza kufanya kazi baada ya siku 30 toka umefanya malipo, na kwa Toto Afya kadi inafanya kazi baada ya siku 90 toka siku uliyofanya malipo
@zuwenasalim27942 жыл бұрын
Naomba kuuliza bima kubwa ambayo naweza kuingia Agakani,TMJ, bila ya rufaa nikifuurush gn na Cha bei gn?
@nhifonlinetv55252 жыл бұрын
huduma za Bima ya Afya/ vifurushi vya bima zinaanzia ngazi ya chini kwenda juu, mfano unaanzia kituo cha afya au hospitali ya wilaya na kadhalika.
@zuwenasalim27942 жыл бұрын
@@nhifonlinetv5525 mm naitaji kubwa niipi
@nhifonlinetv55252 жыл бұрын
@@zuwenasalim2794 hapa unachagua kifurushi kati ya najali afya, wekeza afya au timiza afya, lakini pia unaangalia na upo katika umri gani kwa sababu virushi vimegawanywa kwa umri kuanzia miaka 18 -35, miaka 36-59 na miaka 60 nakuendelea.
@Until8356 ай бұрын
@@zuwenasalim2794pia utaangalia kama ni wewe na mtoto au mweza . Utachagua humo
@Hedaya-rl4xb2 ай бұрын
Natamani namie nijue garama yake kama nitaweza nikipate ili nikamuone doc wa meno
@emmanuelyoramu78042 жыл бұрын
Na kama huna kitambulisho cha nida inakuwajee
@nhifonlinetv55252 жыл бұрын
Unaweza kufika katika ofisi za mwenyekiti wa mtaa kujaza taarifa zako, na kupata utaratibu wa kupatiwa kitambulisho au namba ya NIDA baada ya kusajiliwa.
@agnesschao56992 жыл бұрын
Mambo ya rufaa ndo yananichoshaaaa
@munasaid14292 жыл бұрын
Dada ang anataka bima ya afya
@nhifonlinetv55252 жыл бұрын
karibu, piga 199 kwa maelezo zaidi.
@marylusinde67172 жыл бұрын
Bima ya mmoja mtu mzima ya miaka kumi inakuwaje na gharama zake???
@nhifonlinetv55252 жыл бұрын
fafanua swali, kwa maelezo zaidi piga 199 bure
@ramsdenjames97822 жыл бұрын
Kama mzazi anataka kumlipia bima mtoto wa miaka 7 peke yake utaratibu upoje
@nhifonlinetv55252 жыл бұрын
gharama yake ni 50,400 kwa mwaka, passport size 1 kitambulisho cha kuzaliwa kadi itakua tayari kwa matumizi baada ya siku 90 NIDA ya mzazi
@MatildaFrank-bp5oq4 ай бұрын
Kumlipia bima mtoto wa miaka 13 ni sh ngapi?.
@assilaibra45632 жыл бұрын
Nahitaji Bima Ya Mtu Mmoja Wa Miaka 60
@nhifonlinetv55252 жыл бұрын
piga 199 kwa maelezo zaidi au fika katika ofisi za Mfuko za mkoa uliopo.
@leylamark44832 жыл бұрын
Jaman naulzia tu ukikata bima hyo ya NHIF inakaa muda gan kutumika
@nhifonlinetv55252 жыл бұрын
bima hii inatumika kwa muda wa mwaka mmoja, na mwanachama anahuisha uanachama wake kila mwaka
@saimonijonas1471 Жыл бұрын
@@nhifonlinetv5525 Kwa mwaka kuhuwisha ni sh.ngapi?
@nhifonlinetv5525 Жыл бұрын
Kuhuisha inategemea na aina ya kifurushi ulichochagua kujiunga nacho
@saimonijonas1471 Жыл бұрын
@@nhifonlinetv5525 Sory.Unaweza nipa hata mfano.Ili kuinuliwa ndani ya Moyo wangu.Tafadhali.
@nhifonlinetv5525 Жыл бұрын
@@saimonijonas1471 gharama za kujiunga kwa mwaka ni kuanzia 192,000 kwa mwaka
@fredyfile62310 ай бұрын
Ishaurini serikali itenge chanzo cha uhakika cha mapato ili kiweze kusaidia hizo gharama zinazo wazidi kwamfano mapato yoote ya mbuga kama ya serengeti yasingeguswa ili yaingie kwenye huu mfuko ili karibia kila m tz apate huduma nzurii.
@florayohana4620 Жыл бұрын
Mimi ni kuanzia miaka 36 adi 59 naomba kujua Bei yangu nmjasiliamali mdogo
@nhifonlinetv5525 Жыл бұрын
Unachagua kifurushi kati ya Najali 240,000 kwa mtu mmoja, Wekeza Afya 444,000 na Timiza afya 612,000 kwa mwaka.
@IrinNimrodi Жыл бұрын
Je mtu akiwa na bima tyr na akashindwa kulipa iyo garama mnamfanyaje
@bilayamakinda7006 Жыл бұрын
Mimi nahitaji kujua ikiwa nahitaji bima ya mtu mmoja kuanzia miaka 40 maelekezo
@stevinmgendo2800 Жыл бұрын
Vifulushi vya Voda nitavipateje
@GoldenMxang-je4rn Жыл бұрын
Mnapatikana wapi mtu akitka kujiunga
@nhifonlinetv5525 Жыл бұрын
tunapatikana kwenye Mikoa yote Tanzania Bara naZanzibar, au piga simu ya bure 199 kwa msaada zaidi. karibu