VINA MEZANI: VICHWA VINNE NDANI YA MEZA MOJA/ WAMWAGA MICHANO YA KIBABE STUDIO

  Рет қаралды 13,507

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Пікірлер: 123
@EarningsEdge101
@EarningsEdge101 Ай бұрын
Wote wamechana ila seneta kingggg kaua sana! Flows, kunata na biti , ubunifu 🔥🔥🔥🔥🔥
@protamwenyegzaketv7408
@protamwenyegzaketv7408 Ай бұрын
Nilichogundua TZ 🇹🇿Kuna vipaji sana
@blueboybajos6880
@blueboybajos6880 Ай бұрын
jjamaa wa miwani myeusi nimkali sana tena sana🔥🔥🔥
@abditech14
@abditech14 Ай бұрын
Jamaa wanajua 👏👏
@emmanuelntemi531
@emmanuelntemi531 Ай бұрын
Kahama stand up 🔥 senenta fire 🔥
@EbraKnowledge
@EbraKnowledge Ай бұрын
SENETA KING 👑🔥🔥🔥MNOMA SANA
@barakamatiku0501
@barakamatiku0501 Ай бұрын
Kahama stand uuup🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Seneta👑
@ShedyMzawah
@ShedyMzawah Ай бұрын
Daaah aiseeeee hii ni history wanang mbn vile walipania sana
@Deezingotz
@Deezingotz Ай бұрын
SENETA KING 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 TUONDOKE MZEEEEEEE HIIII UMETISHA SANAAAAA
@jephramso
@jephramso Ай бұрын
Seneta Kiiiiiiiiing .... Home Boy hajawahi kuharibu
@camillomakongwa8308
@camillomakongwa8308 Ай бұрын
Huyu Dg wa kahama issa f'ckn Emcee anachoraaa haswaaa !!! Ana mistar inafurahisha kinoma 😂😂 for me your the best in this anafuata dg wa kimara mzee wa miwani #Ndo_Naanza_tu😂😂😂 ALETWE NALA MZALENDO NEXT
@jaygwaymic1597
@jaygwaymic1597 18 күн бұрын
Hiyo miwani ichunguzeni inakitu🔥🔥🔥🔥🔥
@BorisBrotherhood
@BorisBrotherhood Ай бұрын
Vina mezani to the world
@C.Ltv1
@C.Ltv1 Ай бұрын
Kubababakeeeeeeé3 miwani myeusi umetishaaaaaaaaa daaaaaa
@danielwilfred2609
@danielwilfred2609 Ай бұрын
jamaaa wa pili anajuaaa, pia beats kapewa nzuri kwaio imemsaidia ku flo seamlessly
@manicyriaque1318
@manicyriaque1318 Ай бұрын
Sana kabisa,anachana kinoma
@timothykaiza327
@timothykaiza327 Ай бұрын
Huyo Dogo mwenye miwani n hatari, kazidi marapa wengi bongo
@hallowkij5677
@hallowkij5677 Ай бұрын
umeongea
@FatumaBakari-e9f
@FatumaBakari-e9f Ай бұрын
Mdogo miwani anachana kinoma
@nyakiboy6184
@nyakiboy6184 Ай бұрын
Huyu jamaaa Aliyeanza Mzur Ila Beat haijataka kunbeba
@jayclassic_ke
@jayclassic_ke Ай бұрын
Seneta king on fireee 🔥🔥🔥🔥
@tariqkhassim4059
@tariqkhassim4059 Ай бұрын
Kimara na kahamaa😂😂😂😂wafanye collabo
@C.Ltv1
@C.Ltv1 Ай бұрын
Hii Kahama nayo inatishaaa King king king unatuuaaaa aiseee
@FreddyMbonimpaye
@FreddyMbonimpaye Ай бұрын
Much respect guyz
@david255chengula5
@david255chengula5 Ай бұрын
Oya seneta king anajua sana na uyo alba nae n mtata .kama vp lisetiwe batle la lily chaves,seneta king na alba moto utawaka
@KilucheMdogo
@KilucheMdogo Ай бұрын
Machizi wakali Kila mmoja ana kipaji cheki .. crown munas supports sana hip hop mungu awabariki .
@kylanjr95
@kylanjr95 Ай бұрын
Seneta King 👑
@Hans_rg
@Hans_rg Ай бұрын
Seneta KING 🤴
@charzlee8808
@charzlee8808 Ай бұрын
✔️🦅 SENETOR KING NA KIMARA FINEST WAKO HOT SANA KULIKO WOTE🔥🔥👏
@SuleyAliy
@SuleyAliy Ай бұрын
Hiii Ndio vina mezani
@waapollotz7051
@waapollotz7051 4 күн бұрын
Singidani kid🙌🙌🔥
@paranza9531
@paranza9531 Ай бұрын
🎉🎉🎉
@manicyriaque1318
@manicyriaque1318 Ай бұрын
Nimba mbili anasitahiri kukutana na Someone mtoto wa stamina
@hakizimanamoosa1157
@hakizimanamoosa1157 Ай бұрын
Namba mbili ni moto
@noelidaudi9202
@noelidaudi9202 Ай бұрын
Kahama
@JohnsonChuwa
@JohnsonChuwa 21 күн бұрын
Alber ni balaa lingine🔥🔥🔥
@AudaxDidace-cr7jg
@AudaxDidace-cr7jg 18 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@SalimuZungu
@SalimuZungu Ай бұрын
Alio vaa nyeus an jua sn
@cyprianpeter8770
@cyprianpeter8770 Ай бұрын
🤜🤜
@juniormchetto
@juniormchetto 20 күн бұрын
Seneta Kiing anachana mpaka marapa wengine wanaenjoy 😅😅
@Mrsam4real
@Mrsam4real Ай бұрын
Dj 🙆‍♂️🙆‍♂️
@tnumber7556
@tnumber7556 Ай бұрын
Kizazi sana jamaa. Mkali kinyama
@paulnames6624
@paulnames6624 Ай бұрын
Seneta king atari sana
@KayAmos-re9cu
@KayAmos-re9cu Ай бұрын
🔥
@JosephLaizer-o7u
@JosephLaizer-o7u Ай бұрын
kahama noma sanaaaaaaa maseeee
@niversonmakongwa6074
@niversonmakongwa6074 26 күн бұрын
Seneta king🔥💥
@charlesesigira5418
@charlesesigira5418 Ай бұрын
Alba mayla Alba mayla👑👑🔥🔥🔥
@dullahmtip4805
@dullahmtip4805 Ай бұрын
Oyaaaa uyo jamaa mwenye kofia nyeusi ana punch line
@UchebeMonster
@UchebeMonster Ай бұрын
💫Ndo naanza tyu 😂😂😂😂😂😂
@husseinmkwizu5914
@husseinmkwizu5914 27 күн бұрын
USM forever ✌
@loqciousmayai6307
@loqciousmayai6307 Ай бұрын
Kwapa la suzi 😂😂😂 suzi kakufanya nn mwanang
@mp.MwaithesonScania11
@mp.MwaithesonScania11 Ай бұрын
Same same but main thing normal rappers
@juniormchetto
@juniormchetto 22 күн бұрын
Seneta Kiing mtu mbaya 💥
@UchebeMonster
@UchebeMonster Ай бұрын
💫Senetaaaaaaaaaaa
@mr_mbate
@mr_mbate Ай бұрын
From kimara, jamaa anaswaga na punchline From kahama, jamaa anaswaga na anaweza saana kuamsha vibes, kwangu kahama boy 1 kimara boy 2 mikocheni boy3
@josephmchomvu6770
@josephmchomvu6770 Ай бұрын
Ndio tunaanza😊 chart! 1. Senetaa the king. 2. Kimaraa boy. 3. Mikocheni boy. 4. Kigamboni boy.
@alfaniselemani4160
@alfaniselemani4160 Ай бұрын
Seneta king on top🔥🔥🔥
@SalimuZungu
@SalimuZungu Ай бұрын
Wa kaama
@danielmtawa5064
@danielmtawa5064 Ай бұрын
King
@MrishoRamadhani-t6u
@MrishoRamadhani-t6u Ай бұрын
Seneta king nomaaaaaaa😂😂😂
@MahrezWahid
@MahrezWahid Ай бұрын
ALBA MEIRA mimi ndio namuelewa hapa msela kawameza wote full FLOW inapowekwa imo....................
@MatindeMartin-mo7ge
@MatindeMartin-mo7ge 12 күн бұрын
Senator king
@UchebeMonster
@UchebeMonster Ай бұрын
💫kahamaaaaaa stand up senetaaaaa nooooooooom jing jing jing naweka gia
@ClintonSabukulu
@ClintonSabukulu 26 күн бұрын
Huyu jamaa aliyeanza kuchan anajua
@mwalimumlaula6167
@mwalimumlaula6167 Ай бұрын
Alber meira kutoka Kimara yuko sawa
@noelanasael6324
@noelanasael6324 29 күн бұрын
Kahama stand up majengo moja
@DJINNOSSBTZ
@DJINNOSSBTZ Күн бұрын
Seneta atakuja kuuwa marapa wenzake jmn naomba msimsindanishe na mtu please🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@dullahsimbaulanga6472
@dullahsimbaulanga6472 Ай бұрын
>>>Senator King
@killindoabile3128
@killindoabile3128 Ай бұрын
Alba katisha
@Dreambigrealestate-w6x
@Dreambigrealestate-w6x Ай бұрын
Namba mbili maua yake apewe
@DaliCamussaJoaoCamussa-qc7nv
@DaliCamussaJoaoCamussa-qc7nv Ай бұрын
Diyo anaza tu
@JosephLaizer-o7u
@JosephLaizer-o7u Ай бұрын
Brather Dullah ulipo hip hop inaheshimishwa saluti kwako
@ramadhanijuma6522
@ramadhanijuma6522 Ай бұрын
Kimara na singidani wanaitaji record label
@frankchamba8894
@frankchamba8894 Ай бұрын
nasubiri kutoka kenya
@FrenkMushi-i7f
@FrenkMushi-i7f Ай бұрын
Mwambia wa pili ni atariiiii
@isubamen
@isubamen Ай бұрын
Kahama on the map
@Freddymedia-p7d
@Freddymedia-p7d Ай бұрын
Kuliko kusikiliza hivi vi beat Bora umrudie ex
@pascofp145
@pascofp145 Ай бұрын
Huyo jamaaa aliye vyaaa miwani wamoto sana
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 Ай бұрын
Alba Meila mtu mbaya🔥
@HamisMusa-i1n
@HamisMusa-i1n Ай бұрын
Seneta moto sana
@abditech14
@abditech14 Ай бұрын
Uyo wa kahama ni Nouma na nusu natamani mumlete na Nala mzalendo MC mfupi mwenye mistari mirefu
@mwitagamba
@mwitagamba 7 күн бұрын
Kimara mwisho na kahama ni motooo
@KilucheMdogo
@KilucheMdogo Ай бұрын
Vina mezani muko juu
@MoshiLajabu-ib2tm
@MoshiLajabu-ib2tm Ай бұрын
Uyo kings
@Freddymedia-p7d
@Freddymedia-p7d Ай бұрын
Who else noticed that beats are wack?😢
@OchoaHomeDecor_
@OchoaHomeDecor_ Ай бұрын
oya mbona kazi ni kazi mmeikata? 29:33
@SelemanMkumbo-l5n
@SelemanMkumbo-l5n 17 күн бұрын
USM stand up
@protamwenyegzaketv7408
@protamwenyegzaketv7408 Ай бұрын
Senetaaaaaaa
@alifafadhili9313
@alifafadhili9313 Ай бұрын
Kahama stand up
@abditech14
@abditech14 Ай бұрын
Mumlete Nala mzalendo dogo anajua sana
@IssaMugisha-p8e
@IssaMugisha-p8e Сағат бұрын
Nipo pande za burunda nasema craun media noma hats Mimi mwenyewe rapa ntakuja bongo kuwatesa
@JohnChuma-n2b
@JohnChuma-n2b Ай бұрын
Oyaaa huyo seneta anajua kutoka kahama
@stephenrichard3368
@stephenrichard3368 Ай бұрын
Uyo mwamba wa miwani haaaa ni moto na nani shida nyingine mjini aseeee hatar man
@Alexbazeng
@Alexbazeng Ай бұрын
Ndo naaza tu, kauwa kabisa 🇰🇪
@andrewbale998
@andrewbale998 Ай бұрын
kuna beat nimeikubali sijui nyimbo ya nan kwa mwana wa kigamboni boy alipokua anamuimbia mama kama kuna mtu anaifahamu please
@FadhiliZabron99
@FadhiliZabron99 Ай бұрын
Seneta kaua san kahama kawamaliza wote 😂
@johnsura79
@johnsura79 Ай бұрын
next time Toxic Fuvu awepo
@JohnChuma-n2b
@JohnChuma-n2b Ай бұрын
Seneta anajua kaua sana
@makejaffar8119
@makejaffar8119 Ай бұрын
Eeeh uyu Jamaa wa Kimara duh Senetor ni mkali walae Okay uyu jamaa senetor wa kahama Jamaa is so comic Mcheleshaji mkali sana Sasa uo ndio usanii
@jamiinaafyanjema2966
@jamiinaafyanjema2966 Ай бұрын
Oya kimara mwisho ni mwisho
@allysaleh2220
@allysaleh2220 Ай бұрын
Huyu jamaa wa kimara ni wamoto sana wajiangalie maraper walioko
@HashmChko
@HashmChko Ай бұрын
Miwan umetsha
ANGALIA VIJANA WALIVYOMCHANA DULLAH PLANET NDANI YA VINA MEZANI
20:37
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
CHURCHILL SHOW WANAKIWASHA ARUSHA, ERICK OMOND NAE NDANI
3:14:17
Crown Media
Рет қаралды 19 М.
MTU TATU NDANI YA MEZA MOJA HAPA NI VINA NDANI YA MICHANO
23:43
Crown Media
Рет қаралды 36 М.
CHUMA JUU YA CHUMA NDANI YA VINA MEZANI
36:13
Crown Media
Рет қаралды 15 М.
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН