Viongozi wa kidini mjini Mombasa wameelezea wasiwasi wao

  Рет қаралды 144,052

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 460
@mawia9004
@mawia9004 4 жыл бұрын
Nakubaliana kabisa. Wote waende nyumbani including Uhuru. We need sober leaders.
@albertmangera2269
@albertmangera2269 4 жыл бұрын
If all Kenyan tungechagua kiongozi wa maadhili kaa huyo sheikh msemaji afueni sisi wote umati Adam .
@zabronmicheni1154
@zabronmicheni1154 4 жыл бұрын
I surport you pia uhuru aende hatutaki ujinga sass
@elnorahmjomba1311
@elnorahmjomba1311 4 жыл бұрын
Hapo mmeongea vizuri sana wakenya wenzangu wakwende kabisaa hatuwataki tena
@maryjohn8785
@maryjohn8785 4 жыл бұрын
Mawia jamani wakwende shda tulijiletea kuwachagua hawana akili!!!
@susankariuki449
@susankariuki449 4 жыл бұрын
@@albertmangera2269 yeah!
@moseskanyiri6090
@moseskanyiri6090 4 жыл бұрын
Tuanze sasa hivi maadamano
@mumblessed001
@mumblessed001 4 жыл бұрын
Pia mm nilikua naonelea hivo
@oyay2821
@oyay2821 4 жыл бұрын
Webe ni ureure
@mscantraah8210
@mscantraah8210 4 жыл бұрын
Yes 🤒🤒
@اااللاا-ك5ط
@اااللاا-ك5ط 4 жыл бұрын
Nakubaliana, na maneno, yenu, kwanza maandamano, yaanze, leo
@charokakio91
@charokakio91 4 жыл бұрын
This is the right time for all Kenyans to standup and take this Corrupt Government home without fear.
@politicianstv9529
@politicianstv9529 4 жыл бұрын
Yes
@johnkariuki4789
@johnkariuki4789 4 жыл бұрын
Vitanda kumi na moja walale wenyewe na wake zaoo.......
@sakinat2527
@sakinat2527 4 жыл бұрын
Hapo sasa
@aminasaid7657
@aminasaid7657 4 жыл бұрын
Nimecheka sanaa😂😂😂
@luizngugivlogs5600
@luizngugivlogs5600 4 жыл бұрын
Kenyans we are tired with this government ...tukiamua kuandamana kila mtu ana hasira tunaumia sote
@pendoonyango6676
@pendoonyango6676 4 жыл бұрын
I support you
@cytkl
@cytkl 4 жыл бұрын
The govt of goons destroying the Future of everyone
@esiebabs4487
@esiebabs4487 4 жыл бұрын
Waislamu na wakristo it's time to pray 💔
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 4 жыл бұрын
Ino ndio comment muhimu nimeona kutoka Corona ianze, mda wakurudi kwa maombi mungu mwenyewe atatupigania corona
@esiebabs4487
@esiebabs4487 4 жыл бұрын
@@babyhamisi5331 AMEN, tumuite mungu wa shadrak meshak and abedinego ,hakika hii moto ya corona haitatuchoma
@naturalist9517
@naturalist9517 4 жыл бұрын
waislamu na wakristo ya nn kwan wengine walijiumba
@michaelibrahimibrahim665
@michaelibrahimibrahim665 4 жыл бұрын
Nimependa sana vile umeongea , maana ni ukweli,
@albertmangera2269
@albertmangera2269 4 жыл бұрын
Uislamu tuaongea ukwli tu ju ni agizo. Kutoka kwa Allah.
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 4 жыл бұрын
Kweli kabisa mlivyoongea
@elnorahmjomba1311
@elnorahmjomba1311 4 жыл бұрын
Tumekataa ndege ya uchina hapo umeongea hongera
@langatchepkoech717
@langatchepkoech717 4 жыл бұрын
This is the same mistake china did when they arrested the Whistleblower.. now look whats happening there. TUMECHOKAAAA!
@mscantraah8210
@mscantraah8210 4 жыл бұрын
Kabisa 🙉🙉🙉😭😭😭
@mwendapoleee
@mwendapoleee 4 жыл бұрын
Na alijifiya maskini doctari!
@mercykangangi1
@mercykangangi1 4 жыл бұрын
Ushanena aki kama nzige zimetushida... Je,corona tutaweza kweli???
@albertmangera2269
@albertmangera2269 4 жыл бұрын
I love this sheikh, as he looks into serious issues.
@bratonwilliam7877
@bratonwilliam7877 4 жыл бұрын
Albert Mangera point taken
@mdigowanimdigowani7401
@mdigowanimdigowani7401 4 жыл бұрын
Aawapi
@hashim-kenya4788
@hashim-kenya4788 4 жыл бұрын
Hatuwezi
@pinvii8679
@pinvii8679 4 жыл бұрын
We are behind you...lets do this💪
@abdullwahab39
@abdullwahab39 4 жыл бұрын
Kweli kabisa kwanza waziri wa usalama matiangi afutwe kazi kwa sababu ameshinda kufanya kazi yake
@jamesnjoroge6440
@jamesnjoroge6440 4 жыл бұрын
Akili zao zimepotozwa na bbi hawajali chochote ila wajitafutie viti pamoja na jamii zao uhuru na raila Mungu yuko na amesoma fikira zenu jehanamu yawangonja.
@chebby7351
@chebby7351 4 жыл бұрын
Bbi na 2022
@jackiendambuki4788
@jackiendambuki4788 4 жыл бұрын
Absolutely
@danneismail5442
@danneismail5442 4 жыл бұрын
Sawa Ruto
@mscantraah8210
@mscantraah8210 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 wallah
@mscantraah8210
@mscantraah8210 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@samuelmakona6214
@samuelmakona6214 4 жыл бұрын
This president has failed completely
@mwalimupatrick4323
@mwalimupatrick4323 4 жыл бұрын
hii Kenya tumechoka bana!! tunafaa kuaanza maadamano sasa hivi😣😣
@arifswaleh176
@arifswaleh176 4 жыл бұрын
Tuko tayari kwenda barabarani Kenya ina ushenzii
@sassiejane1299
@sassiejane1299 4 жыл бұрын
Hapo kweli kabisa
@amaliajifaith4645
@amaliajifaith4645 4 жыл бұрын
Umeongea vizuri Sana huu ukweli kabisaa
@Temboz
@Temboz 4 жыл бұрын
I support the first dude...he has valid points Kenyans are very ill equipped to handle a global epidemic like corona virus.
@b.truthful
@b.truthful 4 жыл бұрын
You are the Big Dude
@ibrahimrukundo3064
@ibrahimrukundo3064 4 жыл бұрын
ALLAH awahifadhi hao mashekh nawoooote mfano waooo.
@marylynkenya3121
@marylynkenya3121 4 жыл бұрын
I support you
@xa9xn437
@xa9xn437 4 жыл бұрын
Marylyn Kenya kabisa tumechoka
@khamisijuma3167
@khamisijuma3167 4 жыл бұрын
Hata wakimfuta kazi mitandao ipo tutawamulika tu washenzi
@mwanakombosuleiman6161
@mwanakombosuleiman6161 4 жыл бұрын
Mm nitawamulika sasa .wamenichosha
@omarjeylani9144
@omarjeylani9144 4 жыл бұрын
Faida ya BBI hiyo, kenya imekufa kitambo sana, kenya Kuna shida ya drugs, health sector, barabara mbovu, uchavu mitaani na barabarani, port ya mombasa inaomboleza, uwizi na hali ya usalma imezorota kutoka lamu garissa mandera mombasa marsabit na kwenginneko, may God get rid of all corrupt leaders and their allies. I will be very happy if this virus clean those corrupt leaders.
@حورالفهد-ف4ز
@حورالفهد-ف4ز 4 жыл бұрын
imagine hata huku warabuni wamestopisha watu kusafiri , hii si mchezo viongozi wa kiismamu mumefanya vizuri kuingilia kati coz wenzenu viongozi wakikristo wamelala tu wangoja kufanyiwa michango na na harambee wapelekewe mapesa washibishe familia zao , Mungu awabariki na kuwapa ujasiri ndugu zetu .
@josephatmoracha5755
@josephatmoracha5755 4 жыл бұрын
I like the way you speak becouse it's now time to go back to the streets and demonstrate coz hatuna lingine plz Kenyans we have to do something plz.
@Unclesam00001
@Unclesam00001 4 жыл бұрын
Ufisadi tunaeza vumilia lakini Corona itatumaliza Ni Corona solution no bbi
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@zulfahhussein505
@zulfahhussein505 4 жыл бұрын
Kweli kabisaa
@sharonmakungu9185
@sharonmakungu9185 4 жыл бұрын
Kwanza hiyo ndege inakuja kila Wednesday.Fala ingine inaitwa rashid ilisema ati hata tukikosa ku allow chinese kenya bado tunaweza pata from other people from other countries coming to kenya.he is forgetting that china is the epicenter of this disease.y shld we risk.this guy really suprised me.its better to take precautions than to risk.he is so stupid
@nicholaskiamah1719
@nicholaskiamah1719 4 жыл бұрын
The chair man has spoken very clearly and given proper facts these are the religious leaders that Kenya need , the chair man has the peoples best interest at heart
@estherwawera2147
@estherwawera2147 4 жыл бұрын
Nahasira sana,najutia kuzaliwa nchi yetu hii ya kenya,ukoloni upo bado,watunyanyase na kesho tukapange foleni kuwapigia kura,Yangu hawapati inshallah nisipo sobwa na corona,watataniona paa,
@estherwawera2147
@estherwawera2147 4 жыл бұрын
Atakae wafuta kazi nani,kama raisi wetu wa Kenya alijua kuna ndege imeingia Kenya kutoka china,hakuchukua hatua yeyote,hapo kuna njama Fulani inaendelea,wanataka kuitisha misaada Kenya watie pesa mifukoni,huku twaendelea kufa,pasipo kujua pia wao wamo hatarini,nashangazwa sana na serikari yetu ya Kenya,pesa mbele
@AliIbrahim-lv5cq
@AliIbrahim-lv5cq 4 жыл бұрын
Tunaumizwa na chikungunya leo mwenda tuletea CORONAVIRUS nchini ugonjwa uloshindwa na tiba kwa nchi za kitajiri Khah!!!!
@Kasweetie_254
@Kasweetie_254 4 жыл бұрын
Na dengue fever jameni
@sakinat2527
@sakinat2527 4 жыл бұрын
Allah atustiri yaa Rabb
@AliIbrahim-lv5cq
@AliIbrahim-lv5cq 4 жыл бұрын
@@sakinat2527 Amiin dada
@helenwangechi7746
@helenwangechi7746 4 жыл бұрын
Hongera baba umeongea ukweli mutupu tuandamane jameni uhuru atatua
@mscantraah8210
@mscantraah8210 4 жыл бұрын
Kweli kabisa kenya tuiskie tuu ni kenya bt utaratibu hakuna kabisa mwasema nzinge tu je matakataka umezisahau zilivyo tapaka Mombasa hata hutamani kuka mombasa je Corona ikija tutarishe makaburi hakuna usaidizi mwengine ufisadi umepita mizizi nanyi mwasema corona mutapambananayo matokeo na mutajua hapo? Ikifika ni kuomba mungutu
@manfredgungah4246
@manfredgungah4246 4 жыл бұрын
Woi jamen hii italeta shida kabsaaa huku
@stellaloves9879
@stellaloves9879 4 жыл бұрын
Mombasa mumeogea point nawependa bure tuombeni Mungu atuepushie na ili janga.. Government yatamini pesa sio binadam
@zakayowanjala7818
@zakayowanjala7818 4 жыл бұрын
Aki huyu shiekh ameongea ukweli kabisaa tho amefanya nicheke kidogo pale pa vitanda walela wenyewe na bibi zao twaumia sisi wanyonge
@mwanakombosuleiman6161
@mwanakombosuleiman6161 4 жыл бұрын
Wakenya serikali mwamfuta kazi mtu kwa sababu amesema ukweli mbona mwakubali ndege za china zije kenya .ingekuwa mm pia ningeipika picha nikasambaza tumechoma jamani njaa ipo uchumu umepanda tena mwataka kutuletea maradhi .
@nusaibahassan5842
@nusaibahassan5842 4 жыл бұрын
SubhanaAllah Mtihani Wallay 😭😭😭Kilichobakia Ni Kufa Tukijiona 😭😭😭Allah Tunusuru Waja Wako
@akachamilionare8434
@akachamilionare8434 4 жыл бұрын
Ameen
@citymwacheo4497
@citymwacheo4497 4 жыл бұрын
Amiin ya rabb
@abumoyo5341
@abumoyo5341 4 жыл бұрын
Amin rabil amin
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 4 жыл бұрын
Aamin
@omarsheikh3706
@omarsheikh3706 4 жыл бұрын
Sisi waeslamu lazima tunazuguma makosa yametokawapi walale nawakezao kisha kuna ayazakusoma Allah ndiye wakulinda watu jamani ndugu waslamu tuwenaemani
@AishaAli-lk7gh
@AishaAli-lk7gh 4 жыл бұрын
kabisa
@wattsleilah
@wattsleilah 4 жыл бұрын
kweli kabisa sheikh,,,
@lydiamuthoni7166
@lydiamuthoni7166 4 жыл бұрын
Let’s all protest Kenyans wake up wake up🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️👏👏👏
@djeye4706
@djeye4706 4 жыл бұрын
Remember before kutetema; hii ni laana kutoka kwa mungu kumbuka ambri 10 zilizotolewa kwa mungu wakati wa Faraoh... 💣 bomba ya 1 locusts 💣 ya 2 magonjwa hiyo coronavirus... bomba lingine laja ... tuajiangalieni...
@bamariz
@bamariz 4 жыл бұрын
kwa mara ya kwanza juma ngao amesema ya maana.siku zote anabonga zero
@kituxina4666
@kituxina4666 4 жыл бұрын
Mashekh WA Kenya NI WANNAFIK..! ALLAH anakuoneni nyinyi NA ndio maana leo DEMOCRACY iyo iyo MNAYO iyabudu ndio inayokutieni adabu kupigwa NA kuuliwa..? Hamuwezi nyinyi kuwa wauumini wakweli kama al shabbab........ Inna aqssara nnasi lahumm fassiqunn
@sageforce9306
@sageforce9306 4 жыл бұрын
I like this sheikh. He brings out our wrath and frustration with a dash of flavour. Tell this Chupili kafament wasikize
@tejah2
@tejah2 4 жыл бұрын
Vitanda Kumi Na Moja Walale Wenyewe Na Wake Zao!!!!!!!!!!!! Sisi Hatutaki
@magoigagati3569
@magoigagati3569 4 жыл бұрын
Kenyans are just mad!!! Starting from top to bottom.Uhuru mwana wa Kenyatta MOI anointed you Wrongly!!!! When he said publicly"Atakayeweza ishikilia hii nchi kidogo ni"UURU KINYATTA".Am real dissapointed by your LEADERSHIP!!!!!. Exposing us to CORONAVIRUS?????!!! GOD will NEVER FORGIVE YOU AND YOUR FAMILY!!!! By killing poor Kenyans.☣️
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 4 жыл бұрын
Mimi namuomba MUNGU hiyo CORONA impate Uhuru tena afe ndio wengine watakaojiweka madarakani wawe na adabu
@susankariuki449
@susankariuki449 4 жыл бұрын
Ha, ha, ndio
@AishaAli-lk7gh
@AishaAli-lk7gh 4 жыл бұрын
ameen
@carol-morasta
@carol-morasta 4 жыл бұрын
wasee tu andamane mpaka state house juu hii kitu ni sisi itamaliza wao wako na pesa wataka kwa ma mansion zao,na mmoja wao aki patwo nayo ata providiwa na the best doctors,so it's up to us,tunaweza enda mpaka iyo airport na tuifuruge,wao hawana shunguli na sisi wanafikiria kuhusu BBI
@kevinwamalwa9525
@kevinwamalwa9525 4 жыл бұрын
Tafathali ...hao viongizi wa kidini .. Tuongozeni...kwa kila namna ...mwazo....mm sioni faida ya wachina ....kwa sababu tangu 2 wajenge reli maisha yamekua nagumu sana ... ....just imgn hii kitu ikiingia. ....ushagooo ..
@mav2zmajamboz624
@mav2zmajamboz624 4 жыл бұрын
Samahani kwa wote ... Lakini hakuna hatua Serikali itachukua...munadaiwa maBilioni...lazima mukubali matokeo yaishe...
@hustlernaturalrocks292
@hustlernaturalrocks292 4 жыл бұрын
Kweli kabisa Ustadh lakini Mbona nyumba ya mungu ifungwe? Yani Jamia mosque
@mwanaishahussein2635
@mwanaishahussein2635 4 жыл бұрын
Inasikitisha Shujaa kuichua video ndege ilina wa China kufutwa kazi lkn je, ni bora wakubwa kuhongwa ili kuangamuza uma?,jamani tusihadaike na pesa tutafute amali njema😏😏😏😏
@remiomar7154
@remiomar7154 4 жыл бұрын
Nikweli asemayo shekh ndege zistopishwe kwende china mpaka huu ugonjwa uishee jamani Kenya inamajanga tele Al-shabab tuu wanatuendesha mbio
@damarisnyambura9111
@damarisnyambura9111 4 жыл бұрын
Serekali gani hii mtu akiongea ukweli afutwa kazi,usemi ni unakosea serekali heshima pombe haramu wamweshidwa kumaliza ambayo inauzwa hadhalani corona ni virusi atazimaliza vipi zikiingia humu inchini🙄🙄🤔🤔☠☠
@marysaituni4584
@marysaituni4584 4 жыл бұрын
Serekali wangefunga usafiri wa kutoka inje ya nchi.. ingekuwa Bora zaidi
@ezraketer1643
@ezraketer1643 4 жыл бұрын
Prevention is better than cure. Uhuru should wake up
@respectall4551
@respectall4551 4 жыл бұрын
We need to understand just only one thing. No one surpass the power of the Almighty God. Oppressed kenyans, all religious affiliation we need to stand together join our hands and pray against all the people involved in this drama, the people who wants to harm the life's of poor civilians. May Almighty God accepts your prayers and punish them all. May the Almighty God protect the people of kenya and its neighbors. Love from another side of the world.
@zaudebodaboru181
@zaudebodaboru181 4 жыл бұрын
Jambo hili linakaa kaa tu kawaida kusikia wakati wote kwa wakenya.lakini endapo mtu mmoja kudhibitishwa kuwa na virusi ndio watajua hii ni jangaa .kwa sababu kutoka mwaka tuliopiga kura hadi waleo sisi tunachojua ni siasa tu. Kenyans should stand with ALI GERE ...a Hero and a patriot. Si jambo la kushinikiza tu.
@williamjulius5981
@williamjulius5981 4 жыл бұрын
True sheikh wambie ukweli Kenya hatuna uwezo wa kupambana na Corona viruses
@aishamusa6806
@aishamusa6806 4 жыл бұрын
Watanzania wangekuwa naakili..kama watu.wakenya.wachina.wasingeruhusiwa
@kensuccii
@kensuccii 4 жыл бұрын
Swali kubwa ni mbona hio ndege iliruhusiwa kuingia humu kutoka china? Vile ilivyotua ivo ivo ingestahili kurudia papo hapo bila abiria yeyote kutoka ili kuzuia usambazaji wa virusi humu.
@eminaburu1423
@eminaburu1423 4 жыл бұрын
Mungu Atuepushie mbali janga hili la koron hasa kwa wenzetu wa kenya
@alexmuvua1312
@alexmuvua1312 4 жыл бұрын
These guys dropped some hard barz..."Locust wametushinda.Hatuna lab.Tunatuma specimen South Africa kupimwa.Tutapambanaje na Corona?Hatuna capacity ya Nzige....Corona tutapambanaje nayo???". 😤😤😤
@chunaamina8719
@chunaamina8719 4 жыл бұрын
Laiti kama the first one ungekua president hakungekua Na udhalimu Na ufisadi mwingi manake umeongea ukwel mtupu👌🙏
@evelynmumbi1659
@evelynmumbi1659 4 жыл бұрын
This is a world war item....BT why is the President not speaking no planes to be allowed until tukue tayari ata mask na sanitizer zitatosha kweli
@atienomitchell
@atienomitchell 4 жыл бұрын
At least Indians earned their citizenship in Kenya and being the 43tribe in Kenya by helping us kitambo in the railway businesse but China this is corruption .Tusipochunga our country will be renamed "Kenya republic of China"king Kaka was right by calling us wajinga tuamke tusiwe zuzu zaidi.
@alicewagula4079
@alicewagula4079 4 жыл бұрын
I support you ..president alipe deni ys china warudi huko nkt
@Ed-vi6bs
@Ed-vi6bs 4 жыл бұрын
Ukweli
@furahakwaumabyrashid4032
@furahakwaumabyrashid4032 4 жыл бұрын
Serikari ichukue hatuwa katika hilo mbona marekani wamezuiya ndege kuingia na kutoka sie waafrika tunashindwa vipi
@merryeliufhoo2035
@merryeliufhoo2035 4 жыл бұрын
Eee mola wetu wa haki tuepushe na hili janga yarabbylaghalminn
@aloycemwakatala2634
@aloycemwakatala2634 4 жыл бұрын
Arudishwe kazini upesi maana tutakosa habari za kweli kutoka Kenya maana msema ukweli mmemutoa kazi, ludisha haraka huyo mwandishi wa habari.
@tcgmchurchtanzania8051
@tcgmchurchtanzania8051 4 жыл бұрын
Kama haya yanao ongelewa APA yana ukweli .wakenya ugonjwa huo utaishambulia afrika mashariki nzima kwa kutokana na muingiliano yetu hatimae tutatengana wenyewe kwa wenyewe jambo ilo sio lakufumbia macho nila kukemewa Sana halivumiliki na linakera .wachina hao watafutwe na warudisheni kwanza kwao.atuwabagui ila nikulinda jamii zetu
@mumkmamy5186
@mumkmamy5186 4 жыл бұрын
Serikali isidhani hayo maradhi niya maskini pekee hta wao hawatatoboa Shenzi Type
@raiyanmohd918
@raiyanmohd918 4 жыл бұрын
Ni kawaida nchi zetu za Afrika na viongozi wetu wanajali pesa zaidi kuliko wananchi
@grantler1726
@grantler1726 4 жыл бұрын
" Wameshindwa na funza, wataweza covid 19!!!
@sidistephen8982
@sidistephen8982 4 жыл бұрын
Uhuru,raila na ruto wametuangusha pakubwa wanataka kutumaliza ndio wauze inchi yetu ili walipe deni la wachina
@mumblessed001
@mumblessed001 4 жыл бұрын
Asanteni itabidi hivo hio swali ndio naulizo mbona anafutwa kazi juu ya video hapo kuna ufisadi hio ndio unapata vitu huingia kenya kama sukari mchele xakuagamiza wakenya watu wa defend hakuna kitu wana fanya
@judyjudy1052
@judyjudy1052 4 жыл бұрын
Kabisa hapo tuko pamoja sana warudi kwao kwanza for surely Kenya hatutaki hao watu
@mursilmursal
@mursilmursal 4 жыл бұрын
Its high time kenya we come together tumekua wajinga snaa
@samiramohamed3994
@samiramohamed3994 4 жыл бұрын
MM MTAZANIA NAOMBA MSAMAHA KWA NDUGU ZANGU, ALLAH HAKUSEMA KISIMA KILE PALE JIDUBUKIZE MM NITAKUOKOA KASEMA JIOKOE NA MM NITAKUOKOA NA BINADAM SOTE TUNAHAKI BILA YA KUBAGUANA NA SERKALI INA WAJIBU WAKE NA PIA SERKALI ATIZAME ROHO ZA WANANCHI WAKE HATA KAMA KENYA INA DENI YA MCHINA ITAFIKA WAKATI ITAISHA INSHA-ALLAH NITAIOMBA KENYA SERKALI NA WANANCHI WAKE WASHIKAMANE NDIYO UMOJA NA NGUVU ✊💪 WAKUOGOPEWA NI MOJA TU ALLAH SIYO MCHINA TIZAMENI WAZEE NDUGU WATOTO TUWAHIFAZI HIZO NDIZO DUA NDIZO ZITALETA MAENDELEO YA NCHI BILA KUJUA NDUGU ZANGU WOTE 👍
@phayphay8471
@phayphay8471 4 жыл бұрын
Sema baba Sema sisi wa tz waoga sana na wajinga sana walingi tukanyamaza sasa tunaumwa
@johnchacha7480
@johnchacha7480 4 жыл бұрын
Serekali wasitubebe kuwa wafala maana BBi ndio muhimu kuliko afya ya wakenya wacha hio ungojwa wa korona ushike moja wao ndio watajua BBi ndio muhimu au afya wakenya
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 4 жыл бұрын
Sio wachina to wazungu wote na wazaliwa wasije Afrika au kenya au tanzania au zanzibar wasije wageni
@allyflavour8005
@allyflavour8005 4 жыл бұрын
Napenda kuona wananchi wenye kueleza kitu kwa weledi pia kujiamini kabisa nice kikubwa kuomba duwa mungu atunusulu
@mwamengi2409
@mwamengi2409 4 жыл бұрын
Waziiiii umeongea kama watu million 10 Kenya hongera sanaaaa
@evansatinga4871
@evansatinga4871 4 жыл бұрын
Wanyonge atuna haki......wajinga sisi.....wajinga sisi.....
@USDisdoomed
@USDisdoomed 4 жыл бұрын
Hawa Viongozi wanafaa kuombewa washikwe nawazimu. Kwa ulafi wao natamaa Bila kujali binadamu wengne katika taifa hili... Laana zAMungu zawashukie kwa dhulma zao na uharibifu katika ardhi ya Mungu. Amen!
@estherwawera2147
@estherwawera2147 4 жыл бұрын
Wasishikwe nawazimu,wafe wao kwa hizo mikutano zasiasa na corona, waoze kwa Siku moja
@mwambaowapwanichannel8572
@mwambaowapwanichannel8572 4 жыл бұрын
Wakenya hii sio maswala ya kisiasa, hatutaki kitu chochote kutoka china, rais apige marufuku ama tugome kwa maandamano, Mgomo mgomo mgomo
@jackiendambuki4788
@jackiendambuki4788 4 жыл бұрын
Yes tuko nyuma yenyu munyoki nyumbani kenya yetu hatari kweli. Uhuru na raila bbi tu
@mwendapoleee
@mwendapoleee 4 жыл бұрын
Ata ninio ya kupima temperature airport ni 6 pekee na sio halisi mara hazifanyi kazi mara 2 tuu zafanya na wenye kupima hawana vifaa za kujikinga jameni.
@mercymwanzari9646
@mercymwanzari9646 4 жыл бұрын
Serikali ituache tufe maskini lakini si kutokana na virusi vya korona
@salomemukani1627
@salomemukani1627 4 жыл бұрын
Nikweli kabisa wahenga walisema kinga ina shinda tiba.mbona awa wakubwa awawoni vile watu wana kufaa kiolela kule china. Waruhusiwe kuingia kenya na uko kwao wamezuia ndege kutoka inje kuingia kwao.
@abdifatah777
@abdifatah777 4 жыл бұрын
waliziuza hizo visa kwa thamani ya pesa bila kujali maisha ya wakenya....bb death
@essaeriziq1552
@essaeriziq1552 4 жыл бұрын
Ni kweli huyo aloingiza ndege kisiri afutwe kaziiiii
@mariamm2724
@mariamm2724 4 жыл бұрын
Umeongea sawa bado tz maana hawasikiii.etieti biashara .
@timaahamdi5621
@timaahamdi5621 4 жыл бұрын
Aki Kenya ni nchi ambayo ingekuwa juu kimaeneleo.Lakini ndio nchi ambayo imezoroteka kiuchumi Africa kwa sababu ya UFISADI Na UBINAFSI
@Kasweetie_254
@Kasweetie_254 4 жыл бұрын
Wakitumaliza na corona nani atalipa china lile deni?...
@zainabomar9139
@zainabomar9139 4 жыл бұрын
Yan nikuomba sana t wakenya lkn wameyaleta hayo maradhi kusudi kutumaliza maana wajua hatunakinga kuwashinda lkn twaamini allah ndie atakae kutunusuru na korona yao
@salimsalim8421
@salimsalim8421 4 жыл бұрын
Angalau ume amua kunene safari hii, watu wame chokaaaaaaaa
Viongozi wa kidini wataka Gachagua kuomba msamaha
3:05
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 7 М.
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 39 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 33 МЛН
Gavana Eric Mutai abanduliwa yakutuhumiwa kwa makosa kadhaa
3:06
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 1,9 М.
DDLJ - IIFA Directors Cut
4:41
IIFA
Рет қаралды 23 МЛН
‘Useful Idioty’: I always wanted to be a priest
14:11
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 792
Johnston Mukabi  - 'Mtoto Si Nguo'
2:57
The Singing Wells project
Рет қаралды 2,7 МЛН
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 39 МЛН