Viongozi wajitokeza mtandaoni kuomba msamaha baada ya kuupigia kura mswada wa fedha 2024

  Рет қаралды 189,369

TV47 Kenya

TV47 Kenya

Күн бұрын

Пікірлер
@bernardthuo2455
@bernardthuo2455 5 ай бұрын
Maji ishamwagika. Wote waliopiga YES wasitukaribie juu lazima tuwasalimie
@kadayamademsy3390
@kadayamademsy3390 5 ай бұрын
They failed us shame shame on them
@Berly841
@Berly841 5 ай бұрын
Yes maji yakimwagika hayazoleki
@dotytydo2342
@dotytydo2342 5 ай бұрын
Namali zao tuibe ukijua duka lambuge yoyote halie piga yes tupashe tukamuonyeshe nni mahana ya yes
@BMboss108
@BMboss108 5 ай бұрын
😂😂😂😂 maji yashawafika shingo😂😂😂 wanaongea wakiwa mafichoni😂😂😂
@domin842
@domin842 5 ай бұрын
Wanastahili wasalimie vibaya sana shenzi hao
@imma791
@imma791 5 ай бұрын
Hamkuweka chini , vijana ndio waliweka chini!!!!! Accept the truth.
@zaitunisagwa2082
@zaitunisagwa2082 5 ай бұрын
😂😂😂 wamejua watatembelewa one by one. Wameingiza baridi😅😅😅😅.
@AmazingMania
@AmazingMania 5 ай бұрын
Actually shida ni ati hawajui how they will face the populace
@Berly841
@Berly841 5 ай бұрын
Where is ichungwa😂😂😂😂😂😂
@edm1207
@edm1207 5 ай бұрын
They now know that they cant hide out in these streets...they are a stone throw away lol
@selahselah474
@selahselah474 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 na bado
@priscahkiyondi-om1lt
@priscahkiyondi-om1lt 5 ай бұрын
Hhahahaha😂
@danomolo7365
@danomolo7365 5 ай бұрын
They thought Ruto will be there 24/7 for them.
@JacklineOmbogo
@JacklineOmbogo 5 ай бұрын
Ruto na tumbo yake
@Ipioriopatrica
@Ipioriopatrica 5 ай бұрын
Wewe Cheriyot wakujuwa sana ,tutakuja kukusalamia utupee hiyo apologies una tapika kwa mutadao.😂😂. Gen Z 💪💪
@jfabbyhussein6861
@jfabbyhussein6861 5 ай бұрын
Hakuna kujadiliwa You must go na Ruto wenu tumechoka 😢
@Berly841
@Berly841 5 ай бұрын
Alisema no more killing na jana watu waliuliwa
@africankidz1542
@africankidz1542 5 ай бұрын
Kabisaaa
@eldios831
@eldios831 5 ай бұрын
Kabisa,,,,hawajui yameisha
@doreenkarimi4572
@doreenkarimi4572 5 ай бұрын
They should all resign..PERIOD! mi hata hakuna sauti ingine nataka kuskia except kuskia wamejitoa. Just goooooo!!nmechoka mimi
@priscahkiyondi-om1lt
@priscahkiyondi-om1lt 5 ай бұрын
😂😂😂
@petermwangi648
@petermwangi648 5 ай бұрын
Bure kabisa, sababu Ruto aliwaruka.
@JacklineOmbogo
@JacklineOmbogo 5 ай бұрын
😅😅😅
@evanswabwire4540
@evanswabwire4540 5 ай бұрын
Ombeni Mungu msamaha si sisi
@doreenkarimi4572
@doreenkarimi4572 5 ай бұрын
Hahaha nice...they should all go..hata wao sio Wakenya. Waende waishi na hao wazungu wao. TRAITORS!!
@bonfacemuhammed
@bonfacemuhammed 5 ай бұрын
good
@SSk5k
@SSk5k 5 ай бұрын
We lost faith in them
@domin842
@domin842 5 ай бұрын
Wasisamewe wasalimiwe kwanza ule mama wa malindi na kiburi yake ati mswada huo ukija bungeni Tena atapiga yes na watu wa malindi wako tu hapo wanamuangalia
@calvinrichard4591
@calvinrichard4591 5 ай бұрын
Kweli kabisa😂😂😂😂
@joseskinyua4627
@joseskinyua4627 5 ай бұрын
apology not accepted. Not after the many deaths
@samwelomondi9530
@samwelomondi9530 5 ай бұрын
True ,walivote mara mbili, apology not accepted.
@daudiakwabi128
@daudiakwabi128 5 ай бұрын
Hamjui maana ya uongozi.....maisha ya mwananchi yanawategemea nyinyi. Halafu kazi yenu ni wizi tu na kujipiga vifuwa. Ina faida gani kufanya wananchi kupoteza maisha yao...??? Shame on you the mps who voted yes. You don't deserve forgiveness
@sammymaingi4467
@sammymaingi4467 5 ай бұрын
We shall not forgive them. What about the lives lost?
@BMboss108
@BMboss108 5 ай бұрын
Kwanza wanakuwaga na mdomo sana
@aloiceNgoda
@aloiceNgoda 5 ай бұрын
Yess bunge litajengwa na hao watoto
@JacklineOmbogo
@JacklineOmbogo 5 ай бұрын
Exactly
@margaretnyambura8877
@margaretnyambura8877 5 ай бұрын
Mlitusaliti mkafanya watoto wetu wauliwe we can't accept your apologies
@badarahmed1861
@badarahmed1861 5 ай бұрын
Kabisa... kwanza wawarudishe watoto wetu waliouwawa
@Meh-el1ej
@Meh-el1ej 5 ай бұрын
We out of forgiveness ✊🏾
@muziki79
@muziki79 5 ай бұрын
Ruto left them under the bus 😅
@joshuakithyoma9575
@joshuakithyoma9575 5 ай бұрын
Venye ameachwa na USA kwa mataaa ....Hawa watu sio viongozi😂
@edwinkidambu165
@edwinkidambu165 5 ай бұрын
Then wanaclap...this guys wako na kiburi mpaka they can't think. They stopped thinking..Ruto must go.
@hassanhussein1885
@hassanhussein1885 5 ай бұрын
Pumbafu sana, sasa Ruto amewageuka wanarudi kwa wananchi kujifanya wanaomba msamaha, woman rep wa county yangu, I personally will never forgive
@SSk5k
@SSk5k 5 ай бұрын
We don't need their apology. They must resign
@lucygeorgewairimu5136
@lucygeorgewairimu5136 5 ай бұрын
Yes, we need roho zetu zitulie when we can't see them..
@jamesnganga6387
@jamesnganga6387 5 ай бұрын
it's too late kwa kuomba msamaha🙌🙌🙌🙌🇰🇪
@mwendapoleee
@mwendapoleee 5 ай бұрын
Watu wamekufa hawatafufuka tena.
@babygames5600
@babygames5600 5 ай бұрын
Don't forgive them
@wambuamusyoka267
@wambuamusyoka267 5 ай бұрын
Hakuna msamaahhh apo wacheni unjiga😂😂😂😂😂😂
@denisotieno5972
@denisotieno5972 5 ай бұрын
Haisaidii, kwa sasa. Watu wamekufa ndo mnaomba radhi
@lakeinrocks
@lakeinrocks 5 ай бұрын
If they are truly sorry, let them ALL resign!
@daniells71
@daniells71 5 ай бұрын
Volume!!
@dukakisomondi8552
@dukakisomondi8552 5 ай бұрын
Just listening to their tone, they still think they are bosss. These people need a massive jolt of reality check.
@Muriukiwanjue
@Muriukiwanjue 5 ай бұрын
Hahaha uyo interviewer bana ATI "Tuwasalimie" 😂😂😂
@luckyluchano1
@luckyluchano1 5 ай бұрын
Maji yakimwagika hayazoleki...the blood of our fellow comrades was spilled on the streets. We want them to resign and go home to there families.
@muthomindumba5225
@muthomindumba5225 5 ай бұрын
Mambo ni matatu 1): Ruto 2): Must 3): Go!
@winnywin6988
@winnywin6988 5 ай бұрын
Thank you,for now hatutambui these government
@patzBm84
@patzBm84 5 ай бұрын
Forced to withdraw
@petermacharia7171
@petermacharia7171 5 ай бұрын
Best apolgy is to resign.
@JacklineOmbogo
@JacklineOmbogo 5 ай бұрын
Kabisa
@Silah_254
@Silah_254 5 ай бұрын
Mlipitisha na mnamshukuru. Io ni ujinga. These idiots should not be addressing anybody in this country.
@jessyombeva1670
@jessyombeva1670 5 ай бұрын
Nenda mukafufue mlio waua Kwanza mkawaombe msamaha Kwanza . Go to every hospital all the injured go ask them for the forgiveness Fala nyinyi then resign
@edimaxmedia
@edimaxmedia 5 ай бұрын
We blame those giving this idiots platforms to speak. They should be in the hide outs at the moment. Leaders should lead by example more so always be at the interest of those who voted you in/ who gave you the job.
@AWachter-wp9xt
@AWachter-wp9xt 5 ай бұрын
Munaomba nani msamaha ngombe hizi,2027 munaenda home
@doreenkarimi4572
@doreenkarimi4572 5 ай бұрын
Ati 2027? Nani hata akona nguvu ya kuendelea na hii governance yao for 3 more years? Watoke saa hii bana!
@abdab8466
@abdab8466 5 ай бұрын
Do they know the meaning of voting 3 times
@abdab8466
@abdab8466 5 ай бұрын
There should be no gorgivness
@petronilaowano6078
@petronilaowano6078 5 ай бұрын
No mercy for the wicked
@Fatumatoya
@Fatumatoya 5 ай бұрын
Mps saii wako mbioni kwa mababu kuzima masndamano lkn walichelewa neno moja tu must goo😊
@lucymuthoni3295
@lucymuthoni3295 5 ай бұрын
Who is so stupid to forgive you after death of our innocent children
@briindiana7306
@briindiana7306 5 ай бұрын
Huyo wa turkana ati "ikiwa"???na mashule kwake n za vijiti,,,mbna hta naziita shule My God...
@madsonmmbwanga3037
@madsonmmbwanga3037 5 ай бұрын
Wanezoea tumesema ku resighn ndyo suluhisho
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 5 ай бұрын
Safi Sana Wakenya , nimewapenda. Heshima kutoka Tanzania
@eveeveatieno
@eveeveatieno 5 ай бұрын
What for after watoto wa wenyewe kupigwa risasi
@JacklineOmbogo
@JacklineOmbogo 5 ай бұрын
Na kunyongwa ka mbwa so painful
@petermwangi648
@petermwangi648 5 ай бұрын
Headless chickens, pleasing the master....
@hemarokcrown.
@hemarokcrown. 5 ай бұрын
Hawa wanadharau sana wananchi😭😭😭😭😭😭juu ya 2 million Vijana wamekufa manze for no reasons,,, Mp whoo voted yes damu haigemwagika😭😭
@Cochabamba37
@Cochabamba37 5 ай бұрын
Kiburi inaiisha na bado😂
@presentertelence1679
@presentertelence1679 5 ай бұрын
*Wakwende na uko wao ni kids wavote yes then waje kwomba msamaha*
@releiabby6201
@releiabby6201 5 ай бұрын
😔😔😔Aki these pple... Mungu tu anajua
@angash8071
@angash8071 5 ай бұрын
You must go!
@mahmoudrafat9532
@mahmoudrafat9532 5 ай бұрын
Msamaha na watoto wa watu wamekufa
@beatricekhangayi-qh5ny
@beatricekhangayi-qh5ny 5 ай бұрын
Mafi nyinyi mutaena home soon shenzi😂😂😂
@lucasomolo8443
@lucasomolo8443 5 ай бұрын
Ombeni Mungu msamaha but as for us.... RUTO MUST GO plus the Yes MPs who voted YES
@juliamongina6084
@juliamongina6084 5 ай бұрын
Why are you lamenting i said one day you wake up and find Ruto out of power what will happen to you. You thought you're clever than those are in power 80 % of you were rigged in by Ruto 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@davidkea5701
@davidkea5701 5 ай бұрын
😢Shenzi saana,,,waennde nyumbani
@jeffmogaka4032
@jeffmogaka4032 5 ай бұрын
Wajidinye hatutaki apologies
@Officialkelvoh
@Officialkelvoh 5 ай бұрын
Gen z kudos 💪💪💪💪
@devyivar4872
@devyivar4872 5 ай бұрын
Forgiving them, is voting them out period
@JacksonBahati-y3q
@JacksonBahati-y3q 5 ай бұрын
Correct
@jusindermuendo9325
@jusindermuendo9325 5 ай бұрын
Wewe ukona kiburi sana mungu andili na nyinyi mmeuwa watoto wetu wengi na mnajipiga vifua
@ellyotiende444
@ellyotiende444 5 ай бұрын
Watatii kabsaaaass
@JacintaMbinyaz-yl6ho
@JacintaMbinyaz-yl6ho 5 ай бұрын
This is the time you have to no that You're not chosen to please ruto but to work for your nation
@mwanthikioko
@mwanthikioko 5 ай бұрын
Mlingoja kuona watu wamechoka ndio muombe msamaha. Si vyema
@winnywin6988
@winnywin6988 5 ай бұрын
Just resign,if indeed they are genuine
@n.3957
@n.3957 5 ай бұрын
Resigning is the best apology, thank you.
@geoffreyarich4679
@geoffreyarich4679 5 ай бұрын
Tutakutana.....salamu si mbaya
@munaberyl
@munaberyl 5 ай бұрын
Mp from Turkana voting yes,I wonder
@alvonkivu317
@alvonkivu317 5 ай бұрын
Eeeeh mtindo ni huo huo ata unafaa kuomba msamaha kama umepiga magoti
@VictorOrora
@VictorOrora 5 ай бұрын
Maumbwa wao, sasa wanajifanya walikuwa wamepagawa wakiwa bungeni ndio wamepata akili😂
@ronaldkatananyali8409
@ronaldkatananyali8409 5 ай бұрын
PR ...and damage control 😂😂😂😂
@FridahMbithe-lv2ry
@FridahMbithe-lv2ry 5 ай бұрын
We must meet you 2027,vote ya ruto ni moja
@Roe-fq5zp
@Roe-fq5zp 5 ай бұрын
We are broke we can't afford forgiveness
@faithmumbua5553
@faithmumbua5553 5 ай бұрын
Na vile tuko wengi mtatukalisha wapi
@aheudit
@aheudit 5 ай бұрын
Si mulilazimisha iende statehouse.
@BORDERSSAFARISTRAVEL
@BORDERSSAFARISTRAVEL 5 ай бұрын
THEY WHERE BRIBE 2 MILLION TO PASS FINANCE BILL SHAME ON YOU.....YOUR CORRUPT LEADERS 🇰🇪🇰🇪
@lucymwai7645
@lucymwai7645 5 ай бұрын
Hawa Wambunge hakuna tofauti na Gaidi,Wako na Kiburi sana. They don't care about Mwanaishi
@BORDERSSAFARISTRAVEL
@BORDERSSAFARISTRAVEL 5 ай бұрын
@@lucymwai7645 THEY'RE ROBBERS AND THEY THINK FOR THEMSELVES
@anjelineobiero780
@anjelineobiero780 5 ай бұрын
Apologies for what? 🇰🇪 have waken up👍🏃🏃🏃🏃
@peninahwanjiru-y4f
@peninahwanjiru-y4f 5 ай бұрын
Bureau sana nyinyi
@ReubenStephen-im3eg
@ReubenStephen-im3eg 5 ай бұрын
Hakuna kusamea kiburi, the best can do is to step down, sisi sio ancestors 😂😂😂😂😂
@bethwachira4117
@bethwachira4117 5 ай бұрын
Kiarie is forgiven, ichungwa na Karen follow suit ama mtakipata pata
@sultanmswahilitv4864
@sultanmswahilitv4864 5 ай бұрын
Mafala hao...maji yashamwagika.we dont need there apologies
@wambuamusyoka267
@wambuamusyoka267 5 ай бұрын
Kiatu ni two milion
@sugarcandy3895
@sugarcandy3895 5 ай бұрын
Helipads while pple r suffering kiburi kiburi
@Jt.updates
@Jt.updates 5 ай бұрын
Bado hatujamalizana na nyinyi msitu adress kwa mkutano wowote na mngoje 2027 tujue sisi na ruto nani ndio boss wenyu!!!😢
@rizikinassor5618
@rizikinassor5618 5 ай бұрын
Utaendaaaaa nyumbani na mtaenda nyumbani 😂😂
@lucymwai7645
@lucymwai7645 5 ай бұрын
We will never forgive them wenye wali Vote Yes Yes, Mungu awa curse mpaka vizazi vyenu. Mpaka tumepoteza maisha ya watoto wetu Shame on them.
@user_784-d3m
@user_784-d3m 5 ай бұрын
Kwanza wakiwa alive ndo wajue uchungu WA kuzika mtoto ni kusema nini, wabinafsi watupu hawa MPs.
@alicejumaa89
@alicejumaa89 5 ай бұрын
Aibu ya mwaka wa 2024 ndio hii ya serikali ya Kenya😂😂😂 yaani mpaka watoto na vijana ndio wenye akili da mungu saidia
@Yahushuwa
@Yahushuwa 5 ай бұрын
No vote for you again Mr Yes. Yakishamwakigika hayazoleki
@naishoruamooke
@naishoruamooke 5 ай бұрын
Hakuna msamaha,mumetuzoe sana,Gen Z shika wao 😡😡😡😡😡😡
@eastermwaniki1297
@eastermwaniki1297 5 ай бұрын
They must pay......✊🏼✊🏼✊🏼✊🏼✊🏼
@Jurbeg
@Jurbeg 5 ай бұрын
Mumesha halibu nchi nakusababisha mauaji ndyo mnaanza kuomba msamaha pumbavu 😡😡😡
@MirriamNzembei-nx3bl
@MirriamNzembei-nx3bl 5 ай бұрын
Bona mlikosa kutusikiza tangia mwanzo? Baada ya wenzetu kufariki ndo mnajitokeza.!! Tunawatuma nyumbani nyote
@abdab8466
@abdab8466 5 ай бұрын
Imagine they insisting of voting 3 times yes ,really
@allfricinternational2672
@allfricinternational2672 5 ай бұрын
It is not yet over coz nothing they can do to make me forget. The only truth I know is that 2027 is very far
@achibelatotolakijaka4687
@achibelatotolakijaka4687 5 ай бұрын
After mumeshatulia watoto wetu hampatii Kura zetu tena plus huyo Ruto wenu
@faithwanja8840
@faithwanja8840 5 ай бұрын
Too late to say sorry
@venah-bitengo
@venah-bitengo 5 ай бұрын
Mfikirie sana kabla
@pkaroney6930
@pkaroney6930 5 ай бұрын
I like the methali 😂😂😂😂😂
@ronaldngatia7797
@ronaldngatia7797 5 ай бұрын
Ata wapige magotii atuwezii sahauu
@OmarDudaz
@OmarDudaz 5 ай бұрын
Apo kutaja raisi umekosea tena bado atujakusamehe akuna MTU ataingia bunge😅😅omba msamaha ww mwenyewe usitaje zakayo
@luciemaina8537
@luciemaina8537 5 ай бұрын
Mlisema na nani 😂😂
@mercyserem1821
@mercyserem1821 5 ай бұрын
Habibi, Mahsalkheri mwisho wa harusi ni matanga. Kimewaramba ,yes yenu tumebadilisha,yaitwa" Yesterday " Kumaanisha yameenda na mafuriko. Exit terminal kwaheri.
@markmunyiri5563
@markmunyiri5563 5 ай бұрын
Kusema kweli hii financial bill doesn't belong here
@kleafsimba3617
@kleafsimba3617 5 ай бұрын
Wakenya Bado wanaita awa watu mhesh! 😢
@felixmomanyi2615
@felixmomanyi2615 5 ай бұрын
Hawa wa yes waende home.
@JVal_1402
@JVal_1402 5 ай бұрын
Politicians are gimmick....the same way of hypocrisy
@agripinabukhala649
@agripinabukhala649 5 ай бұрын
Sio kamaa
@albertambila
@albertambila 5 ай бұрын
Nyinyi kazi menu kwisha Tunawangoja kwa uchaguzi
@wycliffechisaina1187
@wycliffechisaina1187 5 ай бұрын
waende kabisa hakuna cha kusemehewa
@SOMEKIKUKUNIGEOFFREY
@SOMEKIKUKUNIGEOFFREY 5 ай бұрын
Waa, adi leo anaongea sheng gai..
@kingsdm8473
@kingsdm8473 5 ай бұрын
We wont forget and no sit down
@ndiritu_nyakiago
@ndiritu_nyakiago 5 ай бұрын
we are not fools.Ata mpige magoti, We will never forget.wait for 2027.
Makali Ya Gen Z: Kizazi cha Gen Z chasimama kidete na kuikosoa serikali
29:11
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,6 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Mfanyabiashara adai kupokonywa kazi yake jijini Nairobi
3:00
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 43 М.
LIVE RECORDED SERVICE.
9:43:16
New Life TV KENYA
Рет қаралды 32 М.
5 Ways to Handle People Who  Don't Respect You | STOIC PHILOSOPHY
29:24
James The Stoic
Рет қаралды 791 М.
Wafungwa 3 waliotoroka gerezani Kamiti walitoroka kwa saa 96
3:59
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 557 М.
Gen-Z watoa orodha ya matakwa yao kwa serikali
3:53
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 122 М.