No video

VIPI HUKUMU YA KABURI LILILO PEMBEZONI MWA MSIKITI JE INAFAA KUSWALI MSIKITI HUO: SHEIKH ABUL FADHIL

  Рет қаралды 9,616

Elimu sahihi

Elimu sahihi

Күн бұрын

Пікірлер: 40
@abuusaalimalmasasiyyu9421
@abuusaalimalmasasiyyu9421 3 жыл бұрын
Allah amuhifadh sheikh Abul Fadhil
@amenakenya7993
@amenakenya7993 3 жыл бұрын
JazakAllah khairan sheikh Allah awaifadhi Allahuma.Amiyn
@OmarOmar-wx9zg
@OmarOmar-wx9zg 2 жыл бұрын
جزاك الله خير الجزاء
@hassan4k7
@hassan4k7 3 жыл бұрын
يا حُبِّي لَهُ ❤🌹⚘
@hadhirmaulid5302
@hadhirmaulid5302 2 жыл бұрын
Shukran sheikh kassim mafuta allah akuhifadhi wapo wengi bado hawajaelimika juu ya suala ilo
@allylassuh4947
@allylassuh4947 2 жыл бұрын
Hata mm nataka kujua jmn kaburi la mtume liko ndani ya mskiti jee inakuaje hapo jmn someni ilimu ni uwanja mpana sana ww kma umesoma hoja za flani zikakutosha bc jua na mwngine kasoma hoja za mwngine na zikamtosha kwaio ni kusoma tu na kuelewa ndo kunahitajika
@hamzasuleiman9605
@hamzasuleiman9605 2 жыл бұрын
Kasome kijana , wacha ushindani kwenye dini iliyokamilika
@SalehSaleh-re1ud
@SalehSaleh-re1ud Жыл бұрын
Mtume Sallallahu Alayhi Wasallam kazikwa kwenye Nyumba ya Bi Aisha Radhiallahu anha, Maulamaa walipinga upanuzi wa msikiti upande wa nyumba ya Bi Aisha lakini wafalme wa enzi hizo walilazimisha kwa sababu wazijuazo wenyewe kwa mabavu.
@allylassuh4947
@allylassuh4947 Жыл бұрын
@@SalehSaleh-re1ud hem nenda kaulize kaburi ya mtume iko wp jisemeshe iko kwa nyumba ya nana aisha hatukatai sote tunajua hivo lkn waeza kuenda utuoneshe hio sehem ni wp tuone kma nimskitini au porini au shambani acheni kupotosha wp bana iko wazi kaburi iko ndani ya mskiti acheni kuzunga maneno nendeni mkavunje maana hifai kuswal kwnye makaburi kwaio nendeni mukabunje huo mskiti polen sana kaka lazma ukwly tuuseme
@allylassuh4947
@allylassuh4947 Жыл бұрын
@@hamzasuleiman9605 asnt kwa ushaur lkn na ww pia nakusihi sana soma uache kupotoshwa au kupotosha watu kasome elimu hina mwsho
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
Kumswalia maiti maeneo ya makaburini ni sahihi?
@abuurauzwat1006
@abuurauzwat1006 Жыл бұрын
Jamaa anasema kila akickiliza darsa za huyu anazidi kupambanukiwa kwa Shekh Mafuta hamna kitu. Namjibu kwamba askilize za uyo babayake ili apate faita .
@allylassuh4947
@allylassuh4947 2 жыл бұрын
Kila nkiskiza darsa za shekh mafuta nazidi kuona hamna kitu
@evanceisdory4816
@evanceisdory4816 2 жыл бұрын
Umelazimishwa au
@mhrmahir3756
@mhrmahir3756 2 жыл бұрын
sasa wew huna akili vp utaona kitu
@allylassuh4947
@allylassuh4947 2 жыл бұрын
@@evanceisdory4816 ukiingia kwa youtube tu zinakuja so inabidi uskize uwajue wanadanganya vp watu
@allylassuh4947
@allylassuh4947 2 жыл бұрын
@@mhrmahir3756 ww mwnye akili nakuuliza jee mskiti wa mtume tukauvunje ama maana kaburi lake liko ndani haswaaaa kwaio mkiambiwa kwnza ulizeni maswali msiburuzwe kma wakristo cc dini yetu ipo wazi waweza kumuuliza shekh lolote ambalo huajelewa kwaio nipeni jibu mskiti wa mtume tukauvunje ama ni vp
@allylassuh4947
@allylassuh4947 2 жыл бұрын
@@mhrmahir3756 kisha naomba unitumie na mm video za hao mnaosema kwamba miskiti yao ina makaburi ndani mm cjawah kuiona hebu naomba mnitumie hio video na mm nione
@allylassuh4947
@allylassuh4947 2 жыл бұрын
Mskiti wa mtume nao tukauvunje bc au
@swalehemusakiluwa9405
@swalehemusakiluwa9405 2 жыл бұрын
Msikiti wa mtume kwani ulijengwa juu ya kaburi? Pili je mtume alizikwa msikitini ?fwatilia hayo huwezi kusema hivyo? Kingine mtume kashakataza hilo wewe fuata maamrisho ya mtume na acha makatazo na usitumiee makosa ya wengine kuhalalisha makosa yako
@tamimhemed3931
@tamimhemed3931 2 жыл бұрын
Tatizo watu hawasikilizi mawaiza mnamkosoa shekh bila dalili Na mwisho shekh amesema allaah aalam, allah ndo mjuzi hapo inatosha sasa kama wakosoa bila dalili we unamatatzo .
@maryamhaji5894
@maryamhaji5894 3 жыл бұрын
Sasa pale madina vp shekhe ? Katika msikt wa madina kuna kaburi la mtume naomba ufafanuzi
@hassan4k7
@hassan4k7 3 жыл бұрын
wanazuoni wamejibu hili , ibn Uthaymeen kajibu hili katika kitabu cha القول المفيد شرح كتاب التوحيد
@elimusahihi
@elimusahihi 3 жыл бұрын
Ufafanuzi wake nitaweka kesho in Shaa Allah
@ramadhan_mpinge
@ramadhan_mpinge 3 жыл бұрын
@@hassan4k7 nadhani akipewa link ya video itakuwa bora zaidi..ama kumtajia kitabu sidhani kama itamsaidia
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
@@elimusahihi ufafanuzi ushatolewa?
@ummyukasha5755
@ummyukasha5755 3 жыл бұрын
Vp makabur yakiwa mbele ya nyumba nako ndio kibla
@shaibuselemani2135
@shaibuselemani2135 Жыл бұрын
Hiyo ni nyumba yako sio msikiti
@nassorbinfundi1196
@nassorbinfundi1196 3 жыл бұрын
Nyie hamuweki picha live kwann mwaweka picha ya kabur niwarongo ninyi salad feki hasaa
@abuuaiman9575
@abuuaiman9575 2 жыл бұрын
kama sis salafi feki taja nani kwa sasa salafi ambao sio feki
@user-ql2om7qj3v
@user-ql2om7qj3v 2 жыл бұрын
Wewe hata kuandika hujuwi zuzu kasome mwanzo
Yum 😋 cotton candy 🍭
00:18
Nadir Show
Рет қаралды 7 МЛН
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 17 МЛН
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 17 МЛН
白天使选错惹黑天使生气。#天使 #小丑女
00:31
天使夫妇
Рет қаралды 14 МЛН
Uhalali Wa Kuswali Katika Misikiti Yenye makaburi1.mp4
36:13
Ahlusunnah Wal-Jama'a
Рет қаралды 5 М.
JE, YAFAA KUSWALI MSIKITI WENYE MAKABURI?    SHEIKH SHARIF ABDULQADIR  AL- AHDAL
6:18
HAYATUL IIMAAN MAISHA YA KIIMANI
Рет қаралды 1,6 М.
FATWA | Je! Inafaa kulijengea Kaburi kama tunavyoona baadhi ya Makaburi yaliyojengewa?
5:41
QURAAN MUJARABU KUTOKA KWA MWANAFUNZI WA SHK, QASSIM MAFUTA
7:49
ABDALLAH HUD - HUD (salafiy)
Рет қаралды 7 М.
Yum 😋 cotton candy 🍭
00:18
Nadir Show
Рет қаралды 7 МЛН