One day I will visit sonko office,Sonko never disappoint by supporting talents,good work brother Erico let's support our own willy Paul.
@Sipatipa3 сағат бұрын
2 mbili ame kaushwa na Sonko
@مينينميميويويويКүн бұрын
Kwa kweli sikuhis unajituma wacha Mungu akufungulie njia aki ufikie ndoto yako
@jennifermusa353Күн бұрын
Siku hizo unajituma Sana..wow
@salvationministry230421 сағат бұрын
2mbili amedatwa hi five na sonko😂😂
@proliittКүн бұрын
mkini support walai
@elishakurgat919323 сағат бұрын
1:39 Ni venye tu sina lawyer 😂😅anyways pole 2mbili
@FrancTech_AcademicWriters22 сағат бұрын
😂😂😂
@RKBro-jr1ts12 сағат бұрын
😂😂😂
@YOLO-tf2zv10 сағат бұрын
chop rice chop rice
@esikingamrperfume199721 сағат бұрын
Wasani wetu tunawapenda sana ila wenyewe pride na ego iko juu ,branding Yao bado from clothing to cars showbizwise bado,they need to be serious
@donricky85019 сағат бұрын
This is too personal
@bedicaambani474115 сағат бұрын
Nice Golden office ....Wealth unlimited even though source ndio bado tunajiuliza na hatupati jibu Wale watu wako na escalade kenya Ni sonko na Prophet Owuor
@SmilingBanyanTree-wj3ek15 сағат бұрын
Let support our own to bring back kenya music
@AlfosoJakufuКүн бұрын
Tiko 2mbili c ucheze na sonkoreee
@AbigaelMisigo-id5cm23 сағат бұрын
Mzitoree wa mabling'ree.Sonkoree mwenyewe🎉🎉🎉🎉🎉
@emorutnicholas189316 сағат бұрын
Hongera 2mbili🥰
@BoilingPointKE5 сағат бұрын
Hio salamu ya mwisho surely 🤣🤣
@felixmachimbo9097 сағат бұрын
Tena amefunga kitambaa kama ya diamond...alafu anatuambia tu support Kenyan wakati anapromote diamond
@blessedknjugush1983Күн бұрын
sonko na babu 2027..wanaingia asubuhi
@omarilameck849321 сағат бұрын
Sasa hapa ndo tunataka cassy pool angekuja kusaidia market 😂😂😂 lkn yeye yuko mombasa na diamond 😂
@derek_leemikeКүн бұрын
mr 2mbili vipi vipi bro
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA10 сағат бұрын
Huyu msanii atunge nyimbo nzuri aaache kutembelea matajiri na kuomba hela yeye sio chawa
@tekmoofficialКүн бұрын
Nguo hio yajuu alivaa furaha festival anarudia nguo
@eyeshezzyКүн бұрын
Hao madancers 40 walimaliza budget msamehe
@rankinbazu705422 сағат бұрын
Si ni yake hata akiirudia? Mko na upuzi sana.
@rankinbazu705422 сағат бұрын
Nguo ni yake hata akirudia mara Mia.
@millykezy952921 сағат бұрын
Uko na akili nyingine ama ni hii tu?
@carrasco41621 сағат бұрын
Nobody will understand you but naelewa. Hafai kurudia ile inaonekana. Inachoma
@SOGCOMEDYTV32 минут бұрын
Hatari
@carrasco41621 сағат бұрын
Wacha kudrag Kenyan for Kenyan here man. Hizo sympathy cards peleka huko. Uza gari ama kopa pesa tafuta rema ama mtu mwingine mkubwa piga collabo na yeye. Weka mziki mzuri jibrand bana. Tunaka hit after hit. Collabo hata na rudeboy alikua ug juzi .
@NgasaMaduhu20 сағат бұрын
Wasanii wakubwa wengi wanaangalia influence na brand yako,sasa poze hana influence wala brand ya kumshawishi rudeboy wafanye kazi. Na hata si unaona anatembea akiomba omba,this is bad for his brand sasa Nani atampa ata endorsement na show Yake tu mpaka aombe watu waje,kuna vitu kama msanii utakiwi kufanya
@paulmuchiri8681Күн бұрын
Kuna swali
@KENNEDYBlack50centtКүн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@biutamusic127718 сағат бұрын
willy pozze jameni wewe ni msanii unataka kwenda next level branding ndo itakutoa. kurudia nguo in a public apearance ni ku haribu brand💔💔😣😣😣. Tafuta deal ata na fashion house ya kuuza ma cladi yawa🤦🏿♂️ market them as they style you. Nani huadvice huyu jamaa jameni😅😅 kulia haiwezi kupeleka next level!????
@EssyMobisa16 сағат бұрын
True
@NgasaMaduhu13 сағат бұрын
Nilijinga linataka wepesi kutumia sympathy kwa fans😂😂😂😂😂
@ngowibeatrice170113 сағат бұрын
Arafu anashindana na mondi
@NgasaMaduhu13 сағат бұрын
@ngowibeatrice1701 ni mjinga anhisi mondi ni levels za kujipendekeza kwa matajiri something he did 10 years ago 😂😂😂😂😂
Si poze ndio hucopy diamond..tena amefunga kitambaa kama ya diamond
@svt321 сағат бұрын
Sasa huu ni Will pozee hii ndio ku ji brand au ndio ku ji market ? Ni hivi njoo utashindana na Diamond kweli😂😂😂😂
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA10 сағат бұрын
Sijui mshauri wake ni nani ??? Shameful artist
@JackObonyo-ch3qv3 сағат бұрын
Si kushindana na diamond ata yy ni msani tunamtambwa kabisa
@SoctetzSocretz-y8g20 сағат бұрын
20k kwa nyimbo zipi🤣🤣🤣
@lee8172118 сағат бұрын
Wewe unajua kuimba ama ni kuropoka tu kwa mtandao
@SoctetzSocretz-y8g17 сағат бұрын
kwa mziki upi?huo wa 20k ķwa msani huyo.kenya kuna wasanìi bora wakupeleka mziki mbele sio huyo
@Zainab-f9w5x15 сағат бұрын
Mwanzo wa uchawi ni roho mbaya
@NgasaMaduhu13 сағат бұрын
@@Zainab-f9w5xkusema ukweli sio roho mbaya huyu paulina ni fala kama wewe tu.
@steezymarafikiofficials32120 сағат бұрын
Iyo Ni siku ya Kenya how??? just asking how will Pozzee's show change Kenya Industry when it's just his show ., Pozzee afanye Collabo za maana Na Kina Davido , Na atie bidiii...This show is of his own business,his money and all, inasaidiaje Kenya music industry ... ???
@NgasaMaduhu20 сағат бұрын
We Acha bana Davido sio mjinga hivyo,stop disrespecting him😂😂😂
@spaxgenius19 сағат бұрын
Buda hizi click bait zako huwa uwongo tupu. MULTI BILLION ni shopping mall kama garden city or two rivers. The new Runda mall in Kiambu Road is 800 million alafu unachocha hii ofisi ni multi billion kwanini?