😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Naipenda hiyo combination ya Steve na Ndaro😂😂 Humu Kenya hatuachi kucheka😂😂😂😂😂
@JoshuaTajeu-xs9fv10 ай бұрын
Kusema kweli hawa jamaa wawili Huifanya video kuwa yenye ladha ONE LOVE FOREVER❤❤😂😂
@Damagemweusi27410 ай бұрын
Kumekucha jamani Kama wewe ni shabiki wa ndaro na Steve angusha like yako hapa
@makawan_Bway547810 ай бұрын
Huyu jamaa anaeongea na demu Anatema point mtupuu 🙌🙌🙌
@rehema-lg5cl10 ай бұрын
Ndio mana nampenda mbwela
@user-fl4yl7jb2y10 ай бұрын
Vp
@lilianalmas591110 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣😂 Ndarooo na Steve mweusi 🙌🏼❤️❤️❤️
@EliasJohn-lc8nu10 ай бұрын
Ndaro na Steve big combination kama na wewe unawakubali twende pamoja
@josephsimba300710 ай бұрын
Ndaro na steve ni wauni sana❤❤❤❤😂😂😂😂
@johnsoka723910 ай бұрын
Nawakubali sana .... unyamaaa sana😂
@yoyokass10 ай бұрын
Nameipenda hiyo fatuma wewe😂😂😂😂😂
@DuncanMunyoki-lx7wz10 ай бұрын
Napenda combination yenu❤❤❤
@dickaugustino823810 ай бұрын
Hilo cheko la Steve mwishoni 😂😂😂❤
@jimmybiragidedieu392210 ай бұрын
Napenda huyu Steve sana kabisa, nitajiskia raha sikumoja Niki kutanana nae katika maisha yangu, ça sera parmi mes jours heureux
@francismuthiani34910 ай бұрын
Kali ya mwaka one love from Kenya 🇰🇪.
@shebyjongo864610 ай бұрын
Jamaa yuko on point kabisa😢
@Samson-cf8xg10 ай бұрын
wangapi wanapenda Stevu akilitaja Jina fatuma 😂😂😂😂😂😂
@rich.kizza1010 ай бұрын
mjinga sana😂
@WetchiKhams10 ай бұрын
😆😆😆 mungu awajaliye mema hapa duniani na kesho ya khera 🙏🙏 nawapenda saana Steve na ndaro🖤♥️😟🥺
@user-peter13810 ай бұрын
Daaaah! Jamaaaa anapoit😅😅😅😅
@dizwavoko_tz10 ай бұрын
Fatuma wewe 😘ontrend😂😂😂😂😂
@dukeonchiri503710 ай бұрын
Ndoa bila pesa si ndoa. Wadada mtatuua. Kenya tuna shida kama Tanzania.
@MuhoroWaManchester.3 ай бұрын
Kenya wapi? Shenzi
@jacklineyaa71710 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Steve umeona muite ndaro fatuma Tena unaongeza kiss juu Aki waniua 😅😅😅😅😅😅😅
@ImmaThelonewolf-bk2cx10 ай бұрын
Mwamba amenikumbusha mbali sana mapenzi yaliponiswaga kama ling'ombe na demu alikuwa anajibu hivi hivi baada ya muda alikuja kuomba msamaha dah mapenzi na umaskini ni noma
@edwardtrigga5701Ай бұрын
Na ulivyo ukamkubali
@isayaochuoga85489 ай бұрын
Hapo mmecheza poa sana sana ,, Inafunzo sana nimepongeza,, From Kisumu Kenya
@vivaanvance10 ай бұрын
Fatuma ww mwaaa🤣🤣
@user-samweli10 ай бұрын
Huyu jamaa ana penda sana kulia 😢
@johnrambo96428 ай бұрын
Bab veep hujui kulia ni kipaji wee pewa hata milion hapo uone unaweza kulia bila sababu
@memsiigaufe922510 ай бұрын
😂😂😂😂ndaro bana🇧🇮
@user-kw3sn4pg3x10 ай бұрын
Steve anatak apew nafas waende wawili 😢😂😂
@eustacheelia10 ай бұрын
Nice 😂😂😂😂
@QECGroup-pf8ys10 ай бұрын
Hio busu la fatuma nani kamfunza mwehu steve😂😂😂
@makawan_Bway547810 ай бұрын
Fatuma Wewe na Kiss juu😂😂😂😂😂
@fredyjohn808610 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂kweli mapenzi bila pesa wachache sanaaa watakuamini but pesa muhimu
@aldomtate57510 ай бұрын
Jamaa naye analia kabsa,mpaka huruma
@Low_bills10 ай бұрын
@@aldomtate575jamaa anajua kuact kulia had huruma😢😂😂😂😂😂
@rajabushedafa639710 ай бұрын
Stivu mwehuuu😂😂😂😂
@user-eh2jz8rw3o10 ай бұрын
Good job steve mozes afu nafurahi kuigiza na mbwla
@user-jz8ir6mh5m10 ай бұрын
Wanawake wa ivi honyo sana unamsaidia ikikwama siku moja anakuacha kwenye Natasha, akitendwa uko ndo anakukumbuka sasa😢😢
@muhammadjamady-zx1jy10 ай бұрын
Steve amie siti ya nyumaaa 😂😂😂
@lilinalamri764310 ай бұрын
😂😂😂😂 napenda vituko za Stive na ndaro👏👏
@user-fs7hl6vg2p10 ай бұрын
Umetishaass mwamba steeeeeeveeeee
@alicenjeri4210 ай бұрын
Uyu mrembo ❤c kubali kaka yangu tuwe jamii nyuma Safi sana
@AdamZainab-mb7qj3 сағат бұрын
Yaan ndaro na stev nikiw na mawazo nikiwaangalia tu mawazo yote yaisha jamn😅😅
@user-bn7hg6on5m10 ай бұрын
Omg ma_homeboy Talented guys
@GhislainNyakasane-sb9tl10 ай бұрын
Nawapenda
@NyagahKolloh-zu2ng10 ай бұрын
Fatuma wewe 😂😂😂
@josephathashimu721710 ай бұрын
Wakwanzaa😂😂😂
@josephathashimu721710 ай бұрын
Kbs
@gun60jgt4010 ай бұрын
Huyu jamaa wa husina anajua sana
@GoodluckMakwata-qe5pk8 ай бұрын
Hongereni
@elwinmlaponi10848 ай бұрын
Jehovah wa milima😂😂😂😂😂
@gloirekiza527610 ай бұрын
Amadi kijicho ayuko tena
@user-pc7br3tn7b10 ай бұрын
Wa kwanza ni mm sema siku comment kitu
@user-pc7br3tn7b10 ай бұрын
Me nataka kuigiza bhn naon nina ki2 nta fika mbali au mnani shaurije
@user-yh7dc6tx4x10 ай бұрын
Ndaro wew ni mwamba nakuamin sana bro one ❤❤❤❤ forever
@gyavirakaijage137010 ай бұрын
Big up wakuu
@Ahmedsalimu-p6v10 ай бұрын
Jehova😂 wa milima na mabonde
@StevenBosco-yz4bw10 ай бұрын
Nawakubl sana
@RashadiMbutule10 ай бұрын
Oyaaaa steven nisalimie hamad kijicho😂😂😂😂😂😂😂😂
@inviolatahnyakoa616710 ай бұрын
Ila Steve mchokozi 😂😂😂
@fredrickmulatya840410 ай бұрын
Steve & the company, you are doing quite great works. Kenyans are seriously following. Hajra et al. are a great blend
@gun60jgt4010 ай бұрын
Mbwela 🔥
@chemicaliealvadon766910 ай бұрын
Kipaji kikuzwe na kutunzwa, sapoti kutoka Kisii, Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@lilchampion196010 ай бұрын
Bia mm mkisii babu
@elisantokalinga122210 ай бұрын
Mbwela anajua sanaa
@hillarymure53010 ай бұрын
Kisii pia bro
@sircaptainbonny10 ай бұрын
Mkisii ni mkisii😂
@ericmangera46510 ай бұрын
Pia mimi kutoka kisii,kumbe tuko wengi😅😅😅
@chidzodunda10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Hajra umrembo mashallah 😍 ❤❤❤❤
@user-nh6cm9ic1i10 ай бұрын
Nakupenda San komedi Zak naitaji kufanya nae kazi
@simonlucas983910 ай бұрын
Mwanamke konyo sana aiseee jamaa nimemhurumia san aisee 🙁
@benedictinelusambo06910 ай бұрын
Et hajasubili papoe😂😂😂😂
@Low_bills10 ай бұрын
😂😂😂😂... Tutafte hela wanangu 😂😂😂
@timohtheejunior241410 ай бұрын
Fatuma wewe 🤣🤣
@Renatusskills10 ай бұрын
Noma san
@manajr915510 ай бұрын
😂😂😂😂
@yunisabdi335410 ай бұрын
Mbona walalamika oyaa 😂😂
@GriphineJonesGriphine10 ай бұрын
Eeeeh wanangu kazi 5ty
@abudulingasa64138 ай бұрын
Ila nyie jamaa bana mnaweza sana asee
@chikaleyangwe220010 ай бұрын
Hii imeenda
@allymukhsin29626 ай бұрын
Ila steve ganzi sana bro 😂😂😂😂😂
@alexHussein-sy3br10 ай бұрын
Ngoma Kali
@Elias1308310 ай бұрын
Steve😂😂😂
@EldanielEnida44910 ай бұрын
kitu kizuri sana kutoka kwa ndaro na Steven ni atari
@moemaseti47910 ай бұрын
Wa Kwanzaa naombaa like zanguu😂
@samielvutsipa5210 ай бұрын
C'est nous le congole nous sommes là avec vous
@AntonyBenson-rg7jz10 ай бұрын
Okay
@fredrickodumo545910 ай бұрын
Nice,enjoyed
@rabanmsumbwamwendokasi5976 ай бұрын
We ndro wew huyo dem wawp mbna anapenda gari sitv muombee ndro naumuonekamawewe nimwanaume 😂😂😂😂rakini hapo unabk😂😂😂😂t
@NdanuValeria-bu1xr10 ай бұрын
Oooh my brother be strong you will get ur type who will love u for who you're not money but which is inside you
@mkombozierick782810 ай бұрын
Tutafute maokoto wanaumeeeee!! fatuma ww
@saumodzumbo967110 ай бұрын
😂😂😂
@SankaEmanueli-bz8cr10 ай бұрын
Eti nioshe 😂😂😂
@Sagevali9 ай бұрын
Jamaa huyo Mbwela ameongea Kwa hisia Kali sana. Km vile kweli
@thomasdimme78993 ай бұрын
No money and gar no love😂
@youngweezy384610 ай бұрын
Axa mbona Stiven leo umemuharibia mwanao ivo😅
@Saidfela10 ай бұрын
😂😊
@mussamageme27488 ай бұрын
Steve my bro kwa kipaji chako nakuandikia LTD huna mpinzan na huez drop kweny uchekeshaj 🌿🌿🌿