Bhailam talented ,,,,, this man so talented yaani kila sehemu anayokaa anavaa uhusika mwenyezimungu hakuongoze niseme tu ukweli alipo bhailam nipo steve big up and ndaro tile tuleteeni huyu mwamba kila siku😅😅😅😅
@MeshackMaganga-ij8tz2 ай бұрын
Xxx porno films
@afrimafrank6 ай бұрын
Napenda kazi yako sana Steve. All the way from Kenyan music 🎶 industry.
@AdamErryasiDaxDax3 ай бұрын
Ugithhgig
@JustinBonaneharerimana-zg1td6 ай бұрын
Mara nyingine stiven tutakuchukiya Sisi mashabiki zako !yaani tuna itaji série yetu mamangu kichaa seson2 sisi shabiki zako toka Congo 🇨🇩
@saumbliz89836 ай бұрын
Wewe mchukie pekeako usieke na wengine bhana sisi hatutawai mchukia
@Jurbeg6 ай бұрын
🥰👍👍👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@KIB-JSANLEY6 ай бұрын
🇨🇩congo goma bunagana vita😂😂😂like
@davidbisimwa-hw2um6 ай бұрын
🎉🎉❤
@alfredtebeka24976 ай бұрын
Mchukiye wewe na familia yako, kama unàitaka mfwate huko TZ ukaitizame nyumbani kwake
@Nenga_Tz6 ай бұрын
From burundi please hata like tano 2 ❤❤❤
@arnold_victor6 ай бұрын
Ndugu yake Hamadi kijicho😀jamani @steve mweusi nakukubali mwamba mambo yako unyama unyama tu🔥🇰🇪well represented🤗
@Heis_Chudo_boy6 ай бұрын
Ila Steve 😂😂 wakwanz naomba like zangu niende nazo nyumbani sitaki kuacha hata like mojaa 😂😂😂😂
@JannatShemboza6 ай бұрын
Mshamba nn upewe like we ndo unaigiza
@Monw7676 ай бұрын
.
@Alifudevi6 ай бұрын
😊 @@JannatShemboza
@Alifudevi6 ай бұрын
😊
@AbdhallaMwachikaya6 ай бұрын
Happy ndipo
@TaboraTalentCenterTTC6 ай бұрын
Kwakwel nawakubali sana kwetu sisi tunawatumia kama kioo. Mnawezaaa sana
@BalakaYohana-cw3di6 ай бұрын
Dah makonda mnamajibu ety mweusi kama pua ya mbwa duh😂😂😂😂😂😂😂😂
@mariaphilipo6 ай бұрын
😂😂😂
@WizzPo-u1v5 ай бұрын
Nimecheka asse😅😅😅
@nicrashumemeartist52356 ай бұрын
Safi sana kaka, zidi kuifanya Comedy kuwa viral in Tanzania.
@khamismsoma86986 ай бұрын
bairam nafac unaitendea haki cjui uliwah kuwa konda😂😂
@MayondJohn5 ай бұрын
Jamani sisi wa2 wa kigoma ni hatali sana kwamaana huku wasaniii ndio wanapo toka weng🎉🎉🎉🎉🎉
@alwyjaro7016 ай бұрын
Wa kwanza hapaa leo😂😂😂
@Mlwilo_tz5 ай бұрын
Sana bro Steve mweusi umetisha by king mlwilo
@EpidordMahovu6 ай бұрын
Nakukubali San Nikiwa Louisville Kentucky 🇺🇸
@MkasyswallehsaidSwalleh5 ай бұрын
Bhailam ududu ni mwingi,Steve mwna kulifind mwana kuliget 😂😂😂😂
@TantineZuzu6 ай бұрын
Ila Steven mimi kanimaliza mbavu zangu 😂😂😂😂😂😂❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@HappyMtondiАй бұрын
Steve mweusi na Ndalo nimewakubali sana 😂💓❤😄 Kwenye Cheka Plus 😂
@hamisisalim6 ай бұрын
Steve we mkali wao wallah Mungu azidi kuweka
@LysonMshan-kf7rg6 ай бұрын
mwambaa Steve mweusi am following Yu from malawi
@jankejugen6 ай бұрын
Nakubal sana wajomba mnauwa by jugen Jr
@daimaphonesaccessories2676 ай бұрын
Kofi limempata vizuri😂
@Monw7676 ай бұрын
.
@TufaaKhamisАй бұрын
Kazi unaiweza kaka unakipiji bhailam
@Sidney-h8t4 ай бұрын
Bado tu amujatowa série la baba yangu mulemavu shabiki Yako kutoka 🇨🇩🇨🇩
@UseniRama-f8e6 ай бұрын
Steven Sisi mashabiki kutoka congo tunapenda mwanafunzi mtukutu ❤🇨🇩
@Sadamu_mnyavi6 ай бұрын
Mimi wa mwisho nipeni like zangu😂
@BlackAmerican96 ай бұрын
Wa pili kutowa comment I'm coming from the United States of America
@ScoviaAkinyi-w4gАй бұрын
😅😅😢😢😢😂❤ stivu mweusi hua una nibamba mbaya hua una act vizuri nina penda movie zako
@athumanmgissasimbadamu33166 ай бұрын
Steve Kama Steve 😀😀😀😀😀
@HassankadashKadash6 ай бұрын
Mambo vp😊
@MrRamaFrederick6 ай бұрын
Mr rama❤❤❤
@daudtuye1662 ай бұрын
Kazi nzuri mnajuwa kuzitumia nafasi zenu
@KhadejaRajab-x9z5 ай бұрын
Steve chili sana mwanangu unataka mgawane😂😂😂😂
@NelsonManase6 ай бұрын
Steve nakubli san chemistry yenu wew na tundaro
@MurungiJaphet6 ай бұрын
Hongera bro Steve am from Meru Kenya ur big fun ever
@EvodiaDominic6 ай бұрын
Hahaaa hii chuma yaani Bhailam, ndaro, stive, baba joan, majembe yote ndani
@FredrickGodfrey5 ай бұрын
Kwani kuna ambao bado mnahitazama saizi like hapa
@DaudSimioni3 ай бұрын
Steve nakukubal sana by advent❤❤❤❤❤❤❤😂😂
@DavisoniFrugencerj-ki9tg6 ай бұрын
Wa Kwanza leo🎉
@RayaRashid-qc8cn6 ай бұрын
😂😂😂😂 hata nikiwa na mawazo nikiangalia vi2ko vyenu nasahau kabisaaaaa, mawazo yote yanapotea
@mpjozzegalvanize49266 ай бұрын
Steve ushafany uungwana😂😂
@NyobiOfficial6 ай бұрын
Umetisha kaka
@AbdulnasriHamisi6 ай бұрын
Bailam ww ulishawah kuwa konda kwel dah umetisha😂😂😂😂
@HilarioCosta-up6kc6 ай бұрын
❤🎉 kazi chema
@ezramnyilinga37356 ай бұрын
wa nne hapewi like jaman 😂
@Jurbeg6 ай бұрын
Unapewa ila jitahidi kuwa wakwanza 😂😂😂😂👍👍👍🥰
@bongoswahilimax6 ай бұрын
Kazi nzuri 😂😂
@Joyceimma2 ай бұрын
Mweus kama pua ya mbwaaaa😅😅😅😅😅😊
@OmaryYusuph-be2pg6 ай бұрын
Sasa steve mwanamke mwenye mtoto na mwamba na ww unataka hela 😂😂😂😂😂😂
@shabsoomary25146 ай бұрын
Mpe hi my primary classmate namnyaki 😂😂😂😂
@LemaNdatuya-rx9dk6 ай бұрын
Namnyak ni yupi nimfikishie salamu
@UdakuOnline6 ай бұрын
Steve anapisha vibaka😂😂😂😂😂
@Patrick_t896 ай бұрын
Wa kwanza Leo 🎉
@Kisholongakisalya6 ай бұрын
Team mweusi 2juane all the way from somalia
@alyerungaantoinnet78516 ай бұрын
Good 🎉🎉🎉🎉🎉🎉from 🇺🇸🇨🇩
@IRFAN-je4dd6 ай бұрын
Mnapopiga video na bhailam lazima muingie kwenye trending
@FootballSkillssoccer-uu4vh6 ай бұрын
From Kenya like zangu jamani🎉
@samwelikomba58256 ай бұрын
Seeeeee Steve nomaaaaaaaaa😊😊😊😊😊😊😊
@marwagabrielmwita49476 ай бұрын
Waigizaji karibu wote tz ...... napenda sana huu ushirikiano
@lilinalamri76436 ай бұрын
Munipe za ndaro na bailamu😂😂😂
@AmosJacksonJackson6 ай бұрын
Ndaro umetisha mkuu
@ButoyiThierryve6 ай бұрын
Wakwaxa jamani nipeni lik natoka 🇧🇮
@damagemweusi4 ай бұрын
Eti Steve kasimamia mmama..hebu nipeni like ya upendo
@HARRISONKAMBI-ub4od3 ай бұрын
Twakubali mambo yako uku kenya Steven mweusi pamoja na Ndoro kikofia
@senzotv11046 ай бұрын
Ila ndarooo😂 +Steve akili hmna😂😂
@Vichekesho26 ай бұрын
Nikipata subscribe 10000 hapa nitawaimbia nyimbo mbili za kichina na kisingeli Cha kiblazil
@Mingler_Skimmer4 ай бұрын
7:01 vitabu gani vimeandika 'tutakula tukipata tukikosa tutalala' 😂
@ezekiachuvaka90726 ай бұрын
😂😂😂 Steve anapenda mteremko
@hawanelson47842 ай бұрын
Kikiki😅😅😅😅😅 Steve akilizako unazijua mwenyewe
@MargretSanat6 ай бұрын
Steve 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ushafanya ungwana
@asiasalim93236 ай бұрын
Mpo vizuri ❤❤
@isano2Tv6 ай бұрын
good video❤❤❤❤❤❤
@EliaMwasambulika6 ай бұрын
😢
@RuhuneKabose6 ай бұрын
Steve unachenza vizuri sana unajuwa
@zarafimnyamafitv6 ай бұрын
no 5 on trending❤❤
@AngelGreyson5 ай бұрын
😅😂😂🤣🤣 nishafanya uungwana tial❤
@DonardJackson-kw1ep5 ай бұрын
Dayoo
@DonardJackson-kw1ep5 ай бұрын
Dayoo ❤❤❤❤❤❤❤❤ 4:51
@Rich_boy-u5q6 ай бұрын
Wakwanza Rich❤
@HasaaniShabani6 ай бұрын
Very nice 👍
@OfficialOredi_Mweusi206 ай бұрын
Unyama mwingi sana 😂😂❤♥️♥️
@IsackMihindi5 ай бұрын
Ndaro na steve wananifurahisha kweli
@stephenyogo93266 ай бұрын
😂😂😂Steve mweusi na ndaro, huwa mnabipea furaha, wapi dogo sele jamani
@KinonoIsaac3 ай бұрын
Umbwa Steve nimeacha kulala😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@PhilipNzara5 ай бұрын
Nimeipenda hiyooooooo
@robyrobert89465 ай бұрын
Mweusi kama pua ya mbwa😅😅😅
@starlonejadamskp82242 ай бұрын
😂😂😂 sana Stive
@zainabufaidhi47996 ай бұрын
Mbona hamtoi mama yangu kichaa
@Josamjosam86 ай бұрын
Steve we ni mweu ety nishafanya uungwana na mimi
@Andreamyala-ht9ef6 ай бұрын
Kwamala ya kwanza naona ndaro anmpiga kibao steve
@_Wayiva_mukuta_jean6 ай бұрын
Steve bahati ya mzanko usi ilalie mulango wazi😂😂😂🇨🇩