Hello. Video nzuri ingawa nadhani ingekuwa vizur zaidi kama ungeelezea kiungo gani kinatumika vipi kwenye chakula gani.
@nailamzee43913 ай бұрын
Kwel kabisa
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Mashallah tabaraka llah 🥰 we dasa i love you too 🥺❤❤❤❤❤❤
@dianankya45922 жыл бұрын
Asante sana dada nimejifunza mengi kwako na pia nataka kujua hiki kiungo hajira Moto kinatumika kwenye vyakula aina gani
@martinhenjewele25422 жыл бұрын
. 5
@gracesteven70782 жыл бұрын
Asante mpnz Napenda kujua zaidi kuhusu kiungo cha paprika
@azizarajab56562 жыл бұрын
Paprika ni Hoho nyekundu ambayo imebanikwa kwenye moto kesha ikakaushwa
@witnessrobert26262 жыл бұрын
I real needed this 😍😍 your the best 🙌🏽🙌🏽
@michaelsamsoni81472 жыл бұрын
Gud spays
@saumukasembe89212 жыл бұрын
Asante dada nimependa ila sijaelewa uwatu unatumika kweny vyakula vya aina gani
@LisaJilala Жыл бұрын
Uwatu unafanua kazi gani au itumikaje ktk chakula?
@laylatabdallah27962 жыл бұрын
Umesahau clove🤪🤗
@saadahemedsaid32662 жыл бұрын
Bay leaves sio majani ya mbei ni majani ya mdalasini.
@mildredoandah9342 Жыл бұрын
Thanks for sharing this.
@azizarajab56562 жыл бұрын
Giligilani ni corriender Kwa kizungu
@Anthony-Maduhu8 ай бұрын
Viungo vya Tropical Heat naweza pata wapi
@GeraldMasalamnda Жыл бұрын
Natamani huelezee kilakiungo kinafaida gani kwenye chakula hicho
@hawaramadhani40662 жыл бұрын
Mashallah nimefurahi mno
@asteriamisanga87942 жыл бұрын
Naomba video mpenz
@christinakamwela23739 ай бұрын
Turmeric kwenye ulembo inatumikaje
@mwakanyamaleJoseph-bu8voАй бұрын
Paprika ni hoho nyekundu zilizokaushwa
@Steshusteshu2 ай бұрын
Una kiungo kinachoitwa lagrille
@nailamzee43913 ай бұрын
Madam sorry tufunze izo spice zinatumika kwa chakula gan na gan kama iv yan
@jackieyjoe42 жыл бұрын
Hutumii carrypowder mamy???
@agneslazaro9295 Жыл бұрын
Dada samahani Naomba Namba yako
@alfredjoseph10152 жыл бұрын
Unapatikana wapi dada
@jennyjen152 жыл бұрын
Umenichanua thanks
@HafsaHillaryАй бұрын
ninahitaji matumizi ya cumin
@fenekaduguda2 жыл бұрын
Huwa unavipata wapi mpenz, please share mahali unaponunu mfano super market flan....hasa vivyo viungo kama oregano, bay leaves (vile adimu kupatikana kwenye maduka na masoko yetu ya kawaida)
@rachelmihambo85092 жыл бұрын
Soko la kisutu , Dar es salaam
@Ukweliwadunia2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/r3Snan6ep62cfrM ''jinsi ya kubana uke'' njoo ujifunze
@mwakanyamaleJoseph-bu8voАй бұрын
supermarket pia unaweza pata
@romanachuwa45752 жыл бұрын
Uwatu inatumika je?
@mohammedvillah23932 жыл бұрын
Asante saana dada
@Moudgram2 жыл бұрын
Asante sana dada
@bintmohamed41365 ай бұрын
Uwatu unatukima kweny Nini, pamoja na Nazi kavu pls
@fatuhashim1571 Жыл бұрын
Nataka napataje
@adah45812 ай бұрын
Paprika ni hoho kavu
@jaquiebisimwa76772 жыл бұрын
Shikamo maman naomba namba yako ili nikupigiye tu weze kuwasiliyana vizuri
@lucyfelix6440 Жыл бұрын
Naomba mawasiliano yako plss
@fooddiarytz2 жыл бұрын
Nice 👌
@francinekasongo19752 жыл бұрын
Hi dada vipi kuhusu aromat
@renatusblandes1131 Жыл бұрын
Paprika inapatikana Wap Tz
@linahsabaspaul47292 жыл бұрын
Asante dada, Naomba niambie hichi kiungo Cha UWATU kinatumika kwenye chakula GANI???
@SubehaseifMasoud4 ай бұрын
Nahitaji hivi viungo napataje
@Zulfahamisi-wn4ig6 ай бұрын
Uwatu unatumika kwenye chakulagani
@loitengia42172 жыл бұрын
Paprika ni unga wa hoho nyekundu
@neemamariki65872 жыл бұрын
Hello vip kuhusu paprika na viungo vingine
@fatumaabdallah96752 жыл бұрын
Paprika ni ya kutia kwa mchuzi au nyama ni kama rangi tu inafanya mchuzi uwe mwekundu afu kama yawasha kwa mbali
@brendaally59262 жыл бұрын
Asante sana my dr
@naimajuma60022 жыл бұрын
tuoneshee na radha za juisi yani ambazo ukitia kwenye juis juis inakuwa na testa nzur na tam pia nakuomba
@Ukweliwadunia2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/r3Snan6ep62cfrM ''jinsi ya kubana uke'' njoo ujifunze
@deograciakashaigili59732 жыл бұрын
Karafuu na tangawizi sijaisikia ukivitaja
@aminaomary93472 жыл бұрын
Mashallah nimefurahi kujuwa viungo vingi🙏
@lamarsalim_2 жыл бұрын
Cumin seeds ni Binzari Nyembamba. Giligilani zinaitwa Coriander/Dhaniya Seeds.
@ummuabubakar76442 жыл бұрын
Master seed huna
@aminaomary93472 жыл бұрын
Uwatu ni kwaajili ya kuweka kwenye nini
@angelalema48802 жыл бұрын
Kwenye nyama samaki michuzi michuzi
@happyrichard76822 жыл бұрын
Naeza pata nmba akoo
@roz39902 жыл бұрын
Paprika powder ni pilipili hoho zilizokaushwa na kusagwa
@FoodloversTz2 жыл бұрын
Ooh okay... Asante kipenzi 😘😘😘
@jennehjan6942 жыл бұрын
Plz me naomba uniambie viungo vitatu tu ambavyo ntakua natumia kwa matumiz ya kila siku
@azizaahmadramadhan25792 жыл бұрын
Uwatu ina wekwa kwenye nini mumy
@bahathmuro714512 күн бұрын
Nyama dear
@fatumamruta82922 жыл бұрын
Uwatu unatumika vipi
@magigejunior13742 жыл бұрын
Dada samahani naomba kukuuliza soya sauce ukiacha kuitumia kwenye nyama waweza tumia kwenye kitu gani kingine? Asante
@niriacatering1722 жыл бұрын
Pilau, salad au rosti, mchuzi wa samaki, ndizi NK usiweke nyingi Sana inatumika kwenye vitu vingi tu inategemea na unavyopendelea hasa ukihitaj Radha yake kwenye Chakula au rangi nyeusi.
@bahathmuro714512 күн бұрын
Vyakula vya chumvi almost sio sukari
@sonialema60212 жыл бұрын
Samahani binzar ya manjano kazi yake nn vyakula Gani waweza pikia
@fatmaomar9932 жыл бұрын
Samaki, nyama au kuku wa kukaanga inakata shomboo
@fatumajuma38332 жыл бұрын
Habar uwatu unautumiaje jimoni
@fatumajuma38332 жыл бұрын
Sorry namaanisha jikoni
@Ukweliwadunia2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/r3Snan6ep62cfrM ''jinsi ya kubana uke'' njoo ujifunze
@rahmahussein8199 Жыл бұрын
Dada mm ndio najifunza funza naomba ushauri wa viungo japo nane ama kumi muhimu vya kuanza navyo ktk mapishi. @foodlovers Tz