South Sudan vs South Africa | Post Match Statistical Analysis 2024

  Рет қаралды 96,955

VİVAL HD

VİVAL HD

Күн бұрын

Пікірлер: 155
@kefangendwa3336
@kefangendwa3336 6 күн бұрын
Fei is fantastic player and he score very nice gool Zanzibar TZ oyeee🎉
@pascalmwani3163
@pascalmwani3163 6 күн бұрын
Aliyecheza ni Mtanzania Sio Mzanzibari ndugu
@pascalmwani3163
@pascalmwani3163 6 күн бұрын
Acha ubaguzi
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn 6 күн бұрын
​@@pascalmwani3163 Washamba hao achana nao apo wanatamani Mungu wangewaumba wao Dunia mzima 😏
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 6 күн бұрын
Alhamndulilah kwa kupata ushindi M/Mungu atujaalie zaid Inshaallah
@AllybchataAlly
@AllybchataAlly 6 күн бұрын
Zanzibar number 1
@piusmapunda5900
@piusmapunda5900 6 күн бұрын
Hongera sana wachezaji wetu! Mmeiletea Nchi heshima! Wachambuzi waliisifia sana Guineas eti inaizidi Taifa Stars kwa gap ya 40, sasa endeleeni tena kuisifia! Umefika wakati mashabiki wa Tanzania waache mambo ya kishamba ya kulalamika sana na kulaumu kila timu yetu inapofanya vibaya. Muhimu tuwape support hata tusipopata matokeo hii ndo timu yetu lakini kuna mijitu kazi kusifia timu za wenzetu kisa alibeti na imekuwa tofauti
@Brown-hs1gv
@Brown-hs1gv 6 күн бұрын
hongeren TZ ila ndomsivimbe vichwa kwa ushndi huu kwan umesha pita bali sasa ni kufocus na mchezo ujao dhidi ya Congo maana ni mgumu mno👏👏👍
@jeromemassawe694
@jeromemassawe694 6 күн бұрын
Hongera wachezaji wote viongozi wote watanzania wote mungu ibaraki Tanzania.
@aloyce6583
@aloyce6583 6 күн бұрын
Baada ya ushindi ubaguzi umeanza zanzibar na tanganyika. Ushamba mkubwa
@mwajumagomera7609
@mwajumagomera7609 6 күн бұрын
Ndo akili yetu ngozi nyeusi 😂😂 ila wazungu hawana hayo maana hata olympic tunaona watu asili ya Africa na wanawakilisha inchi zao na hakuna ubaguzi😂😂
@venosmodekai1575
@venosmodekai1575 6 күн бұрын
😂😂😂
@RashidMwandola
@RashidMwandola 6 күн бұрын
Yan Tanzania ugenini hatumwachag mtu mpaka tumnyoe Hongera sana Tanzania stars Maombi juu yenu ushindi wenu juu yetu. From Mbeya
@abednegomawalla8747
@abednegomawalla8747 6 күн бұрын
Zanzibar wametengenezwa Tanganyika kwa faida ya Taifa la Tanzania.
@Anandezi
@Anandezi 6 күн бұрын
Taifa ⭐️ 👍🏽
@perucebuhomaosward8512
@perucebuhomaosward8512 6 күн бұрын
Mi ndio maana natamani wachezaji wanaocheza nje ya Nchi wasicheze kabisa Timu ya Taifa, waliopo nyumbani wanatosha na wanacheza kwa kujitoa sana. Wachezaji wanaocheza nje ya Nchi hawajitoi coz hawana Uchungu na Timu ya Taifa wamelewa pesa wanazolipwa Nje. Big up Fei & Muda
@aminattai2676
@aminattai2676 6 күн бұрын
Taifa star inapendeza na jezi hizi,zile nyengine na rangi zetu haziendani
@ommybrandTz
@ommybrandTz 6 күн бұрын
Zanzibar 1 iyooo inatueka sehemu salama mung ibarik Tanzania
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 6 күн бұрын
Hivi Hawa wapuuz wanaongelea uzanzibari Wana maana Gani??jinga puuz kbsa
@PeruthNehemia
@PeruthNehemia 6 күн бұрын
Hongera sana wachezaji wote mud🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@obedimwakagali7755
@obedimwakagali7755 6 күн бұрын
Kuna bonge namuona anakimbia kweli😅kushangilia goli la mudathir
@JaneKissanga-fe1vp
@JaneKissanga-fe1vp 6 күн бұрын
Namkubar sana fei Sali mungu amujari
@allysalum3744
@allysalum3744 6 күн бұрын
Hongeren sana wachezaji wetu pamoja nabenchi lote laufundi
@fatmaally7252
@fatmaally7252 6 күн бұрын
Mudathiriiiiiii
@aminattai2676
@aminattai2676 6 күн бұрын
Wazanzibar wachweni choko choko,Mimi mzanzibar lakini kwa ilo siungani na maneno yenu,kwani mechi ya kwanza na Ethiopia wazanzibar hawakucheza mbona hawakufunga wao? Na je timu nzima waliocheza ni wazanzibar? Mnapenda kukuza mambo pale ambapo hakuna sababu ya kukuza,jitathimini kabla kukurupuka.
@antidiusmtakyawa
@antidiusmtakyawa 6 күн бұрын
Kiukwel tz wamepambana San nawap hongera🎉🎉❤
@ShaidaAfati
@ShaidaAfati 6 күн бұрын
Hongereni sana wachezaji Kwa kupeperusha bendera ya Tanzania endeleeni kujitowa katika mechi zote mtakazo cheza yuko pamoja
@GraceDui
@GraceDui 6 күн бұрын
Hongereni woooote wachezaji
@JoshuaBushesha
@JoshuaBushesha 6 күн бұрын
Wapongezwe wachezaji wote kwa juhudi ya kulipambania taifa letu
@obedimwakagali7755
@obedimwakagali7755 6 күн бұрын
Kumbe hawana chochote achen ujinga hamna chochote taifa stars
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw 6 күн бұрын
Ila watanzania sisi wanafki kinoma 😂😂😂😂...wakishinda fresh wakipalasa matusi juu
@RobertMligo
@RobertMligo 6 күн бұрын
Mungu ibariki TANZANIA na mama aongezewe baraka kwa hamasa ya taifa
@wilondjarama1427
@wilondjarama1427 6 күн бұрын
Mama gani
@malupex6299
@malupex6299 6 күн бұрын
Mmetufurahisha stars, hongereni sn.
@RICHARDMBUKWA-r9e
@RICHARDMBUKWA-r9e 6 күн бұрын
Hongera sana
@ameali5606
@ameali5606 6 күн бұрын
Wa Zanzibar ndio weny mpra
@JamaldaudlulyehoJamaldaudlulye
@JamaldaudlulyehoJamaldaudlulye 6 күн бұрын
leo mmetufariji hongera sana vinaja wenzetu kwa kulipambania taifa letu na kutufuta machozi
@Abdul-s1i
@Abdul-s1i 6 күн бұрын
Imeenda kucheza tanzania sio zanzibar wala tanganyika hao walio funga wamecheza pekeyao
@JohnVicent-n5p
@JohnVicent-n5p 6 күн бұрын
Hongeri san san
@subiraaddo864
@subiraaddo864 6 күн бұрын
Wimbo wetu wa taifa ni mzuri jamani❤
@RamadhanJumanne-z2u
@RamadhanJumanne-z2u 6 күн бұрын
Mimi ni mtanzania halis
@AMIRYNGOMELLO
@AMIRYNGOMELLO 6 күн бұрын
Acheni ujinga ao wapo kwaajili ya kutetea taifa
@abdallahmmanga2414
@abdallahmmanga2414 6 күн бұрын
😂
@MohamediMtweve
@MohamediMtweve 6 күн бұрын
Mumepambana sana leo hongeleni sana❤❤❤
@Abdulrazakjuma-lu5xb
@Abdulrazakjuma-lu5xb 6 күн бұрын
Mungu ibariki tzn
@aizacksimon8859
@aizacksimon8859 6 күн бұрын
Tanzania is Giant nowadays😂
@errydeo8865
@errydeo8865 6 күн бұрын
Giants dont struggle with Ethiopia at home!
@EliudFurgence
@EliudFurgence 6 күн бұрын
Ata apo tz imejitaid
@manyamatungaraza5388
@manyamatungaraza5388 6 күн бұрын
Hongera stars mdogo mdogo Hadi kufuzu
@KhalifaUssi-o6h
@KhalifaUssi-o6h 6 күн бұрын
Wow hongera zende Kwa kocha wetu
@GraceDui
@GraceDui 6 күн бұрын
Watanzania. Nyie niwajinga wangefumga. Bila kuletewa woote wamecheji
@jamesukombozi5216
@jamesukombozi5216 6 күн бұрын
TANZANIA yangu ❤🎉🎉🎉
@IbrahimMmoto
@IbrahimMmoto 6 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉hongera sana mmepambana wakuu
@marykitinya7942
@marykitinya7942 6 күн бұрын
谢谢您
@errydeo8865
@errydeo8865 6 күн бұрын
Kwanini kujiweka kwenye wakati mgumu kwa kusuluhu na Ethiopia??? Hizi zingekua 6points za bureeeee kabisa!
@jephtephlon2366
@jephtephlon2366 6 күн бұрын
Ile mechi Ethiopia walikamia sana, na tulikosa nafasi za wazi nyingiii,, anyway kuna mwanga wa taifa stars kufuzu
@errydeo8865
@errydeo8865 6 күн бұрын
@@jephtephlon2366 🤣🤣🤣🤣walikamia? Walifanya mashambulizi mangapi? SELECTION ya timu na mfumo vilikua HOVYO ! Wapangie kile KIKOSI congo uone kama mayele hajatulamba 4🤣! Ukipata mdhaifu ka Ethiopia,piga! Haya sio mashindano ya majaribio au game za kirafiki bro! Huyu kocha ni mbovu! Period
@jephtephlon2366
@jephtephlon2366 6 күн бұрын
@@errydeo8865 upo correct kabisa na nilikuwa nawaambia watu, selection ya timu ilikuwa mbovuu, wakat wachezaji wazuri wapoo na wameachwaa..... ila nashanga tuna pata matokeo eti 😅🤣🤣
@errydeo8865
@errydeo8865 6 күн бұрын
@@jephtephlon2366 kusema ukweli hata mimi nimeshangaa 🤣🤣🤣ila tunamshukuru Mungu 🤣🤣
@ImanuelMallya
@ImanuelMallya 6 күн бұрын
❤ tanzania
@labancharles8453
@labancharles8453 6 күн бұрын
safi sana faitoto
@AnneEdwin-b3s
@AnneEdwin-b3s 6 күн бұрын
Taifa stars wameotea tu kushinda
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 6 күн бұрын
Kama ni mwendo tumepiga hatua 1 mbele.bado 1
@Mwenjumamophy
@Mwenjumamophy 6 күн бұрын
Safi sana Tanzania hoy
@Brown-hs1gv
@Brown-hs1gv 6 күн бұрын
likn bado uzembe ktk safu ya ulinzi nitatizo kwa taifa strs kama goli la kwanza yan ni bacca ndo anae pambana lkn mabeki wengine walikua kama watazamaji tu waliniboa sanaa 😠😠
@djoziljr9999
@djoziljr9999 6 күн бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏👏pongez nying kwa TZ stars
@EmmanuelMathias-i1v
@EmmanuelMathias-i1v 6 күн бұрын
Why feisal
@ThabitmbaroukAli
@ThabitmbaroukAli 6 күн бұрын
Ndo wanao juwa boli et wanzibar muhimu dua tunaweza kufika mbali
@MohdAli-cx7bc
@MohdAli-cx7bc 6 күн бұрын
Uyo mzize anaimba ibariki Tanganyika 😂😂
@dominicmbise9848
@dominicmbise9848 6 күн бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@venosmodekai1575
@venosmodekai1575 6 күн бұрын
Leo wamepambana sana
@Sakho17papeOmarhemedy
@Sakho17papeOmarhemedy 6 күн бұрын
Aaah wa pemba aooo
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 6 күн бұрын
Mudathir mutambo wa magori
@JummaIlomo
@JummaIlomo 6 күн бұрын
Young boy were all Tanzanians so no need to Complain stop it bad manner you be have so improper
@shaameshaame2837
@shaameshaame2837 6 күн бұрын
Mudathir atabaki kuwa Mudathir tu huwez kufananisha na upuuz mwengine
@AminiMsellem-gk3yy
@AminiMsellem-gk3yy 6 күн бұрын
Kuliko FEI? Goli la muda Muda hat SUZI BALE anafunga 😂😂😂😂
@Monica-i5x
@Monica-i5x 6 күн бұрын
Huna akili wew kwahy aliv fungal golo hilo ndo umeon mchezaj san w ndo mpuuz
@samirmussa8914
@samirmussa8914 6 күн бұрын
Kuna akii zingine bana kwahy mdathir ndo afunga peke yake wew kichaa kweli
@samirmussa8914
@samirmussa8914 6 күн бұрын
Yaan hana akili huyo wamefunga wawili anamtaja mudathir kahongwa ety
@shaameshaame2837
@shaameshaame2837 6 күн бұрын
Mm siongelei kufunga naongelea kaz
@SamsonMolly-h3v
@SamsonMolly-h3v 6 күн бұрын
Afadhali uko mambo mazuri
@ShaghaliJafari
@ShaghaliJafari 6 күн бұрын
Mungu alibariki Tanzania
@yalhafoundationafrica9961
@yalhafoundationafrica9961 6 күн бұрын
Tumeshindwa
@user-ww1xf3hl6h
@user-ww1xf3hl6h 6 күн бұрын
🇹🇿🇹🇿🥀🥀
@SallumAbdallah
@SallumAbdallah 6 күн бұрын
Wana penda kutudharau ila kisoka tupo juu wa zanzibar
@romamtalambuga7
@romamtalambuga7 6 күн бұрын
Editing ya kisenge hii
@nurdinmbumi2488
@nurdinmbumi2488 6 күн бұрын
mjinga wewe kwani Zanzibar ni wapi
@JoshuaBushesha
@JoshuaBushesha 6 күн бұрын
Mnao comment mambo ya mchezaji nyie hamlijui soka hivi BAO la ushindi kwako unaliona la kishabiki na unajua tupo kimataifa et mutathili atabaki hukuona BAO la Zanzibar fainest wewe ambae kiufupi katufanya tuendelee kuwepo kutafuta ushindi muache maswala ya KUIFANYA team ya taifa kua ya club mkone
@frankmosha5854
@frankmosha5854 6 күн бұрын
Naona mgunda kakibiza tumbo
@sewandomkuchu9267
@sewandomkuchu9267 6 күн бұрын
Mgunda kocha wa ukweli sana
@KitebiMagope
@KitebiMagope 6 күн бұрын
Ni hatar
@AnisetiMasud
@AnisetiMasud 6 күн бұрын
Wapewe maua yao
@WahidaHilaly
@WahidaHilaly 6 күн бұрын
👏👏👏👏👏
@johnsinyinza8900
@johnsinyinza8900 6 күн бұрын
Umetoka wapi ubaguzi?ubagu tulishausahau ktk serikali za wakoloni kwa Sasa hauna nafasi
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 6 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@LinuslusianLinuslusian
@LinuslusianLinuslusian 6 күн бұрын
Tunamwitaji samata na Msuva
@grolyligola8959
@grolyligola8959 6 күн бұрын
Ila kocha Bado jaman mwe maplesha kama mhalo
@jut1161
@jut1161 6 күн бұрын
Ili awe Tyr atoke wap
@SamsonMolly-h3v
@SamsonMolly-h3v 6 күн бұрын
Ngai tunatetewa na wazanzibari sasa
@subiraaddo864
@subiraaddo864 6 күн бұрын
Kwani wazanzibar sio watanzania??
@osiakita8693
@osiakita8693 6 күн бұрын
Huo ndo ujinga tena ujinga wa hali ya juu Nini maana ya Tanzania!? Kwani imecheza Tanganyika pale harafu Zanzibar ikatutetea watanganyika? Acha upuuzi wako
@errydeo8865
@errydeo8865 6 күн бұрын
Kwanini Muda hakumuanzisha vs Ethiopia?? Ndo mjue kocha ANABAHATSHA TU HAIJUI first 11 yake! Hana mfumo unaoeleweka, SELECTION ya timu,inayumba( hapa nahisi kikosi anapangiwa na tff)Hizi zilitakiwa ziwe 6points! Na tukitaka kufanikiwa,huyu sio kocha wa kutufikisha mbali! Sasa hivi, TIFUATIFUA ( tff) waanze mchakato wa kutafuta kocha Mkuu mwenye sifa na weledi wa kuiandaa Taifa stars ya AFCON 2027,wachezaji tunao! Otherwise,tutatolewa mapemaaaaa ,viwanja vitakuwa vitupu,na itakuwa AIBU kwa taifa! 2027 sio mbali.
@mubaarakhassani5746
@mubaarakhassani5746 6 күн бұрын
Kwani wewe ndie ulimwambia kocha leo ampange? Tuwapongeze Taifastars Wamejituma
@errydeo8865
@errydeo8865 6 күн бұрын
@@mubaarakhassani5746 yes,wananchi tulilalamika kwa kikosi alichokipanga dhidi ya Ethiopia! Kwanini hakupanga kikosi kilichocheza leo!? Ni kwasababu hajitambui,anabahatisha tu! Kikosi cha leo ndo kilitakiwa vs Ethiopia bro! Kama unaujua mpira! juzi Wachezaji karibu 7 walicheza out of their natural positions mkuu! tulikuwa kwa Mkapa kapanga kikosi utafikiri tuko ugenini na tumeshafuzu! Hizi zingekuwa point 6 za bwerere kabisa! Huyu kocha hatufikishi popote hata tukibahatika kufuzu bro!
@NescoMhewa
@NescoMhewa 6 күн бұрын
Mjinga hujamuona Zanzibar fei toto
@SaraMbuya-hr2nj
@SaraMbuya-hr2nj 6 күн бұрын
Natafuta comment za lawamaaaa😂😂😂😂😂
@halimaally4980
@halimaally4980 6 күн бұрын
Samara na msuva ni wastaafu wewe
@RuhAli-pw8hh
@RuhAli-pw8hh 6 күн бұрын
Wafungaji wa magoli wazanzibar rais wa nchi mzanzibar ZANZIBAR oyeeeeeeeeee
@vival8800
@vival8800 6 күн бұрын
Wanawakilisha Tanganyika
@maryangomanyama
@maryangomanyama 6 күн бұрын
Ndio ubaguzi huo
@Brown-hs1gv
@Brown-hs1gv 6 күн бұрын
wewe huna busara kabisa yan unaanza kubagua nchiyako mwenyewe😮😢😢😢😤😠😡😞
@MohdAmeri-h4d
@MohdAmeri-h4d 6 күн бұрын
Muda mtu
@AmranShafik
@AmranShafik 6 күн бұрын
Sema kocha Umuhimu wa samatta na msuva hupo tusiongopeane
@richardrobert2203
@richardrobert2203 6 күн бұрын
Bado tunawahtaji sana wale majamaa
@sewandomkuchu9267
@sewandomkuchu9267 6 күн бұрын
​@@richardrobert2203Hapana hatuwahitaji...wana miaka mingapi?Si 40 huko!!!
@elbarbosamiskiry2812
@elbarbosamiskiry2812 6 күн бұрын
Halafu mtutukane wazanzibar
@fatmaally7252
@fatmaally7252 6 күн бұрын
Jamani nani kawatukana lakini
@neemamangushi8187
@neemamangushi8187 6 күн бұрын
Walikua wanacheza peke yao?
@EmmanuelMathias-i1v
@EmmanuelMathias-i1v 6 күн бұрын
Kuen naaman ss niwa 1
@JobayerAhamed-z4y
@JobayerAhamed-z4y 6 күн бұрын
Acha kuleta ubaguz msenge
@DanieliDgani
@DanieliDgani 6 күн бұрын
Kwa hiyo ushindi wa Zanzibar kwani walicheza wawili tu tumia akili boya wwe
@altokomba6386
@altokomba6386 6 күн бұрын
Ilikuwa ni offside likn haituhusu😊
@JohnVicent-n5p
@JohnVicent-n5p 6 күн бұрын
Hongeri san san
@dominicmbise9848
@dominicmbise9848 6 күн бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@dominicmbise9848
@dominicmbise9848 6 күн бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
NIYONZIMA HARUNA: Highlights
7:49
HILLARY CHENGETA
Рет қаралды 81 М.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,4 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 59 МЛН
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 6 МЛН
MAGOLI GUINEA VS TAIFA STARS
7:58
Revivalfmtz
Рет қаралды 280 М.
KISA KASOMA NAE
10:57
Joti TV
Рет қаралды 129 М.
TANZANIA 2 vs 1 GUINEA HIGHLIGHTS | 10 September 2024
6:40
AGM Mmakua Tv
Рет қаралды 3,9 М.
How Inzaghi is Redefining Attacking Football
9:54
Football Meta
Рет қаралды 858 М.