Рет қаралды 31,619
Hivi ndivyo jinsi Bi Godfrida Kamashanju alivyotembelewa na Masta shangwe kumkabidhi zawadi ya kukamilisha ndoto yake ya kuendeleza biashara.
Bi Kamashanju ni kati ya wateja wengi walioweza kuamsha ndoto zao kupitia kampeni yetu inayoendeleza lengo letu la kubadilisha maisha ya watanzania kupitia huduma zetu.
Asanteni wateja wetu na hongera kwa washindi wote.
#Amshandoto #Pamojatunaweza #Zaidiyamtandao