Hujambo Apostle! Naomba hivi, you compile Vol.1, Vol. 3 na Vol.5 zikiwa full album. Kama jinsi umetupea Vol.2 na Vol.4. Zingine najua una mpangilio kamili wa maandalizi. Barikiwa.
@WinfredMuthoni-bx5fq7 ай бұрын
Kazi nzuri mtumishi we miss you rundi uwanja Tena with gospel hammer
@crowncastmedia2 ай бұрын
Eagerly waiting for Vol 7 Mshupaza shingo. I bought all the audio CDs when you had a rally in Ogembo, Kisii years back. Now we're in 2024, we have no devices that play CDs. Would love to have a complete collection of Apostle Kyande. So far I have access from Vol 1 to 6. No songs bless me more like yours, sir.
@limpinggeneral776310 ай бұрын
Have been your fan since 9 years and I'm 38 years now.Thankyou Kiande.You minister true gospel thru singing
@christinachihongo10 ай бұрын
me too...l am 40 now😃
@limpinggeneral776310 ай бұрын
@@christinachihongo tumezeeka walai
@Mwl_Sanga7 ай бұрын
blaza 9 yrs mwenzako tangu nipo na 12yrs now nipo na 40yrs thank you kyande since 1996
@marwaandrew8984Ай бұрын
I've been asking for this vol. for so long. I'm happy to get it here now.
@mikechali105210 ай бұрын
Hapo pa kata kauli mapema utalia nanani💪💪
@KimeuAntony10 ай бұрын
Baba siupate kuimba nyimbo zingine....mbona mtu anze kuimba lakini amalize akiwa amerelax
@korososimonnyamohanga23798 ай бұрын
Asante sana for uploading this alblum i have been looking for it
@Onyancha-comedy.10 ай бұрын
I have been waiting for kiande hit🔥🔥🔥🔥
@deboraanyango496110 ай бұрын
Yaani bado siwezi sahau nyimbo zaki since nikiwa mdogo sana
@everlyneiminza572210 ай бұрын
Mmi nimezijaza kwa simu huwa naskiza, nilianza kumuona nikiwa 15yrs upto now I'm 42yrs😂😂😂🤲🤲🤲
@ClaireMakotswi9 ай бұрын
Barikiwa Sana mtumishi wa mungu kutoka kitambo nakupenda Sana nyimbo zako zote ziko na ujumbe msuri sana 🙏🙏🙌🙌
@richardmwaniki715010 ай бұрын
you know you are serving the devil when the spirit of questioning the gospel covers u,,Romans 5:12 puts it clear than sin came thro one man adam and punishment of death to all because all had sinned,, how can u question this?
@DomnickOginga4 ай бұрын
Waaah...Nice songs May Almighty God bless you my brother