Ayii kumbe Rwanda Ina uwezo wa kuwapokea wakimbizi wakati na wenyeji kule pia ni wakimbizi kwingine? Waaaah hii duni ina mambo mengi mno! Saidieni kwanza wakazi wenu kabla ya wageni
@cyubahiroclement1912 жыл бұрын
Wale sio wakimbizi ni wakongo wanaeongea kinyaRwanda elewa kwanza history na pale palikuwa eneo la Rwanda kabla ya mzungu kugawa mipaka
@nyembomajidi30272 жыл бұрын
@@cyubahiroclement191 we historia zako ni zile za wale wale wajita wanyamulenge hata wewe umesha ingia kwazile probaganda ya wazungu lakini dugu zetu wa tusi mmpenda wabure kufa maskini wazungu sio dugu zenu wafrica ndo dugu zenu mabeberu wanakutumikisha baadae wanakutema kama matabishi, mobutu yuko wapi, kadhafi yuko wapi, osama yuko wapi, Sadam hussein yuko wapi, albhashir yuko wapi, mzee wetu asisahau kama sisi wote wafrica mbele ya mzungu tuko manyani
@nyembomajidi30272 жыл бұрын
nashangaa wakimbizi wake wako congo ameshindwa kuwarudisha nyumbani ameenda kujukua watu wengine ambao sio dugu zake