Wachimbaji makaburi ya Shakahola waeleza yale waliyoshuhudia

  Рет қаралды 197,072

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 255
@FidelisKiyalo-ey2kz
@FidelisKiyalo-ey2kz Жыл бұрын
Bwana wetu Yesu Kristu alituonya sana kuhusu manabii wa uongo ambao watatokea soma Injili ya mtakatifu Mathayo 24:24-28
@cyrusrotich7172
@cyrusrotich7172 Жыл бұрын
Surely it's very impossible the government should pay them more than that 1000 is not enough for the good job they are doing
@metrineshinjili2188
@metrineshinjili2188 Жыл бұрын
My thoughts too,unasikia hawalali
@divajames
@divajames Жыл бұрын
​@@metrineshinjili2188 1000 ni kidogo sana
@winnyshiko1696
@winnyshiko1696 Жыл бұрын
aki kufukua maiti it's a joke
@wanjiruciru6237
@wanjiruciru6237 Жыл бұрын
Poverty can make someone do almost anything in this world inorder to earn a living.
@andbeckerchallenge8347
@andbeckerchallenge8347 Жыл бұрын
Aki it's too little regarding what they are going through mentally, Physically 😮😢
@ayiechaanne6756
@ayiechaanne6756 Жыл бұрын
The chosen government and the cult prophets 😢😢😢your dark days are over may God's will prevail 😔
@mamaBright3
@mamaBright3 Жыл бұрын
Amen God is so tired
@carolinenjoroge9092
@carolinenjoroge9092 Жыл бұрын
Nahisi uchungu nikifikiria my sister alitoweka 2010 kutoka nyumbani akafuata nabii alimtoa kwa ndoa yake. AkaaCha watoto wake bila malezi akaenda kuishi mbali na familia. Hadi wa leo hajawahi rudi nyumbani miaka 12. Mwanaye alituachia alikufa last year, na mamake hakufika matangani wala kwa mazishi hakuonekana. Hizi dini zina ushawishi wa mapepo yanayoweza kumtenga mama mzazi na mwanaye.
@Nanapendo
@Nanapendo Жыл бұрын
So sad, hugs... sorry for that may God intervene 😢
@artisthusnatalal3099
@artisthusnatalal3099 Жыл бұрын
Eeeh pole sana kwa msiba
@nyanjechengokarisa1540
@nyanjechengokarisa1540 Жыл бұрын
Poleni sana hawa si mapastor niwauaji magaidi walikuwa wanadanganya watu nawatu wanamini nakutolewa pesa watu wanunue magari yakubebea watu nakuwachinja
@wanjiruciru6237
@wanjiruciru6237 Жыл бұрын
Which dini is that.
@fatmashamlal7968
@fatmashamlal7968 Жыл бұрын
​@@nyanjechengokarisa1540 kweli sana kaka. Ni vyema Kila mtu ajue mafunzo ya dini yake ndio aweze kutathmini kama hao nao waongoza kama kweli nawafaa kuwaongoza ama wanawapotosha na kutaka kuwaangamiza. Watu wakatae kujiangamiza Kwa mikono Yao wenyewe
@obungafelistas960
@obungafelistas960 Жыл бұрын
Tangu hii Mambo ijulikane Ajali imepungua Sana, there must be something wrong somewhere
@raphaeltete6436
@raphaeltete6436 Жыл бұрын
Hapo ni ukweli sana
@mamaBright3
@mamaBright3 Жыл бұрын
Very true hawezi e endeleza ajali
@moreunny
@moreunny Жыл бұрын
Exactly
@carolyneogutu6489
@carolyneogutu6489 Жыл бұрын
🔊🔊🔊
@raiyaaaraiyaa6054
@raiyaaaraiyaa6054 Жыл бұрын
Mkuu mm nmekuelewa vizur Sana. Ajali zimepungua.
@artisthusnatalal3099
@artisthusnatalal3099 Жыл бұрын
*Jamani hii ndiyo wimbo wa taifa ya maombi...eee mungu nguvu yetu ilete baraka kwetu.....inchi yetu ya Kenya tunayo ipenda tuwe tayari kuilinda....* 😭😭😭
@vincentmunyao4911
@vincentmunyao4911 Жыл бұрын
We borrow some lines from Russia
@artisthusnatalal3099
@artisthusnatalal3099 Жыл бұрын
@@vincentmunyao4911 Eeeh🤔
@divajames
@divajames Жыл бұрын
Mlichagua devil 😈 worshippers kama serikali matokeo yake ndio hayo..Kenya ilishauzwa kwa mashetani
@princeellyuds71
@princeellyuds71 Жыл бұрын
Kimewaramba
@vivianwanini9169
@vivianwanini9169 Жыл бұрын
If we at home are not sleeping we are scared when we watch news , what about those in the scene doing that work 😢
@TheRonoTV2024
@TheRonoTV2024 Жыл бұрын
Milele funeral home never lied to the police. Pastor Ezekiel was transporting these bodies.
@mariammariam2410
@mariammariam2410 Жыл бұрын
Ulikua na yy mkitransport shemon you
@vinshimusiq1576
@vinshimusiq1576 Жыл бұрын
​@@mariammariam2410 we kino kwani ni babako
@theblessedone7526
@theblessedone7526 Жыл бұрын
​@@mariammariam2410 umbwaaaaaa mjane ghasia wewe unatetea Ezekiel alikutomba? Senz ii
@tosh313
@tosh313 Жыл бұрын
Dont reason like a nursery kid
@tosh313
@tosh313 Жыл бұрын
If someone dies he or she should be taken where?milele is built in a black spot and has been a bad omen there
@juddiedon713
@juddiedon713 Жыл бұрын
Uyo kazungu haki mungu amsaidie
@mahmoodmohammed1679
@mahmoodmohammed1679 Жыл бұрын
Izo miili zilizohifadhiwa ni kutoka Kwa ezekiel.... temporarily kept in the morgue and driven to shakahola in the cover of darkness
@gettyjusa3352
@gettyjusa3352 Жыл бұрын
What 😢😢😢 what about mackenzie
@chocolatevivian830
@chocolatevivian830 Жыл бұрын
Umbwa ww
@mahmoodmohammed1679
@mahmoodmohammed1679 Жыл бұрын
@@gettyjusa3352 they are in that together... Mackenzie's victims were fasting to death in the same forest and others who tried to escape strangled to death as reported...but those bodies zenye zinasemekana zimehifadhiwa most possibly are associated with Ezekiel...may God keep exposing them
@mahmoodmohammed1679
@mahmoodmohammed1679 Жыл бұрын
@@chocolatevivian830 umbwa ni babako,mamako na iyo nguruwe unayojaribu kumtetea...Malaya mnuka mavi wewe
@diyembarak5506
@diyembarak5506 Жыл бұрын
Ezekiel na Mackenzie kazi yao ni moja
@carolyneogutu6489
@carolyneogutu6489 Жыл бұрын
😢😢😢ooh God may they get counseling.
@stephenkiberu8368
@stephenkiberu8368 Жыл бұрын
Thao moja kuzikua maiti 😢 ata gava iko na ujinga apo hawa watu wanafaa walipwe pesa mzuri bana
@navigator.254official
@navigator.254official Жыл бұрын
Following
@franmdleleni6520
@franmdleleni6520 Жыл бұрын
These guys need proper therapy
@quenice8444
@quenice8444 Жыл бұрын
Siwezi enda kutafuta mungu Mombasa walai Mimi mercy
@stefanogizzler
@stefanogizzler Жыл бұрын
Definitely ShakaHorror.
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 Жыл бұрын
Mimi tu kutizama hivi ktk runinga siku ya 4 leo silali usingizi vizuri. Memory hazitoki
@jemanikor
@jemanikor Жыл бұрын
Let God have mercy upon his nation.
@charitygathonga7522
@charitygathonga7522 Жыл бұрын
What if they knew each other? What if all along they have been working together in a way? What if they had an agreement? What if they don't work together nor related in anyway? Is it all an accidental coincidence? ..... I have sooo many question and so are Kenyans... May God make it clear for us all coz all this is traumatizing and sad.
@vincentmunyao4911
@vincentmunyao4911 Жыл бұрын
Watu wa citizen wanapenda kuongeza maneno sana
@oneonone8198
@oneonone8198 Жыл бұрын
Si uwache kutazama na upate utulivu
@vincentmunyao4911
@vincentmunyao4911 Жыл бұрын
Utulivu aje sasa
@sammiesammie1469
@sammiesammie1469 Жыл бұрын
Fungua runinga yako bas utueleze ww wajua nn kuhusiana na hiz vifo.
@bentaaumrau8532
@bentaaumrau8532 Жыл бұрын
Huyo mchimba kaburi pia niwa citizen? unawatetea ju biashara imeshuka, kua na huruma kwa wale walio poteza watu wao pia,
@julietnelima3253
@julietnelima3253 Жыл бұрын
Kwani wanafufua wakizika, ama ni wapi wameongeza maneno, hujafiwa tulia
@sammiebabu8550
@sammiebabu8550 Жыл бұрын
Waaah magumu hayo mungu said Ian watu wako
@GreyPrey
@GreyPrey Жыл бұрын
ezekel,s bodies from his hired motuary since no cemetry found where he said it was
@Grace-tm1pm
@Grace-tm1pm Жыл бұрын
Eeeeeh mungu tusaidie kwa nini past makenzie anafanya ivo anakosewa nini jamani 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@gladysmunyiri4555
@gladysmunyiri4555 Жыл бұрын
Pole mzee
@brotherdennisofficial2431
@brotherdennisofficial2431 Жыл бұрын
God protect this nation in Jesus name 🙏💯
@p.o.a.2209
@p.o.a.2209 Жыл бұрын
They should be prayed for
@maryalff1689
@maryalff1689 Жыл бұрын
The Real truth coming out.
@anneakinyi4916
@anneakinyi4916 Жыл бұрын
Yes
@fatmashamlal7968
@fatmashamlal7968 Жыл бұрын
Yes the truth is here for those who have eyes. But to you think that those involved will allow for the full truth to be known? I doubt. Wacha nijifunze kunyamaza
@melodymelody2197
@melodymelody2197 Жыл бұрын
1k surely they should pay them more 😢 they will need therapy
@esthermargret8205
@esthermargret8205 Жыл бұрын
Pole kwa Familia
@marykwamboka7066
@marykwamboka7066 Жыл бұрын
Makenzie anafaa afanye iyo kazi
@tantomollc8899
@tantomollc8899 Жыл бұрын
EzekieL?
@Basictechandupdates
@Basictechandupdates Жыл бұрын
😂😂
@marykwamboka7066
@marykwamboka7066 Жыл бұрын
Ezekiel amefanya nn
@maureenmbiroh7193
@maureenmbiroh7193 Жыл бұрын
I'm shocked, where is the world heading to🤔
@eunicekaio2564
@eunicekaio2564 Жыл бұрын
Makenzie hana kosa lolote kiligana na maoni yangu😂😂
@nyanjechengokarisa1540
@nyanjechengokarisa1540 Жыл бұрын
Ezekiel was being transpoted the bodies to shakahola that is the fact yes don't full kenyan's
@rahmasaleh1984
@rahmasaleh1984 Жыл бұрын
Kweli kabisaa huyu ezekiel ni shetan mtu
@julietnelima3253
@julietnelima3253 Жыл бұрын
Heee wamama wakusikie utaskia matusi sasaa umeguza roho zao but sio wamama wote
@julielilote3496
@julielilote3496 Жыл бұрын
Ezekiel is a scape goat clean,Makenzi ni care taker na governement ya Ruto ilihusika.
@fhhfd8449
@fhhfd8449 Жыл бұрын
Ata mimi tangu nianze kuona hizi picha zijawai pata usingizi,
@ruirugravitydecemblerassem2843
@ruirugravitydecemblerassem2843 Жыл бұрын
I think the media should interview those rescued because those know more,,but I hear less of such news.
@fatmaahmed402
@fatmaahmed402 Жыл бұрын
Those rescued are too weak to even speak.
@hozznet
@hozznet Жыл бұрын
this is the right move that the gov't should follow
@BismarkKipmutai-uy4ob
@BismarkKipmutai-uy4ob Жыл бұрын
Likini ni mushakaho kubwaa Sana aki 😭😭😭😭😭
@southcawareness2520
@southcawareness2520 Жыл бұрын
Extra judicial killing mass graves call it any name
@kingevans2999
@kingevans2999 Жыл бұрын
mungu asaidie watu wake
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 Жыл бұрын
hivi hii sio miili yawatu walio kufa kipindi cha machafuko yaliyopelekea watu wakapelekwa Icc
@mukarani_ke
@mukarani_ke Жыл бұрын
Malenzie uyo afungwee kabisa
@julielilote3496
@julielilote3496 Жыл бұрын
Mackenzie is just a care taker the governement in place is responsible
@chizcom4229
@chizcom4229 Жыл бұрын
sasa unalipwa vizuri umeshurutishwa au tu kujiongolesha
@eddyrandu3127
@eddyrandu3127 Жыл бұрын
Pay them money. Hiyo ni kazi nyumu, why pay them peanuts????? Nonsense
@ramak.9587
@ramak.9587 Жыл бұрын
Eti wanalipwa 1k per day!!! Iyo apana waongezewe pesa atleast 2500 per day.
@mwash7777
@mwash7777 Жыл бұрын
Serikali bure sana hufingilia mwananchi vinoma. Hata Ni aibu tu wangeambia wafukuzi wajitolee
@Concili
@Concili Жыл бұрын
What if the place is called makaburini maybe some of the bodies came from different places
@wanjiruciru6237
@wanjiruciru6237 Жыл бұрын
Public cemeteries are gazetted.
@gloriadaniel3827
@gloriadaniel3827 Жыл бұрын
Serikali iliyomshikilia huyu Pastor mwingine sio wajinga. Wakenya acheni Serikali ifanye kazi yake kama Hana hatia atatoka Tu. Kazungu anadai' Maiti zilikuwa kama zimehifadhiwa '. Msiidharau Serikali kwenye hili.
@julietnelima3253
@julietnelima3253 Жыл бұрын
Yeah,waachie serikali wamalize kazi wathibitishe ndo kama kuna innocent person atoke but huezi shikwa tu kama hakuna leaked information from somewhere.
@marrialmary3510
@marrialmary3510 Жыл бұрын
😢so inaezakua n ukwel kuhusu ezekiel
@wanjiruciru6237
@wanjiruciru6237 Жыл бұрын
Where there is smoke,there must be a fire
@tracyjafari4023
@tracyjafari4023 Жыл бұрын
Theres a big fire there my people
@elimudigitaltv6521
@elimudigitaltv6521 Жыл бұрын
Kazungu apewe kazi na serikali
@vincentmunyao4911
@vincentmunyao4911 Жыл бұрын
Serikali gani? Serikali yenyewe uenda inahusika
@raiyaaaraiyaa6054
@raiyaaaraiyaa6054 Жыл бұрын
@@vincentmunyao4911... Sio ati serikali ya husika tayar ya husika kwa asilimia kubwa. Km ulikua ukifata tokea mwanzo. Kuna baadh ya watu walihojiwa wakasema walipiga report police zaidi ya Mara 5. Kwamba Kuna makabur I kwa ule msitu mwengine wanakufa sabbu ya kufunga mpaka kufa. Police walisema wawachene na watumish wa mungu. Na wasionekane Tena kupiga report. Walihojiwa walisema km wakenya hawamin waende kuangalia majina Yao kwa policestation..so serikali yajua nn chaendelea
@bettyluvuno3389
@bettyluvuno3389 Жыл бұрын
Hot air
@Nothwest
@Nothwest Жыл бұрын
Has the Government no Tractors 🚜?⛔️⛔️
@judymoraamachongo99
@judymoraamachongo99 Жыл бұрын
Am wondering too juu hii kiti5 inaeza take hta one yr😢😢😢😢
@sylviawambui748
@sylviawambui748 Жыл бұрын
Hapana tractor inaeza vunja vunja,,,tena makaburi zimekaribiana
@wgnckasarani
@wgnckasarani Жыл бұрын
1000 only hiyo kazi yote
@newberryboy
@newberryboy Жыл бұрын
😢
@stephenziro8530
@stephenziro8530 Жыл бұрын
Huyu si kazungu kweli
@sylviawambui748
@sylviawambui748 Жыл бұрын
Hizo miili za kuifadhiwa zinaeza kuwa zimetoka wapi🤔 jibu kwenu
@judymoraamachongo99
@judymoraamachongo99 Жыл бұрын
Labda wale watu hupotea hpo ndio upelekwa
@sylviawambui748
@sylviawambui748 Жыл бұрын
@@judymoraamachongo99 hapana wale watu hawajulikani ,huzikwa na serkali na kuna miez inakaa kwa morge ikipitiza ndio wanazika ,alafu hizo maiti za uko shakahola hazina burial permit wala dead certificate ,na unaskiya kuna zenye ziliifadhiwa vizur
@judymoraamachongo99
@judymoraamachongo99 Жыл бұрын
@@sylviawambui748 sasa kama hyo morgue inaoperate bila hos kazi yake ni gani at the end of the day wakiwa wameeka mtu like 2 weeks ikiwa ni accident hakuna wenyewe next wanapeleka hko,, nikama hii place imefanya mengi ni siku zilifika kujulikana,, but my question is hakuna watu wako hta na ng'ombe wanaeza enda kwa huo msitu malishoni ama kutafuta kuni
@sylviawambui748
@sylviawambui748 Жыл бұрын
@@judymoraamachongo99 nyamaza kuna wafwasi wake hapa watatuwinda mawe🤣🤣🤣pia nami nilijuwa bt nimetuliya,,,,bt acha mtu akuje kunitus tutapekekana vilivyo 🤣😏😏😏
@divajames
@divajames Жыл бұрын
Only Makenzi can answer that
@lizwabo9266
@lizwabo9266 Жыл бұрын
I think you guys need spiritual guidance then pray for yourself prayers with Faith you guys won't experience
@gracenasike
@gracenasike Жыл бұрын
Imagine in the future, shamba la shskahola lauzwa🤦🤭, Sasa wanunuzi mwanunua plot y shamba, Mahali waje GA nyumba, 🤭🤦, kumbe wajenga juu ya wafu, ooh father lord see us through 🤦😢
@josephnderi
@josephnderi Жыл бұрын
Waambie Waite bangi na kumeza Amit 25 mg
@vstvst3135
@vstvst3135 Жыл бұрын
media ime mwaga unga ya huyuu jamaa, why not alter his voice and name.
@nyanjechengokarisa1540
@nyanjechengokarisa1540 Жыл бұрын
This never hapen AGAIN this whose uhuru goverment all they will come out know we see know the laws takes place in kenya
@KIM-xl6zs
@KIM-xl6zs Жыл бұрын
Ask your president lootall, how comes he is heavily involved with pastor Ezekiel, we all saw his wife attending and been given a high platform in pastor ezekiel crusade in kasarani, ama ndio walitoa hawa watu kama kafara ndio washinde uchaguzi
@kennypluckerthecountryguit1400
@kennypluckerthecountryguit1400 Жыл бұрын
Wanaofukua huenda wakawa ndio wachimbaji
@melvinkulah2222
@melvinkulah2222 Жыл бұрын
Kitawaramba😮
@cynthianyamwathi
@cynthianyamwathi Жыл бұрын
Waaaaaaaaaaaaaah 😱🥺
@phoebewanjiru1955
@phoebewanjiru1955 Жыл бұрын
They need counselling
@alafunikaona3041
@alafunikaona3041 Жыл бұрын
Who pays him the One thousand per day?
@karolinwanjiru8831
@karolinwanjiru8831 Жыл бұрын
SO WANAZIKULIWA AND THEN? WHAT IS THE INTENTION AFTER THAT????
@angelamakena8828
@angelamakena8828 Жыл бұрын
My question too coz 50% hawatapata watu wao
@fatmashamlal7968
@fatmashamlal7968 Жыл бұрын
Post mortem is supposed to be conducted for each body that has been retrieved. But the question is whether the post mortem will be done.
@karolinwanjiru8831
@karolinwanjiru8831 Жыл бұрын
@@fatmashamlal7968 I hope something constructive will come out of All these otherwise it's all useless
@fatmashamlal7968
@fatmashamlal7968 Жыл бұрын
@@karolinwanjiru8831 am not being negative but we know our country. Has any past investigations ever come to any logical conclusions? Anyway let the government do it's job
@karenmuthoki9611
@karenmuthoki9611 Жыл бұрын
Lilian❤
@juddiedon713
@juddiedon713 Жыл бұрын
Je izo basi zilitoka wapi izo zenye walizika hapo uwiwiwiiii
@Estherfantacyfactory
@Estherfantacyfactory Жыл бұрын
Bona serikali isijifufulie,aki
@GigiOwaNamulundu
@GigiOwaNamulundu Жыл бұрын
Hujawahi ona maiti wa kufufuliwa!hujawahi ona kaburi lenye zaidi yay mtu mmoja. But una uwezo wa kutambuwa maiti ambaye amefufuliwa kama alikuwa amehifadhiwa vizuri before azikwe??
@johnomondi1683
@johnomondi1683 Жыл бұрын
Mtu analipwa 1000 hio niku nyanyasa watu,they need to be payed at least 3000 per day
@salomeomashibo1971
@salomeomashibo1971 Жыл бұрын
Swali langu ni mbona Serikali imekatasa wana Habri kuingia Huko? Wana Ficha Nini?
@mercymusundi8779
@mercymusundi8779 Жыл бұрын
Kuna kitu nyuma ya pazia
@judymoraamachongo99
@judymoraamachongo99 Жыл бұрын
Husikii DCI ndio inajua kwenye kuna kaburi😢😢😢huezi sikanisha hii kitu,
@divajames
@divajames Жыл бұрын
Ni kama serikali ya zakayo inajua haha mambo
@divajames
@divajames Жыл бұрын
Makenzi alkua state house kufanya nn? Nani alikua amemualika????
@salomeomashibo1971
@salomeomashibo1971 Жыл бұрын
au wako namambo wanafanyanga kisiri siri wakijificha kanisan na Sasa MUNGU Akamua Ku waanika🤦‍♂️🤦‍♂️
@timothymulama4593
@timothymulama4593 Жыл бұрын
Hii ni noma usicheza na mtu aliyekufa kwanza mluyha unaeza nyogwa ukashangaa then after these yafaa apate deliverance juu ya hizo spirits. Na mwenye kufanya deliverance ni Ezekiel . We want justice for Ezekiel haki jamani
@wanjiruciru6237
@wanjiruciru6237 Жыл бұрын
😳🙄
@BlessedFaithNgila
@BlessedFaithNgila Жыл бұрын
You need more mental health and deliverance than them if you're thinking this way. May Jesus Christ reveal Himself to you and set you free
@collinceochieng7683
@collinceochieng7683 Жыл бұрын
Pasta anyongwe kabisha
@divajames
@divajames Жыл бұрын
Makenzi anyongwe ama achemshwe mpaka afe
@Everlyn-cv1kl
@Everlyn-cv1kl Жыл бұрын
eti shakahorror☺️☺️☺️
@Nothwest
@Nothwest Жыл бұрын
Why can’t the Government provide a 🚜 tractor ? This the wrong person who is being asked for information ⛔️
@jumaali5626
@jumaali5626 Жыл бұрын
Waogeze pesa bna
@KIM-xl6zs
@KIM-xl6zs Жыл бұрын
Ask your president lootall, how comes he is heavily involved with pastor Ezekiel, we all saw his wife attending and been given a high platform in pastor ezekiel crusade in kasarani, ama ndio walitoa hawa watu kama kafara ndio washinde uchaguzi
@teresiamusyimimusyimi5484
@teresiamusyimimusyimi5484 Жыл бұрын
Nani alikuwa akichimba hizo kaburi wakati wa kuzika Nani alimoatia huyu muuaji shamba la ekari 800 wakati watu wengine hawana mashamba?! Kwanini alipatiwa hilli shamba? Tukisema watu wenye uwezo au say katika serikali wanahusika kwenye huu uovu wa mutume wa ibilisi kwa jina makezi wanahusika nani atapinga!
@carolinenjoroge9092
@carolinenjoroge9092 Жыл бұрын
County govt ya kilifi wakisema hilo shamba sio la Mackenzie.
@mercymusundi8779
@mercymusundi8779 Жыл бұрын
Ni la nani kwa hio muda yote akiishi huko
@judymoraamachongo99
@judymoraamachongo99 Жыл бұрын
Mh naona hii shamba ingekua ya mtu mwenye hayuko kwa government ingechukuliwa kitambo since ni msitu kuna kitu fije hpo
@teresiamusyimimusyimi5484
@teresiamusyimimusyimi5484 Жыл бұрын
@@carolinenjoroge9092 kwanini wamenyaza makezi akikaa huko na umati wa watu wengi hivyo na county gov hawajali anafanya nini
@julietnelima3253
@julietnelima3253 Жыл бұрын
Lakini unaskia sana sana alikuwa akijua wewe uko na mali anakuchanganya akili na unampea title deed na watu wanakuja baadae kufurusha familia kama ni bwna alipeana bila kuelezea mke sasa mke atafukuzwa shamba iende na huyu aende afast hadi akufe. Kuna mwenye alikuwa na 150acrs na zikaenda na alienda kuona Yesu so he has used many people😢na ako na dawa ya kuwachanganya coz kuna walimu, mapolisi,madaktari na watu wenye walikuwa tajiri heee this man ooooh 😭😭
@blessedmum7317
@blessedmum7317 Жыл бұрын
It's shocking news
@estheresther9366
@estheresther9366 Жыл бұрын
Alafu wenye wake uhai mliwaondoa uko
@josphinechepchirchir109
@josphinechepchirchir109 Жыл бұрын
Hawa maiti hutolewa kwenye jeneza ama walitupwa ivo
@Ldm7846
@Ldm7846 Жыл бұрын
Walitupwa
@davidaguvasu4553
@davidaguvasu4553 Жыл бұрын
This is Kenya😢😢
@maureenaketch3242
@maureenaketch3242 Жыл бұрын
So sad
@sultanmswahilitv4864
@sultanmswahilitv4864 Жыл бұрын
Horror movie
@princeellyuds71
@princeellyuds71 Жыл бұрын
Kimewaramba
@happytimes9747
@happytimes9747 Жыл бұрын
Mili zimehifadhiwa na alama ya makaburi ni mmea wa kunde mackenzie atolewe gerezani tu na polisi wapee wanainchi dakika 5 alafu warudi kazini story ikue fupi.
@janet7740
@janet7740 Жыл бұрын
Hapana hii kambuni nikubwa wacha aseme wafayi Kazi wote director, manager watu wamkono etc
@judymoraamachongo99
@judymoraamachongo99 Жыл бұрын
​@@janet7740haezi sema imgne ikiwa ni mtu ako kwa government, ingekua serious hta uchunguxi ungekua umeanza walikua wanafanya hyo kazi na nani juu haezi jimba kaburi zote pekee na kueka watu
@janet7740
@janet7740 Жыл бұрын
@@judymoraamachongo99 haiya tuache apambane na hali yake bx 🙏
@judymoraamachongo99
@judymoraamachongo99 Жыл бұрын
@@janet7740 let us pray for our country 😭😭😭😭😭😭😭
@janet7740
@janet7740 Жыл бұрын
@@judymoraamachongo99 🙏👍
@ceceliandegwa1893
@ceceliandegwa1893 Жыл бұрын
Hii dunia inaelekea kuisha kabisa
@victorkamau1627
@victorkamau1627 Жыл бұрын
Makenzie anyogwe
@ruu6592
@ruu6592 Жыл бұрын
🥺🥺🥺
@wangariann9704
@wangariann9704 Жыл бұрын
😭😭😭😭🤔🤔🤔
@jennyjano3485
@jennyjano3485 Жыл бұрын
😢😢😢😢
@linahtalian1277
@linahtalian1277 Жыл бұрын
Woyee,,,
@pattiz4876
@pattiz4876 Жыл бұрын
Tunaelekea wapi kweli??
@linahtalian1277
@linahtalian1277 Жыл бұрын
@@pattiz4876 mungu wangu jesus. But hii mambo government inajua Kuna jamaa fulani yee kazi yake nikua nakueka watu kwa mansion yake n police know very well big cult
@pattiz4876
@pattiz4876 Жыл бұрын
Linah ata ii govt ni mbaya for real.. ruto pia ako inside this killings
@linahtalian1277
@linahtalian1277 Жыл бұрын
@@pattiz4876 I tell you
@OSIAPE
@OSIAPE Жыл бұрын
​@@pattiz4876 ruto amekuwa president kuanzia mwaka ngani na watu walianza kufa 2019 inafaa kulaumu Uhuru ama ruto??
@tabbzmwass4024
@tabbzmwass4024 Жыл бұрын
😢Wah hii kitu ni this serious mm natake kama jokes
@franciswainaina6612
@franciswainaina6612 Жыл бұрын
Pp
@therichards007
@therichards007 Жыл бұрын
So it's the DCI who know knows where the bodies are 😅😅😅😅😅😅😅... This country is really funny
@judymoraamachongo99
@judymoraamachongo99 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂Am wondering, mbona hawakujua wakipelekwa
@therichards007
@therichards007 Жыл бұрын
@@judymoraamachongo99 now you know the reasons why they don't want Media there 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.. You can clearly see that it's them getting dead bodies from mortuary, plant at the scene then purport to exhume them ... Oooh my God of Mercy ... Ruto will fall terribly and the fall will be fatal and will be loudest to the world .. trust you cannot fight the anointed of the Lord.
@divajames
@divajames Жыл бұрын
Serikali inakua hii kitu,Huyo Makenzi hakufanya peke yake na hata ukimuangaliaa hana wasi wasi..ashashikwa mara nyingi akiachiliwa
@divajames
@divajames Жыл бұрын
Mtasikia tu ameachiliwa
@julietnelima3253
@julietnelima3253 Жыл бұрын
Kitawaramba "" kuna mtu ametafuta maana ya hili neno na inakuja kidogo but inachanganya 😅😅
@maryalff1689
@maryalff1689 Жыл бұрын
The pastors are innocent.
@capo_to_di_top
@capo_to_di_top Жыл бұрын
give me proof to believe you
@elizabethnjoki6186
@elizabethnjoki6186 Жыл бұрын
Brainwashed 😂
@everlyneojuro5459
@everlyneojuro5459 Жыл бұрын
How sure are you?
@vincentmunyao4911
@vincentmunyao4911 Жыл бұрын
But not Mackenzie, Mackenzie anatumiwa,... Waliona yala river yala italipuka wakahamia syakavola
@divajames
@divajames Жыл бұрын
Not Makenzi yeye alikubali kutumiwa kuua watu
@jamesgathaiya6450
@jamesgathaiya6450 Жыл бұрын
Huyu Ezekiel apigwe tu risasi
@cindynyam2547
@cindynyam2547 Жыл бұрын
Na mackenzie
@gladysmunyiri4555
@gladysmunyiri4555 Жыл бұрын
Who told u ni Ezekiel utaibika bure
@jamesgathaiya6450
@jamesgathaiya6450 Жыл бұрын
@@gladysmunyiri4555 wote ni wauwaji
@jamesgathaiya6450
@jamesgathaiya6450 Жыл бұрын
@@cindynyam2547 hakuna mzuri wote ni the same criminal
@divajames
@divajames Жыл бұрын
Apigwe risasi kwa nn??? Na makenzi aliyeuwa afanyiwe nn? Shenzi wewe
@alluminiumexperttz.12mview13
@alluminiumexperttz.12mview13 Жыл бұрын
Ignorance
@eriminahmshai
@eriminahmshai Жыл бұрын
Serikali wapeleke wafungwa wenye hawasikie huko wakafukuwe
@carolinenjoroge9092
@carolinenjoroge9092 Жыл бұрын
Wacha hawa wafanye walipwe hela. Wafungwa watafukua bure.
@eriminahmshai
@eriminahmshai Жыл бұрын
@@carolinenjoroge9092 hapana wawekewe hizo hela ili wakitoka wawe na hela zakutumia huku wakitafuta kazi
@juddiedon713
@juddiedon713 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@zombiesande4300
@zombiesande4300 Жыл бұрын
Sooo sad
@franciswainaina6612
@franciswainaina6612 Жыл бұрын
Pp
| SIRI YA SHAKAHOLA | Picha ya ndani ya msitu wa Shakahola
10:36
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 347 М.
Arafat Manyoka afuga nyoka na mamba kama walinzi wa boma lake Ukunda
5:36
Farmer narrowly escapes tiger attack
00:20
CTV News
Рет қаралды 13 МЛН
HAMU | latest 2023 SWAHILI MOVIE | BONGO MOVIE | Filamu za Adam Leo
1:28:13
Adam Leo Studios
Рет қаралды 2,7 МЛН
Dato Ingat Dato Malaikat Ke, Padu Ayob Khan SOUND Golongan Atasan
16:45
Новости дня | 30 ноября - вечерний выпуск
4:48
Euronews по-русски
Рет қаралды 90 М.
VITUKO VYA CHUMBA CHA MTIHANI LAZIMA UCHEKE
13:11
BabaJoan
Рет қаралды 1,9 МЛН
Spartacus-Crixus vs Theokoles best fight scene
8:16
Clips Adda
Рет қаралды 4 МЛН
Ufahari wa mhubiri Ezekiel
3:34
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 255 М.
13 M3I 1969 TENTERA TURUN PADANG
11:41
Budakampung Asia
Рет қаралды 1,4 МЛН