If you will watch this video in 2097,I am not alive anymore, but just know that the Youths in Kenya, in 2024, brought change, they were tribeless, they were fearless and they were leaderless, we fought for our country, we lost our fellow youth and we are all smiling in heaven because walianguka nayo!!!!!!! We fought for you, keep on fighting! Gen Z viva!
@KennethGitau-v9z6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤q❤❤❤❤❤a❤❤
@LinaNzilani6 ай бұрын
Viva🎉🎉
@ednalove66886 ай бұрын
Vivaaaaaa!!!!!!!!❤❤❤❤
@stevebiko21016 ай бұрын
Uko wapi nikuoe haraka
@faith60076 ай бұрын
💯🇰🇪
@novaflowboy_z23 күн бұрын
Finally nani ako hapa vile imerudishwa ❤❤❤❤
@none857622 күн бұрын
Lazima tungerudiii
@Hendrick737821 күн бұрын
Manzee😂🤘🏽
@DJJoeMfalme6 ай бұрын
⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️
@browndames67686 ай бұрын
Kufa juu beat hitting on another level
@johnsonmwarimbo74976 ай бұрын
Anguka na mix mkuu😂😂
@VictorGikonyo6 ай бұрын
Nakumbuka ukicheza Zimenishika 7D then ikakua hit hatari..anguka na hii pia mkuu
@fromthehoodmusic6 ай бұрын
🔥🔥
@MosesOkoth-yh7qm6 ай бұрын
Kwani uko naks@@VictorGikonyo
@ARONPaul-bz3ws5 ай бұрын
from Tanzania 🇹🇿 majirani ila ngoma.ya anguka nayooo imeenda mbalii sana pamojaaa sana
@kulomske59915 ай бұрын
😂😂
@Tallerk.e5 ай бұрын
Daa mumeanguka uko baraa😂😂🇰🇪🔥🔥
@Officialmoyo-l1d5 ай бұрын
Wameangukia manzee😂😂😂@@Tallerk.e
@andikipchumba5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@FrancisKamau-s3uАй бұрын
@@Tallerk.e😂😂😂😂😂
@iamvicwest6 ай бұрын
WADAGLIZ ANGUKA NAYOOO!!!!🔥🔥
@toffeemontana6 ай бұрын
Vic Twende 🔥🔥🔥😂...Remix ?
@fromthehoodmusic6 ай бұрын
🔥🔥
@toffeemontana6 ай бұрын
@@fromthehoodmusic Remix vipi ? 😂😂😂
@RIP_BOYZ6 ай бұрын
Waziii mkuuu 🔥🔥
@fromthehoodmusic6 ай бұрын
@@toffeemontana 😂😂let's wait
@MATATAOFFICIAL6 ай бұрын
ANGUKA NAYO!! 🔥🔥🔥
@OgollaJr6 ай бұрын
Remix😢
@OgollaJr6 ай бұрын
Please😅
@water-holic21426 ай бұрын
Inakubalika
@kenyanmaina586 ай бұрын
Imagine ikianza na MATATA MATATA🥹
@trasVant_life6 ай бұрын
Inakubalika
@evansgithinji46176 ай бұрын
Mimi si prophet lakini najua 2027 after elections hii doba itasumbua sanaaa zakayo akianguka nayo
@DanielLimo-jx7hz6 ай бұрын
Pigwa like juu ya kuongea facts
@_beekay6 ай бұрын
Factoid!
@waridirehema84546 ай бұрын
Eeeii nabi😂😂, ebu itisha kinywaji kwa bill yangu
@evansgithinji46176 ай бұрын
@@waridirehema8454 kinywaji saai ni uji moto ama kahawa😂 lakini sana sana uji moto ndio inabamba
@dhuluufiklihassan5376 ай бұрын
Unangoja 2027😂
@dizzonofficial26004 ай бұрын
Mimi ni shabiki mkubwa sana wa muzikii huu wa kenya npo Tanzania 🇹🇿 na ni mtanziana halisi napenda kazi zenu njooo inta kama #LOGOYAMTAA
@FabianNthale4 ай бұрын
❤❤🇰🇪
@Tophaz6 ай бұрын
Hii tunaAnguka Nayo💥💥
@stevostin0016 ай бұрын
nayo nayo Mzee
@fromthehoodmusic6 ай бұрын
🔥🔥
@ArnoNickyz5 ай бұрын
Translate to english😂😼😼
@jillyodhiambo3056 ай бұрын
Nani ako hapa after Ruto ameanguka nao i.e All C's fired
@MerrcyWasonga6 ай бұрын
Tuende down low
@SarafinaWanja3 ай бұрын
Aanguke 2027, na raila AU
@ppptvkenya6 ай бұрын
KE KE KE!!! ANGUKA NAYO!
@jamineorico43676 ай бұрын
Karibu nindanie ni Zakayo anacheka.🤣🤣🤣 anyway much love for Kenyan Music
@AllyMaya-yj3xd4 ай бұрын
Ila kenya genge kwann nliiacha ipotee hizi song ndio zilifanya mle hela za tz sana honestly zinababa sana zipo na vibe zake zake tu za kitofauti .
@NasriMunis6 ай бұрын
Arusha's People are number One Fan of Kenyas Music.... Sijui mbona Amji kupiga Show mchukue Hela zenuu
@DebsChebby6 ай бұрын
Ipo siku watafika huko
@sammwaniki69166 ай бұрын
Sai tumeshikana kidogo na shuguli ya maandano lakini usishtuke ndugu, hatujawasahu
@erickanyugo32536 ай бұрын
We are closed for political renovation.
@virginiam78426 ай бұрын
Hela gani,how much can they make in Tanzania surely 😅
@Kilifikeed6 ай бұрын
Hujui arusha mkuu@@virginiam7842
@tssvchannel42956 ай бұрын
Kama unaskiza hii ngoma na kichwa inatingika uki anguka nayo for 3 minutes piga like 😂
@Ivanthekinoti6 ай бұрын
Nmeanguka kwa nyumba nayo Big tune nipeeni izo likes❤
@collinscollo54583 ай бұрын
Wameamua kuanguka na Rigadhi😮
@morrischege-y2t2 ай бұрын
nice one collinscollo but wewe ni mjinga
@AdventurousWorld-g7k6 ай бұрын
Ruto: vijana si nishatoa finance bill Sasa mnataka nini manze Vijana :Anguka nayo😊 Big tune hadi ishafika bunge big ups wasee kama unakubali hii Ngoma imeweza piga like tusonge...#Anguka nayo
@kingdavid38926 ай бұрын
Ndio naigia club kuanguka nayo after president kufagia all css🍾🍸🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Who is here after seeing Ruto dancing it in Kwale during Mashujaa day, I hope it was prophetic RUTO ANGUKA NAYO.
@AISpiritualStories2 ай бұрын
Mimi 😂
@joywambui54312 ай бұрын
They killed vibe ya hii song.....but wataanguka nayo
@Richie_Knights_2542 ай бұрын
Huyo fambatala😅
@yellowg1002 ай бұрын
Bvzz James
@ewm42662 ай бұрын
He looked uncomfortable 😂😂
@djlem.6 ай бұрын
nani ako hapa baada ya Zakayo kuanguka nayo😂😂🇰🇪
@OnyustoJames2 ай бұрын
😹😹
@SammyMwenda-gt7qy2 ай бұрын
Sa@@Nimitramartin.
@mhengamtarajiwa17336 ай бұрын
nimekua nikianguka nayo bila vida, sasa juu imetoka si mniangushie likes😂😂
@little._scrapy88036 ай бұрын
😂Ndio maana inajiita mhenga🙌 Noma sana
@1nitotrip6 ай бұрын
Like za wadagliz hapa
@safarishakur77994 ай бұрын
From Fiji,we love all our African bros and we will one day come back home!
@GodAsh-s3s4 ай бұрын
Real Fiji Fijiverse
@Talk-your-mind6 ай бұрын
Wakenya wacheni upuzi bana muna view na hakuna ku subscribe choreeni izo bana support mayouth man.doba noma sana Acha ni anguke nayo🔥🔥
@teshman26486 ай бұрын
Bana wallai nashangaa ata
@Mrpeace19006 ай бұрын
Pin hii comment
@DennisDbrown-nl8ir6 ай бұрын
1❤
@Xamxon2546 ай бұрын
Bana jo.. hadi nimesubscribe.
@Jeremy_the_plumber6 ай бұрын
isha monitize
@c19bena6 ай бұрын
#1 Trending Wadagliz siku zote
@lifelyx2546 ай бұрын
Sijui ka hii ngoma imetoka mapema bado iko on time coz mimi nangoja 2027 Ruto akianguka na hizo uongo zake zenye akisha danganya ajaribu kusafisha jina Kwanza hawa Gen Z waliuliwa Githurai na masanse then wanalipa mtu aseme yeye ndio amekua akiua watu 2years ago na hizo mili zote ziko fresh ni za juzi . Sai tumechanuka zakayo lazima aanguke 2027
hi can we be friend I am from USA but I love you songs
@wajeerkenya6 ай бұрын
8 days 1M views ?? Kweli Tumeanguka nayo ! Hit like if you agree.
@agnesmaina-vl3pn6 ай бұрын
Wueeh itafika 40milli0n
@irerikelvin2546 ай бұрын
9 days 1.3M 😮
@njerij15116 ай бұрын
😂😂😂 imebidi nisake hii video pia nakuta 1.5m views in 10days. Watu wasubscribe pia
@MgeniHamisi-g5w6 ай бұрын
Wasema ata komasava imepitwa wakenya tu support nyimbo zetu❤❤❤❤
@TimothyKipkoech16 ай бұрын
1.7M ...11days
@LevyIkonya5 күн бұрын
umoja iko na wasanii
@venahuncho6 ай бұрын
Anguka nayo. Kama finance bill.🤘🤘
@ianmugera27246 ай бұрын
Vulai❤
@mavellajonte6 ай бұрын
Sai Kila Mtu Ana ANGUKA NAYO 🔥🔥🇰🇪🇰🇪
@funsyder37215 ай бұрын
There will be a year my kid will read this comment and let it be known this was a vibe during the revolution by us for a better kenya they could have never found maybe😊
@mrlau236 ай бұрын
Am from South Africa I don't understand more Swahili lakini hii imeweza naanguka nayo 3M views wapii likes
@francissirima70356 ай бұрын
😂😂
@mochaticha59446 ай бұрын
😂😂😂😂🤦♂️
@makatym61515 ай бұрын
How is Johannesgithunguri😮
@Jmuchiri5 ай бұрын
😂😂😂 Githurai kuhana atia muthuri
@claradisi83695 ай бұрын
What's good in Joburg
@EstherMuinde-mj3kw6 ай бұрын
Am from Tz I really love this long ❤❤❤❤❤KENYA twawapenda sana I really love this song 🎉❤❤❤❤😊
@edwardedwardloseny76706 ай бұрын
hii ndio ilitega financial bill ikaanguka nayo 2024
@wasike98316 ай бұрын
😂
@briannaseko82706 ай бұрын
Kabisa ki One legee!
@denniskimanzi57284 ай бұрын
Na lazima Zakayo anguke nayo
@fromthehoodmusic6 ай бұрын
Anguka Nayo 🔥🔥💯
@eddymwendwa72876 ай бұрын
Anguka nayo kaa ukona a New Catch 😮💨✌🏾
@iyanwaititu81096 ай бұрын
Anguka nayo imenipasulia debe kwa dinga. Naweka ingine ipasue tena. Noma tena sana 🔥🔥🔥
@francisbarasa54814 ай бұрын
ngoma imeweza Keep it boyz
@hustace57586 ай бұрын
Dexe ulisema lazima turepresent 👊🏿👊🏿
@irenembinyak87486 ай бұрын
Aah nikuanguka nayo tu...nice song❤
@efootballcurly6 ай бұрын
likes za anguka nayo hapa,,,,,, eka video na upost pale ngc💯
@stephenkathunkumi65934 ай бұрын
Anguka nayo. Hi ngoma ya Gen Z Ni noma this round. Nmeipenda