Waaoh.. Hongera sana kwao. Japo nimechelewa kuiona. Hii ndiyo raha ya ukatoliki.. Bwana awatangulie mfikie altare yake takatifu.. Hongera pia kwa mama kanisa kuendelea kulea miito.. Ni Raymond Laurent Parokia ya Kasherero Bukoba (Safarini Berlin-Ujerumani)
@geegirl80564 жыл бұрын
Kama inaruhusiwa naomba jina la huu wimbo naupenda sana mungu awabariki
@RenatusMatungwa7 ай бұрын
Nitume mimi bwana
@renatusmatungwa24395 жыл бұрын
Hongereni sana
@paulinaluambano91504 жыл бұрын
Hongereni sana. Huu wimbo jamaniiii hadi rahaaa
@jeniphapaul12705 жыл бұрын
Nitume mm bwana hongeren sana Mungu awatie nguvu katk utume wenu
@renatusmatungwa65063 жыл бұрын
Safi sana vijana👍👍👍
@elizaberthikhongoo-mp2pq Жыл бұрын
Ubarikiwe magunisi irunde nakuona katik utume , na wote pia mbarikiwe
@melaniachambala34994 жыл бұрын
Nimebarikiwa Mungu awabariki
@antony.william25754 жыл бұрын
Melania Chambala Namoba namba ya cm ya Frateli mmoja tu alieimba wimbo huu nimziri sana NO 0680 27 57 58 Nataka kutoa. Zawad
@melaniachambala34994 жыл бұрын
@@antony.william2575 sina namba zao mpendwa
@DevinusMabiba4 ай бұрын
Ukatoliki Safi sana ❤upendo amani na mshikamano
@francemmzava16334 жыл бұрын
Nime chelewa kuiona ila nimefurah kumuona Kaka yangu hpo Alpha
hongereni sana Mafrateri kwa kusherehekea vema mhafali yenu. kweli inapendeza. Mungu awabariki sana.
@jescarwegoshola1754 Жыл бұрын
Amen,kweli uwa nawakubali mnavyo andaliwa kuwa Watumishi,ni wito toka ndani ya moyo sio kutafuta kujulikana bali mnamtambulisha Kristo. Mbarikiwe sana Mungu awapiganie ktk wito wenu🙏