Hahahahaaaa. Tuwaombee Tu Mtumishi wa Mungu ili wamjue Yesu na kisha wampokee awe Bwana na Mwokozi WA maisha yako. Ubarikiwe sana
@mkunditheophil60024 жыл бұрын
Tuko pamoja sana
@kadzondogeorbic21583 жыл бұрын
Wakristo hawajielewi jamani
@jeanninemunezero64692 ай бұрын
Sijawahi kusiya mtume mwingine amerogwa ni Muhammad peke yake kwakuwa hana Roho wakristo ndiyo mamaana akarogwa
@ismailyussuf18053 жыл бұрын
Wakristo Hamna hoja.Ngojeeni Jahannam.
@petromachanga55383 жыл бұрын
Umesoma. Especially????
@mwassamwassa72642 жыл бұрын
Jehanam unaijua we, mtume wenu yuko huko anahangaika, ndiyo maana mnamuombea
@BoazimakolobelaMakolobelaАй бұрын
Ndoo maana hawa niwavuta sigala sanaaa na pombee walevii awaa
@Bennymwangaza Жыл бұрын
Shedrack sk hz uko ap
@i.dclassic1163 жыл бұрын
Sikuhiz munafungua akaunt 2 nja zinawasumbua munatafuta pesa kwenye mitandao siyo
@shadrackmwasonya87813 жыл бұрын
Mimi hata sijui hizo peaa za mitandao unazipataje ndugu yangu!!
@nelsongasper20604 жыл бұрын
Hahahaaaa mchungaji obama unanikosha sana..
@zainabrashid3853 жыл бұрын
Uislaam unahitaji waumini ambao wanahofu ya Allah na wenye akili ya kuzaliwa
@shadrackmwasonya87813 жыл бұрын
Hebu zainabu nisaidie hapa. Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika zake wanamswalia Mtume Mohamad (s.a.w). Enyi mlioamini Mswalieni Mtume na kumtakia Rehema! Je Allah (S.w.t) na Malaika zake Wanamswalia (Kumuombea) Mtume Mohamad (s.a.w) na kumtakia Rehema kwa Mungu yupi?????
@achanifumos10933 жыл бұрын
@@shadrackmwasonya8781 Mtume s.a.w anao rehma kwa mola wake tangu hajazaliwa...hio swala ya mtume s.a.w ni kutusaidia sisi wanaadamu ili tupate rahma...ni hivii...unapo mswalia Mtume s.a.w yaani kumtakia rahma Allah s.w anakutakia ww rahma na anakufutia dhambi na anakupandisha daraja yako siku ya qiama tena 10 ×
@shadrackmwasonya87813 жыл бұрын
@@achanifumos1093 Tangu alipoondoka Mohamad ni lini amepewa hizo Rehema maana kila siku mnamwombea na Rehema hajapewa kabisa. Na je Allah anapomuombea Rehema Mtume ja anamuombea kwa nani ilikiwa yeye ni ndihe Mungu???
@petromachanga55383 жыл бұрын
Ahaaaa staki wislam Wala kuufikilia
@shadrackmwasonya87813 жыл бұрын
Hahahahaaaa! Chukua jukumu la kufunga na kuomba kwa ajili yao.
@nassorsharifu98373 жыл бұрын
@@shadrackmwasonya8781 duh unachekesha sana
@shadrackmwasonya87813 жыл бұрын
@@nassorsharifu9837 Ukiona hivyo Ujue Uislamu ni Kichekesho Maalim @Nassoro Sharifu
@nassorsharifu98373 жыл бұрын
@@shadrackmwasonya8781 endelea kuabudu mungu aliekula, akanya, akalala, alieshindwa kujitetea asiuliwe na viumbe vyake kwa sababu hapo ndipo akili yako ilipofikia. Tafakari!!!
@shadrackmwasonya87813 жыл бұрын
@@nassorsharifu9837 Sasa yupi aliye bora kati huyo ambaye unayesema alikuwa anakula na kunya na huyu ambaye ni Jiwe Jeusi la pale Maka ambalo haliongei, Haliwezi kula wa kunywa. Je yupi bora? Huyu Yesu ambaye alifufua wafu na akaponya watu Magonjwa na Jiwe Jeusi? Mpaka leo Misikitini mnatangaziana kwamba Yesu hajawahi kufa mpaka leo! Je atakuwa najo huyooo! Na ukiona Mungu unayemwabudu kuna mambo ambayo anayaweza na kuna mambo ambayo hayawezi, jua kwamba huyo Mungu hakufai!
@omarmgeni87824 жыл бұрын
Makafir tu hamna lolote
@shadrackmwasonya87814 жыл бұрын
Kivipi sasa Omari Mgeni. Nani Makafiri sasa? Mbona hujafafanua?
@petromachanga55383 жыл бұрын
Enyi wafuga majini namalem mhamadi kafiriiiiiii
@omarmgeni87823 жыл бұрын
@@petromachanga5538 tatzo ww huniamini tu na km unajiamini nipe namba yko nikufunze kua ata yesu nae alikua muislam bx nae alikua anafuga majini!!!
@petromachanga55383 жыл бұрын
@@omarmgeni8782 hahaaa yesu alifundisha wislam haaaaa uongo mtupu
@mwassamwassa72642 жыл бұрын
@@petromachanga5538 Isa ndiyo alikuwa mwislamu siyo yesu