WAJESHI WA JWTZ WAONDOKA DRC, BAADA YA KUMALIZA MUDA WAO

  Рет қаралды 32,795

VOA Swahili

VOA Swahili

Күн бұрын

Пікірлер: 25
@manyusiabubakar4370
@manyusiabubakar4370 2 жыл бұрын
Well done tanzbat 7.thanks a lot
@roselinemoshi5008
@roselinemoshi5008 2 жыл бұрын
Mwenye Enzi Mungu awalinde ndugu zetu jamani uwiiiiii 😢
@eliarichard9218
@eliarichard9218 3 жыл бұрын
Love you Tanzania.
@djbonfigkby
@djbonfigkby 3 жыл бұрын
Asante sana 🇨🇩👀
@tegezdomin8363
@tegezdomin8363 3 жыл бұрын
Pamoja sana
@DKMUINDE
@DKMUINDE 2 жыл бұрын
Nmeona konde gang jeshii
@davidjamesmahe161
@davidjamesmahe161 3 жыл бұрын
Mpunga mrefu xan
@achillenamikomachilinlin1314
@achillenamikomachilinlin1314 3 жыл бұрын
Monusco yote itoke DRC, Haina kazi Congo, mwende salama ndugu zetu
@tegezdomin8363
@tegezdomin8363 3 жыл бұрын
Hamuipendi monusco lakini kidogo mumetulia kuliko mwanzo mulivyokuwa maana mulikokuwa munaelekea sio kuzuri mungesababisha Afrika Mashariki yote iwe na vita
@achillenamikomachilinlin1314
@achillenamikomachilinlin1314 3 жыл бұрын
@@tegezdomin8363 ni bongo, haujuwe nini uko naongeya ndugu yangu, unajuwa ngapi banakufa mu présence yabo.
@tegezdomin8363
@tegezdomin8363 3 жыл бұрын
@@achillenamikomachilinlin1314 wanaondoka sasa muilinde nchi yenu muwe na Amani
@djbonfigkby
@djbonfigkby 3 жыл бұрын
Asante sana voa
@afropanorama4730
@afropanorama4730 3 жыл бұрын
Vita hiyo haiishi myaka yote au ni vita endelevu isiyo na mwisho
@anoldwako102
@anoldwako102 2 жыл бұрын
aai n jeshi gani hili linatumia air tanzania kwani hamna airforce transport jets
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 3 жыл бұрын
Hiyo mijanajike vipi wanaweza kustahamilia nyege muda wote huo
@emilyibraimo5032
@emilyibraimo5032 3 жыл бұрын
Daaa we msenge kweli
@namandamzuma5478
@namandamzuma5478 3 жыл бұрын
Stop being negative gentleman. Yaani we akili yako imeishia chini tu. Wafikiri uazavyo ngono masaa yote ndo na wengine vivyo hivyo?
@sungesonji4412
@sungesonji4412 3 жыл бұрын
Kazi gani wanefanya na watu wanauwawa kila siku wakiona? Acheni ushenzi huu, bado kila nchi inayoleta machungu Kongo watalipizwa kisasi hebu msubiri wengi mtajuta kwa nini mmejiingiza kutendea wakongomani unyama kutuuwa kila siku. Muda si mbali mtajuta tutalipiza kisasi, iwe tanzania, Rwanda, uganda, zambia, Sudan na kila nyama iliyoweka mguu wake Kongo kwa ajili ya kutuhangamiza
@mwajumahamisi2006
@mwajumahamisi2006 3 жыл бұрын
😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
@zackdaxlover4132
@zackdaxlover4132 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 ya kanyageni muone nyie wakongo tutqkch wafanya
@hollymoris9083
@hollymoris9083 3 жыл бұрын
Mnafikiri wakongo ni wajinga wakutokujua kile kinachofanyika kule congo na hao monusco? Tunasubiri mda wao umalizike tu warudi kwao hakuna wanachofanya zaidi ya kuwapa waasi silaha ili wauwe raia ili waendelee kupora mali zetu.mungu wetu sio asumani,tambueni kile unachomfanyia jerani yako ipo siku kitakurudia na wewe siku moja.
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 3 жыл бұрын
Ni kweli Mimi sioni walichokifanya kila siku masela wanaua sasa amani hii sijui wakilinda wapi hawa jamaa zangu 🙏👉🇹🇿🇹🇿
@hollymoris9083
@hollymoris9083 3 жыл бұрын
@@frediricknandonde1690 ndugu yangu ni vitu vya kushangaza kuona ndugu zetu tena majerani wetu wa Tanzania,rwanda,Burundi na uganda wanavyokubali kumwaga damu za waafrika wenzao kwa sababu tu ya vitu ambavyo wataviacha.hao jamaa wa monusco wanachukua silaa na kuwapa waasi wa kutoka nchi jerani ili wawaue raia alafu wao wanawalipa dollars 30 sawa na ShT6000 ku mwezi alafu wao wanakwenda kuchimba madini sehem ambayo wameua watu.siku hizi kuna vifaa vya kivita vya rais mstaafu Joseph kabila vilivyotoka Africa kusini kwa kupitia kigoma,vimeshuudiwa vikiingia kalemi nchini Congo kwa mpango tena wa kuanzisha vita mashariki mwa nchi hiyo.unaona ginsi ginsi gani Tanzania invyohusika na umwagikaji wa damu wa ndugu zao? Tunawaombea watesi wetu wadhidi kuishi milele ili watambue dunia ginsi ilivyo mdwara.🙏🙏🙏
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 3 жыл бұрын
@@hollymoris9083 yaani ni vitu vya kushangaza sana aisee unauwa mtu kisa madini maanake unajikuta unashangaa ugaidi auishi miaka yote hii alafu awo wapiganaji awafi ovyo ovyo basi ni kweli unachosema kuna kitu hapa
@hollymoris9083
@hollymoris9083 3 жыл бұрын
@@frediricknandonde1690 ndio,mara nyingi hao monusco wameshikwa live na raia wakiwapa waasi silaha hata baadhi ya hao waasi wanashikwa na jeshi la taifa na wanakiri kupewa surport na monusco pamoja na viongozi wengine wa jeshi la taifa,..ndo maana haya mauwaji yetu kumalizika kunaomba mda sana kumalizika.ni mungu tu peke yake
Umoja wa Mataifa  wazungumzia mafao ya wanajeshi waliouawa DRC
16:33
Habari za UN
Рет қаралды 171 М.
Жездуха 41-серия
36:26
Million Show
Рет қаралды 5 МЛН
She wanted to set me up #shorts by Tsuriki Show
0:56
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН
OCCUPIED #shortssprintbrasil
0:37
Natan por Aí
Рет қаралды 131 МЛН
Duniani Leo
29:40
VOA Swahili
Рет қаралды 3,6 М.
MAPOKEZI YA MIILI 14 YA WANAJESHI WALIOFARIKI KONDO DRC
6:18
Mwananchi Digital
Рет қаралды 95 М.
Komando Koplo Ali Khamis Omary kutoka Tanzania, afunguka.
6:01
Habari za UN
Рет қаралды 556 М.
JWTZ YAPELEKA WANAJESHI KULINDA AMANI DARFUR
2:45
Habari za UN
Рет қаралды 155 М.
Duniani Leo
29:40
VOA Swahili
Рет қаралды 1,9 М.
Miili ya wanajeshi waliofia Sudan yawasili Tanzania
3:48
ITV Tanzania
Рет қаралды 230 М.
Жездуха 41-серия
36:26
Million Show
Рет қаралды 5 МЛН