Рет қаралды 8,053
Huku serikali ikipania kujenga kituo cha kawi ya nuklia katika kaunti za Kwale na Kilifi kufikia mwaka wa 2034, mipango hii imeanza kuingia ati ati. Baadhi ya wakaazi wa eneo la Uyombo katika wadi ya Matsangoni kaunti ya Kilifi sasa wanasema hawana imani na mradi huu wakisema utaleta madhara badala ya faida kwao. Francis Mtalaki alikuwa Uyombo na kutuandalia Makala haya