"Chunga usipate baraka waseme ni wash wash" that part slaps differently
@Suliaman123852 жыл бұрын
Don’t know the meaning but still Loved it, Lot of Love from Afghanistan 🇦🇫 Kenyan brothers.
@JMwiti Жыл бұрын
Mad love from Kenya brother..
@williamkaruchua9727 Жыл бұрын
Møb❤🇰🇪
@garagara1922 Жыл бұрын
Taliban
@petronasken7504 Жыл бұрын
@@garagara1922your mother's pum pum is the Taliban
@hassanmohammed59019 ай бұрын
Afghanistan zindhabad❤❤
@antonywaithaka555611 ай бұрын
Nimekam 2024. Nani amezubaa hapa na mimi
@robertchege354910 ай бұрын
🖐️
@danszn10 ай бұрын
mimi
@antonywaithaka555610 ай бұрын
@@danszn this song will never grow old
@annahkariba-ux2hh9 ай бұрын
Ndo kudunda ❤❤❤
@JaneMuoki-m6h9 ай бұрын
😂😂😂😂tuko hapa
@TeshStudios3 жыл бұрын
nimeeka wakadinali's song on repeat mode ikararua woofer💥
@avidodev94082 жыл бұрын
Hio verse ya "mbwa" ndio hunileta hapa everytime... Hii ni kali...
@eidyvanny3 жыл бұрын
Only a Tz 🇹🇿that will never skip any of Kenyan song 🎵👌
@glenouma80373 жыл бұрын
Kama kizungu imekushinda ongea lugha ya taifa
@erickroman12133 жыл бұрын
Thanks my guy
@khubeibjuma75673 жыл бұрын
Si lazima udanganye mzee
@roman_kay_3 жыл бұрын
@@glenouma8037 kwani ukona chuki na life bro
@gideonmutugi24783 жыл бұрын
@@glenouma8037 Broooo kwani who taught you English haha ,,AKO SAWA RR
@mosesjaguar5 ай бұрын
Who knew this would be the song used by GEN Z to liberate kenyans from mpigs and zakayo . Kaende kaende
@enockkioko9852 жыл бұрын
Saa hizo jaba ni maini na kindukulu Walifanya zote zishuke chini pungulu puu!!!!scar mkadinaliiiiii ✌️💯🔥🔥
@geraldoluoch94793 жыл бұрын
Wakadinali fan since way back .....pale homeboyz radio Hip Hop culture hhc 🇰🇪🇰🇪to the 🗺
@reubenmunyoki3 жыл бұрын
Mafans bado tuko rada!! Rende is very Rong always💯
@kingkasa1058 Жыл бұрын
KiBughudughudu into 2024! Wanaokubali apa'#🇰🇪🇬🇧
@rvssiacity62153 жыл бұрын
Mad Munga🔥🔥✨
@KevoYardie993 жыл бұрын
Buru clean na mi si Boyz.....🔥
@Kapombe2312 жыл бұрын
Wow, vibes tu. Acha niache hii comment hapa ili mtu akilike nikam kuwatch hii burger
@KabuiMainakenya3 ай бұрын
Hiii ngoma hun raruria siku mbaya,ni 2024 lakini siwezi chorea kusikiza💯🔥
@eddymugoh3 жыл бұрын
Alikam na kibugudugudu!!! 2 minutes in. Its lit🔥🔥🔥🔥🔥
@STEVOH_K3 жыл бұрын
I literally come to KZbin everyday to check the notification “someone liked your comment’’ and “you have a new subscriber’’ it’s always Make my day🎭💫
@kizitto_int26593 жыл бұрын
Av subscribed to yours
@theodorbrian47113 жыл бұрын
Subaru ya mambaru imekam na imejaa💫
@lavinechumbaa64973 жыл бұрын
am soory ilidim...am soory nilidiim!!🔥🔥
@eugenemwangi46273 жыл бұрын
Lazma tupandishe io selfesteem😉😅
@johnngatia48802 жыл бұрын
CLOUT CHASER
@bosaya062 жыл бұрын
A perfect example that you don’t need clout to sell your art. Big up wakadinali
@Andrew_Kibe9912 жыл бұрын
Walae💯🔥
@joel_01732 жыл бұрын
Imekua anthem
@johnndungu59642 жыл бұрын
Ifikie kina nani ?🤣🤣🤣 wee taja
@bosaya062 жыл бұрын
@@johnndungu5964 hujui Diana B?
@ciirakibebe2 жыл бұрын
You just need consistency.
@leahgakuo289025 күн бұрын
Haaaaya ndio mimi tena 2024 dec straight aoutta Baghdad,Iraq...hii ngoma yoooh! Umbwa!
@wilsongathabai77882 жыл бұрын
[Hook: Sir Bwoy] Cheki fala amekam na amezubaa Na anacheki ati Subaru ya mambaru Imekam na imejaa Subaru ya mambaru imekam na imejaa Subaru ya mambaru imekam na imejaa Cheki fala amekam na amezubaa Na anacheki ati Subaru ya mambaru Imekam na imejaa Subaru ya mambaru imekam na imejaa Subaru ya mambaru imekam na imejaa [Bridge: Domani Munga] Alikam na kinini? kiturutututu! Kam na kinini? Kibugudugudu! Kam na kinini? Ki Sh! Sh! Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha! Alikam na kinini? kiturutututu! Kam na kinini? Kibugudugudu! Kam na kinini? Ki Sh! Sh! Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha! Na imejaa! [Verse 1: Domani] Kibugudugudu! my guy hii si toy Ziwa Hurush na mi najienjoy Tuliwabumbrush H-Kiamaiko Buruklyn na mi si boyz Sina jongo sina form sina cheda Bila mbesha still machaji walichuna Ngeus una matress kwako sema form Munga mjinga niko zone Past curfew magiza niko biz Smady Tings alikujia magiz giz I’m sorry ilidim, am sorry nimediiim I’m sorry ilidim, am sorry imedim Am sorry ah! ah! aiii! [Verse 2: Sir Bwoy] Subaru inakam na mambaru wamekrome Zaidi ya mzinga na zile vitu wrong Munga, Sirbwoy hepa chuom na imepong Digitali jaba kali shikisha na Dosh Maisha posh na maombre wa pale ni ka nankosh Taxin na magego za ogoro Zinawaka shinda torch za magwoch Idhaa ni mbaya lola mbota, lola watch Yeah, yeah Kwa hii darasa mi ndio teacher, mi ndio coach Zimewaka, zimeliet, zimemuoch Mbara ya gatheshe, hatuna kasheshe Maybe tukuthiokore na tukufanyange patient Boom boom, yeah yeah yeah yeah yeah Boom! [Hook: Sir Bwoy] Cheki fala amekam na amezubaa Na anacheki ati Subaru ya mambaru Imekam na imejaa Subaru ya mambaru imekam na imejaa Subaru ya mambaru imekam na imejaa Cheki fala amekam na amezubaa Na anacheki ati Subaru ya mambaru Imekam na imejaa Subaru ya mambaru imekam na imejaa Subaru ya mambaru imekam na imejaa [Bridge: Domani Munga] Alikam na kinini? kiturutututu! Kam na kinini? Kibugudugudu! Kam na kinini? Ki Sh! Sh! Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha! Alikam na kinini? kiturutututu! Kam na kinini? Kibugudugudu! Kam na kinini? Ki Sh! Sh! Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha! Na imejaa! [Verse 3: Sewersydaa] Zihushika za kiwhiteboy Akiwa maduya riomo anacock toy Hicho kidurag isikufanye uingie kwa soil Bro na kidurag hudungwa na rock mboi, boy Hatuitishi ruhusa kuguza Tunaishi nchi rahisi hutundura Na ukisnitch juu ya clique unasundwa Shock delete unakam kuchunguza, umbwa! Cock de ting ka umekam kutunyuria Finger imekwama kwa trigger unabuya Usikam ukiwa steam ka hutaki kupanguzwa Ni genje njege walikam kuwatuma [Verse 4: Scar] Uh alikam na ki-du-du-du-dum! Kama huamini unaeza Google-um Saa hizo jaba ni maini na kindukulu Walifanya zote zishuke chini pungulu-pu! Ati Scarde amechange? Haha, ati Scarde amechange.. Kwani unaexpect nini Fathe akikubless? Ni ma pupu… ubitch nigga muanze kuvaa vest Cheki Dosh Dosh Hakuna haraka manze tuwapeleke mos mos Chunga usipate baraka waseme ni wash wash Ilifanya utoe kila kitu kwa mbosho Ki sh! sh! kinawaka popote umoroto Ma twa! twa! msupa wako akipewa kiboko [Hook: Sir Bwoy] Cheki fala amekam na amezubaa Na anacheki ati Subaru ya mambaru Imekam na imejaa Subaru ya mambaru imekam na imejaa Subaru ya mambaru imekam na imejaa Cheki fala amekam na amezubaa Na anacheki ati Subaru ya mambaru Imekam na imejaa Subaru ya mambaru imekam na imejaa Subaru ya mambaru imekam na imejaa [Bridge: Domani Munga] Alikam na kinini? kiturutututu! Kam na kinini? Kibugudugudu! Kam na kinini? Ki Sh! Sh! Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha! Alikam na kinini? kiturutututu! Kam na kinini? Kibugudugudu! Kam na kinini? Ki Sh! Sh! Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha! Na imejaa!
@jeffrey12612 жыл бұрын
...nacheki ati Subaru... ...nacheki Hadi Subaru...?
@sentokaich62972 жыл бұрын
Buru klyn na mi si Boyz,noma
@slippymass2 жыл бұрын
shokde lee tunacome kuchunguza mbwa*
@kennedyngigi32562 жыл бұрын
God bless you
@fdttv17452 жыл бұрын
dope coment with lyrics
@kulanhofinestdon Жыл бұрын
Hii track Huo inapandisha steam yangu aje ka Niko bar 🍻😂😂🔥🔥🔥👊🏿💪🏿❤️👑👑👑👑🇰🇪🇸🇸💯🔥
@donug256 Жыл бұрын
Much love from Kampala Uganda
@hallakemohammed4672 Жыл бұрын
Cheki dosh dosh hakuna haraka tuwapeleke mosmos.. eeeeeeee mbaya sana
@lewisochieng88963 жыл бұрын
Sewersydaa drilling and rapping at the same time🔥🔥
@bryannyaga17443 жыл бұрын
Now we can agree.. Am a @SEWERSYDAA fan.. Mahn that dude spitts.. Lack of words
@blackdoug69593 жыл бұрын
@@bryannyaga1744 wisdom
@leontripa65153 жыл бұрын
Anakuaga mnoma
@melodycheptoo45233 жыл бұрын
I wish I could double like this comment
@kingdom_msk2 жыл бұрын
Cheki 👉🏾kzbin.info/door/Cj8XIeZ58gttEg2VsrGdtQ
@amuhjr033 жыл бұрын
Wakadinali always doing door step delivery..new track in town Scar🚀chunga usipate baraka waseme ni washwash
@davidkamau8217 Жыл бұрын
Am here after Tanzania thought wanatueza Kwa rap 🔥🔥🔥🔥
@godfreydavid69964 ай бұрын
Tz ina taste yake, Kenya iko na yake,S.Africa iko na yake
@kenyanwap2 жыл бұрын
iiiii ngoma n National Anthem 🚀🚀🚀🚀🤟🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪💯💯💯💵💵💵💵
@CONFESSIONS101_3 жыл бұрын
Nisipate baraka waseme ni wash wash,Wakadinali for life.Stay Rong 😎✌
@AfricanFolkTalesRevival5 ай бұрын
That anti finance bill protest made me look for this song and yaaaay I found it!! Subsribed and proud Kenyan here!!Alikam na ki ch ch much love from Austin, Tx!
@AFRICANPABLO3 жыл бұрын
Kali mzee💙🔥
@smashgvng4reva3 жыл бұрын
Semaje broski
@OmarKithuka-q8w8 күн бұрын
Rongrende domani muga mchizi sina form ✌️🫱✌️
@daqchald3 жыл бұрын
This brought a bright shine in South Sudan 🇸🇸🇸🇸... Nipee Likes wasee
@ItsCrazyXTheGoat3 жыл бұрын
nakuanga tu wa kwanza kuview😂...this time wakadinali wa subscribe❤️💯😂😂....this soong iko dope tho
@linvevo98083 жыл бұрын
Wakadinali to the world. Never disappoints
@kingdwe60472 жыл бұрын
Sheng ni ngmu kdg kuelewa kwa waTz bt still bonge la song. Lovd it since day 1 🇹🇿
@kumbikhanna2 жыл бұрын
Pia sisi wakenya sio wote twaelewa
@Psalm_ii3 жыл бұрын
SewerSyda to Munga: Nifanyie favour zima iyo fegi niwashe kikolo.. Scar still the teacher
@mercykaluki19693 жыл бұрын
Mad munga is maaaad,Sewer is Always Sydda mzee mnyama Scar huwezi mpata
@solomonjara3 жыл бұрын
Sewersydaa tuu 🔥🔥
@peterokello59732 ай бұрын
Walifanya zikashuka pungulu ❤that one did it for me
@SamcoSimiyu Жыл бұрын
Kwa hii darasa mi ndio teacher na mi ndie coach 🔥🔥🔥
@kennedyndiritu79573 жыл бұрын
Sewersyda took it personal and killed it
@k-leanfit47573 жыл бұрын
Tunaishi nchi rais hutundura😂🔥🔥🔥
@bettymwaniki20103 жыл бұрын
Manzeee
@jaymchelsea28392 жыл бұрын
Capital fm killed it, wish they did an extended version
@winniealuko69162 жыл бұрын
I'm here because of them 🔥
@gadwaithira2 жыл бұрын
@@winniealuko6916 me too my guy
@terryscoffer2 жыл бұрын
Same here
@lydiachege68822 жыл бұрын
Capital fm made me land here
@ruddbossraps30562 жыл бұрын
Me too
@lensesdontlie8718Ай бұрын
Juzi niligongewa na dame.
@oscartvonline23822 жыл бұрын
The guy in green is a national treasure. That hook is mad. And the government should seek some advice from Scar coz his lyrics alone are enough to patch the cracks in this country
@kingofbanter2 жыл бұрын
He should be guarded at all cost.
@abirabrian70412 жыл бұрын
The guy in green is sirboy
@johnmwangi86732 жыл бұрын
I like the one whom says Unacome kusnitch .........ubwa
@mwasgee29653 жыл бұрын
"wakadinali was my best favourite group of rappers and Scar was my best lyricist ever, in those days2021"...........................that's mwas in my 2080s..
@festohronoh69612 жыл бұрын
producers wako na kazi waah
@TrizoYoung13 күн бұрын
Much love from DIGANG victims
@annamwikali34682 жыл бұрын
Sirbwoy has really grown since his debut at homeboyz years ago..keep going man!!!
@abirabrian70412 жыл бұрын
Napenda vile uko rada babygirl👌🏿 His consistency and delivery keep escalating.
@Mnakx0012 жыл бұрын
Always waiting for the" Unakam kuchunguza MBWAA"🔥🔥
@kepha_ke3 жыл бұрын
"come na kinini!!!!" "come na kinini!!!!" mad mungaa mad mungaa kali manze its a banger
@Richie-maingi2 жыл бұрын
Hawa vijanaa wa Eastlands Huwa na talent mob sana.yafaa county government ifungue studio hizo area
@MTENGWAONE13 жыл бұрын
Wakadina to the world mazee kenyaN drill iS the best to listen wakadina ni marole model wangu kila siku natamani kukua ka nynyi bigup wazeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@p-tah_p-manirecords3 жыл бұрын
Noma sana, kila mtu alieakilisha to the finest, beat kali, Sir Bwoy nare kama kawa, Sewersyda mistari deep, Scar kalamu imekubali, Munga, Domani does what he does, nobody can ever imitate. The whole track is a vybe na bado zangu zimeshika from Umoroto. Album pia ni mambo baaaaad. Afrvka tunakucheki kwenye mask.
@nairobigossipclub19412 жыл бұрын
Update;This song is now trending worldwide 🌐
@ephraimremmy46392 жыл бұрын
Mafans wamechrome
@moxievick52062 жыл бұрын
It's the umbwa for me🤣🤣
@johnmiiri99292 жыл бұрын
Mko kila kona,
@lynnamondi33132 жыл бұрын
Pia huku haha
@jamesabende4062 жыл бұрын
KIND OF COOL
@jeffrey12612 жыл бұрын
...the greatest song on my life time. Me nimekuwa since 1984, nimeona family ma beste was mabeste waki disappear since nikiwa mtoi na hukuna mtu ashawai warepresent kama hii Ngoma. Noma sana watu wangu. Subaru ya Mambaru inakam inajaaa. RIP nyi Wakora. Nyii wengine God awabless.
@shellzremy2 жыл бұрын
I wish mtu angeweza kulike mara kadhaa 🔥🔥
@nairobigossipclub19412 жыл бұрын
Wakadinali taking over Nairobi hip pop culture
@palmerscampy7 ай бұрын
take over wakadinali
@thespot78042 жыл бұрын
Saw this song on a ballentines ad on Facebook. Now I can’t get enough of it. Going to make it bang in the Southy 🇿🇦
@Kihiu_Kimani2 жыл бұрын
Thank you men . We got really good music in Kenya 🇰🇪 just as from the South 🇿🇦💪
@itgamingke2 жыл бұрын
Just finished watching the ballantines x Boilers room-Nairobi DJ Iche mix and the crowd was live 🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇿🇦
@Deryque2 жыл бұрын
@@itgamingke I was there, twas lit AF
@RadBunny22692 жыл бұрын
Would love to see Cassper on its remix
@bigbrick22972 жыл бұрын
@@Deryque Same, I was also there, Buruklyn Boyz performance was mad
@wildwest3612 жыл бұрын
The only Canadian 🇨🇦 who can't skip any Kenyan songs🔥🔥
@novusinkcreations3 жыл бұрын
sir bwoy ako lit🔥🔥
@neshmugambi87523 жыл бұрын
Nimekam na Ki Ha Ha!!!!🎶🎵🔥🔥🔥🔥
@chrismwangi55203 жыл бұрын
Tuliwachuna... H.. Buruklynn na me si boyzz 😂😂😂madmunga on another level💯
@latifaahmed45632 жыл бұрын
Uganda 🇺🇬 Kenya 🇰🇪 tuko pamojaa😂
@ke_otic10803 жыл бұрын
Munga: Alikam na kinini....?? Kidurrrdungg🤣🤣👌🔥🔥🔥🙌☮️
@theegaza57373 жыл бұрын
Sewersydda will forever hold on to wakadinali drills and rap😍❕scar will always be the rap baddest while munga forever is mad😂😍😍😍❕i just love this wild drill by wakadinalii
@tucca4l7343 жыл бұрын
Hio si drill bruh
@ZjChains2543 жыл бұрын
Umoroto Representing🔥🔥✅✅Alikam Na Ki Nini...
@garamabe68912 жыл бұрын
Ngoma iko juu sana hata hawahitaji watingiza matako. This is how you know the song is a hit
@saintbervon3 жыл бұрын
Best HIPHOP artists of our generation.
@wakurugenziclan3 жыл бұрын
Role model wetu si huwa rank
@chaddychaddy22923 жыл бұрын
The best rapper currently in Kenya Domani Munga
@ShY.733 жыл бұрын
🔥🔥🔥 kzbin.info/www/bejne/eZnEo6mNo8eMp5I
@osiri81703 жыл бұрын
Si eti
@esthernjihia68632 жыл бұрын
I know your young Lakini search for Kalamashaka and ukoo fulani.
@starsapphire25443 жыл бұрын
Scar is the type of guy that would say " don't be sad" to his Therapist Sewersydaa would actually study for his Drug test Mad Munga would help his ex girlfriend move her stuff into her new boyfriends house And Sir Bwoy would literally go to the library to take out the Librarian.. CERTIFIED BANGER!!!
This guy in green apewe HEAD OF STATE COMMENDATION next year. Yeye ni shujaa.
@artsymsoh49953 жыл бұрын
There's nothing as amazing as the style used in this song and still made a lot of sense, talk of the beats, the rhyme, the punchlines , the sounds 🔥🔥🔥to the world 😊.this is hiphop ❤️
@benardkibet88533 жыл бұрын
💯💯💯
@phariskimani34362 жыл бұрын
This is hip hop 😍😏🤷🏿♂️🙆🏿♂️😎
@johnndungu59642 жыл бұрын
Hii ni vaibuuuuu......it will nevet get old
@chinotv93112 жыл бұрын
kzbin.info/door/nIf1R8lNZuzFkoyoEOcLKQ
@davidmuturi85432 жыл бұрын
Mrembo uko beyond ju!!si I marry u please? like am serious
@lenstracking67703 жыл бұрын
Munga i heard you have unrealised album drop it yoh, this is a banger.
@Sisyphus.z2 жыл бұрын
Sakaja referring to this song to make a statement brilliant
@Rowdy_254Ай бұрын
Greatest song in the history of Kenyan music
@krayve_yard78193 жыл бұрын
Mbayaa limuru tuko ndakas
@RitzeeTheExplorer2 жыл бұрын
Kuna confidence fulani hii song hupea mtu, kwanza ukitembea streets za Kanairo
@ceroh18993 жыл бұрын
Ati zimewaka zimeliet zimemwoch 😂😂🔥🔥🔥
@humphreykirauni85322 жыл бұрын
Music flow with coolant effects. Hizi wasanii unaeza chill na kuchana veve. Zishike
@juliusmomanyi59773 жыл бұрын
the flow in this song though...maaaaaad..respect guys
@stephgotyourvibes60452 жыл бұрын
All burundians let's gather here to support this amazing banger "Alicome naki..... Ki shishiii ki hmhm haha na imejaa" love the chorus 🤗
@zureyaodula5348 Жыл бұрын
That "UMBWA" keeps me coming back to KZbin 🤣
@mckenziekinncaid90252 жыл бұрын
Wale wa makerea.. Masoki za Mapetco Oreeaa.. ikifika ni fee utatiiiii
@JoJo-bl9hy3 жыл бұрын
This song tho🔥,my addiction♥️✨🔥✨♥️I normally play it like 50times a day but still can't get enough,damn✨
@KittyWaringa3 жыл бұрын
Ghai, me tooooo😀
@JoJo-bl9hy2 жыл бұрын
@Claypool Ent si mi ndo nawashow
@Snachizo_official2 жыл бұрын
kzbin.info/door/_VuBQ1QE6yKt6iSMRHhD6g
@johnnjenga91193 жыл бұрын
Mad munga💯💥
@magdalinemumbi65323 жыл бұрын
I'm listening this on repeat just coz of you Domani🥴😍
@mrjrmarangajuniorrichardso26085 ай бұрын
True saa hii na hii Maandamano ya kureject fala zakayo