WAKALA WA VIPIMO AINGIA kwenye 18 za MAKONDA, MPAKA wa KENYA na TANZANIA,. 🙌🙌

  Рет қаралды 59,611

HABARIMPYA TV

HABARIMPYA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 115
@chriseskibet718
@chriseskibet718 7 ай бұрын
Napenda sana kazi za makonda,mtupatie huyu makonda uku Kenya.
@HidayaMbodze
@HidayaMbodze 6 ай бұрын
Ako sawa sana hongera kwake
@vickykwembe5842
@vickykwembe5842 7 ай бұрын
Kweli makonda MUNGU akubariki uko kwa ajili ya kutetea wanyonge.MUNGU akupe maisha marefu
@SamweliMwalindu
@SamweliMwalindu 7 ай бұрын
bindamu bwana jema kwamakonda tunapongeza kwani mlitaka afanyeje mambo yakae sawa yupo vizuli sana hongera sana makonda chapa kazi
@nassorowaziri3076
@nassorowaziri3076 7 ай бұрын
Hongera Sana MH Makonda Kwa Kauli ya kujitathimini kwamba IPO siku na watoa Huduma watakuja kuwa wafanya Biashara je wangefanyiwa hivyo wangejisikiaje!! Asante
@nassorowaziri3076
@nassorowaziri3076 7 ай бұрын
Pia zipo tasisi nyingi Tu Arusha wanalewa madaraka Sana mf Tmda
@chrissamani7921
@chrissamani7921 7 ай бұрын
Daaa! We jamaa kuna wakati unagusa saana moyo wangu mii! Endelea kumtumaini Mungu katika maisha yako
@kibobomanguvu
@kibobomanguvu 7 ай бұрын
Makonda nimekukubali sana mheshimiwa
@kabujeasukile5462
@kabujeasukile5462 7 ай бұрын
BABA KEGANI HUJAWAI KUNIANGUSHA mungu aendelee kukulinda
@nacetsiringa1334
@nacetsiringa1334 7 ай бұрын
Hongera makonda 🎉🎉 yes ur the good leader
@reubenmwagisa4380
@reubenmwagisa4380 6 ай бұрын
Big up bro makonda, bidhaa bei zinakuwa juu kwa walaji, kwa kwa ajili ya watendaji waovu.
@johnmushi8777
@johnmushi8777 7 ай бұрын
Arusha mpaka mtasema,kazi,kazi 2
@J4UPro
@J4UPro 7 ай бұрын
Makonda upo vizuri sana kiongozi
@janjakhalfan7283
@janjakhalfan7283 7 ай бұрын
Mungu akulinde sana kiongoz wangu, we piga kazi tu usiogope, wakuogopwa ni Mungu tu kwakuwa Dunia tunapita basi usiogope mkuu wangu,Napenda kazi zako ujawai kuniangusha, ata kama umekosea nimakosa yakibinadamu, kwakuwa atujakamilika ila mengi mazuri BARIKIWA SANA KIONGOZ
@naturelle1097
@naturelle1097 7 ай бұрын
they need to put themselves in the customers shoes safi sana Mhe. Makonda. Promotion of Utalii great point😂😂😂😂sijui uongee nini tena hapo.waambie vyoo hapo boda ziwe safi 24/7
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 7 ай бұрын
Mungu awatangulie katika kazi zako MAKONDA ❤❤
@shukranamos2699
@shukranamos2699 7 ай бұрын
Mama mpe makonda tamisemi
@williammbwambo79
@williammbwambo79 7 ай бұрын
Mm napenda confidence ya jamaa kwenye kujibu
@shukranitv2971
@shukranitv2971 7 ай бұрын
Sema makonda anahuruma san
@AminaRamadhan-mg9lj
@AminaRamadhan-mg9lj 6 ай бұрын
Kabisaa angekuwaa ankoo maguu apoo asingerembaa hataa 😂😂😂😂😂
@NelsonMrang
@NelsonMrang 7 ай бұрын
umemweza sana makonda bhana utaongea tu lakn
@NeemaMweta
@NeemaMweta 6 ай бұрын
Mungu tupe bidii ya kumwombea rais mtarajiwa mungu zidisha ulinzi kwa mwanao
@charlesole7517
@charlesole7517 6 ай бұрын
Hahaaaa😂😂😂 Eti wamekaa kipigaji😂😂😂
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 7 ай бұрын
Bro Makonda BigUp sana kwenye hili umeupiga Mwingi
@mohamedkige2535
@mohamedkige2535 7 ай бұрын
❤❤❤❤ Haunabaya
@NeemaMweta
@NeemaMweta 6 ай бұрын
Mungu atakulinda baba hakuna wa kukugusa aimeen
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 7 ай бұрын
Upo vzr sana Mr.Paul
@VeronicaPaul-cj1yu
@VeronicaPaul-cj1yu 7 ай бұрын
"Jembe aliwezi kuwa zuri Kama mkulima sio mzuri... Makonda wewe mkulima mzuri jembe lako alichagui msitu, hongera Baba, muheshimishe Mama wa Taifa"
@joharikasuwi6973
@joharikasuwi6973 6 ай бұрын
Yaani Arusha mpaka mthemeeeee, piga kazi bro
@LusiaKawana
@LusiaKawana 7 ай бұрын
Bravoo👍👍
@OmaryRamadan-m8v
@OmaryRamadan-m8v 7 ай бұрын
Nashangaa nikiangalia hiz krip sitaman kutoka
@dbogohe
@dbogohe 7 ай бұрын
Hii nchi imejaa maozo sana kwa vichwa ka iv vnaitaj viongoz kama makondo yan kila sehem mkuu wake mara hayupo uy ana kaimu blablah nying Mh Paul Makonda yko vzur
@Justinndalama01
@Justinndalama01 7 ай бұрын
Ila mi nadhani hakupataga ziro mbona Kuna mda anaongea point sana🙌
@PureSoul-rf4xd
@PureSoul-rf4xd 7 ай бұрын
Ndio nashangaa hata mimi huyu si yule aliambiwa hana shule,na anafanya mambo ya kisomi na ubunifu wa hali ya juu, sheria ya kila mahali anajua,
@daudimusoma3337
@daudimusoma3337 7 ай бұрын
Unapigwa vita Kwa sababu hizo tuu. Sidhani Kama watu wabaya watakuacha salama. Wakuubwa mikoa wangefuatilia Kwa ukaribu kiasi hicho. Samia angefurahi zaidi
@emmymsangi8783
@emmymsangi8783 6 ай бұрын
Ukiwanyoosha Arusha ,mama akulete tena dar unyooshe hili jji
@dstaroficial
@dstaroficial 7 ай бұрын
Mi natamani ukatili arusha ukomeshwe huko watu wanajifanya wana roho mbaya sana xjui ni bangi au mirungi
@allymganga3223
@allymganga3223 7 ай бұрын
Mpaka airport mkuu wachangamshe wawe fasta kuudumia wasafili
@manuelsaramba2138
@manuelsaramba2138 7 ай бұрын
👏👏👏👏👏
@Petronkambi
@Petronkambi 7 ай бұрын
Huyu jamaa nimtu kazi kweli kweli makonda Mungu akulinde sana
@edwinnyale6265
@edwinnyale6265 7 ай бұрын
Hongera sana Makonda
@daudisimyota3923
@daudisimyota3923 7 ай бұрын
Nimekukubali makonda tunaomba mama akuhamishie mkoa wa songwe tunalia na boda ya tunduma
@golebenson4597
@golebenson4597 6 ай бұрын
Mbona hawakuelewi😂😂walipataje izzo mishe
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 7 ай бұрын
Jamaa yuko vizuri
@MedsonUlendo
@MedsonUlendo 7 ай бұрын
RC MAKONDA unatumia Milano Hai Sana kias kama watamwelewa kila kitu kitaenda Sawa
@amosmahona433
@amosmahona433 7 ай бұрын
Huyu wakala kiswa-English kingi sana
@prophetev.josephatfarasimw8445
@prophetev.josephatfarasimw8445 7 ай бұрын
Resilian principle , patient in listening,to act in profesionalism is our problem
@emanuelsamaytu9437
@emanuelsamaytu9437 7 ай бұрын
Jembeee makonda
@amaniluhambire5080
@amaniluhambire5080 7 ай бұрын
Makonda ,mkuu jeuri!
@constanciapeter2497
@constanciapeter2497 7 ай бұрын
vipeperushi vya utalii muhimu pia Boss
@waziriboy9941
@waziriboy9941 7 ай бұрын
Makonda sio kiongozi Bhana, mwache MTU aeleze mpaka mwisho usimkatishe katishe Sasa, unataka kujiona perfect Sana wewe makonda, Mimi sikukubali
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj 7 ай бұрын
Acha kuchafua wewe kazi yamtu we umewahi kuongoza wapi ??
@DeboraCalton
@DeboraCalton 7 ай бұрын
Mchawi
@ZuhuraMwanafuno
@ZuhuraMwanafuno 7 ай бұрын
Akikubaliwa na mungu inatosha
@HamisHamza-uf6uz
@HamisHamza-uf6uz 7 ай бұрын
Mi Nasubiri mahojiano ya Hospital kubwa za Arusha na changamoto za wananchi ,,mbona tunarudi kuleee kazi kazi hakuna kulala broo 👍👍
@Lodrickmwambene
@Lodrickmwambene 7 ай бұрын
Kingereza kiingi bla bla nyingii Wabongo bwana 😂😂😂😂😂
@Mzitomatelephone
@Mzitomatelephone 6 ай бұрын
Makonda awe mkuu wa mikoa yote ya Tz ,wanaokubali hii point nipeni like hata tatu basi
@NeemaGodfrey-yz2xc
@NeemaGodfrey-yz2xc 7 ай бұрын
Makonda is a best, I like him
@NAMAYANINANYARO
@NAMAYANINANYARO 7 ай бұрын
Ofcouse!!
@godywyne7671
@godywyne7671 7 ай бұрын
@MayungaMambosasa
@MayungaMambosasa 7 ай бұрын
Endelea kuwaelimisha mkuu, maana watendaji walio wengi wanajali matumbo yao tu,
@ChizaSaidi
@ChizaSaidi 7 ай бұрын
WASHANIZUIYAA HAO KUENDA KENYA KWA SABABU TUU NINA BRITISH PASPOT HADI BASI LIKANIKIMBIA
@HenryNjunwa-c3m
@HenryNjunwa-c3m 6 ай бұрын
hekima ya makonda ni ya kiungu
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 7 ай бұрын
Huyu mtendaji siyo boya anajielewa sana
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 6 ай бұрын
Paul Makonda
@AMEMUSSA-cr8my
@AMEMUSSA-cr8my 7 ай бұрын
Kweli tuntumia muda mwingi boda.
@venancebasil4656
@venancebasil4656 7 ай бұрын
Jamaa amejieleza vizuri sana
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 7 ай бұрын
Hajui kujieleza mkuu maana hajui utaratibu wa mabadiriko ya sheria😂😂
@kwzjkwz3532
@kwzjkwz3532 6 ай бұрын
hajui kujielewa tena ni cheap and poor explanation
@IssaIra-j9u
@IssaIra-j9u 7 ай бұрын
Safi sana mkuu
@JescaMwagama-oc9yt
@JescaMwagama-oc9yt 7 ай бұрын
mpaka waseme
@JohnThuo-zr4nw
@JohnThuo-zr4nw 4 ай бұрын
Hi 🇰🇪🏃😒
@valenakomba7686
@valenakomba7686 7 ай бұрын
NDO VIJISOMI VYETU VIBABAISHAJI HIVO. RUSHWA TUU ZIMEWAKAA AKILINI. MUNGU AWACHOME NA KUWATEKETEZA KWA MOTO.
@geey7893
@geey7893 7 ай бұрын
😂😂😂Umeongea statement nzuri sana ndugu yang. Eti vijisomi vyeti vibabaishaji. Kabisaa Yani, tunawaza maisha mazuri tu
@Hongkongman2
@Hongkongman2 7 ай бұрын
Kitu muhimu uamimifu Watu ni wezi wanaleta sifa mbaya kwa taifa
@isolatedman-ou7ok
@isolatedman-ou7ok 7 ай бұрын
Wakifanya hivo watapata wapi kula mpunga mwingi wakuiba
@HenryNjunwa-c3m
@HenryNjunwa-c3m 6 ай бұрын
makonda apewe maua yake
@YonaBazilio-op6ex
@YonaBazilio-op6ex 7 ай бұрын
Mmmh
@Zainabkhamis-d2s
@Zainabkhamis-d2s 7 ай бұрын
Tanzania 🇹🇿 Nchi yng 😂😂
@Kisigino
@Kisigino 7 ай бұрын
Hv wakuu wengine wa mikoa huwa wanafanyaga nn
@JOSEPHMSEMWA-cy4yi
@JOSEPHMSEMWA-cy4yi 7 ай бұрын
Makonda uje njombe
@daimambise7519
@daimambise7519 7 ай бұрын
Tunakuomba tu ufanye ziara Longido kwa kina
@HumphreyKarua
@HumphreyKarua 6 ай бұрын
Rc Makonda ni jembe mfano ulipokuwa jiji la Dar ulisimia miradi ya afya.maji barabara usalama n uvutaji wa Bangui n madawa kwa sasa jiji la Aruxha hunatete madam ya fhuruma n ufisadi
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 7 ай бұрын
Tatizo hapo kuna Siasa na Professional sio kila mtu anaweza kuwa Msemaji huyo incharge inaonekana sio Muongeaji.
@JalsonJoseph
@JalsonJoseph 7 ай бұрын
Makonda anakwamisha na viongozi wazee, wanaitaka nchi kijimilikisha wai na wajuu wao, na mimi nashauri viongozi wazee watipishe
@yassinerasmus7400
@yassinerasmus7400 7 ай бұрын
Arusha mpaka mseme tu kwa Makondo 😁😁
@VianaKokutensa
@VianaKokutensa 7 ай бұрын
Makonda 😅😅
@leoncebenjamin8107
@leoncebenjamin8107 7 ай бұрын
Makonda unatafuta kiki tu,wakala yupo sahihi
@ikokijuma-zv7wd
@ikokijuma-zv7wd 7 ай бұрын
😂
@HajiFaki-n9v
@HajiFaki-n9v 7 ай бұрын
Uhakika 😂makonda
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 7 ай бұрын
Kila sketa ni shida
@sss3s867
@sss3s867 7 ай бұрын
haiwezekani kuwa boram wakala vipimo hawakufaa kulipwa na muingizaji bidhaa. hata hivyo wanabeba sample kila kukicha
@geofreyKigola
@geofreyKigola 7 ай бұрын
Lakini bado Baadhi Wanabeza
@fridaphilemon8898
@fridaphilemon8898 7 ай бұрын
Hapo osbp ni hatar
@henrychacha5592
@henrychacha5592 7 ай бұрын
Mimi ninachokiona hapo ni yale Yale kwamba mtu akipewa nafasi/Mamlaka basi anawaona walio chini yake au anaowaongoza hawana akili bila kujuwa kuwa ndo wanaomlipa mshahara.Makonda timua wababaifu wote.Vingereza vingi kumbe uadilifu zero
@petershedrack4668
@petershedrack4668 7 ай бұрын
Nenda basi kaongoze wewe andazi
@StephenKaisy
@StephenKaisy 6 ай бұрын
1234
@Africasafarichannel
@Africasafarichannel 7 ай бұрын
Apewa ukuu wa mkoa wakudumu
@Lodrickmwambene
@Lodrickmwambene 7 ай бұрын
Awe raisi wakudumu
@MatthewSimonKanyanzulu
@MatthewSimonKanyanzulu 7 ай бұрын
Odilo mangungu mpaka leo hujui kua watalaam ndio wanao chelewesha huduma hupo wapi mzee ha ha haaaa tutachelewa sana kama bado wapo vijana kama wewe
@nappekiliakiliasalimu346
@nappekiliakiliasalimu346 7 ай бұрын
Kwann 2025 tusikupe ww urais
@jamesmartin7026
@jamesmartin7026 7 ай бұрын
Wewe sasa ni mmbea. Kwani hujui anayepeperusha bendera mwaka 2025 ni nani?
@DeboraCalton
@DeboraCalton 7 ай бұрын
Bado mdogo
@ndagondago-iw1sc
@ndagondago-iw1sc 6 ай бұрын
Bonge la mtu
@mwamuyinga
@mwamuyinga 7 ай бұрын
Interview yake mheshimiwa Ina mistake kidg
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 7 ай бұрын
Kivipi nisaidie
@Africasafarichannel
@Africasafarichannel 7 ай бұрын
Tulia ww
@sakayonsakihunga3496
@sakayonsakihunga3496 7 ай бұрын
We utakua chadema
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
@a.m_--68
@a.m_--68 7 ай бұрын
Makonda unawabana watu lakini nikama unawadhalilisha, maana hutoi nafasi ya viongizi kujieleza kwa uhuru ambayo ni haki yao pia. Unawabana too much tafadhali tumia lugha ya staha bhna angalau kidogo.
@OdiloMagungu-uf5is
@OdiloMagungu-uf5is 7 ай бұрын
Kwani ww bashite unajua Kila kitu Wacha wataalamu wafanye kazi acha mambo ya sifa sifa
@JeremiahMwalukosya-eh5nf
@JeremiahMwalukosya-eh5nf 7 ай бұрын
Acha ujinga wa siasa wewe kawe mkuu wa mkoa wewe basi unalopa tu nachuki zako za kisiasa
@peterkanza2207
@peterkanza2207 7 ай бұрын
Odilo magungu huna akili. Acha makonda apige kazi.
@J4UPro
@J4UPro 7 ай бұрын
Elewa hata muonekano wa mtu, huyo jamaa anaonekana kabisa ni shida kwa wananchi.
@azwarsele3581
@azwarsele3581 7 ай бұрын
Huyu afisa hana kosa lolote, ni mfumo ndio tatizo.
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 114 МЛН
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 41 МЛН
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31
THE FIRST DRUNKERS CHURCH IN KISII
56:24
MK7 MEDIA
Рет қаралды 488
BULLY Picks on Manny Pacquiao…INSTANTLY Regrets IT
14:58
The Match That Made Zinedine Zidane Retire
14:37
BR7 Football
Рет қаралды 5 МЛН
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 114 МЛН